PENZI LA MTOTO WA BOSS 💞 NA DADA WA KAZI PART 62 | Love Story

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 лют 2025
  • Welcome to the DONTA TV channel and we proudly present new episode PENZI LA MTOTO WA BOSS. This heartfelt story follows the emotional journey of a rich young man who falls deeply in love with a poor local worker. Despite their different worlds, their love is pure and undeniable. However, their relationship faces countless challenges as the young man's wealthy parents strongly oppose their union, believing she is not worthy of their son. Through tears, sacrifices, and unwavering determination, the couple fights against all odds to prove that love knows no boundaries. Will their love conquer societal expectations and family pressures? Or will their differences tear them apart? A tale of love, struggle, and triumph - watch as these two souls navigate the complexities of their relationship and discover if true love can truly overcome everything. Don’t miss this emotional rollercoaster! Like, comment, and subscribe for more touching stories like this one.
    #love #penzilamtotowaboss

КОМЕНТАРІ • 2,3 тис.

  • @EsterBukesage
    @EsterBukesage 5 днів тому +153

    ❤❤❤❤❤ daaah hongera sana Mr kelvin nilisubil sana hii ck kama weng tulisubil weka❤❤❤

  • @MwanaishaFikiri
    @MwanaishaFikiri 5 днів тому +526

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nimefurahi sana kelv kuinuka tena❤❤❤❤ tina, mr gamba mama tina, na denis kuleni chuma hichooo😂😂😂😂😂😂 waliofurah kama mimi gonga like hapa🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

    • @solangeramadhani4038
      @solangeramadhani4038 5 днів тому +8

      Sio kufurai tu nimecheka kwanguvu sio kucheka nimeruka ruka kama ndege nasio kuruka natamani watume EP nyingine

    • @BridiesaxineShikati
      @BridiesaxineShikati 5 днів тому

      Hyo n furaha tele 🤗💃🏼💃🏼🤸🏼🤸🏼🤸🏼​@@solangeramadhani4038

    • @CassianFabianKakobe
      @CassianFabianKakobe 5 днів тому +1

      Pumbavu we binamu hiii ni muviii

    • @MaryMmm233-yh3hf
      @MaryMmm233-yh3hf 5 днів тому

      ​@@solangeramadhani4038😂😂😂😂😂

    • @MaryMmm233-yh3hf
      @MaryMmm233-yh3hf 5 днів тому +1

      ​@@CassianFabianKakobe😂😂😂😂

  • @catherinedeus7844
    @catherinedeus7844 5 днів тому +84

    Hii ya leo ilikuwa moto. Kazi nzuri sana Kelvin. Kesho mapema tunaomba mwendekezo😊

  • @Emilymama2boys
    @Emilymama2boys 5 днів тому +73

    Wow jarufu ameangukia akuna kuunda matofali tena 🤣 na huu mchezo umecheza na hailat good job Hailat ❤🎉🎉

  • @MafarangaJeanpaul
    @MafarangaJeanpaul 5 днів тому +19

    Jamani week nzima kweli kwa kuwategemee 😢😢 tunaomba basi hi film mara 2 kwa week Asante🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼

  • @LilianJemsiOdelo
    @LilianJemsiOdelo 5 днів тому +944

    kifo cha candy 😢 kimeniumiza sana😢 kama na wew umeumia weka like

  • @ValenciaMatiangi
    @ValenciaMatiangi 5 днів тому +179

    Kila mtu huku ni likes Tu jamani
    Mimi nawaombea maisha marefu na yenye fanaka nawapenda nyote 💞💞💞

  • @PriscarMbodze
    @PriscarMbodze 5 днів тому +87

    Mm wa elfu moja mtanipea likes ama niende 😂😂😂
    Team donta maua yenu 🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @salomevestinamichael1458
    @salomevestinamichael1458 5 днів тому +12

    Kelvin hii imeenda vizuri sana,sasa basiii maana maisha yamerudi tena kwa mtoto wa boss❤❤❤🎉🎉🎉 Mama Cendy upone umalizie uzee wako kwenye mafutaaa😊

  • @Ashley-q2v
    @Ashley-q2v 5 днів тому +6

    Congratulations donta t.v nawapenda wote Kevin maua yako 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤

  • @JacklineNasimiyu-g7o
    @JacklineNasimiyu-g7o 5 днів тому +36

    Glory to God 🙏 🙌, kweli baada ya thiki ni faraja,kevo liche umeyapitia matatizo mengi yenye uzuni ,lkn tapasam lako limerejea, pia namshukuru loveness kua mfariji mkubwa ulipokua una chechemea
    Hongera Hongera Hongera mr Kevin 🎉🎉🎉🎉❤

  • @PeterEmanuel-f3h
    @PeterEmanuel-f3h 5 днів тому +44

    Asante YESU kwa kuwatazama wanyoge jaman usimwani mwanadamu wanabadirika lakini huyu yesu abadiliki kamwe na kingine Cha mtu ni Cha mtu tu lakini usilipe mabaya

  • @TumainiElizabeth
    @TumainiElizabeth 5 днів тому +175

    Waaah😅😅😅dakika mbili mumefika watu 98 hapa niupendo mob kwa hii filamu mwenye amekimbia kma mimi tujuane❤❤❤

  • @LeadjefuJephten-i6w
    @LeadjefuJephten-i6w 4 дні тому +4

    Wow kelvin iyiiiiii ndiyo umeweza kabisa ijapo mangumu nataka yengine haraka

  • @JaneBinyanya
    @JaneBinyanya 5 днів тому +3

    What goes around comes around 👌 finally 💪💪Hakika nimefurahi sana mchezo umeanza

  • @hffh7717
    @hffh7717 5 днів тому +19

    Pole mama kelvin kwa msituko lakini naamini kwamba God is with u.quick recovery.mambo mazuri yanakuja hivi karibuni tusherekee kwa pamoja family ya Maru ❤❤❤❤❤❤🎉 nawapenda sana

  • @JanethKweka-w4d
    @JanethKweka-w4d 5 днів тому +54

    Doctor Yuko vizuri sana anajua sana.Mpeni maua yake🎉🎉🎉🎉🎉

  • @danafashiondesigner8768
    @danafashiondesigner8768 5 днів тому +97

    Mimi kutoka Rwanda Ndo mara ya kwanza nimeandika kwenye comment ongera Sana Kevin 👏👏👏👏

  • @JumaaChiro
    @JumaaChiro 5 днів тому +52

    Ila hii episode ndo zaid ya zote congratulations DONTA TV

  • @DelvinChepkorir-t1d
    @DelvinChepkorir-t1d 5 днів тому +24

    Vipi Mr Denis utaendelea kunishangaa ama utaketi tuendelee na kikao😂😂kula chuma icho Denooo,,,,alafu Bonny nawe weka begi kwa meza si kwa miguu😅😅 congratulations nyinyi wote❤

  • @Bahati-qd3dj
    @Bahati-qd3dj 5 днів тому +59

    Chukua Maua yako Kelvin kwa majibu uliompatia denis🎉🎉😂😂😂👌👌👌🤗🤗🤗😍😍nimeipenda iyo

  • @LeilaAbdi-p4i
    @LeilaAbdi-p4i 5 днів тому +19

    Mambo imechemka upande wa Dennis looo kazi nzuri sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 mitihani tuliumbiwa bina damu kilicho baki ni kumshukuru Mungu tu❤❤❤❤❤

  • @KiboxMedia
    @KiboxMedia 5 днів тому +744

    Tulio Subiri Kuona Denis anadundia Pua Kwa Miba na Kunasisha Kapua huko, huku miguu ikipepea Kwa Hewa na Hana Kampuni Tujuane 😂🤸

    • @Lyza-s4e
      @Lyza-s4e 5 днів тому +13

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @MwanamisiMuna
      @MwanamisiMuna 5 днів тому +4

      😂😂😂😂😂

    • @damacklinemaragia
      @damacklinemaragia 5 днів тому +3

      😂😂

    • @Phoebenafula
      @Phoebenafula 5 днів тому +7

      😂😂😂😂😂😂sijelewi Niko hapa 🖐️🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @Dexterjeymoz
      @Dexterjeymoz 5 днів тому +5

      Io ingine ikuje haraka tunataka kuona icho kikao😅😅

  • @MariaLeina-m8x
    @MariaLeina-m8x 5 днів тому +59

    Asante mungu 🙏 Kelvin karudi ofisini...wapi like za watu wa Kenya 🇰🇪

  • @SharifaShery
    @SharifaShery 5 днів тому +5

    Jaman wapenzi wa donta tv naimani wote n wazima nawaombea kwa allah azid kuwapa nguvu na kuwajaalia afya njema kwa kila hatua mnazopiga na huu mwaka uwe wa mafanikio mengi kwenu❤❤

