JINSI YA KUPIKA PILAU TAMU SANA KWA NJIA RAHISI.
Вставка
- Опубліковано 10 сер 2018
- VINAVYOHITAJIKA
Nyama nusu
Mchele nusu na robo
Vitunguu maji viwili
Carrot moja kubwa
Dania moja
Pilipili boga moja
Kitunguu thomu kilichopondwa 1&1/2 tbspn
Tomato 4-5
Viazi 10-12
Pilipili manga 1tbspn
Mdalasini 1tbspn
Bizari nyembamba(njira) 1tbspn
Mafuta ya uto kiasi
Chumvi kiasi
Hii pilau unaweza kula na pilipili ya kukaanga na link ya hiyo pilipili ndio Kama ifuatavyo
• Video
Instagram / farwats_kitchen - Навчання та стиль
Masha Allah pilau sawa.uko na homa Allah akupe shifaaa
Safi sna
Nimeipenda imenifanya Ni kumbuke Mombasa
Aise nimejifunza leo leo na nimetoa kitu cha hatari, mpaka najiuliza zaman yote nilikua wapi, Asante dada kwa mafunzo
Waooow Asante Sana nimejaribu nimeweza
Wow..
Nice one
shukran sana Dada nzr
Shukran sis
Mpo vizuri kwa mapishi wapendwa nawapa salute for this
Thanks for the tips, trying it now 😊😊
Shukran habibty
Umepika vizuri saana. Nimependa.
Mashallwa🌷
woow Manshaa Allah Nimependa hatari
Kwa kweli inapendeza sana
Asante kwa somo la mapishi, nimeipika, ilinoga sana!
Nomaa sana tamu kupitiliza
Wow thank you napika hapa kwa kutumia hii video asantee
Tunashukuru kwa kutugawia maarifa, hakika naamini nitatoka. Mungu awabariki kwatokuwa wachoyo.
Mpaka nasikia harufu yake huku nilipo 😋😋😁
Thanks for the Video
Ahaante
asante.nimekusoma.ninavyoiangalia.ni.tam.zaidi.😍😍
Ongera Sana
There's lots creativity in what I am watching
MashaAllah yummy
waoooo asante
Wao najilamba
Hongera sanaaa
Mashaallah tabarakallah shukran mngu Kuzidishie kipaji
Nimepika leo xmass tr 25 /12 /2018 saa 7mchana mambo ni fireeeee
Notification gang.
thanks kwa mapishi
Wow so yummy 😋
Asante sna ampishi wetu leo nimekuwa mama bora zaidi na zaidi katk xmass yety
Mashallah.
NC
Walykum salm
nice meal
Is so yummy I swear to God I thank you so much coz I watched it yesterday and today i cooked it tumb up🌾🙋♀️ I’m in love 🥰 with your receipe may the almighty continue to love ❤️ and blessed you
Safi sana
Wow nitapika kesho inshallaah inaka yummy thanks
It's good mumy ni tamu
Very very nice 👏👏👍
Thnk u mch mumy
Ongera xana
Asante
Lyk
Nice
Mnaweza mix vitu mwishowe iwe sumu
Asnte my nimejifunza
Dada sijajua kama utaiona hii comment Ila jana nimejaribu kuandaa kama hivyo. Mpaka saiv najiramba vidole ubarikiwe
Nimefurahi kuskia hivyo
😁😁😁😁😁nimecheka kweli
Nmecheka mie afu mwanaume huyo
@@hawahamis3745 kwan mwanaume hapk
Ha ha ha ha ha ha!
