SHETTA NILIKUWA NAKUCHUKULIA POA SANA HAPO NYUMA,BUT KUPITIA INTERVIEW HII NIMEGUNDUA HII KICHWA INA AKILI KUBWA SAAAAAANA..... VERY GENIUSHIYO NA DIAMOND UMEINGOLEA KIKUBWA SAAAAAANA BIG UP SNS
Uyu jama nafam vizuri anaitwa nurudin kitambo alikua naishi kinondon studio na mama yake alipoanza kushinda misifa pale ila ikabidi anze kuishi kwa bibi yake Apo boma pongezi kwakwe
Ni sahihi kabisa niliwahi ku mu accommodate SHETTA hapa South Africa... Niliwahi kumsaidia kwenye translation pia hasa kwenye shooting yake ya HATUFANANI NAO...
Umenikumbusha kipindi nimeenda kusoma kenya bana ile good morning KWA UFUPI walikuwa wanasema morning sasa bana hiyo itika yangu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ni oky jamani. Mpkani nijekuelewa inamaanisha nn nilisota sana
Sheta bhna mbna ulicema kwnye nyimbo yako mja iv kuw w ulipo toka ilala kota bonge la bishoo ujawai sota sas leo ime kaaje ad usem w umtoka kwnye shnd au ndy kunogsh nymb
Si kweli,,, SNS ni Chombo huru na kina fanya habar na msanii yoyote na kurusha content za Chombo chochote tanzania... Lakini pia brother sky amefanya kazi na WCB hasa Don mendez
Shetta yuko sawa sana na tunaitaji wasanii kama hawa wanaojielewa. Na kukumbuka ulipotoka
Mkweli sana,ongera sir god akuongeze....
Wow I love the way my leader Sky is enjoying this interview 😍😍😍
SHETTA NILIKUWA NAKUCHUKULIA POA SANA HAPO NYUMA,BUT KUPITIA INTERVIEW HII NIMEGUNDUA HII KICHWA INA AKILI KUBWA SAAAAAANA..... VERY GENIUSHIYO NA DIAMOND UMEINGOLEA KIKUBWA SAAAAAANA BIG UP SNS
Fact
@@juniornamao527 Tizama video nyingine 👇
ua-cam.com/video/ZsJURMICYaA/v-deo.html
I like how he’s honest man 👍👍
This dude he a visionary
😂😂😂 nimecheka Sana! Ila nafurahi kuona wasanii wa nyuma kidogo wakiwa wamekua kiakili na kimtazamo! Hakika miaka inaenda Sana! Safi Sana!
Kizungu shikamoooo🤣🤣🤣🤣🤣🙌
Shetta bhana 😂😂😂🙌
Nice interview
Nmekukubali bro that's is our life men,haya ndio mambo huwa nawaambia vijana wengi maana wao wakiona unaendesha gari wanahisi vinakuja TU..
He So humble shetta🙌
Woooh guys nimeenjoy hii interview 🥰🥰
Mtu anakuja na camera "unasema mama yangu mama yangu hiki ni nini?" Nimecheka balaa 🤣🤣🤣🤣🤣
Noma sana hii
Love you broo, roho ya Utu naku kuwa honest ni kila kitu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 shetta kanimaliza leo
Nimekuja kwsbb ya Diamond Kutajwa kwenye Title
Hatamimi
Wewe ni kama mimi..💃🤣
Tupo wengi
Nimecheka sana sio kidogo
😂😂😂😂😂
@@dangotee5051 Tizama video nyingine 👇
ua-cam.com/video/ZsJURMICYaA/v-deo.html
Hongera sana shetta kwa hatua uliyopitia toka kipind kile mpk sasa something i can say nafkir wasanii wanahaja ya kusoma English ipaswavyo haswa!
Watu wetoka mbali sasa wanafafiri wakambuni ya kufuta hewa acha tu nicheka kweli kweli mbarikiwe
Fact sanaaaaaaaaaa
Uyu jama nafam vizuri anaitwa nurudin kitambo alikua naishi kinondon studio na mama yake alipoanza kushinda misifa pale ila ikabidi anze kuishi kwa bibi yake
Apo boma pongezi kwakwe
So what ,🙄?
