Video hii ya BIDEN akimpuuza na kumbagua mpiga kura Mmarekani Mweusi yazua hasira mtandaoni

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

КОМЕНТАРІ • 742

  • @Lundege_Hips
    @Lundege_Hips 3 місяці тому +226

    Hakuna aliebora kwa Allah s w ispokua anaemuabudu yeye tu kama unaamini like

    • @ZariaAbdullah-r5t
      @ZariaAbdullah-r5t 3 місяці тому +1

      Sis wenye tushindwa kujitambua nakujiani kama tuna uwezo wakijiongoza wenywe tunaona kama bila ya wao sisi hatuwezi nizaifu mkubwa wakifikra na kiimani husband viongozi walioko madarakani

    • @vincentcharles4385
      @vincentcharles4385 2 місяці тому +1

      Huyo Allah ana ubora gani?

    • @KHAMIS_SHILINGI
      @KHAMIS_SHILINGI 2 місяці тому

      Utakuja kujua inshaallaah 😢

    • @officialsalim3955
      @officialsalim3955 2 місяці тому

      ​@@vincentcharles4385Chunga maneno yako...

    • @SalmanMughal-lq5lt
      @SalmanMughal-lq5lt 2 місяці тому

      Subiri ufe.utajuaujui.lnshaAllah​@@vincentcharles4385

  • @carolmuchiri9921
    @carolmuchiri9921 3 місяці тому +164

    Hakuna Siku Mzungu Atapenda Mtu Mweusi,Hata Akikupenda Huwa Na Kachuki Fulani,Ogopa Mzungu 😭😭😭😡

  • @AliamryBakar
    @AliamryBakar 3 місяці тому +279

    Kama unaamini sote ni wa Mungu mmoja gonga like

    • @francejuya1248
      @francejuya1248 3 місяці тому +2

      Sisi na wazungu ni tofauti kabisa sisi ndio Wana wa Muumba wa kweli SEMA tumepoteza asili kupitia dini

    • @cryptoboy_5
      @cryptoboy_5 3 місяці тому +4

      hayo mambo ya mungu ndyo yanayo tuludisha nyuma tumeinginiziwa imani za hovyo na wageni kuacha ualisia wetu wa kiafrica na kujikuta kupokea imani za watu ambazo zinatufanya mpaka leo tumekuwa wajinga na kuwa kichaka cha maladhi

    • @Awatee
      @Awatee 3 місяці тому +2

      ​@@cryptoboy_5jidanganye siku ukifa utajua vzr

    • @Awatee
      @Awatee 3 місяці тому

      ​@@francejuya1248hakuna mzungu wala china sie sote ni wa Mwenyezi Mungu lkn wazungu wanajiona wao wajuzi

    • @zuricakes6817
      @zuricakes6817 3 місяці тому +2

      @@cryptoboy_5 sasa hapa dini imeingiaje? Watu waliozoea kwenda kwa waganga utawajua tu!😅

  • @HassanBakari-g1l
    @HassanBakari-g1l 3 місяці тому +25

    Hainishtui kiasi cha kunifanya niwaze sana kuhusiana na hii ishu coz I know I’m the best in front of my creator and I believe that there’s a reason behind why I were created black, so I’m very proud to be the way I am and I’ll never ever regret to, Code ni moja tu akikubagua mbague.

    • @LucyNgowi-m5z
      @LucyNgowi-m5z 2 місяці тому +1

      Yaani nilikua nasikiaga ubaguzi leo nimeuona live

  • @Chettymlambalipsi-lb9km
    @Chettymlambalipsi-lb9km 3 місяці тому +51

    Aki nimeumia roho 😢😢😢

  • @BunzarMarco
    @BunzarMarco 3 місяці тому +32

    Mimi siwenzi kushangaa kwa ngonzi nyeupe kuhusu ubanguzi Kama sisi kwa sisi tunabaguana wafrica kwa nn isewe kwa nzungu Africa tuungane

    • @ShabaniSudi-d1x
      @ShabaniSudi-d1x 2 місяці тому

      @@BunzarMarco inashangaza aisi waafrika tunabaguana wenyewe kwa wenyewe tunaitana wahamiaji haramu ndani ya afrika.

