Mzee Yussuf Media film
Mzee Yussuf Media film
  • 30
  • 624 047
UKE WENZA FULL MOVIE MZEE YUSSUF LEYLA RASHID MUSSA CHUNGA SALAMA
HIi ni full movie uke wenza ya mwanzo kabisa
Переглядів: 3 455

Відео

MTU NA MKWEWE FULL MOVIE [HD] DRAMA
Переглядів 26 тис.Місяць тому
Kuna swali huwa unajiuliza kwa nini mama ana nguvu kuliko mke majibu yake yapo ktk filamu yetu hii nzuri karibu tuitizame wapendwa kwa ushauri na maoni no, 0745020636 whatssap, no, 0711580636
MALKIA FULL MOVIE (1080HD)
Переглядів 102 тис.Місяць тому
Binaadamu tumeumbwa na Mungu nakila kitu tunamtegemea yeye basi hatuna budi kumuomba na kumtegemea yeye tusichoke kumuomba tunapo muhitaji ktk msaada hata tunapo kuwa na shida fuatilia hadithi hii ujifunze subra ya elias na alivyozidi kuwa jirani na allah nini kilimtokea kuwa nasi mpaka mwisho wa filamu yetu ya malkia
HURUMA YANGU FULL MOVIE TRUE STORY
Переглядів 12 тис.Місяць тому
Kumekuwa na ile tabia ya watu kutumia simu isio yako kiafya ndugu yangu haija kaa vizuri maana simu inaweza kukuletea faraja au mateso sasa unataka kujua kipi kimetokea hilo hebu ungana nami kuifuatilia filamu ni na unipe majibu
UKE WENZA FULL MOVIE [HP] LOVE STORY
Переглядів 49 тис.Місяць тому
Hii ni full yote jiachie huku tukiwa tunaisubiri nyingine tutawaletea muendelezo sema kuna mazingira magumu yametokea tunarekebisha kidogo ila kwasasa tutakuletea utamu tofauti tofauti
UKE WENZA Episode 2- LOVE STORY
Переглядів 68 тис.Місяць тому
UKE WENZA Episode 2- LOVE STORY
UKE WENZA [1] [HP] LOVE STORY
Переглядів 158 тис.Місяць тому
Hii nikazi ambayo tuliirudia kutokana na makosa ya mwanzo hii nategemea
UKE WENZA EPISODE 2 [HP] LOVE STORY
Переглядів 42 тис.Місяць тому
Hali imeanza kumtesa bi mdogo na kupelekea kuvurugwa na kuanza kusumuka na wivu
UKE WENZA EPSOD 1 [HP] LOVE STORY
Переглядів 6 тис.Місяць тому
Karibu tena ndugu na jamaa ktk kuitizama filamu yetu hii ya uke wenza ujifunze ndoa za uke wenza zilivyo
HEKA HEKA EP 5 HP LOVE STORY
Переглядів 2092 місяці тому
Fetty kaona akubali yaishe mambo yasiwe mengi kweli mwanaume nikiumbe kisichotabilika kabisa ,,fuatilia mkasa huu uburudike na kuinjoy
HEKA HEKA EP 4 LOVE STORY
Переглядів 2602 місяці тому
Kibao chamgeukia mrs toz b na sasa wivu umetawala anatamani kumpika mtu fuatilia kupata hekaheka hii tujifunze aadhi ya vitu
