UKOMAVU WA KIAKILI (MENTAL TOUGHNESS) - JOEL NANAUKA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 вер 2024
  • 🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

КОМЕНТАРІ • 312

  • @pikanaauntzuu1466
    @pikanaauntzuu1466 9 місяців тому +186

    Asante sana professor Joel nakumbuka 2013 nilikua nafatilia passport ili naende zangu Oman 😅nikawa namwambia sister nikifanikiwa nataka kujenga nyumba nitanunua gari tutaishi km watu wengine vile wanaishi😅😅😅alinicheka wakati huo mshahara ilikua laki 2.5 tu bac imechukua muda kufika kununua kiwanja nikaanza kujenga na now tunaendea kumalizia ujenzi sasa hivi yy alieye nicheka ile siku namwambia kuhusu kujenga ndio ananihamasisha kumalizia nyumba haraka so kukataliwa tunakataliwa hata na watu wetu wakaribu maana hawaamini kile ambacho unataka kujifanya akifikiria kazi yenyewe ni kazi ya ndani sikukata tamaa kutoka kwenye shahara wa laki 2.5 mpaka sasa napata mshahara ambao kuna watu wamesoma na wapo oficn wanaringa bado lkn hawapi mshahara ninao pata na sina hata mtu wakunipa maneno mazuri ila huwa najifariji mwenyewe nikijiangalia kwa kioo najiambia never give up 😂😂😂zulfa

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  9 місяців тому +52

      Hongera Zulfa kwa ushuhuda wako huu, inatia moyo na inathibitisha kuwa kama mtu hatakatishwa tamaa na maneno ya watu wengine, basi anaweza kutimiza ndoto na malengo yake.

    • @lutherngoma1270
      @lutherngoma1270 9 місяців тому +1

      Mamboo

    • @pikanaauntzuu1466
      @pikanaauntzuu1466 9 місяців тому +7

      ​@@joelnanaukaasante sana kaka Joel Mwenyezi Mungu akuoe umri mrefu INSHAALLAH na afya iliyo njema umri mrefu afya njema ni bure nimekuwa nikijifunza mengi na kufarijika kila nisomapo vitabu vyako natama kuoaza sauti ili kila mtu asome vitabu vyako nimesoma juzi kati katabu cha mkombozi wa family kuna page ya mahusiano na family yani ni km umeniandikia mimi jmn km watu wanaweza bac wengenunua hiki kitabu na wakakisoma Mwenyezi Mungu akubariki sana hii video imenigusa sehem nyingi ni vile cwezi kueleza yote ❤❤❤❤❤

    • @pikanaauntzuu1466
      @pikanaauntzuu1466 9 місяців тому

      ​@@lutherngoma1270poa

    • @eddahhawa7471
      @eddahhawa7471 9 місяців тому +2

      Mashaallah 😘🦋

  • @cesiliamaneno9566
    @cesiliamaneno9566 5 місяців тому +9

    Mwanangu joel God bless you nimekua nikifatilia vipindi vyako nimegundua kuwa mungu anakusudi kubwa kwako ili kuwaokoa wana wa israel wa kizazi hiki sasa, joel wanangu mungu azidi kukulinda wazushi,natamani npate mawsiliano yko wanangu,kuna neno unisaidie,

  • @priscusaugust7251
    @priscusaugust7251 9 місяців тому +25

    Hivi mna uhakika Joel nanauka ni mtu wa kawaida?????? Kama ni mtu wa kawaida basi mungu kampendelea sana 😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎄🎊🎊🎊🎊

    • @adventinahevaristo9558
      @adventinahevaristo9558 6 місяців тому +1

      Nani kasema wakawaida😅huyu n malaika mbona mwenye vityu vyake

  • @shukranjulius9526
    @shukranjulius9526 9 місяців тому +31

    Sijawahi juta toka nikufarilie,nilikua natamani nisome lakini nilikatishwa shule nikiwa darasa la nne kutokana na maisha yetu,nikawa nafanya kazi za ndani nilichoka nikaolewa mume akanitesa sana nikaachana nae akanipokonya watoto ,Mungu akanijalia nikapata kazi ,omani hivi sasa nipo nchini Dubai hakika ni kwaneema ya Mungu nimeweza jenga na kumjengea mama yangu ninahitaji siku nifungue mgahawa mkubwa Dodoma naamani inawezekana kwa neema ya Mungu. Mungu akubariki sana @Joel Nanauka

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  9 місяців тому +6

      Hongera sana sana, Pole kwa mapito magumu na hongera kwa ujasiri wa kuchukua hatua.
      Keep it up, Mungu aendelee kukupigania.