  • @MahdouMomba
    @MahdouMomba 3 місяці тому +1

    Hawa wazungu hawawezi kutupenda sisi watu weusi, ni sisi tuu ndio tunajipendekeza kwao.
    "If one day the Europeans praise me,
    know that I have betrayed you" very great quotations By Samora Machel.

    • @santinoplacid7571
      @santinoplacid7571 3 місяці тому

      tutafanyaje sasa wakati ndio wametufanya tuwategemee kwa kila kitu😢😢

    • @MahdouMomba
      @MahdouMomba 3 місяці тому

      @@santinoplacid7571 wao ndio wanaotutegemea waafrica kwa kila kitu, madini na rasilimali nyengine nyingi, ni muda kwa viongozi wetu kubadili muelekeo kwa manufaa yetu nasio manufaa ya mabeberu

  • @JamesMwandoje
    @JamesMwandoje 3 місяці тому +8

    Uyoo..so Raisi ni mubaguzi wa Rangi.....🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤ hafai kuwa mtawala

  • @andrewokbazil1018
    @andrewokbazil1018 3 місяці тому +48

    Ubaguzi Marekani haujaanza leo,una historia yake.

    • @vanessalaizer4363
      @vanessalaizer4363 3 місяці тому +1

      Sasa eti ata Biden mwenye upungufu wa kumbukumbu analeta ubaguzi duuh. Mbona rais mwenyewe mgonjwa jmn

  • @HamadKhamis-l9e
    @HamadKhamis-l9e 3 місяці тому +15

    Ifike wakat cc watu weusi tujitambue km tunabaguliwa tusilazimishe kujichanganya nao Ni bora zaid tuish maisha yetu mana haitokuja tokezea ubaguzi WA watu weusi kuondoka duniani kwasababu hata watoto wao huwasomesha namna ya kutubagua

    • @frocoissango8973
      @frocoissango8973 3 місяці тому +2

      Acha kwenda kwenye makanisa na misikiti yaho kwaza

    • @sylvestercameo6263
      @sylvestercameo6263 3 місяці тому

      ​@@frocoissango8973Makanisa yao yako wapi?

    • @KASSIMMHILU-oh5ch
      @KASSIMMHILU-oh5ch 3 місяці тому +1

      Kinachotakiwa ni kujikomboa kifikra Kwanza...Ukipenda kusaidiwa ujiandae na kibaguliwa

  • @AbumishAbu-cz9su
    @AbumishAbu-cz9su 2 місяці тому +2

    Sisi watu weusi Mungu alivyo tuumba ndio tunao jali utu wa watu wote dada your still strong don't be so sad

  • @moseskulola6913
    @moseskulola6913 3 місяці тому +45

    Hakuna chakushagaa hapo wazungu wote hawatupendi sisi weusi

    • @RitbayRitbay
      @RitbayRitbay 3 місяці тому +2

      Wazungu hawawapendi hata waarabu sio muafrika tu

    • @auntiemylee3157
      @auntiemylee3157 2 місяці тому

      🎉🎉🎉🎉

    • @auntiemylee3157
      @auntiemylee3157 2 місяці тому

      ​@@RitbayRitbay🎉🎉🎉🎉kabisaaa

  • @rajah9328
    @rajah9328 3 місяці тому +7

    Tunashabikia sana wazungu tena ao ao ndio wanasema Human Rights ila ubaguzi kwaio umezidi

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 3 місяці тому +15

    Kutoka Gikombaa Nairobi leo sijakusikia kaka ulivyotokea nimefurahi sana big up family ya sns

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 3 місяці тому +1

      VIPI GEN-Z
      KESHO WATAKIWASH🔥?