  • @JulianaJoseph-w6h
    @JulianaJoseph-w6h 5 днів тому +6

    Jamani familia ya Mr marwa poleni sana. Pia hongereni kwa kazi nzuri 🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @mwalisuleih1164
    @mwalisuleih1164 4 дні тому +4

    Kazi nzuri xan Masha'Allah ❤❤❤❤❤❤❤❤hii movie jamn ni kubwa zaid bongo movie's japo kidgo dgo minutes bt inaujumbe mzur na mzito xn ndan yake haswa yaleo nmfurahi kuwaona wengin baadhi wapya jamani muendlee kufanya kazi safi xn wanadonta tv mpo juu zaid 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤

  • @ShannyMoris
    @ShannyMoris 5 днів тому +122

    Jamani nimefurahi sana kuona kelvin kawa boss ❤❤❤❤❤😊

    • @HalimaAdam-r5e
      @HalimaAdam-r5e 5 днів тому

      Jaman mimi ndonaangalia sahii kwan kelvin kawa bos tayar

    • @ShannyMoris
      @ShannyMoris 5 днів тому

      Yes​@@HalimaAdam-r5e

    • @saidjumanne6364
      @saidjumanne6364 3 дні тому

      Ila Denis atanifanya kitu mbaya

    • @WinnyVallary-k8k
      @WinnyVallary-k8k 3 дні тому

      Lakin Kevin ajanunua hisa ni lati aliyenunua kwa navyo hc

    • @ShannyMoris
      @ShannyMoris 2 дні тому

      Yani simpend denis​@@saidjumanne6364

  • @RehemaShindo-px7gt
    @RehemaShindo-px7gt 5 днів тому +9

    Safi sana kelvi pia nkupongeza kwa kumchukuwa jarufu kazi nzuri❤❤❤❤❤❤❤

  • @FatumaBakari-c3l
    @FatumaBakari-c3l 5 днів тому +4

    Nawapnda nyote wana donta ❤❤❤❤❤ mnaweza zaidi

  • @silashemed4849
    @silashemed4849 5 днів тому +36

    sema mtengenezaji wa hii ngoma apewe 🎉🎉🎉🎉🎉,
    thanks All Characters🎉🎉

  • @John.L.Laizer
    @John.L.Laizer 5 днів тому +36

    Kazi nzuri Sana nawapata nikiwa Nairobi Kenya 🇰🇪 naikubali kazi yenu sana 🎉🎉

  • @AlimaalfanemussaAlfanemussa
    @AlimaalfanemussaAlfanemussa 5 днів тому +31

    Woyooooooooo boss kelv nimefurahi sana 😂😂😂😂😂😂 mungu afanhe wepesi doa ipite na miss lavoness ❤❤❤

  • @DamumuMkali
    @DamumuMkali 5 днів тому +3

    Hii filam naipenda sana yani story inaelekeweka hongera bwana Kelvin hapa umetuliza kichwa vizur na umejua kututeka mashabiki❤❤

  • @fatuma-fg9en
    @fatuma-fg9en 5 днів тому +10

    Yaleo Kali jamani hongereni TM donta nawapenda bure

  • @5googleuuu727
    @5googleuuu727 5 днів тому +36

    Hakika movie nzuriii na inatufunza sana congratulations to you brother CALVIN. ❤❤❤❤❤❤❤

    • @AnnMbugua-o4d
      @AnnMbugua-o4d 5 днів тому +1

      Nilianza kufuatilia toka ikiwa part 5 hadi waleo lakini leo imenibidi kelvin congratulations imenigusa mahali ndo nkaamua kukomendi🎉🎉🎉🎉 basi 63 isichelele

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 4 дні тому

      ❤❤❤

  • @joycemuenimutua4506
    @joycemuenimutua4506 5 днів тому +8

    🎉🎉🎉🎉🎉iyo ni yako Kelvin 😂😂😂😂 Dennis kimekuramba mtu wangu Wacha kushangaa 🎉😂❤ Kenya twawapenda sana

  • @Robertkushonga685
    @Robertkushonga685 5 днів тому +206

    Wanaoskitishwa na kifo Cha kendy tujuane Kwa mikono plz, watching from Kenya.

