Jinsi ya kupika pilau la nyama, tamu kwa njia rahisi/ pilau la fasta fasta.
Вставка
- Опубліковано 23 сер 2021
- MAHITAJI
mchele 1/2 kilo,
nyama 1/4 kilo,
njegere 1/2 kikombe,
viazi vitatu,
vitunguu maji vitatu,
kitunguu swaum kijiko kidogo,
tangawizi kijiko kidogo,
nyanya mbili,
karot moja,
mafuta robo kikombe,
maji vikombe vinne.
Asante
Waoooooo hiii ni njia rahisi sanaaaa hongera my dear
Asante sana
Thank you.
👍👍👍
Mashalaah
Thank you
Hiii njia naitest badaee,! Nomaa sanaa
Alafu rahisii🙏😘
😋
I love it so.delicious and tasteful
Thank you Naomi🥰
Good
Thank you
Mashaallah
Thank you
Utakuwa mchaga Kwa unavyoelezea
kiungo aliweka ila hatukuona tu 😅😅😅😅
Haina masala
Hello Aika, hii pilau ina tangawizi na kitunguu swaumu tu ndo maana nikasema ni ya fasta hainga viungo vingi, ila kuna vedio ingine iangalie imeelezea pilau la viungo zuri la kunukia na vipimo vyake. Link hii apa
ua-cam.com/video/PEot-15sm_A/v-deo.html
Natumaini unaongeza maji ya moto
Salam alekum
Swaaa
Kwaasiejua kupika pilau kwavideo hii hatawai jua
Kabisa,.🙏
Samahan sijaona kiungo cha pilau
Apo mimi nimesema situmii viungo zaidi ya kitunguu swaumu na tangawizi ila kwa kama wewe unapendelea unawezabkutumia viungo hv au utakavyochagua;
Binzari nyembamba 1/2 kijiko cha chai,
Iliki kijiko 1
Pilau masala kijiko 1 cha chai
Pilipili manga 1/2 kijiko cha chai
Aisee tam nimejaribu leo
Hongera
Kipimo cha maji huwa kila kikombe cha mchele na kikombe na nusu au viwili vya maji ya moto ili isidode
Asante, mapishi kila siku ni kujifunza kitu kipya dear.
Ulieka pilau masala
Hello Glady, hii pilau ina tangawizi na kitunguu swaumu tu ndo maana nikasema ni la fasta fasta halina viungo. Ila kuna clip ingine nimeelezea pilau zuri la kunukia lenye viungo kama utapenda check link hii apa
ua-cam.com/video/PEot-15sm_A/v-deo.html
Saf
Poa