    • @Brunotarimo10
      @Brunotarimo10 3 місяці тому

      @@allahisone6386 hapana Kesho ni sikuku ya sabasaba

    • @Officialjidaa-sn9cs
      @Officialjidaa-sn9cs 3 місяці тому +1

      Gikomba nyie weziiiii sana 😂😂😂😂

    • @Brunotarimo10
      @Brunotarimo10 3 місяці тому

      @@Officialjidaa-sn9cs ndo akili yako imekutuma ivyo

    • @Officialjidaa-sn9cs
      @Officialjidaa-sn9cs 3 місяці тому

      @@Brunotarimo10 si kweli Kwan uongo

  • @worldhappiness1181
    @worldhappiness1181 3 місяці тому +2

    Yaah ,its not their home, Africa is, Africa is the paradise, Black is beauty always.

  • @ShabaniSudi-d1x
    @ShabaniSudi-d1x 3 місяці тому +2

    The black queen never give up, I know you feel so sad because of this but stand firm be strong coz there's a day the truth will reveal it. I know you have a lot of love with your president but the president Biden make rejected to you. But I promise you all African and worldwide appreciate you and we love you forever.

    • @ShabaniSudi-d1x
      @ShabaniSudi-d1x 2 місяці тому

      Sisi wenyewe waafrika tunabaguana tunaitana wahamiaji haramu ndani ya afrika!! Na wazungu Wana furahia sisi kubaguana ili kwao iwe rahisi kuingia afrika kwa kuwaweka madarakani viongozi wanaowataka wao kwa maslahi yao. Ni lini afrika tutapendana na kuwa kitu kimoja? Labda afrika tupate viongozi Kama akina ibrahimu Traore wa bukina faso, asimi goita wenye uchungu na afrika.

  • @JakoboKazilo
    @JakoboKazilo 2 місяці тому +2

    Daah, kweli bhana hawa watu hawatupend. Imenihuzunisha

  • @MichaelMathew-j3f
    @MichaelMathew-j3f 2 місяці тому +1

    Jmn mrembo mzuri mwamfrica yaani anapendeza kazidi hawa weupe kama vile wana ugonjwa wa ukoma. Dada mweusi mzuriii sana, angalia tu macho yake tu jmn mtoto huyu dahhh!! Wazungu jmn Mbinguni hawataingia!! Sisi sote ni wa Mungu mmoja. Amen.

  • @izenjafar8050
    @izenjafar8050 2 місяці тому

    Hii inaumiza sana tujifunze kupitia hili na inshallah mwenyezi Mungu analiona hili

  • @fetychina3969
    @fetychina3969 3 місяці тому +2

    Dah!nimejisikia vibaya sana

  • @jumashedafa
    @jumashedafa 3 місяці тому +12

    Haya Ruto umeona kaz hiy adi unapendwa ujue wana shida zao..Na huy mbibi wa kizungu kama ndio alimuanzishia kiran yan alianz kumbagua kitambo...mie ushaur kama upo huko we tafuta pesa urud mambo yao waachie ila nk vyema kaongeza kura kwa trump hasa kwa watu weusi walioumizwa na hilo...trump naye keshapata hoja ya kumkaanga na kufanyia kampeni

  • @abuumohamed7090
    @abuumohamed7090 2 місяці тому

    So proud of you my African queen

  • @NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM
    @NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM 3 місяці тому +8

    Kweli kabisa ,amebagua huyu mdada mweusi ,amekosea sana

  • @HappyatHome-bn8wm
    @HappyatHome-bn8wm 3 місяці тому +27

    mbaguz huyu jamaaa. ameisha

  • @GiftAbduly
    @GiftAbduly 3 місяці тому +8

    Hakuna watu wabaguzi kma hawa ngozi nyeupe sijui wanajiona kina nani hapa dunian aiseee hata mimi nishakosa kaz dubai sababu tu ni rangi n mweusi🙌🏾🙌🏾