  • @حسنا-ض3ز
    @حسنا-ض3ز 5 днів тому +6

    Much love from Kenya ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉 good work guys keep it up 👌👌👏👏

  • @Susankhaemba-h3l
    @Susankhaemba-h3l 4 дні тому +3

    Aki pole sana my brother kelvin Kwa mambo unabidia❤❤❤🎉

  • @abdallahassan6378
    @abdallahassan6378 5 днів тому +27

    Kwenye hii dunia hakuna kinachomshinda Mungu unapokua na changamotozak mwelez Mungu alikujua toka tumbon mwa mama yako hakun aliekuj kwa bahati mbya,❤❤❤

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 5 днів тому +6

    Waooooo🎉🎉🎉🎉🎉🎉makofi mengi kwa Kelvin japokua tunamacungu ya mama na Candy yani nimefurai bala❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂

  • @MrseifMasalu
    @MrseifMasalu 5 днів тому +16

    Hapo sawa wa kwanza like tu

  • @Eveline-b9y
    @Eveline-b9y 4 дні тому +4

    Pole sana Tina enderea kuifuatila madeni kw amosi,ira amos umesho Tina visuri ,kiendacho kw mganga akirudi tena 😂😂😂😂

  • @everlynewekesa1022
    @everlynewekesa1022 5 днів тому +5

    Nimeumia sana kwa hii kifo ya candy bt yote ni ya mungu,,,kazi nzuri Kevin nikupee 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @GhaniaNasser-d9p
    @GhaniaNasser-d9p 5 днів тому +5

    Hatimae kevi karudi kuwa boss dunia hadaa ulimwengu shujaaaa😂😂😂😂 hongera kevi kazi yako nzuri mauwa yako🎉🎉🎉🎉

  • @BrendaNtinyari-z2s
    @BrendaNtinyari-z2s 5 днів тому +31

    Nmefika jaman nioneni na likes from Kenya ❤❤

  • @GeorgeKazungu-i1z
    @GeorgeKazungu-i1z 5 днів тому +45

    Wakwanza 😂😂😂 Kenya is proud of you

  • @AlukiCharlotte
    @AlukiCharlotte 4 дні тому +4

    Nakubali saana kelvin king 👑 of Film in East Africa. From USA California 🔥🔥🔥

  • @kalombomutami2665
    @kalombomutami2665 5 днів тому +3

    This is a very good lesson tor us.
    One crime can destroy the entire village...

  • @HadijaTsuma-si8yx
    @HadijaTsuma-si8yx 5 днів тому +10

    We bwana weeee yaani sijui but mwajua kuicheza ngoma hiii ingawaje huzuni kwa mpigo maua kwenu 🎉🎉🎉🎉🎉wadau 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @DannyKitsali
    @DannyKitsali 5 днів тому +29

    Le premier aujourd'hui, je veux mes likes

  • @NuruAli-ip9wn
    @NuruAli-ip9wn 5 днів тому +18

    Nilikuwa na shaukunkubwa sana kumwana boss japo nilikuwa na jua atakuwa kelvin, jamaniii tunaomba msitucheleweshe 63 ije mapema ❤🎉🎉🎉

  • @LeilaAbdi-p4i
    @LeilaAbdi-p4i 5 днів тому +5

    Hongera sana kelvin kwa kuwa na subra kweli subira huvuta kheri🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤️❤️❤️❤️

  • @rosemuhazi9542
    @rosemuhazi9542 5 днів тому +3

    Waaau congratulations Kevin ❤❤🎉

  • @JeanMuganza-f5q
    @JeanMuganza-f5q 5 днів тому +14

    Wa kwanza APA naomba likes zang drc 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

    • @VeronicaMikoma
      @VeronicaMikoma 5 днів тому

      Ina maana drs kuna watu mna hadi muda wa ku watch move

  • @SharonMomanyi-zx4dr
    @SharonMomanyi-zx4dr 5 днів тому +36

    Nimengoja lakini hatima ishafika❤❤❤

  • @ChristineMaloba-hk9je
    @ChristineMaloba-hk9je 5 днів тому +9

    Wow Leo Jarufu na Kevin wanapendeza mno😊❤🎉

  • @FatumaBahatihassan
    @FatumaBahatihassan 5 днів тому +5

    Jamani Kelvin kazinzuri sana❤🎉🎉 nimependa staili yako wenibola sana kelvin mauwayako 🎉🎉🎉

