Kutoka UMASKINI wa kutupwa hadi kumiliki KAMPUNI kubwa ya FURNITURE, UPVC Windows, hii itakushangaza

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 чер 2023
  • Unaipenda kazi yetu na ungependa kutuunga mkono? Sasa unaweza kutuchangia kiasi chochote kuanzia shilingi 500. Fuata link hii hiveticket.web.app/buy/6Ew6mE...
    Tunashukuru kwa kuwa Mwana SnS unayejali

КОМЕНТАРІ • 269

  • @mlangakiaratu9292
    @mlangakiaratu9292 Рік тому +60

    Sns unachonifuraishaga uwa hukataz watu Ku mention redio station or taasisi unazo shindana nazo katika digital platform very professional Una kitu utafika mbali

  • @AminaOmary-cn5vb
    @AminaOmary-cn5vb 10 місяців тому +22

    Kitu nilichokipenda kwa huyu kaka .anashukurani sana.imagine watu waliomsaidia anawataja na majina na kuwashukuru kabisa.means anawakumbuka mno

  • @africanproudly4004
    @africanproudly4004 Рік тому +31

    Kumwangalia tu huyu kaka yuko humble ❤

  • @musajack7276
    @musajack7276 Рік тому +12

    Wajomba wanatubebaga sana kwa kweli

  • @shaababy2570
    @shaababy2570 Рік тому +31

    Huyu mkaka nimempenda kila kitu tuna shukuru Mungu

  • @economistsarafina8085
    @economistsarafina8085 Рік тому +6

    Very humble guy,Mungu akufanikishe zaidi, SNS you are the best👍siku moja na mimi nitahojiwa hapa

  • @user-rv7zt6tj3d
    @user-rv7zt6tj3d Рік тому +16

    Honger kwa hatua bila kukata tamaa, honger kwa kuwa na ndg shangaz mamndg na mjomb wenye mioyo mizur, hata kama hawana kit ila wanakupa moyo na muongozo mzuri wengn hao watu mioy yao mibaya, mtt wa ndg yao lkn utataeswa mpk uhisi dunia hiafai, matusi na masimango yanayokatisha tamaa. Pongezi nying san ziende kwa hao ndugu zako kuna namna wamekutia moyo, wamekushika mkono na hawakuwa na kinyongo. Mama ni shujaa siku zote❤. Unaonekana haukuwa kijana mhuni mtukutu, yaan nidhamu pia inaweza kuwa ni njia ya mafanikio kama hamna nidham huwez pata watu sahihi ktk safari ya mafanikio vijana mchukue hiyo. Sio mnalia pesa hamna mmekaa tu pesa inatafutwa kwa nidhamu na uchapakazi na kutaka kujua vitu mbalimbali kutokuwa muoga wa kujifunza na kuthubutu.

  • @severinmbanza4950
    @severinmbanza4950 Рік тому +17

    Mungu ni mwema,kijana wa mwaka 1992 kupitia mambo mengi kiasi hiki ni upambanaj,tupo na vijana wa miaka ya 80 lkn bado wanaishi kwao..hongera sana kaka John

    • @MrNdanguza
      @MrNdanguza Рік тому

      Duh 80 haiwzekan

    • @masalakulwa7601
      @masalakulwa7601 Рік тому +2

      @@MrNdanguza huamini au?? Kuna wa 77 bado anakaa kwa mamake..na kuna wa 79 bado anategemea wazaz..