    • @priscusaugust7251
      @priscusaugust7251 9 місяців тому

      @@joelnanauka🎉

    • @petrosamwel2528
      @petrosamwel2528 8 місяців тому

      Hellow sir​@@joelnanauka

    • @christophermantiri1383
      @christophermantiri1383 2 місяці тому

      Nimeongeza kitu kikubwa sana leo

  • @eliastanda9825
    @eliastanda9825 9 місяців тому +13

    Joel Joel Joel nmekuita Mara tatu saut yako Ni mwangaza mungu ambaliki mama ako🌟🌟🌟

  • @NicksonKihindo-yn5ir
    @NicksonKihindo-yn5ir 7 місяців тому +5

    Bro Tokea nianze kukufuatilia January 24 hii Maisha yangu yamebadilika Sana MUNGU akupe Maisha malefu kwa lengo LA kukomboa hiki kizazi Amen

    • @realemma2312
      @realemma2312 6 місяців тому

      Tuko wengi tunao mfatilia Kwa mwaka 2024

  • @TudamsheB
    @TudamsheB 9 місяців тому +9

    Kweli mimi naona hivyo ,kuna jambo nalifanya nimelianza 2008 wakati nahitimu kidato cha nne hakuna alie niamini mpaka wakasema siko timamu 2016 nikaanza utekelezaji wengi pamoja na ndugu wakaproove maneno ya kuwa siko sawa , 2018 nikaanza kujenga wao wakashauli ninunue usafiri nikajibu moyoni hawaoni ila wataona 2022 nikaomesha utofauti wa maono wakanza kunikwepa nina ofice yangu wengi wananiona tofauti na wanatoa shuhuda na nimfano kwa kufauru kwa ninayo yafanya ( sasa nanauka nimemuona 2023 naona huyu ni mtu / mwalimu wangu tangu 2008 maana yote yaliyo nkuta ndo ansisitiza zaidi nikama ananiona nkiwa nasikiliza nakufuata joel mpaka ulipo unipokee ) yaani nimekusiliza 2023 tuu ume nitosha wewe

  • @simonrusigwa3024
    @simonrusigwa3024 9 місяців тому +5

    Kaka, sina la kusema. Hongera kwelikweli. Umeletwa na Mungu. Twende mbele. Kanyaga twende ndugu yangu. Bado hujafika nyumbani. Kwa kazi hii nzuri, bado unalala chini kabisa. Na godoro bado huna. See you kuleeeeee KING

  • @zachariajacob6559
    @zachariajacob6559 9 місяців тому +11

    no retreat no surrender!! it is not over until its over !I feel impowered impressed with your strongest and fruitful speech!! in my journey to my future endeavour!! thank you in advance!!!!!

  • @sikituukololo1161
    @sikituukololo1161 9 місяців тому +14

    51:42 Ninachokipata kwenye speech zako kinanipa nguvu sana. Mungu akubariki maana nimebadirika na kujifunza mengi.

  • @bonifaceferdinand566
    @bonifaceferdinand566 9 місяців тому +6

    Asante kaka kwa elimu bora na maarifa unayotupatia,mungu akupe maisha marefu,kwani elimu unayotupatia huwezi kuipata sehemu nyingine bali ni kwako tu.

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  9 місяців тому

      Amen, ahsante sana kwa mrejesho🙏

  • @IbrahimuRamadhani-nc4mr
    @IbrahimuRamadhani-nc4mr 2 місяці тому +2

    Ahsante MUNGU wangu muumba mbingu na nchi na vyote vilivyomo,na shukrani za kipekee zikuendee ww kaka Joel Ahsante sana Kwa mafundisho Yako yanazidi kuniimarisha kuwa Bora kila iitwapo Leo mungu akubariki sana nd I appreciate you ❤❤❤