  • @MarthaLenard
    @MarthaLenard 4 дні тому +1

    Kelvin waoooo!!!! Kwenye shida matatizo umevuka walotaka kukuangusha Leo wanaangka wenyew bla hata we kuwagusa

  • @SyombuaMuvengei
    @SyombuaMuvengei 5 днів тому +20

    Pia mmi nimewasili nipeni like na mmi kutokea kenya ..🇰🇪🇰🇪🇰🇪 hey niwaulinze nyinyi mbona movie ainyonekani au kwangu tu guys..🎉🎉🎉

  • @NeemaKadzo-q2b
    @NeemaKadzo-q2b 5 днів тому +17

    Nimewahi leo nimekua wa kwanza plz nipeni zangu🎉🎉🎉❤❤❤

  • @SarahChombo
    @SarahChombo 5 днів тому +77

    hii sijapenda mnawahii kuona moviee, mimi napata taari watu 12k mmeview na like hazifiki hata 2k surely😔😔

  • @ZZawadi-s5v
    @ZZawadi-s5v 5 днів тому +6

    Waaaa nimefurahj sana mungu akuongezee maisha marefu Kelvin na mamako🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @HalimaJuma-n1k
    @HalimaJuma-n1k 4 дні тому

    MashaAllah nimefurahi sana kuomba kelvin amerudi kua boss kwan amepitia maisha ya shida sana nawapenda sana Wana Donta Tv

  • @JuniorGazakartel
    @JuniorGazakartel 5 днів тому +27

    Wa kwanza Leo kutoka Kenya wapi likes zangu jamani🇰🇪🇰🇪

  • @Arafa-dt9sh
    @Arafa-dt9sh 5 днів тому +3

    Oyooooooo!piga kelele kwa kelvin wakeeee!❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂puq linakwenda kuvimba

  • @RashidiMfinanga
    @RashidiMfinanga 5 днів тому +5

    Hongeren sana kwa Kaz nzur mung awatangulie 🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @henrylongurasia457
    @henrylongurasia457 5 днів тому +5

    In a much wait finally here we go❤❤❤

  • @UshindiMahango
    @UshindiMahango 5 днів тому +22

    Naipenda sana muvi kutokeya Congo naomba yakezanyu❤❤ kama wewe unaipenda muvi kama mimi

  • @TeddyMwakaniemba
    @TeddyMwakaniemba 5 днів тому +33

    Jaman sjawah kupewa like kiukweli kama.unapenda hii movie nipe.like kdgo

  • @SoziSozi2020
    @SoziSozi2020 5 днів тому +11

    lovenes wewe ni bin it mwenye hekima sana umejua ukiwaambia ukweli wataumia sana naupate lawama kwamba ungekua umewaambia candy.hangejiua😢😢

  • @SalmaNyongesa
    @SalmaNyongesa 5 днів тому +6

    Nilikua nimengoja kwa hamu sana licha nimechelewa kufika,,,, basi nipe likes jamani❤❤❤

  • @BaxterJere-d4u
    @BaxterJere-d4u 5 днів тому +2

    Jmn pole sana mama Kelv ,,,,daaah Tina ndio umepauka hivo😂😂😂😂😂😂

  • @MatthewSaitoti-r7i
    @MatthewSaitoti-r7i 4 дні тому

    Kwanzia hii episode ndw nilikuwa nasubiri sana,,, hapo kwa Dennis,, Thanks bro Kelvin,,, take your flowers from Kenya

  • @kerubotrizah3445
    @kerubotrizah3445 5 днів тому +33

    Leo nimetangulia pia❤❤nipeni likes za loveness na kelvin... We love you from Kenya 😍😍

  • @babynaash
    @babynaash 5 днів тому +170

    Tuliokua tumeimiss hii movie tujuane❤❤❤

  • @rtpowercell-h1p
    @rtpowercell-h1p 5 днів тому +12

    Whauuuuuu hongera mafuzo Kevin na love na mama Kevin 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @IgnaseTalaboe
    @IgnaseTalaboe 3 дні тому +1

