JINSI YA KUPIKA PILAU TAMU SANA|SWAHILI PILAU
Вставка
- Опубліковано 1 чер 2020
- Je unapenda pilau kama mimi?basi pika na mimi pilau tamu sana leo,na ujionee jinsi ya kupika pilau tamu sana.
kwa recipe nyingine za pilau bonyeza link hii
PILAU LA KUKU NA SALAD
• PILAU LA KUKU TAMU SAN...
BISKUTI ZA BIASHARA NDIYO HIZI
• Video
Maswali yote juu ya pilau nimeyajibu kwenye video hii,bonyeza kupata majibu yote ya maswali yako
ua-cam.com/video/_CTOIoXCXpE/v-deo.html
Hongera kipenzi, inavutia hatariiii
@@estherlissu3970 nimependaa mapishiyako
Jegele inatkiwa iwe mbich
Umetumia viungo aina gan dear
@@adamumnyama647 to
Tafadhali naomba usapoti channel yangu na kunitia moyo ili niendelee kupost video nyingi zaidi kwa kulike video hii,kucomment chochote ulichonacho hata emoji,kushea na ndugu ,jamaa na marafiki ili wao pia watazame video hii,pia naomba usubscribe kama hujasubscribe bado.
Tamu
Njegere umechemsha au
Njegere ulichemsha Lanza?
@@shanearmarukusi4463 ajachemsha
nakupenda bure nimependa mapishi yako my
Nimepika pilau tamu sana😋🥳, ahsante sana kwa kutupa ujuzi huu🥰🥰
Nimerudisha feedback 😂,nimepika leo pilau tamu hilo Alafu ndo mara ya kwanza 😊thank you baby 🥰❤️Naomba nione biriani sasa 😊
Ivi njegere unachemsha au unaweka mbichi sielewi
Daaaah nimeipenda hiyo😋
@@bokekaone2516 unaweka mbichi ukiwa unapalia
sikub ya kwanza kupika plau ilikua tamu inaitwa kujaribu
You are not selfish Dear. thanks for ua knowledge.let God light ua ways..
Mashallah chakula kizuri Sana nilikuwa sijui lkn nimejua kupitia wewe watoto wangu na baba wame kipenda Sana chakula Asante sana mamy🤝
Aaaaaaw karibu sana dear,nafurahi sana kuskia ivo.
Asante sana kwa sapoti yako
Mashallah kabla sijamaliza kuangalia nimependa sana upishi wako ongera sana dadaangu...mwanamke nimapishi🥰❤👌
Woooow MashaAllah🎉🙏🙏asante sana dear,kweli mwanamke jiko
Waw mashaALLAH umenimaliza dada
Keki plus you have teachable spirit, you will reach far!
Safi sana Dada yangu alafu una sauti nzuuur ya kuelekeza
Asante sana,baada ya kuangalia video yako, nimejifunza kupika pilau tamu
Nashukuru sana, my dear.
Nakupenda sana wewe Dada.
Una sauti ya kubembeleza..
Kwa kwelii unajua kufundisha
Ohoooo😁🙃🙃
😋😋😋♥️♥️🇧🇮🇧🇮
Mmmm
Yani ndo Niko naipika now nitakupa mrejesho dada ❤️❤️👌💃💃💃💃
Asante nimeipenda kabisa na nitajaribu kupika Inshalah
Thank you for the recipe tried it and I loved it
I write that recipe and am going to try it ... Thanks alot
Asante Sana chakula mzuli sana
Napenda pilau safi sana🤝
Wooo!!!!nimependa
Khasante dada ♥️
Mafundisho safi.very nice
Mashallah nimejifuunzaa inshaallah namimi taapiik
Ubarikiwe nilipenda pishi lako kwakweli 💪 ntaenda kujaribu mana kweli wengi tunakaanga viazi na matokeo yake vinapasuka
Wawooooo umepika vizuri sana mbk nimelipenda na mm nitapika
Wow just simple recipe
Hongera dada kwa upishi nimependa❤❤🎉
Ahsante mpnz nimekuelewa sana
Wow nashukuru na iman nimejifunza
Wow nimependa sana pishi lako momy congratulations
Insonesha mzuri sana nitajaribu leo leo🌻🌻
Safi sana
Masha Allah🙏🙏🙏
Thank you I'm going to try this recipe ❤
Huweki maji kwny ilo pilau???
Mmmmh I luv it❤️❤️❤️👍👍
Izo njegere ulikuwa umesha zipika bembeni au umeweka zikiwa mbichi and anyway is looking yummy
Unaziweka zkiwa mbichi
Hongera sister nimependa kuona kwa macho tu❤
Nimeipenda sana hiyoo👌👌
ntajaribu shukran sana
Dah nimejifunza sana mamaaaa❤❤❤❤
Thank you I'm going to try now
Nimependa ni very simple ,nami naenda kupika Leo
asant i love it
Uko vizuri
Mashallah uko swa
Maashaallah
Asante sana
Simple yaan unajua mpaka unajua tena mamy❤❤
Aaaaaw Asante sana❤
Unapika vizuri nimependa
Asante kwa mapishi
Asante kwa darasa 🙏
Nimeweza asante kwa somo
Thanks more coz i got an idea
Asante sana nimejifunza kitu
Nimeipenda sana hongera,❤❤❤
You are perfect🎉
Kiukweli plau n saf kabisa❤
Asante sana 🙏
I love your work
Must try aki
Simple and clear nimeipenda sana
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Hongera sana you are good chef
Thnks dada
Nimejifunza kupika pilau asante sana ❤❤
So yamy 😋😋😋
Am very happy to know how to cook pilau,,, thanks alot
Mashallah umeweza
Hongera sana kwa mapishi
Naona pilau zuri hongera kwa mapixhi
Masha Allah
Duuuh hatariiii sana madam, asante sana
Yaani Safi sana, simple lkn ni pilau Bomba, halina mambo mengi.
Vzr sana
Maa sha ALLAH
Thanks
Thank you darling 😘
I love your cooking
It's so good
I like it so sweet
Pilau ni nzuli nami nitalipika hongera sana upo vizuli
Mashallah
Habari
Nimekuja kukushukuru hili pilau nililipika siku ya eid ni tamu sanaaaa
Na leo nimelipika
Thank you dear
Aaaaw mashaAllah ❤ 😍 hongera sana dear,na Asante kwa mrejesho
Yummy 😋😋 upo vzur dada
I love it so much and I will try to cook tonight❤
How was it?
Hongera uko vzr
Ahsante dada
Asante kwa mafunzo.hua najifunza mengi kutoka kwako
Asante anti kutufunza
Nmelipendaa
Hhhhmmmmm...naipenda jamani....yummmmmmy
Nimeipenda sana acha na mm nijaribu
Asante kwa elimu ubarikiwe sana
Amen,ubarikiwe pia
Pilau ni zuri sana .
Tamu Sana dear me nimependaaa
Nimeipenda sana
Mmmm inaelekea hiyo pilau taaam sana . Asante kwa ujuzi .nimejifunza kitu Dada
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Am happy to learn a new method of cooking pilau, I’ll try this tonight 🙏
InshaAllah...how did it turn out?😋😋😋😋
MashaAllah pilau Ajabi dada
Mmmmh I like
🌺🌺🌺🌺🌺 pilau taku sana
Waoooo!! Nice
I like it