    • @aisharamadhani1948
      @aisharamadhani1948 Рік тому

      @@masalakulwa7601 umenichekesha maisha haya sio poaaa

    • @siasia5469
      @siasia5469 8 місяців тому

      ​@@MrNdanguza unashangaa wa 80 😂😂kuna wa 70 wanaishi kwao maisha haya

  • @user-qo8eu1br6f
    @user-qo8eu1br6f Рік тому +17

    Aise nimeipenda sn hiyo Mungu azidi kufungua milangi yako ya baraka na ulinzi wa damu ya Yesu Kristo ukawe juu yako 😍❤️ Ameen i love you so much

    • @kasangagregory5747
      @kasangagregory5747 Рік тому +3

      Afike mbali zaidi. Ana roho yake huyu ndugu

    • @joycekisamo4896
      @joycekisamo4896 Рік тому +2

      An Amazing story indeed...Yaani imebidi niwa Follow hawa.
      Good Job SNS.
      Love from 🇨🇦

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 Рік тому +9

    Waooo hongera sana HC nitakutafuta nikimaliza ujenzi unitengenezee madirisha na milango soon inshallah tena ni huko huko kigamboni 🤝👏 Sky business diary hivi ndivyo tunaomba kiwe mtu akiongelea biashara yake na pia tuone kama hivi tunapata hamasa zaidi thanks a lot Sky umekipatia your the best 👍👌❤

  • @joycekisamo4896
    @joycekisamo4896 Рік тому +18

    From rugs to Riches; HONGERA SANA.
    Big up Kijana John, na SNS 👏🏽 👏🏽 👏🏽 👏🏽
    Love from Toronto 🇨🇦

  • @mumberemoise9323
    @mumberemoise9323 Рік тому +7

    waana s.n.s wa Congo mtie like zenu hapa 🇨🇩🇨🇩

  • @eusitacefelix8545
    @eusitacefelix8545 Рік тому +5

    Nakushukur bro umenitoa mbali ipo sku mwenyez mung atakulpa asant kak ....nakuaid stokuangusha daima katka fani uliyonipa bure bila chochote ninachokulpa 🙏🙏 na bado unanilpa dah ...one day yes kaka...Hanscana ..#Jeshi

  • @elphacemoses6709
    @elphacemoses6709 2 місяці тому +1

    Hongera sana! John na timu yako HC! Ni kwel umepambana sana kuwa hapo ulipo ni matokeo ya kutenda wema Kwa watu,tunazidi kukuombea ufike mbali na mafanikio zaidi!
    nakumbuka 2021 nilikuwa na maonesho Maeneo ya kibada,nikafika ofisini kwako kukuomba sample za madirisha,bila Hata ya kunifahamu vzr... ulinipa zile sample zilinisaidia sana kwenye yale maonesho.
    Hivyo Ulitatua shida yangu bila Hata kuomba malipo yeyote... Aisee ubarikiwe sana!

  • @redmioman4371
    @redmioman4371 Рік тому +4

    Dah Sns big up sana vipindi vizuri vinatufunza brother SKY GOD bless you

  • @brobabuu3973
    @brobabuu3973 Рік тому +7

    Siku moja na mimi nikutafute sky. Nahisi nina jambo ya kushare katika platform yako.. Kazi nzuri sana na MUNGU akubariki zaidi wengi tupite katika njia hizi.

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 Рік тому +5

    Mtuache tu tuwazidishie mapenzi mama zetu maana na mimi ni mwanaume ila wengi wetu tunafeli sana sana kwenye masuala yakuwa present kwenye maisha ya watoto wetu.

  • @aisharamadhani1948
    @aisharamadhani1948 Рік тому +5

    Mashaallah tunashukuru sky moja ya interview kali ya mwaka na kweli vijana wanakuaga ubinafsi sanaa kwenye kumuelekeza mwenzio kwenye suala la kujifunza hawakubali kumuelekeza mtu

  • @reallifeperspectiveUG
    @reallifeperspectiveUG Рік тому +17

    I usually don't watch such long interviews, buy this one Is worth it. the guy is so inspiring. hongera sana brother John. uta fika mbali sana given even his attitude toward life.

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 Рік тому +10

    Tunataka vitu kama hivi sky, hii ni kizazi sana. Good job bro.

  • @vom84
    @vom84 Рік тому +9

    Napenda Sana interview za aina hii, SNS is the best above all online media.