    Whaooo kelvin umeteseka sana inafika mwisho kabisa

  • @SalumuMayamba
    @SalumuMayamba 5 днів тому +2

    Latiiiiiiiiìii mshitueni bac mwambieni nampa hongera kwa plani b🎉🎉🎉🎉🎉

  • @LeahMwathi-h3z
    @LeahMwathi-h3z 5 днів тому +17

    Wa kwanza leo kutoka Kenya ...wapi maua ya kelvin🎉🎉🎉🎉

  • @PeresNdikumwami
    @PeresNdikumwami 5 днів тому +9

    Wakqnzakutoka 🇧🇮 jamani naomba like zenu

  • @masteruvaofficial
    @masteruvaofficial 5 днів тому +20

    Bwana yesu asifiwe 🤲...
    Rest in peace My Dear KENDY 🫀

  • @FlorianiMrina-s7v
    @FlorianiMrina-s7v 4 дні тому +1

    Nawapata vizuri nikiwa Nairobi Kenya ongera sana Kelvin

  • @Gracekadzo-ix4zt
    @Gracekadzo-ix4zt 3 дні тому

    Familia ya kevi yahuzunisha sana ak ingawa mwacheza poa part yenu🎉🎉🎉🎉❤❤

  • @WilliamJoel-kz2jv
    @WilliamJoel-kz2jv 5 днів тому +30

    Wale tunao wah tujuane❤🎉😂

  • @ChristineWafula-bn7tq
    @ChristineWafula-bn7tq 5 днів тому +11

    Wa Kwanza Leo kutoka kwa kasongo najua mko huku maua yenu nawapea🎉🎉🎉🎉

  • @ErastusOtunga
    @ErastusOtunga 5 днів тому +104

    Here iñ kenya mnipe like zangu Wacha wivu wewe😂😂🇰🇪💪

  • @adecals4431
    @adecals4431 4 дні тому

    Pole Sana Kelvin kwa magumu unayo pitiable wacha mungu akutie nguvu, one yes utatoboa😮😮😮

  • @michelinetshwala1238
    @michelinetshwala1238 5 днів тому +2

    Jamani , nawambiya kiukweli, akuna episode nayi furahiya kama iyi kumuona tena kelvin kucheka na kurudi kuwa boss. Sasa unga ndowa na loveness. Nawafuata toka RDC toka part 01 mpaka leo. Jamani mnipe nami vile vile like zangu.💃💃💃

  • @EliwanguPallangyo
    @EliwanguPallangyo 5 днів тому +16

    Wanaotamanj wanawake wenye sifa kama laveness gonga like hapa,
    🎉🎉🎉❤❤

  • @كازاكاهيند
    @كازاكاهيند 5 днів тому +5

    Good job Kelvin ❤❤imeishia patamuu xnaaaa❤❤

  • @AdiminMbughi
    @AdiminMbughi 5 днів тому +10

    Mnachelewesha sana donta tv tunaomba mjitaid kutuwaishia

  • @ShamimShamy
    @ShamimShamy 4 дні тому

    Haki Kelvin kazi nzur pole mama Kelvin Mungu akuponyeshe, haraka Denis unapakwa mafuta Na mgongo Wa chupa Na Latif ndo mshidi,,,hayo yote❤❤❤🎉🎉🎉lat unatumika akili,,

  • @morinemumo7603
    @morinemumo7603 4 дні тому

    Wah nasubiri 63,,Kevin shda nazo zimekuadama wah,,,muharakishe 63 Inger to watch it

  • @EsterWambura-vr6og
    @EsterWambura-vr6og 5 днів тому +9

    Wangapi wanafurah kumuona calvin tena akirud kuwa boss🎉🎉🎉❤❤

  • @sharonmercy8379
    @sharonmercy8379 5 днів тому +5

    Team fulus, jedid, hamam huku Kuna vitu vingi like tukituma Rambirambi zetu kwa kina Kelvin

  • @nshimiyimanaalex6467
    @nshimiyimanaalex6467 5 днів тому +8

    Hongera sanaaa popote muripo mungu aeneze maombi yenu I have you ❤❤❤❤❤

  • @AliceMapendo-tn3uj
    @AliceMapendo-tn3uj 5 днів тому +1

    kelvin kenya umefanya ni kitu kikubwa sana ila usijali mama mungu atamsaidia🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Malugu-fw2bo
    @Malugu-fw2bo 3 дні тому +1

    kama unasikiaga ndoto ya mchana ndo hiyo sasa imemutokeaa denis❤❤❤