Ninakufuata kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo(DRC) Ninakubali kuwa napenda video zako na napenda njia yako ya kuelezea Sijui kama nilijieleza vizuri kwa Kiswahili 😄😄😄kwa sababu bado sijajua kuzungumza Kiswahili cha Kitanzania Nilijaribu kichocheo hiki na nilipenda sana
❤❤❤❤
Oman
Nzuri
karibu sana
❤❤❤
karibu sana
Scola from Morogoro pishi zuri dad
karibu sana
Nitajaribu na mimi
karibu sana
Nimependa
Kesho nitapika nami😋all the way from tanga
karibu sana
Tabora
karibu sana
Cjaskia chumvi🥺🥺🥺
karibu sana
Sijawahi kupika Ila ntajaribu😋
karibu sana
Ninakufuata kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo(DRC)
Ninakubali kuwa napenda video zako na napenda njia yako ya kuelezea
Sijui kama nilijieleza vizuri kwa Kiswahili 😄😄😄kwa sababu bado sijajua kuzungumza Kiswahili cha Kitanzania
Nilijaribu kichocheo hiki na nilipenda sana
wow karibu sana kipenzi
Naweza kuweka njegere? Veronica.Arusha
ndio dear unaweza weka njegere, pia karibu sana
Maria kuoka dar napenda sana mapishi yako