  • @margaretrusteau2871
    @margaretrusteau2871 Рік тому +6

    He s so humble.god bless you brother

  • @matronashirima1489
    @matronashirima1489 7 місяців тому +1

    Jaman UA-cam naomben muongeze Mara za Kulike zifike hata 100....! Nimependa mnoo hii interview! So many things to learn here.. Asante mnoo Kaka mtangazaji kwa kurusha hii interview.. Asante kwa kukutana na huyu Kaka Kwa Ajili yetu.. Thank you so much Kaka

  • @nkurunzizalydia1720
    @nkurunzizalydia1720 Рік тому +10

    Kinacho fanya Nisitkate taama ni kwamba hakuna alie lala na akaamka ni Tajili kila mafanikio yana processes zake maumivu ,uvumilivu ,discipline

  • @economistsarafina8085
    @economistsarafina8085 Рік тому +8

    Leo imenibidi nicomment tena, John nimesikiliza interview nyingi ila ya kwako iko real sana, kila kitu kina ukweli ndani yake,Mungu wa mbinguni atakufikisha mbali sana. Hata mimi nitakupa kazi.

  • @zuumlondwa9518
    @zuumlondwa9518 Рік тому +9

    Mimi binafsi nimependa historia yake inakupa motisha yakufanya kazi bila kukata tamaa

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 Рік тому +3

    Mwenyezi Mungu humpa mtu kwa jitihada zake. Mwenyezi Mungu akujaalie zaidi sana sana.

  • @paschalpeter3439
    @paschalpeter3439 6 місяців тому +1

    Maisha bhana ni experience tu na uthubutu na kuheshimu pesa unayoipata..bro alikuwa na 5m na akalala chini..kujifunza kila ukionacho ,kujaribu vitu tofauti..na hakuna mafanikio bila kupita humo..asante bro John .

  • @JoeinGermany
    @JoeinGermany Рік тому +4

    The boy is wiser

  • @kombab1112
    @kombab1112 7 місяців тому +2

    Kuhusu imani kwa kweli una imani sana, nimelichukua hilo kutoka kwako.

  • @fatimasaid9469
    @fatimasaid9469 Рік тому +4

    You really lion on the jungle salute. You really admire every younger listening your story l love can't stop to watch you .

  • @iam_brenda3924
    @iam_brenda3924 Рік тому +3

    Very humble man🤌🏾 Mwenyezi Mungu azidi kumzidishia kwa kweli🙏

  • @dayana5513story
    @dayana5513story Рік тому +8

    Wenye story tuko weng congrats bro god bless you

  • @irenekanza1601
    @irenekanza1601 Рік тому +4

    Huyu kaka yupo humble sana, ndio maana anafanikiwa

  • @agricolaotto8247
    @agricolaotto8247 4 місяці тому +3

    Uyu mkaka ajui kulalamika najifunza kitu kwako🥰🥰🥰🥰

  • @neemasanare3474
    @neemasanare3474 Рік тому +4

    Hongera sana dogo Yesu azidi kukuinua❤

  • @sunrisekitchen1
    @sunrisekitchen1 Рік тому +4

    Wa kwanza leo likes zangu pls

  • @SoloMsuya
    @SoloMsuya Рік тому +5

    HONGERA SANA BIG BRO BADO TUKO NYUMA YAKO TUNAPUSH HC IFIKE MBALI ZAID YA HAPA 🙏🙏

  • @africanmandetraveler2847
    @africanmandetraveler2847 Рік тому +10

    Very inspiration big up young man for your success

  • @mwajumabinwa604
    @mwajumabinwa604 Рік тому +3

    my best motivation speaker Joel Nanauka ❤❤❤ thanks so much bro kwaku tuamasisha jisi yaku tafuta hela 🙏 sio kila kazi niakuzarau.