    • @hanifa9153
      @hanifa9153 3 місяці тому

      😢😢😢😢😢

    • @AmusedCatfish-hd8wo
      @AmusedCatfish-hd8wo 2 місяці тому

      Nipo Dubai mwaka 7 sijaona Hilo

    • @abdulrazackabbas2634
      @abdulrazackabbas2634 2 місяці тому +1

      Tembea kweny matamasha sio upo dubai unalal kwenye kochi siku nzima

    • @GiftAbduly
      @GiftAbduly 2 місяці тому

      @@AmusedCatfish-hd8wo hayajakukuta tulia

    • @GiftAbduly
      @GiftAbduly 2 місяці тому

      @@abdulrazackabbas2634 mwambie huyo haya mamb yapo ukisikia mwenzio unaona n uzishi likikukuta sasa

  • @frankvianey2438
    @frankvianey2438 3 місяці тому +9

    Aisee sns mpo vizur sana

  • @bigirumanalululouise4540
    @bigirumanalululouise4540 3 місяці тому +2

    Daah😢😢😢😢😢

  • @pauldotto7868
    @pauldotto7868 3 місяці тому +13

    Kwa kweli imeniuma hadi machozi

  • @andrewokbazil1018
    @andrewokbazil1018 3 місяці тому +10

    Ubaguzi Marekani haujaanza leo,, una historia yake

  • @fahadhassan1714
    @fahadhassan1714 3 місяці тому +27

    Ndo ache shobo za wazungu yy ashajiona kima anakwenda vipi kwa nguruwe mweupe ndo akome

  • @ramadhankhatwib8561
    @ramadhankhatwib8561 2 місяці тому +1

    Tutadhalilishwa sana tu na kubaguliwa kwasababu viongoz wetu wa Africa hawajielewi wanahis bila wazungu Hakuna maisha
    Ukiangalia vizur hapo huyo dada amenza kunyapaliwa na hicho kibibi Cha kizungu kisha mkubwa wao akamalizia na huyu dada ya nn kujibebesha mbango wa mtu mpuuz kama huyu

  • @nassormessi-zk5cz
    @nassormessi-zk5cz 3 місяці тому +3

    Hata Trum mbaguz na hata huku kwetu pia kuna ubaguz wabongo hujifanya wako juu na wapemba na wao usiseme waunguja tuko kimya tunawatizama tu

  • @starjay3052
    @starjay3052 3 місяці тому +4

    dah 😢

  • @eestermos9933
    @eestermos9933 3 місяці тому +3

    Dah inauma sana

  • @wallaceexpert4081
    @wallaceexpert4081 3 місяці тому +12

    Dah kuna aibu nyingine zinaumiza tena asa kwa mtu unaemuamini.

    • @salhawaziri1668
      @salhawaziri1668 2 місяці тому +1

      Yani i feel her pain mim peke nimeumia utadhan ni mim kampa mfadhaiko mbele za watu…. Ila na wao wakome

  • @ramadhanisalum3898
    @ramadhanisalum3898 2 місяці тому +1

    Toka lini mzungu akawa na mapenzi na langi nyeusi wao wapo kwajili ya mali zetu sio mtu mweusi pia shobo zetu muda mwingine zinatuponza Ndio maana mimi sjaenda kwenye uo mkutano

  • @Antelius-ew6it
    @Antelius-ew6it 2 місяці тому

    Shida sio dada tatizo ni mfumo wetu wa akili katika uso wa Dunia hata ningekuwa mm ingetokea hivo tu asiwaze kwetu ss ni shujaa wetu dada mwenyewe mrembo mzuri tu jaman❤

  • @BenjaminMetanyau
    @BenjaminMetanyau 3 місяці тому +1

    Kama Zanzibar tu wana amini waarabu ni ndugu zao 😏 sisi wabongo😢 et ni wanyamwezi wakuja ww unashangaa bieden😂😂 hakuna jipya hapo mbona trump alishawahi kusema nikipata uraisi ✊ nitahakikisha wa Africa wote waishio marekani wanaludi kwenye nchi zao za asiri🧐 na bado kwenye uchaguzi lily wayne akampigia kampeni😭 waafrika sisi huwa hatupendani tunabaguana wabinafsi 🎉 sasa nani atatupenda😭😭😭😭