HEKA HEKA EPISODE 3 LOVE STORY
Переглядів 3192 місяці тому
Heke heka ya mke na mume imeanza na mashtaka kwa familia endelea kufuatilia
HEKA HEKA Episode 2
Переглядів 1992 місяці тому
Tunaendelea na hekaheka yetu kwa mtu na mkewe wakiwa ktk vita yao
HEKA HEKA love story Episode 1
Переглядів 5502 місяці тому
kuna ndoa zingine unaweza fikiri zinashida kumbe ni mtindo tu wa aina ya maisha ya wahusika wenye kutana na ndoa yenye ucheshi na fujo na upendo
siri (uke wenza) from @mzeeyussufmedia special song for our new series
Переглядів 1,1 тис.Рік тому
siri (uke wenza) from @mzeeyussufmedia special song for our new series
6 June 2023
Переглядів 2,3 тис.Рік тому
6 June 2023
Malkia kankataaa
Переглядів 3,3 тис.Рік тому
Malkia kankataaa
𝐔𝐬𝐭𝐚𝐚𝐝𝐡 𝐚𝐦𝐮𝐨𝐦𝐛𝐞𝐚 𝐤𝐰𝐚 𝐦𝐚𝐥𝐤𝐢𝐚
Переглядів 4 тис.Рік тому
𝐔𝐬𝐭𝐚𝐚𝐝𝐡 𝐚𝐦𝐮𝐨𝐦𝐛𝐞𝐚 𝐤𝐰𝐚 𝐦𝐚𝐥𝐤𝐢𝐚
#fagio ili malkia alainike inakuja hapa soon
Переглядів 6 тис.Рік тому
#fagio ili malkia alainike inakuja hapa soon
Malkia film is coming soon
Переглядів 7 тис.Рік тому
Malkia film is coming soon
Uke wenza film majibu yametolewa hakuyapenda mume coming soon subscribe our chanel
Переглядів 11 тис.Рік тому
Uke wenza film majibu yametolewa hakuyapenda mume coming soon subscribe our chanel
FAA MASKHARA NINI Mzee Yussuf aanza kiwewe baada ya kumuona malkia lkn mlinzi ampiga mkwara
Переглядів 3,4 тис.Рік тому
FAA MASKHARA NINI Mzee Yussuf aanza kiwewe baada ya kumuona malkia lkn mlinzi ampiga mkwara
𝐓𝐚𝐦𝐮 𝐲𝐚 𝐧𝐝𝐨𝐚. 𝐟𝐢𝐥𝐦 𝐭𝐫𝐢𝐚𝐥
Переглядів 2,4 тис.Рік тому
𝐓𝐚𝐦𝐮 𝐲𝐚 𝐧𝐝𝐨𝐚. 𝐟𝐢𝐥𝐦 𝐭𝐫𝐢𝐚𝐥
𝑻𝒉𝒂𝒎𝒂𝒏𝒊 𝒚𝒂 𝒑𝒆𝒏𝒅𝒐. 𝒇𝒊𝒍𝒎 𝒐𝒇 𝑴𝒛𝒆𝒆 𝒀𝒖𝒔𝒔𝒖𝒇 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂.
Переглядів 88 тис.Рік тому
𝑻𝒉𝒂𝒎𝒂𝒏𝒊 𝒚𝒂 𝒑𝒆𝒏𝒅𝒐. 𝒇𝒊𝒍𝒎 𝒐𝒇 𝑴𝒛𝒆𝒆 𝒀𝒖𝒔𝒔𝒖𝒇 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂.
𝑼𝒌𝒆 𝒘𝒆𝒏𝒛𝒂. 𝒇𝒊𝒍𝒎 𝒐𝒇 𝑴𝒛𝒆𝒆 𝒀𝒖𝒔𝒔𝒖𝒇 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂.
Переглядів 3,8 тис.Рік тому
𝑼𝒌𝒆 𝒘𝒆𝒏𝒛𝒂. 𝒇𝒊𝒍𝒎 𝒐𝒇 𝑴𝒛𝒆𝒆 𝒀𝒖𝒔𝒔𝒖𝒇 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂.
𝑼𝒌𝒆 𝒘𝒆𝒏𝒛𝒂. 𝒇𝒊𝒍𝒎 𝒐𝒇 𝑴𝒛𝒆𝒆 𝒀𝒖𝒔𝒔𝒖𝒇 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂
Переглядів 4,5 тис.Рік тому
𝑼𝒌𝒆 𝒘𝒆𝒏𝒛𝒂. 𝒇𝒊𝒍𝒎 𝒐𝒇 𝑴𝒛𝒆𝒆 𝒀𝒖𝒔𝒔𝒖𝒇 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂
𝑼𝒌𝒆 𝒘𝒆𝒏𝒛𝒂. 𝑭𝒊𝒍𝒎 𝒐𝒇 𝑴𝒛𝒆𝒆 𝒀𝒖𝒔𝒔𝒖𝒇 𝒎𝒆𝒅𝒊𝒂
Переглядів 12 тис.Рік тому
𝑼𝒌𝒆 𝒘𝒆𝒏𝒛𝒂. 𝑭𝒊𝒍𝒎 𝒐𝒇 𝑴𝒛𝒆𝒆 𝒀𝒖𝒔𝒔𝒖𝒇 𝒎𝒆𝒅𝒊𝒂
𝐔𝐤𝐞 𝐰𝐞𝐧𝐳𝐚 𝐟𝐢𝐥𝐦 𝐨𝐟 𝐌𝐳𝐞𝐞 𝐘𝐮𝐬𝐬𝐮𝐟 𝐦𝐞𝐝𝐢𝐚
Переглядів 7 тис.Рік тому
𝐔𝐤𝐞 𝐰𝐞𝐧𝐳𝐚 𝐟𝐢𝐥𝐦 𝐨𝐟 𝐌𝐳𝐞𝐞 𝐘𝐮𝐬𝐬𝐮𝐟 𝐦𝐞𝐝𝐢𝐚