  • @manuelamahwera6090
    @manuelamahwera6090 Рік тому +5

    Well done John. You are blessed 🙌 😇. Congratulations 🎊 👏 💐

  • @jaqiepaloma4127
    @jaqiepaloma4127 4 місяці тому +1

    Hongera sana. Mama yupo? Mungu ni mwema sana . Kama yupo mtunze sana sana.

  • @musasaid5502
    @musasaid5502 Рік тому +3

    Uyu jama ni master mind

  • @kasangagregory5747
    @kasangagregory5747 Рік тому +5

    Kuna wadogo zangu ambao tuko nao hapa tunasaidiana. Huyu jamaa ana upendo sana

  • @aminmohammed4249
    @aminmohammed4249 Рік тому +4

    Real definition of a fighter🫡

  • @francomkandawile8572
    @francomkandawile8572 Рік тому +2

    Very nice story, Mdogo wangu unajituma sana, Mungu amekuweka no kukufikisha hapo usiache kumwabudu na kimsifu yeye pekee.

  • @dmgtv3984
    @dmgtv3984 7 місяців тому +1

    Hongera Mr John ninandoto kama yako na nishaanza kumchukua hatua but bado Niko local Sana ninahitaji kuendelea kujifunza kutoka kwako SNS naomba connection na John

  • @remeniurasa4866
    @remeniurasa4866 6 днів тому

    Real inspirational journey iko hapa 🎉 Big up sana John

  • @dr.hermankessy
    @dr.hermankessy 10 місяців тому +4

    THE POWER OF DECISION MAKING

  • @jacqueisaac8155
    @jacqueisaac8155 Рік тому +4

    Yuko very humble na pia anaonekana ana hofu ya Mungu

  • @superwarema2309
    @superwarema2309 Рік тому +2

    Hongera sana John Mfinanga. Humble background. Keep Up The Good Work

  • @filipejohnchuma1985
    @filipejohnchuma1985 Рік тому +5

    Obrigado 🙏pela Educação 🇲🇿

  • @kazkaz1943
    @kazkaz1943 Рік тому +11

    Kila kitu kinawezekana vijana wenzangu msione aibu kuanza kukimbiza ndoto zetu. kuwaza watu watasemaje watu watanionaje haitotusaidia kufikia malengo yetu amka sasa pambana

  • @stevew.mutasa2385
    @stevew.mutasa2385 Рік тому +2

    VERY SMART JOHN..I FEEL GRATEFUL

  • @angelalyimo2862
    @angelalyimo2862 Рік тому +2

    Mstarabu kwa bravo umejipata

  • @SaitotiHinyura
    @SaitotiHinyura Рік тому

    Kazi nzuri sana.Hiyo bidii ya utafutaji ni funzo kwangu,nimeipenda.Kukata tamaa katika utafutaji hakutakiwi.

  • @mwajumakabora5245
    @mwajumakabora5245 Рік тому +6

    Everything is possible under the sun,noted bro...congratulations John umejua kuni ispire to the highest level

  • @jameshagwe3063
    @jameshagwe3063 Рік тому +3

    Kazi nzuri sana,,,! Mungu akubariki John

  • @thomasjoseph3178
    @thomasjoseph3178 7 місяців тому

    Hongera sana bro. Hakika Mungu hamtupi mja wake. Kwa maelezo yako tunajifunza kutokukata tamaa kwa namna yoyote ile.

  • @samniza1763
    @samniza1763 Рік тому +1

    I will come and look for young man, very inspiring story.

