Uke wenza yataka moyo Ila baadae utazoea tu muhimu subira jaman wanawake tupo wengi sana wanaume kidogo so ni suna hongera sana kaka cheus kuoa umefanya Sunna yamtume
Mpaka yule ajae akubali kuwa kaingia kwenye himaya ya mtu mimi mke wenzangu ilikuwa ukipiga simu kyongea na mume anapokea anakuchamba mara anacheka kwakwa mara akate simu saa hii kazeeka choka mbaya huyo mume anamuona adui yake
Mzee kwa hiiii I support you lakini kwa kuimba hapana mzee wangu ❤❤❤wewe ni Hajji na dini yetu haikubali kuimba but acting no problem and this is a teaching acting that has no problem so am happy with you mzee wangu 🎉🎉🎉🎉🎉 am from Uganda
Uke wenza siuwezi hata mimi namuunga mkono leyla huyu mke mdogo ni mfitinishaji sana apenda ugomvi 😅mzee yusuph ameingia chakike huyo mke mdogo sio mke😢
Hakuna anaeutaka kwa kuuwita but ikikubidi unatakiwa ufanye subra usijekuharibu imani ya dini yako kwa mambo ya kupita.maymivu ni makubwa lkn Allah hajatuonea .Allah atupe uvumilivu na hikma pia awape hikma na busara waume wetu.❤
Ukiongeza mke wa pili ni faida yako ww ulooa mke wa kwanza hapati faida kwa kuwa ww umeongeza mke wa pili eti ni kwa faida ya woote unataka kusema raha ukilala nae huyo mkeo na yy atalala nae?
Nashkuru nimetoka kwenye ukeweza nipo na mume wangu peke yangu Kwa Sasa loo mwanamke jini yule sivuti picha bwana wake kaona 3sasa chamoto anakuona malipo duniani😂😂😂😂😂😂
Mzee yussuf na mkeo mm mnanikosha balaa❤❤❤😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Movie nzuri Sanaa mashaAllah mzee na Leila 😂😂😂😂😂😂😂😂
Nzur sana mnajua mtoe movie nying zaid
Uke wenza mtamu sana kila mmoja anajituma kivyake😂😂😂😂
Kazi nzuri sana ❤❤❤
Uke wenza yataka moyo Ila baadae utazoea tu muhimu subira jaman wanawake tupo wengi sana wanaume kidogo so ni suna hongera sana kaka cheus kuoa umefanya Sunna yamtume
Wewe utakuwa mke wa pili wewe, maana hakuna mwanamke anaekubali kirahisi aletewe mke wa pili
Kazaneni mwajua sana mtafika mbali sana❤❤❤❤
Ukeweza nishida kumbe Reyla nayy anamajibu 😅😅nakupenda bule marikia wangu❤❤🇴🇲🇴🇲 zuri.sana.ukeweza mwendelezo plz mzee baba😂 inanifundisha kitu hapa
haar young boy you need dié Mense 💔 woorde 😘😘😘👏👏
Wanaongea wao hasila napata Mimi 😅😅😅😂😂
Haha😅😅😅😅😅😅😅
😂😂😂😂
❤❤❤❤ mzuri sanaaa
Ongereni kwel mme na mke kazi nzuri
😂😂😂😂 Mzee yusuph comèdian
Eti umelenga shetani 😂😂😂😂😂mzee Yusuf
Ila uke wenza jamaniii unataka moyo 😂😂Ila uke wenza ni sunna jamaniii ili funzo tosha 😃✌️✌️
Tuish hum tu ❤❤❤
Mwanamke anaekubali uke wenza honger mashaa allah pepo ipo wazi
Mbona sikuhizi wajeweza wanavaa sare nakulaq pamojaa ukeweza siyo uhasamaa kubwa nikukubali na kupambana nawoo🎉🎉❤❤❤😂😂😂😂
Mpaka yule ajae akubali kuwa kaingia kwenye himaya ya mtu mimi mke wenzangu ilikuwa ukipiga simu kyongea na mume anapokea anakuchamba mara anacheka kwakwa mara akate simu saa hii kazeeka choka mbaya huyo mume anamuona adui yake
Kabisa nikujiamin na kufanya ibada .tu .sana
Ukewwnza raha sie tunaoga pamoja tunaswali pamoja mume tunamteta balaa mpk anaogopa😂😂
Aiseeee,Mashallah hongereni sana,mimi siwezi na sitaki.@@SheikaYussuf
😂😂😂😂😅@@SheikaYussuf
Pole dada leyla kuasababo ukewenza n ntihani wakuanza Mimi siopendi balaa
Nakupenda leyla❤
Mzee kwa hiiii I support you lakini kwa kuimba hapana mzee wangu ❤❤❤wewe ni Hajji na dini yetu haikubali kuimba but acting no problem and this is a teaching acting that has no problem so am happy with you mzee wangu 🎉🎉🎉🎉🎉 am from Uganda
Uke wenza siuwezi hata mimi namuunga mkono leyla huyu mke mdogo ni mfitinishaji sana apenda ugomvi 😅mzee yusuph ameingia chakike huyo mke mdogo sio mke😢
Uke wenza si lazima jaman ni sunna tu usipofany hupat dhambi😂
Kabisa
unamaanisha nini unaposema ni sunnah
Nyinyi madume ? mna chekesha sana mnapenda mtu huezi ku kaa bila yeye halafu nyuma mna ongeza
Shukran sanaaa ❤❤❤❤
Mashalkah ❤❤❤
Yaaani Mimi kama Mimi ukaweza siwezi ira ikija sawa lkn 💔💔💔💔💔
Mashaallah pamoja frome Oman🎉
Pamoja🎉
Wake wakubwa huwa mnaharibu wenyewe mme anakuja kwako unawaka kama pilipili akienda kwa mke mdogo naneno laini ataacha kuhana nyumba
Nikweli my
Movie nzuri mashallh ila uke wenza ni kipengele kwakweli
Wanaume wakiisilam Suna ya mtume wanayoijua ni kuingeza waketu Suna nyengine aaaaa
Unataka wengine tusitiriwe nanan lkn????