  • @FransiscaJoseph-bg6vl
    @FransiscaJoseph-bg6vl 6 місяців тому +3

    God bless you, it's very powerful speech

  • @EnlightnessRomane
    @EnlightnessRomane Місяць тому +1

    GOD bless you uncle this is all about me...from now on am changing

  • @embmacrofinance2695
    @embmacrofinance2695 6 місяців тому +3

    Huyu ndo mentor wangu kitambo,,ndo kanifanya nafanikiwa...huyu jamaa anapaswa...akupe maisha marefu sna

  • @JamesMakasi-v2q
    @JamesMakasi-v2q 5 місяців тому +2

    Joel Joel Joel you're special one nadhan inabidi serikali ikupe heshima inayo stahili

  • @wisdomofbooks6905
    @wisdomofbooks6905 8 місяців тому +3

    Kujiamini ni nguzo muhimu sana.Maisha ni mtihani usiyoisha maswali.Tunatakiwa kuwa imara Sana kiakili Ili tuweze kufanikisha malengo yetu.Mungu azidi kukubariki Joel Nanauka,Great Inspiration.

  • @ThomasMmary-r7w
    @ThomasMmary-r7w 8 днів тому +1

    Barikiwa sana mentor wangu🙏✅

  • @kakawamashariki8978
    @kakawamashariki8978 9 місяців тому +2

    Naam ndugu, nashkru siku moja moja unatuzawadia dakika za kutoshaa..Kama hii leo dk. 71. Somo la leo nalipokea Kama zawadi ya Krismasi & Mwaka mpya 2024. Salaam toka 🐟 Mwanza. "Usisubiri kila mtu aone unachoona ndipo uanze Safari yako"(spiritual toughness)

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  9 місяців тому +1

      Sawa sawa nashukuru sana, nimepokea pia na ushauri wako🙏

  • @priscarichard9719
    @priscarichard9719 9 місяців тому +4

    Suala la emotional toughness. Asante sana🙏🏽. Emotional situation ina affect hadi uvaaji na muonekano pia🙌🏽. Ubarikiwe mno Joel Nanauka

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  9 місяців тому +1

      Amen Amen, nashukuru sana

  • @Du_boiz_Mnyama
    @Du_boiz_Mnyama 4 місяці тому +3

    Imeisha imeisha. Imeishaje😂😂😂

  • @josephlazaro253
    @josephlazaro253 9 місяців тому +2

    Maumivu ya kukataliwa ni madogo sana kuliko maumivu ya kutofanya ulichotakiwa kukifanya.KUKATALIWA MAANA YAKE HUJAELEWEKA KABORESHE TENA ULICHO LETA.When you learn more you earn more.

  • @NevestWisa
    @NevestWisa 9 місяців тому +3

    Thank you very much Mr Joel Nanauka...
    Umeletwa kwangu katika kipindi sahihi..,,
    Sijutii kabisa kuangalia Video hii mwanzo mwisho,,
    Nimejifunza mambo mengi na nimepata Nguvu ya kuendelea na Maisha ingawa nimepitia mambo mengi sana Mwaka huu ikiwemo kupoteza Mzazi, kufeli chuo, kupoteza mitaji katika uwekezaji....
    But I believe One Day Mambo yatajipa tuu,, Mungu ni mwema and I'm grateful ninaishi 💪

  • @motiveperson143
    @motiveperson143 9 місяців тому +12

    I lost my parent at a young age, and the people I expected them to lift me up don't show. Now, I have 26 years. Indeed, I have a mental toughness, but I still wanna be extraordinary and wanna improve on these 7 tips . Life never goes easy but we human beings get tough.
    Thank you Joel 😊 this story made me cry.
    Let me know which seminar of yours can i join I really like your speech.

  • @felixngwasi9469
    @felixngwasi9469 9 місяців тому +3

    Bro Joel, hongera Sana, kila niangaliapo kazi zako, napata hamasa ya kuongeza bidii katika kuboresha kuyafanya yaleambayo ni kwa ajili ya wengine kupata kufungu nguliwa kwa uzuri wa kuyafikia malengo yao kadhalika na Mimi katika yangu, mwenyezi Mungu mwenye Rehema akuongoze na kukupigania daima katika kutimiza kusudia alilo kutuma

  • @blada_mich
    @blada_mich 9 місяців тому +5

    Leo ndio nimepata bahati ya kusikiliza kiongoz wangu live 🙏🙏

  • @mohamedismail2662
    @mohamedismail2662 9 місяців тому +2

    What a powerful presentation God bless you bro uwa natulia lisaa na zaidi kupata masomo yako hapa UA-cam

  • @norberthamlowe2363
    @norberthamlowe2363 7 місяців тому +2

    Asante professor. Very pure words. Filled by wisdom. Live long brother. As a society, we need your teachings. Keep going!