  • @tensotv
    @tensotv 2 місяці тому

    Daah so sad.. nimelia sana

  • @abuukajembe-to6sd
    @abuukajembe-to6sd 3 місяці тому +4

    Mungu anawaumbua 2

  • @ammyskills5588
    @ammyskills5588 3 місяці тому +1

    Daah 😢

  • @mancholotrasco8350
    @mancholotrasco8350 3 місяці тому +8

    Is not a first time from him

  • @labancharles8453
    @labancharles8453 3 місяці тому

    nimeumia sana kwa kweli huyu jamaa anaroho mbaya sana sana

  • @WazirBoy-fe5ew
    @WazirBoy-fe5ew 3 місяці тому +7

    Hapo nuksi kaanza hicho kibibi kichawi , kushoto mwa huyu msichana, innalillah wainna illaihu raajiun" msiba mkubwa kwa joe

  • @rogersiddy
    @rogersiddy 2 місяці тому +1

    Imenikwsza kwakweli 😢✌️

  • @mohammedkombo9798
    @mohammedkombo9798 2 місяці тому

    Very Sad 😢, Namkumbuka Jk Nyerere alisema… wazungu ni….ma….bwa! Kwa kweli

  • @SaidiAmiri-qv5ed
    @SaidiAmiri-qv5ed 3 місяці тому +2

    Ni ssi tu huwa tunajipendekeza kwa hawa watu weupe,sio wazungu tu hata wahindi,waarabu wachina,wote wanajiona wao bora zaidi na wenye bahati zaidi yetu.SISI TUKUBALI TU KIBAYA ZAIDI HAWA WATU MUNGU AMEWABARIKI MALI HAPO KIBIRI NDO KINAZIDI ZAIDI TUFANYE IBADA SANA ILI FUNGU LETU TULIKUTE KWA MUNGU WETU ILA HAPA DUNIANI HAWA WATU WANATAMANI WANGETUONDOA WATU WOTE WEUSI WABAKI WAO TU.

  • @raissafabien4285
    @raissafabien4285 2 місяці тому

    😢😢😢😢Be strong my girl✊✊and be courage. We will win as the black😍

  • @NizoTV
    @NizoTV 2 місяці тому +1

    Safi. napenda sana watubague kabisa hadi mkome kujipendekeza kwa wazungu mnashindwa kusimamia taifa lenu la africa, pumbavu kabisa anger piga na mabao kabisa

  • @Mental_complications
    @Mental_complications 2 місяці тому

    na hao ndo wanaotufanya Africa tugombane sisi kwa sisi inaonekana wazi kabisa kupitia vitu vingi Mwenyezi Mungu katupa vingi ambavyo wao hawana thats why hawatupendi watu weusi na depite of all things bado hatuonesh kuwachukia Thawabu yetu ipo

  • @ChitaiElish
    @ChitaiElish 2 місяці тому

    Too bad for us as Africans and our race of people in USA

  • @jamesmboneko2952
    @jamesmboneko2952 2 місяці тому

    Inauma sana😢

  • @thamani5842
    @thamani5842 2 місяці тому

    INAUMA

  • @BertrandNiyomwungere-fs9xi
    @BertrandNiyomwungere-fs9xi 3 місяці тому +3

    😭😭😭

  • @lynhwilbardruckachale4205
    @lynhwilbardruckachale4205 2 місяці тому

    Daa 😭😭😭

  • @افلينافلين-ي9ك
    @افلينافلين-ي9ك 2 місяці тому

    Inauma ila mm nikizani mtu akiwa na umri uyo sasa anajuwa kama akuna tofauti wa mtu na ungine kumbe ukubwa njinga 😢😢

