LOUI afunguka MAZITO kuhusu nguvu ya DIAMOND, asema kumfikia wengine itawachukua MIAKA 3

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

КОМЕНТАРІ • 37

  • @Tariq_Tryagain
    @Tariq_Tryagain 3 місяці тому +5

    Loui talent yake si ya kibongo at all ila ndoivo.. He's really a Grammy Bway🙌.. S/O to u brother Sky.. Studio noma sna S/O to our sis Bby Sky🙌🔥

  • @njoroboihastla
    @njoroboihastla 2 місяці тому +2

    Chemistry ya loui & sky kwent interview imekubaliiii🙌🔥🔥🔥

  • @yaduniapeter
    @yaduniapeter 3 місяці тому +9

    Hongera kamera quality

  • @ullyamos4205
    @ullyamos4205 2 місяці тому +2

    Kaka sky hapo loui aliposema kujaza uwanja taifa stadium diamond anajaza fact ni miaka sita iliyopita 28 july 2017 alijaza taifa ,pia ww mwenyewe kupitia sns miaka mnne a
    Iliyopita alijaza Sierra leone watu 70000 stadium na ni show zake sio matamasha ya kisiasa ,au endorsement za makampuni bas taifa inawezekana embu mkatafute nilivyosema koz ni ukweli mtupu niliosema, huyu diamond wetu tu msupport plan yake ni kujaza nje ya africa kwa wingi huo huo km africa anavyifanya ,about loui nitasema km interview yake alifanya na almando bongo 5 kwamba diamond hakumuona loui na bruce africa akamsign dvoice kweli daah inashangaza japo ni biashar za watuu

  • @mohayussuf2057
    @mohayussuf2057 3 місяці тому +2

    Uchumi wa Tanzania tatizo wananchi wengi masikini

  • @ByamunguBatumana-ff9de4zx6p
    @ByamunguBatumana-ff9de4zx6p 3 місяці тому +4

    FALLY IPUPA anayo concert mbele ya watu 16000k kwenye LDCL ARENA ya ufaransa leo usiku tunaomba sky utuleteya abari za iyo concert pls

  • @dullymanso3069
    @dullymanso3069 2 місяці тому +1

    Loui anaongea facts and facts only

  • @titoamani-e8b
    @titoamani-e8b 3 місяці тому +11

    wasanii wengine kama Harmonize anaamini kuroga youtube account ya Diamond itamufanya atrend sana😅😅😅😅😅

  • @DoroMally
    @DoroMally 3 місяці тому +1

    Hongera Diamond

  • @HercaIlunga
    @HercaIlunga 3 місяці тому +13

    Miaka tatu ao 30? Miye naona itawachukuwa miaka 100 na zaidi na pengine hatatokea wa kumufikia

    • @NoName-pp4lo
      @NoName-pp4lo 3 місяці тому +3

      True

    • @RomanMwinyi
      @RomanMwinyi 3 місяці тому +1

      We una akilii wap kibao wakina konde boy Vani boy Wana kiwasha kushindwa uyo boya wenuuu kafanya nn chaaajabu Kuna watu waliwazaa uka patikana mzikiii WA bongo felevaa we etii mondiii nyinyi ndio mna uwa vipaji vyaa watuu Kuna marioo wa motoo saanaa

    • @chrispinmkanda6097
      @chrispinmkanda6097 3 місяці тому +3

      Hakuna wa kumfikia

    • @Tanafa-j9q
      @Tanafa-j9q 3 місяці тому +6

      Xx we shoga hata Kam hujui kusoma ta picha ikuxhnde kuielewa#hao vistul unaowasifu yy nd kawafundsha Kila ki2 kuhusu music afu unatoka na komwe lako ilo ka Tako la mwjk unabwabwaja😂😂😂😂😂😂#in shot atakayekuja kumfunka Simba labda watt watakaozaliwa 9800

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe 3 місяці тому +1

      ​@@RomanMwinyi Vanny na Harmo ni maajabu yake yeye bila yeye wasingefika walipo sasa na wao wamefanya makubwa gani kumzidi Mondi

  • @CamweziKarrashnekov
    @CamweziKarrashnekov 3 місяці тому +2

    Kwenye muziki acheni tusubiri ujio wa Yesu wenda huko ndo tutamuona Diamond mwengine

  • @Tariq_Tryagain
    @Tariq_Tryagain 3 місяці тому +2

    Tushkuru tulichonacho na tuendelee kupambania kizidi.. ila sio kulia eti mziki wa bongo mgumu.. Bro kuna nchi kama Burundi🇧🇮 wanatuangalia sisi kama ma role models though tunalialia

  • @Wizy_store
    @Wizy_store 3 місяці тому +3

    Ila loui😂

  • @RealAnimatedMovies
    @RealAnimatedMovies 3 місяці тому +3

    Huwa nafrai kuona msanii ana uwezo flani au maarifa ya kujua mazingira kwa upana wa elim yake anakua mwepesi wakupangilia maudhui

  • @tagbaya2347
    @tagbaya2347 3 місяці тому +4

    Loui aanze kujitafuta kuanzia chini ili afanikiwe zaidi ahakikishe kwanza amejulikana Tanzania ndo aupeleke nje aache kudili na mataifa ya nje wakati bongo tu watu awajamjua

    • @fj8317
      @fj8317 3 місяці тому

      Hiyo point kubwa sana haioni sababu ana numbers nje ila ndani ni muhimu Ili apate endorsement na shows

    • @rosemahenge9071
      @rosemahenge9071 3 місяці тому

      Mimi ndiyo kwanza namwona sijui wimbo wake hata mmoja

  • @imanimhagama4647
    @imanimhagama4647 3 місяці тому +1

    Rekebisha kauli ile haikua mchana ni usiku ila hakukua giza totoro

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 3 місяці тому +1

    Ujue Sisi hatuwezagi kufungua interview ye yote anayemsema vby Diamond kbs alafu tupo wengi

  • @kennedymafole
    @kennedymafole 3 місяці тому +1

    daxo chali like zake hapa

  • @Robinson24560
    @Robinson24560 2 місяці тому +1

    Miaka tatu itawachukua miaka mia tatu hamsini chibudee hashikiki leo walo kesho

  • @JohnVicenti
    @JohnVicenti 2 місяці тому

    Miaka 500

  • @johnmichaellukindo21
    @johnmichaellukindo21 3 місяці тому

    Lewis Hamilton alionekana kwenye clip akiisifia ngoma yako selema!

  • @iam_sami
    @iam_sami 3 місяці тому

    Uyu jamaa anajua sema nimjuaji sna aisee na iyo ndo itmkwamisha eti aliyo yafanya diamond kwake atatumia miaka mitatu nakunya ato tokea kama diamond ata akijalibu

  • @TariqJafari-w2j
    @TariqJafari-w2j 3 місяці тому +1

    Kauli za wasanii ambao hamjui mnachotaka ndo itafanya wengine washndwe