  • @marymkamwa3779
    @marymkamwa3779 9 місяців тому +4

    Knowing you at my Fifties 😂nabaki kusema "It is never late"my success is in my mind.
    May God keep you for this generation.

    • @iamqacha
      @iamqacha 7 місяців тому

      Keep going no matter the age🙏

  • @peterreiya7443
    @peterreiya7443 5 місяців тому +2

    Big respect Mr nanauka kiukweli bila kuficha unajua already I transform my mind because of you!!!!

  • @JanethJaneth-b5f
    @JanethJaneth-b5f 7 місяців тому +2

    Yani wewe Joel ulizariwa kwa ajiri yetu naamini kila anaekufatilia lazimaaaaa atoke atua hi nakupanda atua nyingine Mungu akubariki sanaaa❤❤❤

  • @josephlazaro253
    @josephlazaro253 9 місяців тому +2

    Big up sana Brother you are doing very excellent JOB.
    Kukataliwa meaning rejection test your commitment. VERY POWERFUL POINT NIMECHUKUA.

  • @DeogratiusMruma
    @DeogratiusMruma 9 місяців тому +2

    Akuna mafanikio mazuri kama Yale uliambiawa Ayawezekani barikiwa sna kaka joel

  • @EmilyMwalongo-sg4ru
    @EmilyMwalongo-sg4ru 2 місяці тому

    Nimedawnloded video zaidi ya 250 za hivi ila hii huwa naiona ni ya ushindi Sasa huwa napenda sana kuiludia ludia maana inanifanya niwe Mature in all 6 areas but only financially mature

  • @ramadhanimtozeni8030
    @ramadhanimtozeni8030 9 місяців тому +3

    What a powerful presentation! May God bless you.

  • @niclouskitipa1144
    @niclouskitipa1144 9 місяців тому +1

    Had something from money formular, ASSERT VS LIABILITY

  • @davielubuyih-yh7sx
    @davielubuyih-yh7sx 4 місяці тому +1

    Mungu akubariki sana kaka Joel certified life coach.

  • @thomasjoseph3178
    @thomasjoseph3178 9 місяців тому +1

    Asante sana kwa mafundisho mazuri. Naamini hatma za wengi zimepata mwanga. Ubarikiwe sana Joel Nanauka

  • @shamsaabdalah7038
    @shamsaabdalah7038 27 днів тому

    Nmejifunza kitu kikubwa Ubarikiwe sana❤

  • @monicakauky8914
    @monicakauky8914 5 місяців тому +1

    Hata mimi nilishawahi kukataliwa,lakini sasa niko vizuri sana.

  • @maryjulius5923
    @maryjulius5923 9 місяців тому +2

    Hakika nimejikuta mpyaaaa baaada ya hili somo MUNGU wangu akutunze saaana kwaaajili ya utukufu wake

  • @EnockKagomba
    @EnockKagomba 9 місяців тому +1

    Kaka nakushukuru sana kwa mafundisho hakika wewe ni mtu wa mhimu sana kwangu hakika sijutii kukufatilia Mungu akubarik umenifundisha mengi

  • @angelinamagambo8733
    @angelinamagambo8733 9 місяців тому +1

    Mungu akubariki kupitia masomo yako nimevuka vipindi vigumu na leo mm ni mama mshindi hakika nitaendelea kuamin yote ninayoyaona moyoni mwangu na ninaiman yanatokea.

  • @GladnessKwesi
    @GladnessKwesi Місяць тому

    Mwalimu mzuri sana. Be blessed

  • @ReginaJames-s5q
    @ReginaJames-s5q 6 місяців тому +1

    Ameenn yan i was stressed ila wow am ok

  • @saumumagazine-tc4cp
    @saumumagazine-tc4cp 9 місяців тому +2

    Mungu hakulinde
    Umenitoa mbali maneno yako ni zaidi ya faraja.