  • @BENI-AA
    @BENI-AA 3 місяці тому +3

    Inaumiza sana😢

  • @meronstudioz
    @meronstudioz 3 місяці тому

    Daaah 😢😢😢

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 2 місяці тому

    Nlijionea kanisani kuna mtoto aliyekuwa anabatizwa msimamizi alikuwa mweusi akaambiwa sogea kasubirie nje alipotolewa nje na mwenye mtoto akatoka nae na baadhi ya wengine wakatoka nusu ya kanisa walisusia ile ibada wakapanda magari yao wakaondoka hii kitu ipo kila sehem kwa wazungu wabaguzi sana😢

  • @adammbuba7230
    @adammbuba7230 3 місяці тому

    Daaaaaaaa
    Nimeumia

  • @mtzhalisi2232
    @mtzhalisi2232 3 місяці тому +7

    Kababu kasenge haka!

    • @hanifa9153
      @hanifa9153 3 місяці тому +1

      Ucjali kana kufa tu kesho kakaktane na adhabu za mungu kibri chote kitaisha😢😢😢

  • @timothkaunda3717
    @timothkaunda3717 2 місяці тому

    Da kawaida kwa wazungu ila wija Africa tuna washibokea sana

  • @zachariamwita3926
    @zachariamwita3926 2 місяці тому

    Kujipendekeza Kwao sana

  • @crisndembwele4016
    @crisndembwele4016 2 місяці тому

    Ilibidi sisi tuwachukie wazungu na tuwabague ila kuna mahali wametuwahi ila katika kuumbwa sisi tumebarikiwa sana trust

  • @MuthokaMutava-r4b
    @MuthokaMutava-r4b 3 місяці тому

    Atajua hajui

  • @farahanafarer7588
    @farahanafarer7588 2 місяці тому

    Dhu so sad the girl smiled at him and he purposely ignored her😢 so sad

  • @nobleafrika
    @nobleafrika 3 місяці тому +9

    Ni muda sasa watu weusi warudi AFRIKA ✍️✍️✍️✍️

    • @zuricakes6817
      @zuricakes6817 3 місяці тому +2

      Kufanya nini? huku huku tutabanana nao tu. Mpaka kieleweke

    • @hopechidera
      @hopechidera 3 місяці тому +1

      ​@@zuricakes6817 🤣🤣🤣

    • @nobleafrika
      @nobleafrika 3 місяці тому

      @@zuricakes6817 😁 ila wewe

    • @furahamwangosi3896
      @furahamwangosi3896 3 місяці тому

      @@zuricakes6817😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @yirgayemyirgah7820
      @yirgayemyirgah7820 3 місяці тому +1

      Wabaki ukouko wakija uku watatuharibia nchi zetu na mambo yao ya ajabu #Gun violence

  • @christophermsekena616
    @christophermsekena616 3 місяці тому +12

    Baguzi halitoboi this time

    • @aliyageorge6794
      @aliyageorge6794 3 місяці тому

      Hata huyo trump mbaguzi waamerika their in trouble 😂

  • @davidmalogo7100
    @davidmalogo7100 3 місяці тому

    Yani Mimi miaka yote nilikuwa shabiki wa malekani niliipendasana sikujua kwamba malekani inafadhili ushoga ,inachonganisha watu wacongo, wapalestina wanauwawa,naislaeli kwasababu yamalekani, somalia nivita ,Burundi,Rwanda , kote nishida nayote haya nimalekani Yani tangu nijue hayo natamani malekani isambalatike Leo mana kumbe ndio inayo leta ubaguzi na uchafu wote mungu tusaidie sisi watu weusi tuwe juuzaidi ya Hawa wazungu

  • @shijandobehe4953
    @shijandobehe4953 3 місяці тому +1

    aisee kaka wewe ni mbunifu Sana kwenye Sanaa umeiwasilisha vizur Sana

  • @hermanKajiru
    @hermanKajiru 3 місяці тому

    I think the black American people should think twice of how to support the politician. It is so sad.