Dah bonge la interview
people come frm far""respect whoever made it in life"cause you don't know their struggle
Msema Kweli ni mpenzi wa Mungu
May shetta alwys
Hahaaa duuh Ila ndio maisha na kupambana.
segment ya kovu imeishia wapi @Skywalker
Umeeleweka brother
Jamaa anakubali alikotoka safi sana
💯💯
😅😅😅😅😅 nmecheka nakukubal sana kaka
Team Shetta
😂😂😂nmecheka
Nimecheka mnooooo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Unajua shetta umenichekesha sana😂😂
Nimecheka saana
Ungesem like this
Shetta is very fun while listening to him
I realy like the interview😂
Ila sheta aba accent nzuri 😀
Ni sahihi kabisa niliwahi ku mu accommodate SHETTA hapa South Africa... Niliwahi kumsaidia kwenye translation pia hasa kwenye shooting yake ya HATUFANANI NAO...
Kwendaaa
Hata kama ni kweli . So???
Mshamba wewe
Umenikumbusha kipindi nimeenda kusoma kenya bana ile good morning KWA UFUPI walikuwa wanasema morning sasa bana hiyo itika yangu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ni oky jamani. Mpkani nijekuelewa inamaanisha nn nilisota sana
Mondi alikula mama kayla bifu ilianza hapo sema sheta roho safii amesamehe
🤣🤣🤣ila shetta
Jamani nejua kucheka leo
Brother sky naomba unikutanaishe na shetta ninajambo na organization yake niko Mwanza
Pia Kuna contact hapo kwenye Hilo bango la organization
Aki Shetta umenivunja mbavu na apo Kwa kiingereza
Kunakitu umenijenga mkuu🙏
Shetta umenichekesha 😂😂😂
🇹🇿✔️🔥🔥
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌👍
😁😁😁
Nazimia mwezenu
Mafanikio ni siri ya mtu 😮😮😮😮😮😮
okeeeee NAMUKUBALI UYUU MWAMBA ASA NGOMA LA VUMBA WACHA LIONGEE
bila kujuwa kitu😅
Inspired br
Sheta bhna mbna ulicema kwnye nyimbo yako mja iv kuw w ulipo toka ilala kota bonge la bishoo ujawai sota sas leo ime kaaje ad usem w umtoka kwnye shnd au ndy kunogsh nymb
😂😂😂😂
🤣🤣😂😂😂
🤣🤣🤣🤣
Hahaha
😂😂😂😂😂😂😂😂
I'm here because of #diamondplatnumz that's all...
Big Up #Shetta
So what??
Unaficha tuu ila mlikwazana
Kwani lazima kingereza
Kiswahili mbona kizuri tu
Hebu kipeni nafasi
Kapigiwa mkeo uyo na diamond mbk kamuacha mama kaila
Ulimuona??
Kua basi na hofu ya mwenyezi Mungu ALLAH tu,kabla aujachochea ao usje kuchelewesha hesabu zako siku ya khiama kwavitu visivyo kua na manufaha kwako.
Mbona mzee wako anapigiwa mke na hatusemi 🥱
Umenikumbusha 😂😂
Wakinga wanaenda China kufunga mzgo miaka ya 2010 huko na English haipandi cjui inakuwaje 😂
Kuna watanzania uko wanawapokea na kuwaunganisha na Wachina
Hii nimecheka ile yangu yote 😄 🤣 😂 😆
SNS hua n mahadui wa WCB siku zote,japo hawako open
Si kweli,,, SNS ni Chombo huru na kina fanya habar na msanii yoyote na kurusha content za Chombo chochote tanzania... Lakini pia brother sky amefanya kazi na WCB hasa Don mendez
Duuuhhh kwanini unasema hivyo??
Ni kwa mtazamo wako, Lakini kwa sisi tunaofatilia SnS tunajua hawana chuki yoyote na WCB na taarifa nzuri za WCB pia tunazipata humuhumu
Nikweli. Mku
Ni chombo huru hicho ulitakaje
kwahiyo Benjamin mkapa na jitegemee ulienda kufanya nini bro??
Huyu Diana Bundala ni ndugu yako? Mbona mmefanana?
huyu sheta nilikutanag nae uhamiaji kulee alivaag kipenzi na kaoshii 😂😂
Diamond ameishiwa. Aingie kwenye ukulima.
Unaumwa ww
DAWA YA U.T.I SUGU.NA. DALILI 5.ZA UGONJWA WA U.T.I NA TIBA*#..
m.ua-cam.com/video/jMlFHNMwJZg/v-deo.html
🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂
DAWA YA U.T.I SUGU.NA. DALILI 5.ZA UGONJWA WA U.T.I NA TIBA*#..
m.ua-cam.com/video/jMlFHNMwJZg/v-deo.html
😂😂😂😂😂