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  9 місяців тому

      Ameen Ameen, nashukuru sana🙏

  • @AsiaOmary-w6z
    @AsiaOmary-w6z 9 місяців тому +1

    Umenifunza kuwa imara mungu akubariki sana bro

  • @JosephMoses-y5p
    @JosephMoses-y5p 9 місяців тому +1

    Historia ya familia yangu na historia yangu huwa kila siku nikiifikiria inanifanya niiue kweli Mungu anaishi

  • @PAULPAUL-v2c
    @PAULPAUL-v2c 9 місяців тому +1

    Nimejifunza kitu kipya,asante sana

  • @raphaelkitila8357
    @raphaelkitila8357 2 місяці тому

    Me na miaka 23 ila naona umli ushaenda sana nasoma udom naweza kuibua kipaji changu cha mpira mwaka 2017 nimecheza mechi kubwa sjawahi kucheza ila darsani nilikuwa spendi sana shule badae nikapenda shule nikapunguza michezo naweza kuanza tema sahv nipo chuo kikuu cha UDOM nimesoma certificate na diploma ya information communication technology na sahv nipo degree

  • @HappynessMarco
    @HappynessMarco Місяць тому

    Nimejifunza kitu kikubwa

  • @langemwepesi
    @langemwepesi 9 місяців тому +1

    Chenye napenda zaidi nikuwa tunachambuliwa kwa lugha ya mama tunanauka vizuri kabisa mbali lugha za kigeni hongera sana mkuu..

  • @abdallahamiry1661
    @abdallahamiry1661 6 місяців тому

    Kiukweli kaka Joel nlikuwa nimekata tamaa mimi ila hii clip imenipa nguvu na naamin ntafanya vilivyobora zaidi na sintokata tamaa kamwee

  • @JosephMoses-y5p
    @JosephMoses-y5p 9 місяців тому +1

    Siku moja nitaisimulia kwa ulimwengu mzima

  • @abeldicken8949
    @abeldicken8949 9 місяців тому +1

    1:02:57 "Kuwa na furaha ni maamzi yako wewe mwenyewe ". Nimeipenda.

  • @BeldinaAbuya-zr6qi
    @BeldinaAbuya-zr6qi 8 місяців тому +1

    Asante umeinipa nguvu yaku songa mbele.

    • @michaelsafari
      @michaelsafari 8 місяців тому

      Successful people always seek mentorship ,to me Mr Joel Nanauka you're my mentor

  • @abrahammwambije2769
    @abrahammwambije2769 9 місяців тому +2

    Kaka joeli uko vizuri Nina tamani kuwa kama wewe kwenye misimamo

  • @Pendezabylydia
    @Pendezabylydia 9 місяців тому +13

    As long as I breathe I’ll never give up in my life 🙏

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  9 місяців тому +2

      No giving up💪🏼

    • @faridaamagese2234
      @faridaamagese2234 7 місяців тому

      As long as breath I'll never give up in my life.

  • @WozifonOberd
    @WozifonOberd 6 днів тому

    Amina

  • @pauljosephtarimo2279
    @pauljosephtarimo2279 9 місяців тому +1

    Hii ndo nimeanza nayo asubuhi.

  • @mathewnguyaki
    @mathewnguyaki 9 місяців тому +1

    Asante sana mtumishi 🙏

  • @SelemaniMlekwa
    @SelemaniMlekwa Місяць тому

    Nina jitaidi sana kukufatilia agarau kile nilicho kosa darasani agarau nipate ata kidogo kwako ninacho oba mungu akulinde akupe afya jema ware tulio nahamu nashauku ya kujifuza kwako tuederee kunifuza

  • @NsanzabahiziRehema
    @NsanzabahiziRehema 9 місяців тому +1

    Kwaza na mushukuru mungu kwa kuzidi kunipa nafasi na ya ku endeleya kuku sikiliza
    Niliwayi kuwambiwa kuwa Sito weza kununuwa viwaja wala ku jenga vikanitiya hasira nikapeka hasira zangu kwenye ku pambana aliye nambiya ni ndungu ni kapata nafasi ni kasafiri Saudi Arabia mwaka 2019 nikaaza kazi ni liyaza kuku sikiliza siku nyingi ni ka tuma mtu aniwuziye vitabu byako akaniyagiziya sikujali garama ili binifikiye nili hakikisha na bipata nikaza kusoma
    Kwa Sasa nina viwaja na manyumba na byashara niliyo iyazisha aliye nambiya siwezi chochote ndiye niliye muwajiri na Sasa mimi joo boss wake na account ina soma vizuri I'm 26 years alhamdulillah never give up
    Mungu azidi kuku bariki ume nikuza ki akili ❤🇧🇮