КОМЕНТАРІ

  • @MwanaAbdullah-b2t
    @MwanaAbdullah-b2t 6 годин тому

    Filamu nzuri MashaAllah

  • @JudithJuma-n5o
    @JudithJuma-n5o 2 дні тому

    Ninzuri maana wanaume niwauwaji😂😃😃

  • @JudithJuma-n5o
    @JudithJuma-n5o 2 дні тому

    Hiyo inawafaa wanaume wasiotulia

  • @ZeenadTyrh
    @ZeenadTyrh 3 дні тому

    😊😊 mwendeleza mke mweza

  • @mishiabdul2834
    @mishiabdul2834 4 дні тому

    Next plzz

  • @veronicaboniphas7852
    @veronicaboniphas7852 4 дні тому

    Move. Nzur. Haina saut VIP lakin

  • @salimbahmad
    @salimbahmad 4 дні тому

    big up kazi safi

  • @mwanabibikangu4791
    @mwanabibikangu4791 4 дні тому

    Muvi inakaa kama chakula bla chumvi asa sauti mbn hvyi❤😅😅 mwajua ila

  • @PheliciahKitawa
    @PheliciahKitawa 4 дні тому

    hata wewe ulikuwa mke mwenza

  • @Samora-z4c
    @Samora-z4c 5 днів тому

    Kazi nzuri sana Mzee Yusuf na Mama Leila. Niambieni mimi dollar zangu hamsini $ 50 niziweke kwa account gani?

  • @NiwaeliTumaini-e9w
    @NiwaeliTumaini-e9w 6 днів тому

  • @AminaBacar-j7c
    @AminaBacar-j7c 6 днів тому

    Pole dada leyla kuasababo ukewenza n ntihani wakuanza Mimi siopendi balaa

  • @HawaTuwa
    @HawaTuwa 6 днів тому

    Mbn mnatuletea maludio jaman mnatuchosha sasa

  • @mzeeyussufmedia
    @mzeeyussufmedia 6 днів тому

    NDUGU ZANGU NITATIZO LA KIUFUNDI NDO TUNAPAMBANA KUIRUDISHA SAUTI TUSAMEHEANE NDO NAREKEBISHA

  • @Aishaselemanaishaseleman-lw1fm
    @Aishaselemanaishaseleman-lw1fm 6 днів тому

    Asalam aleykum niaje mzee yussuf unatupa movie sauti inakata kata

  • @Ayuminchasi
    @Ayuminchasi 6 днів тому

    Saut hamna

  • @VivianJuma-pw5jw
    @VivianJuma-pw5jw 6 днів тому

    sasa sauti

  • @aliissahaji33
    @aliissahaji33 6 днів тому

    Movie zenu nzuri, Lkn inakuwaje mnapotez sauti?

  • @mesamesa3698
    @mesamesa3698 7 днів тому

    Da Leyla huna baya ❤❤

  • @MdNasr-jm8pj
    @MdNasr-jm8pj 9 днів тому

    Uchumi WA kati😂😂😂Mzee ww

  • @alimwadima254
    @alimwadima254 9 днів тому

    Good job Bi.Zuki character za ubaya zinakufaa na Mzee Yusuf shughulikia Sauti unatubwaga Sanaa Maneno yanatupita

  • @Swabrina-ou5cv
    @Swabrina-ou5cv 10 днів тому

    Uke wenza raha kwa wanaoijua dini kwanza mke wa kwanza hua yuapata baraka👌🌹🌹na karne ya hii sasa waume ndo wapendavyo mm n mwanamke lkn ikiwa swala la ukewenza naona n jambo la kheri🤲😚

  • @BENCHARLES-ho2ws
    @BENCHARLES-ho2ws 12 днів тому

    Kazi nzuri sana ❤❤❤

  • @SaumuLuvuno-s6w
    @SaumuLuvuno-s6w 12 днів тому

    Mkz mwana karata zako wazichanga vzuri but halafu wamuonesha mama mkwe, atakupita akili ungelimuacha akacheza kivyake ukaona bao la keti nani atafunga