  • @user-mz4tu1iq7r
    @user-mz4tu1iq7r Рік тому +2

    Hongera Sana Kaka naomba na me unifundishe

  • @muta-news2786
    @muta-news2786 Рік тому +3

    Nimefurahi kuona unafata ushauri wangu juu ya kuonyesha vitu na mazingira ya watu unaowaoji ili kuinspire Vijana kwa kuona kuliko kusikia story zao tu.nimefurahi kwa ilo.
    Watu wanakuwa wanataman kuona unajo kioji na ofisi za watu ktk hichi kipindi.ongera Sana

  • @romastasenterprises4447
    @romastasenterprises4447 8 місяців тому

    Hongera sana John. Na kwa hili utafika mbali sana. Ila nakuomba umsamehe Baba yako mzazi kwa kua na wewe ni mwanaume na hujui kilimkuta nini mpaka akawa haeleweki na alikua mfanyabiashara mkubwa kama ulivyotangulia kusema. So na wewe pia huwezi kua na uhakika utakutana na yapi. Nimekupenda sana na naomba tu usimkumbuke tena Mkuu kwa kumlaumu kwani Mungu alivyotuambia tumheshimu Bb na Mm tupate miaka mingi na heri Duniani hakusema kama asipokulea au akiwa mlevi. Alisema tu WAHESHIMU akaondoka bila ufafanuzi.

  • @jessicamwasandube944
    @jessicamwasandube944 Рік тому +1

    Safi sana kijana,Mungu akuwezeshe zaidi

  • @hildaminja5148
    @hildaminja5148 7 місяців тому

    Hongera Sana. Hii inahuisha mioyo ya watu wengi hasa wanaojitafuta. Mungu aendelee kukuinua na kupitia hii interview vijana wengi wakajipate

  • @user-vv6pr4bj8p
    @user-vv6pr4bj8p 2 місяці тому

    Congratulations John,napenda kujifunza sana.upendo kutoka Kenya🙏

  • @fatimasaid9469
    @fatimasaid9469 Рік тому +4

    Sns katika vipidi vyako hivyi ndio vipindi bora zaidi tena kwa vijaana sio utatafuta vipindi vya udaku. Hapa ukidikiliza hata Mb zkiisha uumii. Tafuta vijana kma hawa please 🙏 . Nipo 🇬🇧 but nimependa sanaaaaaaaaaa .

  • @agreymwakapila7695
    @agreymwakapila7695 Рік тому +1

    Mwenyezi Mungu azidi kukupigania ufike mbali sana.

  • @mariej6962
    @mariej6962 8 місяців тому +1

    John: ustaarabu, kumtegemea Mungu, kushukuru kwa kila jambo, hana wivu, mavazi na nywele style ya kistaarabu.

  • @ongezamaarifa2526
    @ongezamaarifa2526 Рік тому +2

    Story ina uhalisia sana sanaaaaaa, Mungu aendelee kumbariki yeye na nyie sns mpate watu wenye uhalisia zaidi kama huyu

  • @miriambethuel8892
    @miriambethuel8892 Місяць тому

    I bless God for you John.
    Nyc coverage Sky (sns).❤❤❤

  • @reisedyy4910
    @reisedyy4910 Рік тому +3

    Jamaa kataja namshukuru Mungu kwakaribu kila sentences, and i like it so much. Let praise the almighty y'all.

  • @EmilianKomba-sb4kn
    @EmilianKomba-sb4kn 7 місяців тому +1

    Sky tunajifunza mengiii sana100🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @user-uv4iv9kl8t
    @user-uv4iv9kl8t 4 місяці тому +1