  • @LilianKeya-ci3ex
    @LilianKeya-ci3ex 2 місяці тому

    Powerful teaching barikiwa sana mutumishi wa MUNGU ❤

  • @AdelinaKakese-ym9px
    @AdelinaKakese-ym9px 9 місяців тому +1

    Asante sana ninavuka sasa

  • @SaimonKazimoto-xt1zo
    @SaimonKazimoto-xt1zo 9 місяців тому +1

    Nmeikuta hii leo live nmefurahi sana nipo pamoja na wewe kaka joel

  • @eliudikijuzi4909
    @eliudikijuzi4909 9 місяців тому +1

    Thenx brother my GOD BLESS YOU

  • @dorothclement5859
    @dorothclement5859 7 місяців тому +1

    A wonderful being.. the heaven send guy.

  • @salhakyande3905
    @salhakyande3905 4 місяці тому +1

    Joel! Nice having u

  • @petermunuo1657
    @petermunuo1657 9 місяців тому +2

    Tuko pamoja sana kaka

  • @WozifonOberd
    @WozifonOberd 6 днів тому

    Excellence is everything Amen

  • @ZaitonahZaitonah
    @ZaitonahZaitonah Місяць тому

    Ubarikiwe San mungu akulinde akupe afya uzima umri mrefu nizidi kujifunza 🙏🙏🙏

  • @zawadithomas1008
    @zawadithomas1008 8 місяців тому +1

    thanks professor I was in emotional breakdown now I understand I have to move on,Godbless in your mind

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  7 місяців тому

      Keep going 👏🏻👏🏻

  • @CECILIAMAGANGA-sk8md
    @CECILIAMAGANGA-sk8md 9 місяців тому +2

    Mungu azid kukubaliki

  • @onesmoaron4378
    @onesmoaron4378 Місяць тому

    Uko vzri mkuu

  • @DaudiSwai
    @DaudiSwai 9 місяців тому +1

    Umemaliza kila kitu Prof🙌🙌🙌🙌

  • @raphaelkitila8357
    @raphaelkitila8357 2 місяці тому

    Na uwezo kubwa sana wa mpira ila nimepambana sahv nimeamua kusoma tu baada ya kuona changamoto nying ambo mengi sana

  • @MansourOmarympunga
    @MansourOmarympunga 15 днів тому

    Ubarikiwe

  • @AlexVenance-s1b
    @AlexVenance-s1b 3 місяці тому

    Asante bro

  • @maryblessedson2636
    @maryblessedson2636 3 місяці тому

    Asante sana🙏

  • @EmmanuelZumba-t4w
    @EmmanuelZumba-t4w 3 місяці тому

    Mtumishi napitia hali mbaya nashindwa kufanyaa maamuzi nimekuwa muoga kila jambo nalikatia tamaa nashindwa fanya maamuzi nawezaa nikajua kuwaa nakosa nazdy amini nashindwa kujitoa kwenye hi hali cjui nifanyejee niludy kuwaa sawaa

  • @janetmbwana553
    @janetmbwana553 8 місяців тому

    🙏🙏🙏leo nimepata nguvu mpya kabisa😀😀kuanzia leo sitoogopa tena rejection

  • @gloriakawago6223
    @gloriakawago6223 9 місяців тому

    Believing un seen
    Hapo mm kabisa kila nikiongea lazima nijenge gorofa hawaelewi, lazima niende China nikajibiwa kwa maneno ya Iman but what i believe others cant believe

  • @niclouskitipa1144
    @niclouskitipa1144 9 місяців тому +1

    Had something from money formular, ASSERT VS LIABILITY

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  9 місяців тому

      Kabisaaa

    • @annajackson3801
      @annajackson3801 9 місяців тому

      Asante sana bloo joel naamini mungu alikuleta kwa makusudi duniani umekuwa tunu kwangu mungu azidi kukubaliki na kukupa uzima tuzidi kula matunda yako

    • @elizabethgodfreytondo3052
      @elizabethgodfreytondo3052 8 місяців тому

      Nimesikiliza tangu mwanzo,nimepata madini ya kutosha,Mungu aendelee kukutumia kwa ajili yetu ktk maisha yetu ya kila siku.