  • @kidungweshaaban9317
    @kidungweshaaban9317 2 місяці тому

    Aiseee mshenz sana huyu

  • @merrynancesimon1562
    @merrynancesimon1562 2 місяці тому

    Wazungu wabaguzi mnooo 😢😢😢😢😢😢😢

  • @hustlerchembes786
    @hustlerchembes786 2 місяці тому

    Vizee vimezeeka vinaenda kufa ndomana havijali watu sey no to rashizim lachesism

  • @ramadhaninyangasa7275
    @ramadhaninyangasa7275 3 місяці тому +1

    Anayempenda Allah tu ndio kafaulu, Allah hambagui mtu ila kwa madhabi yake usipotubu

  • @rashidkapile
    @rashidkapile 2 місяці тому

    Huyo Dada amebaguliwa

  • @kitikawamuwa1279
    @kitikawamuwa1279 2 місяці тому

    Inaumiza kweli naskia najiskiya kama ni mimi

  • @ebengapierre8826
    @ebengapierre8826 2 місяці тому

    Baiden raisi mpumbavu kweli 😭😭😭😭😭😭 kwakini uyo asi mfokehe pale kwanini nina bango lako linandikwa jina lako alafu unafanya ubaguzi inge trend zaidi sn 😢😢😢😢😢

  • @LucyNgowi-m5z
    @LucyNgowi-m5z 3 місяці тому

    Du!nimemuonea huruma huyu dada Jamani 😮😮 bora nilizaliwa Africa kwenye asili yetu.

  • @digital21.13
    @digital21.13 2 місяці тому

    Nyoooo. Kutwa kuzungumzia uchaguz wa Marekan.. Wa Tanzania aaah

  • @hajjiomary2383
    @hajjiomary2383 3 місяці тому +1

    Ndomana uwislam umenyosha tutasimama kwenye swala hija aijalishi we mzungu au mweusi .na mbora katika cc anaefanya mazuri kwa Allah

    • @omarymwaluko9765
      @omarymwaluko9765 2 місяці тому +1

      Uislam ndo haki

    • @josephkiwale374
      @josephkiwale374 2 місяці тому

      Hata ukristo haukuruhusu ubaguzi,ubaguzi nitabia ya watu weupe wote dhidi ya mtu mweusi,warabu na wahindi ni wabaguz xana pia,hakuna Cha uislam Wala ukristo

    • @omarymwaluko9765
      @omarymwaluko9765 2 місяці тому

      @@josephkiwale374 hao mashoga wazungu wamezid ubaguz mashetani hayo

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 2 місяці тому

      ​@@josephkiwale374Nipe andiko basi kutoka kwenye Biblia inayothibitisha hivyo, na mimi nakupa kutoka katika Quran 49:13

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 2 місяці тому

      ​@@josephkiwale374
      Quran 49:13. Enyi watu! Hakika Sisi tumekuumbeni kutokana na mwanamume na mwanamke. Na tumekujaalieni kuwa ni mataifa na makabila ili mjuane. Hakika aliye mtukufu zaidi kati yenu kwa Mwenyezi Mungu ni huyo aliye mchamngu zaidi katika nyinyi. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua, Mwenye khabari

  • @belyseirakoze5371
    @belyseirakoze5371 3 місяці тому

    I feel even to cry 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @AbdulraufSalum
    @AbdulraufSalum 3 місяці тому +12

    Na yy kafat nn apo

    • @hopechidera
      @hopechidera 3 місяці тому +2

      🤣🤣🤣hapo sasa,hata nami najiuliza hivo...

    • @star_wizard2792
      @star_wizard2792 3 місяці тому

      😂😂😂 kapata alichokifuata

  • @lordsm.k-db3wy
    @lordsm.k-db3wy 3 місяці тому +2

    Watu weusi bwana munaniudhi Kila kitu kwenu ni ubaguzi

  • @bakarikaoneka1080
    @bakarikaoneka1080 2 місяці тому

    Hawa weusi wanatakiwa wafanye yafuatayo:
    1. Wasimpigie kura huyu magazine na badala yake wampigie wa Republican ingawaje wao ni wabaya zaidi.
    2. Wasome kwenye disciplines tofauti
    3. Watafute pesa kwenye maeneo tofauti
    4. Watengeneze wanasiasa wengi
    5. Waongeze idadi yao nk

  • @hellennehemia9269
    @hellennehemia9269 3 місяці тому +1

    Yaan ingekua ni Mimi,huyo mbibi kwanza ningemtia ngumi ya uso ..