Haswaaa
Good job👊🏽🥂
Wifi pambe hala 😂😂😂😂😂😂😂
Uke wenza hata mim siutaki jmn unikome like km tupo mamoja na Leila Rashid from Iraq 🇮🇶
Upo Iraq mji gani? Mimi nipo Kurdistan
Hakuna anaeutaka kwa kuuwita but ikikubidi unatakiwa ufanye subra usijekuharibu imani ya dini yako kwa mambo ya kupita.maymivu ni makubwa lkn Allah hajatuonea .Allah atupe uvumilivu na hikma pia awape hikma na busara waume wetu.❤
Naupenda huoo, hapo unaonaje?
Ahsante sana kipenzi tusaidie kuisambaza huko😊
Ahsante sana tusaidie kuisambaza huko iraq
KAZI nzuli 😂😂🎉
Masha Allah ❤❤❤
Akina husna salum tumevurugwa 😂😂😂
Twajifunza cc tuloingia kwenye uke wenza 😊shukran mzee yusuf❤
Hongera kipnz Allah awape subra
Walai mwajua sana
Najifunza kitu hapa asanteni sana 🇸🇦 🇸🇦
Mwambie kimkeo sikipendi 😂😂😂mzee umesikia?
Watching from kenia,much luv leila rash
Ukiongeza mke wa pili ni faida yako ww ulooa mke wa kwanza hapati faida kwa kuwa ww umeongeza mke wa pili eti ni kwa faida ya woote unataka kusema raha ukilala nae huyo mkeo na yy atalala nae?
Uke wenza😂😂😂
Mtoe episode 3
ahaa utamuganda kweli
Muendelezo pls 🎉🎉🎉😢
Mimi binafsi sichukii mke mwenza lkn hawa wenzetu hawana dogo kabisa ndio huchukia.
Kama unakelwa na mke mdogo wa mzee yusufu tujuane nimekumiss nimekumiss k2 gn bwana kama mganga wako Fundy akupe wakwako akusitiri😅😅
❤❤🔥🔥
Mumepatia sana
Huyu muba hana tofaut na mume wangu 😅
Jmn ukeweza inauma mume wangu anataka kuoa
Nikawaida kipenz wako mswala naibada mkaribishe mwachie mungu wanawake tupo wengi pia tunahitaji stara jmn❤❤❤
Umeongea kwa khekima sana❤@@JamilaJumanne-u7q
Leo wamekumbuk nini
Hata mm ukewenza siutaki kabisaa
Movie nzuri mnajitahidi wa Bongo,hata hivyo that background music is loud and disturbing hamusikiki.
Harakisheni hii movie jaman mzuri sana
Hakuna anaetaka ukewenza ila tuyapokee tuu
Pepo ndo mutaipata nyie wanawake
Leila anajua kuigiza,na anauzoefu kwenye huo ukewenza
kuwa mke wa pili ni kumharibia ndoa mkemwenzako
Uke wenza siutaki halafu siuwezi
Ukewenza mimi siuwezi jomoni
Roho mbaya inakusumbua tu .
Duh mzee Yusuf hii kli
hata wewe ulikuwa mke mwenza
T .
Wake wadogo viherehere vitawaponza
❤❤❤❤kazi nzr inamafunzo
Movie nzur Lakin hii asubi makeup usiku makeup badiliken
Good job
Kazi nzuri
Wanaume wanapituaga magumu hamjui tu
Nyote mnachukia ukewenza mjue ni wake wenza,waume wengi wana michipuko! Je si uke wenza huo kimpango?..
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤
❤❤❤❤
Ma sha allah
🎉🎉❤❤
Leten episode 3❤
Baki next plz
Sasa mapenzi yako wapi ???
Nzuli.mashallah
Bi leila wacha shobo
Namba 3
Jmn Ya 3 Iko Wap Mbona mbona Mume Post Chache Ivo
Mbn ujamaliza
Nashkuru nimetoka kwenye ukeweza nipo na mume wangu peke yangu Kwa Sasa loo mwanamke jini yule sivuti picha bwana wake kaona 3sasa chamoto anakuona malipo duniani😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
Uyo rahma amezidi kuwa mjeuri ata Kwa mamaake
Next plzz
Next plzz ya 3 hadi ya 4
Yani Mzee Yusuf unapatiwa hasaa Aya wapatia nani wwe kwenye Kwa kipusa Leila hupewii???m😂😂😂😂😂
Wifi yake Leila nimekupenda hatari agiza chochote Kwa bill yangu
Mubba anakiona cha Motto, Astaghafirullah
Mzee yusuph kuigiza anatumia nguvu
Hawa wanakujaga kuaribu ndia za wenzao kwa kujifsnya wanamapenzi na wapole😢
Kwahiyo ukimnunua namm ninune kisa nini?? Babu Eeh kwangu anadeqa
Mansha Allah
❤❤❤
❤❤❤
Maashaallah
Mzee wacha taarabu sasa uwe ubaki kwenye hii secta tu umeweza
❤❤❤❤❤
❤❤
❤❤❤❤
❤❤❤
❤❤❤❤