  • @SaumuLuvuno-s6w
    @SaumuLuvuno-s6w 12 днів тому

    Mbona mwatu enjoy upande wa sauti, ama hamtaki tuwasikie mnavyosema?😅

  • @HalmHamad-n9w
    @HalmHamad-n9w 13 днів тому

    Ukewenza mimi siuwezi jomoni

  • @alimwadima254
    @alimwadima254 17 днів тому

    Movie nzuri sana hasa ya Kidini kwa Sisi waislamu...keep up the good work Mzee Yusuf🎉

  • @alimwadima254
    @alimwadima254 17 днів тому

    Hongereni wallah Leyla Rashid upo juu pamoja na Mama Rahma

  • @FatumaMwinjuma-e2g
    @FatumaMwinjuma-e2g 20 днів тому

    Vuzela talabu

  • @HawaNzeyimana
    @HawaNzeyimana 21 день тому

    Inanifunza

  • @NanaHassan-s8x
    @NanaHassan-s8x 21 день тому

    Jamani mpo vizuli sana 🎉🎉🎉🎉

  • @lamuchidon7643
    @lamuchidon7643 21 день тому

    Thamthilia nzuri sana ila naomba Mzee yusuf ujaribu kueka tafsiri ya kiingereza ili ipae zaidi kiulimwengu.

  • @amina2044amin-zv2gh
    @amina2044amin-zv2gh 22 дні тому

    ❤❤❤❤❤❤❤❤😊

  • @amina2044amin-zv2gh
    @amina2044amin-zv2gh 22 дні тому

    haar young boy you need dié Mense 💔 woorde 😘😘😘👏👏

  • @irenemichael
    @irenemichael 22 дні тому

    😂🥱umeoa

  • @AllySule-t9g
    @AllySule-t9g 23 дні тому

    Jitahidini kidogo katika sauty

  • @AllySule-t9g
    @AllySule-t9g 23 дні тому

    Move mzury mashllah napenda mnavyozingatia maadili namafundisho mazury kwawanawake wote wasiopenda Familie zao

  • @amina2044amin-zv2gh
    @amina2044amin-zv2gh 23 дні тому

    ❤❤❤❤❤❤❤❤ haar young boy you want Mamma's dié Mense 💔👏👏

  • @NamiriNamiri-oz4xs
    @NamiriNamiri-oz4xs 25 днів тому

    Mbona sehemu nyengine hazina squti.

  • @AminaSwaleh-f4x
    @AminaSwaleh-f4x 25 днів тому

    Move hazina sauti

  • @NamiriNamiri-oz4xs
    @NamiriNamiri-oz4xs 25 днів тому

    Hii ni kwa Sababu ni maigizo lakini kama ni uhalisia huyu mama Akili yake nusu hapa wanataka kumpima mwanamme anampenda nani na bora nani kati ya mama na mke wanasqhau hapa kila mtu ana nafasi yake mama una nafasi yako na mke ana nafasi yake sqsa mke anaweza kufanya hiki kitu akakipitiliza mama ukatoka kweli.

  • @Hussein5vtMada-ew2if
    @Hussein5vtMada-ew2if 25 днів тому

    Hi. Muzee. Yusuf

  • @SabraJuma-z1j
    @SabraJuma-z1j 25 днів тому

    Mbn sauti ina katakata tuu ah movie nzur ila mnaikat sauti

  • @SofiaMafuta-wh1ov
    @SofiaMafuta-wh1ov 25 днів тому

    Nini mbaya na sauti

  • @AishaMilaji-lt9vx
    @AishaMilaji-lt9vx 28 днів тому

    Endeleza uke wenza❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @Ndetanaa
    @Ndetanaa 29 днів тому

    Rekebisheni sauti .. kaz nzuri

  • @JokhaKhamis-z8e
    @JokhaKhamis-z8e 29 днів тому

    Wapi part 2

  • @nurianaramadhan
    @nurianaramadhan Місяць тому

    Zingatieni sauti jamani hatu enjoy maneno 2 tunaskia yanayofuata hatuskii

  • @munirhassan7250
    @munirhassan7250 Місяць тому

    Ila bro ume act kama bui vile embu kaza hiyo sauti kuwa kama rijali kweli kama shosti bana

  • @Fatmahajj-u1l
    @Fatmahajj-u1l Місяць тому

    kwan imekuaj saut