  • @AlexVenance-s1b
    @AlexVenance-s1b Місяць тому +2

    Unachokipata nijuhudi zako,ili kiwasidia wazazi wako,mwenyezi Mungu atupe nguvu na uimamara wa kuwajengea nyumba.

  • @Esromulussana
    @Esromulussana Місяць тому

    Shukrani sana kiongozi hakika kuna kitu hapa nimejifunza, Mungu akubariki sana.

  • @tumainichanya3268
    @tumainichanya3268 7 місяців тому

    Wafanya kazi za ndani hasa mlioko nje nawapenda Sana Sana sana hongereni Kwa ujasili japo mwanzo sio kitu chepesi lakini Kwa msaada wa Mungu Maisha yetu ni sawa na wasomi maana tuna alama za kuonyesha ktk utendaji kazi wetu tuzidi kupambana tu Mimi nimwenzenu Mungu hajatuacha labda tumuache sisi

  • @PaschalPatrick-b6m
    @PaschalPatrick-b6m 8 місяців тому

    Brother joel nilikutana na wewe karibu na mwaka tower z o office, nilisau kukuomba picha
    Am so excited to see
    One day i will meet you again if god wish

  • @NimaNima-dh6zz
    @NimaNima-dh6zz 4 місяці тому

    😂 mimi nawaambia familia yangu kwamba mimi ni tajir wanacheka na kunikosoa lkn nawaambia nyie subilini na napambana kweli kwel na kumuomba mungu kile ninacho kitaka na nina lmani nitakuwa boss lady soon watanisalimia kwa heshima never give up

  • @everose276
    @everose276 8 місяців тому

    Mimi nilikataliwa na baba yangu mzazi ni kweli ni maumivu makubwa lakini hiyo imenipa ukomavu mkubwa sana na moyo yaani nimetokea kujiamini na naona chochote kile naweza fanya . Mimi kukataliwa kumenijenga.

  • @zuwenayusuph3813
    @zuwenayusuph3813 3 місяці тому

    Nakupenda sana kaka Joel MUNGU akuinue zaidi MUNGU akuzidishie

  • @humbemusa3480
    @humbemusa3480 9 місяців тому +6

    Thank brother you have a lot for many to reach their dreams and vision

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  9 місяців тому +1

      Ameen Ameen, ahsante sanaaa🙏🙏

  • @raheltigiya
    @raheltigiya 7 місяців тому +1

    Be blessed brother 🙏

  • @TusaKiblaga-vp9jg
    @TusaKiblaga-vp9jg Місяць тому

    Asnte kakaangu wewe ni watofaut sana Mungu akutunze uzidi kutuamsha

  • @jameskileo5292
    @jameskileo5292 3 місяці тому

    POWERFUL MESSAGE (NAKUMBUKA KISA CHA SEVEN UP)

  • @dicksonfondo3078
    @dicksonfondo3078 6 місяців тому

    Mimi niliambiwa na fundi wangu alokuwa akinifundisha kushona , alinambia we hauwez kufanya chochote kwa hii kazi bora ukalime nyumbani , ila sikukata tamaa nimesimama na mpaka sasa nimekuwa fundi bora kumshinda

  • @humbemusa3480
    @humbemusa3480 9 місяців тому +1

    Aseeee Rejection inaumiza sanaaa imenikuta mara kadhaa great five times rejection i had meet It was harder and painful but somehow I overcomed.

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  9 місяців тому

      Hongera sana sana, keep going 👏🏻👏🏻

  • @daudisausi6206
    @daudisausi6206 3 місяці тому

    thanks mkuu nimepata kitu sasa naweza kuendelea nilipoishia.

  • @MariamadamSalum
    @MariamadamSalum 7 місяців тому

    Nilikata tamaa nakujiona sistahili kabisa . Ila kuanzia Leo nyanza kujiona mimi ni bora zaidi naninaweza kufanya mambo makubwa pia najiona ni mtu mwingine

  • @susanolambo9723
    @susanolambo9723 5 місяців тому

    Funzo zuri sana ktk maisha. Jitahidi sana kuifikia new generation taifa litapona