    Very humble broo keep it up john

  • @pendo8082
    @pendo8082 Рік тому +1

    Hongera sana broo Mungu ni mwema kila wakati Ameen

  • @martinakombe8374
    @martinakombe8374 9 місяців тому +2

    very inspirational ,,keep it up,,one day even me i will testify✊🤝

  • @fatmakombo9793
    @fatmakombo9793 Рік тому

    Mungu azidi kukubariki kaka unajielewa sana tena sana kwani sio rahisi unajituma

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 Рік тому +2

    Safi sana milango makabati sh ngapi

  • @kidungweshaaban9317
    @kidungweshaaban9317 Рік тому +3

    Kaka unani inspire sana Mungu aendelee kukusimamia

  • @adammdee9391
    @adammdee9391 7 місяців тому +2

    Very inspiring 👏🏼 👏🏼👏🏼

  • @dr.hermankessy
    @dr.hermankessy 10 місяців тому +1

    THE POWER OF STARTING SMALL BUT AIMING HIGH

  • @rajabkahindi3389
    @rajabkahindi3389 Рік тому +4

    Legend joel nanauka forever ❤

  • @alichanzi8095
    @alichanzi8095 7 місяців тому

    Woow, very humble man

  • @SolomonMsuya
    @SolomonMsuya Рік тому +2

    Hongera sana bro. Mungu azidi kukubariki

  • @user-zk5dj7kp9z
    @user-zk5dj7kp9z 7 місяців тому

    thankx somuch

  • @chiticollemans
    @chiticollemans Рік тому +2

    Nice interview
    Nimepata moyo

  • @MwanaishaHemed-xi6rj
    @MwanaishaHemed-xi6rj Рік тому +3

    Hongera kaka wewe ni shujaa😍😍

  • @rashidkejo8666
    @rashidkejo8666 Рік тому +3

    Mahojiano ni mazuri sana lakini mwandishi kuna vitu unapaswa kuvifanya haswa unapomfanya mahojiano na mtu. Natumai kuna maswali ya msingi ili kuendelea kuijenga taaluma yako ya uandishi.
    Vyema litambulike neno "umasikini wa kutupwa"
    Likishadadavuliwa neno hilo ndio tunaweza kupata tafsiri kamili ya mahojiano haya.
    Huyu dogo ni mpambanaji na si kwamba alikuwa maskini wa kutupwa kwasababu alikuwa na mdhamini ambaye ni mama mdogo ukilinganisha na wale ambao walisaidiwa na watubaki.
    Mahojiano ni mazuri sana yanavutia lakini ni aibu kutumia neno "nilikuwa masikini wa kutupwa" au aidha anaendelea kujitangaza kibiashara.
    Kiufupi ni mpambanaji na hongera kwake.

    • @badifundi6089
      @badifundi6089 5 місяців тому

      Sasa wataka aseme alikua tajiri... unaona tunapomkosea MUNGU...kama huna kuwa muwazi kbsa ndo MUNGU atakupambania mwamba

  • @nassibugodfrey1405
    @nassibugodfrey1405 Рік тому

    Hapo kwenye sijawai kuwa na kwetu mwanangu kama Mimi vile💪💪

  • @masalakulwa7601
    @masalakulwa7601 Рік тому

    Very inspirational....bdw kaka mzuri hatari

  • @user-uv4iv9kl8t
    @user-uv4iv9kl8t 4 місяці тому +1

    Hongera sana john🎉🎉🎉🎉

  • @majorballs2585
    @majorballs2585 Рік тому +1

    Very intelligent kaka

  • @DastanJovin
    @DastanJovin 4 місяці тому

    Thanks alot aim feel greatfuly one day I will reach my goals

  • @doreen9516
    @doreen9516 Рік тому +1

    Hongera sana! 🙌🏾

  • @kilamiko8299
    @kilamiko8299 Рік тому

    Bravo Mr. John

  • @GaddyMsuya-dh7qn
    @GaddyMsuya-dh7qn Рік тому +1

    Hongera sana Kwa kazi nzuri.Mungu akubariki yeremia33.3

  • @AminaMfinanga-nu6jl
    @AminaMfinanga-nu6jl 6 місяців тому

    Wafinanga oyeeeeee.Hongera sana kijana

  • @safiyasafiya5014
    @safiyasafiya5014 Рік тому

    Hongera mdogo wangu mola akubariki

  • @angelasudi710
    @angelasudi710 Рік тому +2

    Good Man

  • @lilianmichael1787
    @lilianmichael1787 Рік тому +1

    Mungu akuimarishe John