Jinsi ya kupika pilau tamu la kunukia/pilau la nyama ya ng'ombe tamu la kuchambuka.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 січ 2022
  • mchele 500g
    nyama 250g
    vitunguu maji vikubwa viwili,
    kitunguu swaumu nusu kijiko,
    currypowder kijiko kimoja
    binzari nyembamba nusu kijiko
    pilau masala kijiko kimoja
    iliki nusu kijiko.
    nyanya mbili

КОМЕНТАРІ • 8