Asnt kwa pish zur
Delicious
Hapo kwa nyama kuwekwa na maji yake ....want the meat to be brown
Nitajaribu na mm
Great content. Love the Quality 👏👏
Thank you 😊
Nimependa Sana dada
Mashallah
Nimebipend kwel
Good
Ubarikiwe Dada najifunza kupika kupitia ww
NIMEJIFUNZA
Waaw,mashaaallah dada
😋😋😋😋
Kesho tarehe 25/12/2019. Walahi hlo pishi lazima linihusuuu
Mashaallah yummy yummy
Mashaa allah nice
Nakushukulu sana dada
Napenda sana kujifunza mapishi mapya ila hapa viungo vilianza kuungua pia carrot na hoho umewahi sana kuviweka
Umeona ehhhh
Amewahi kuweka hoho na carrot ivo chakula kilivo iva hazijaonekana
Like it nitajaribu kupika
Dada salaam,pilao ina utamu kweli sasa pilao samaki funzo itakuwa nzuli asante
Wow!!!looking yummy thanks Farwat
Swibgha Amin
Welcome 😊
Amazing lol, mfwaah SAA lzm niige
I love Farwa's Kitchen.
Ali Umulkher
Thank you 😊
Thanks baby nimepika leo kila mtu kafurahi
Nafurahi kusikia hivyo my dear ❤
Very nice thanks you for sharing with us will make this to night for my family back here in nyeri
Thank you dear ❤
Welcome
thank u very nice
Uki vzur xana
Asante
mashaallah
Wow tamu sana nilishapika ivo ivo 😋😋😋😋
Asante sana nijifunza kitu
mashallah,
aldznz
Like
Pamoja sana ivi umesema bamia dania
Dania
kitchen samahan dada dania ndo nini? Nataka kjifunza tafadhali
Asia Asia rajabu giligilani
woow
nimejifunza ubarikiwe sana
Asante
Amen
Hahhh
Wow so cute
asante
Nimejifunza mwakampya Nita pikapilau ahsantesana kwaupishi
Hongera sana na mimi nitajaribu kupika pilau kama yako
Pirau yenyewe bokoboko
Nzur
M
nitajarbu,na,mm,nimeipenda
Nafurahi sana mungu akubariki
Mbona nyeupe
KO
sio kufinika kufunuka
Hongera mpishi uliyopika chakula hichi.
Asante laurenci
Hiyo inaitwa giligilan katumia kina lingine ndio maana kawaacha
Inaonekana Ni Tamu Ha Nitajaribu
I wish it was in English😣😣😣
ni nzuri ila mie napenda nyama ibadilike rangi iwe ya brown
Zena Youngson tupo wengi kumbe
Zena Youngson mbon cjaelew dad
Cjaelew
Anapenda kukaangia pale mwanzo.na viungo nyama inakua kama imekaangwa
🌹🌹🌹
Iko guda knoma nomaa
Nimemeza mate sana
Ya nyama ikikolea chumvi inaniga Sana napendaga pilau La njeger na vuazi vya pilau napenda vizima visipasuliwe yani watot wengi wanapenda pilau tangu nikiwa mdogo nilikuwa nalipendaga na nikaenda nijuwe lipika nikamuomba mam wa jilani akanifundishaga kweli nilikuwa nakoseq paka nikaja juwa
Nakumbukaga tulivyokuwaga wadogo tuliendaga Kwa mama wa kambo wa mtot wa mam yangu mdogo wakat huwo alikuwaga huko yule mtot wa mam mdogo tukikata aga pilau zur badaye mtot wa mam mdogo akatusema yani mmekataa lile pilau l ilikuwa tamu La kuku sijuwi vile tuliona kama liliwekwana nyanya tena mim uoga wangu ndio niliofanya tukatae tulikuwa wawili mim na mtot wa mam mkubwa ndio tulikuwa tumeenda. Pilau ni zur kwq kwi wanasemaga jawalipendi huwa nawashangaaga hawali wengine eti hawapendi halufu ya viungo nawakat mim naipenda hile halufu ya viungo
Rrdzsz et u99
Saf sana
Very nice cooking but pilau sijaona na carrote
Carot inawekwaga kwa ajili ya colour,
Nataka nione sura ya mpishi jamani
S
nakwambia hatareee