  • @lastkinglastking3326
    @lastkinglastking3326 3 місяці тому

    Pole sana dada yangu mweusi wewe ni wathamami kubwa badili tu eneo apo sio
    Alafu Ruto na weusi wake woote eti Biden kampa kiti chake akiikaliye
    Kwa mtazamo huu Mimi naamini
    Bila shaka kile kiti hakikuwa chenyewe na kama kitakuwa ni chenyewe baada ya Ruto kukiikaliya kilitupwa

  • @noelkaale5952
    @noelkaale5952 2 місяці тому

    Yaani hawa watu weupe bado sana wanatuona Sisi sio watu lkin chaajabu kabisa hawa viongozi wetu wa afrika ni kama mbwa wakitupiwa tu mifupa ni kutingisha mikia big up sana magufuli,Gaddafi,Mandela na wengine pumzikeni kwa Aman nyie ndio viongozi mlikuwa mnajielewa

  • @superhemed7590
    @superhemed7590 3 місяці тому

    Inauma zaid sn😢! Ila nimeangalia kwaupande wa pili jinsi raisi wa nchi kubwa kama marekani anavyoweza kukumbatiana na kupiga picha na wakereketwa wa chama chake kirahisi namna hii, sijui ingekuwa raisi wetu kama ingewezekana mbele ya walinzi wake

  • @alexmahenge3817
    @alexmahenge3817 2 місяці тому +1

    4:16 Hafai kua Rais tena Hana Maana kwa kizazi Cha sasa. Nimemfuta Kuanzia sasa. Aibu imrudie Biden mara 100

  • @AllyRamadhani-f3q
    @AllyRamadhani-f3q 3 місяці тому

    Daaah

  • @ShabaniSudi-d1x
    @ShabaniSudi-d1x 3 місяці тому

    Hivi inanikumbusha civil Rights movement 1960 huko marekani. Wamarekani weusi waliteseka kwa miaka mingi Sana. Walibaguliwa kwa Mambo mengi. Wakachoka wakaamua kulianzisha. Wakaazisha civil Rights movement wakinakili baadhi ya vifungu kutoka kwa katiba yao ya marekani. Nawakumbuka mashujaa wao Kama Martin Luther King, Fred shuttlesworth, Rosa Packs,, wanasheria Kama Autherin Lucy,Thurgood Marshall na Arthur Shores.

  • @SALUMUKATANI-u8b
    @SALUMUKATANI-u8b 3 місяці тому

    Dah inaumiza sana😢

  • @FatumaJumanne-p4d
    @FatumaJumanne-p4d 2 місяці тому +1

    Mimi hata nkiambwa jckie kama upo nyumban lakn cjsahau mimi n Nan 😂😂😂😂

  • @BarakaEmanuel-co4uq
    @BarakaEmanuel-co4uq 3 місяці тому

    😢duuh had analiaa😢

  • @ZachariaZacharia-y6v
    @ZachariaZacharia-y6v 3 місяці тому

    Mababu zetu walizingua sana kuwauza ndugu zetu uko ulaya ona weusi wanavyobaguliwa pole sana weusi wenzetu mlioko uko ma ulaya marekani Asia kikubwa dua MUNGU yu pamoja nanyie

  • @silamshana6249
    @silamshana6249 2 місяці тому

    I can't even watch twice
    Am feeling sad

  • @guledomary2812
    @guledomary2812 2 місяці тому

    😮

  • @josej9888
    @josej9888 2 місяці тому

    Turudi African tujenge African yetu, lah sivyo tutaendelea kubaguliwa kwasababu hatuna umoja.

  • @computerjoshua96
    @computerjoshua96 3 місяці тому

    Daah inauma sana wahuni