WAKE WENZA (SEASON 2) EPISODE 11-20
Вставка
- Опубліковано 4 вер 2024
- #Bhailam#Rachel#Naomy#comedyplus#2023#
⭐⭐ Disclaimer
This Content is Totally made by us, Don't use Sound or Reupload otherwise we are not Responsible for your Channel!
For Sponsorship, Advertisement/Marketing And Booking,
Please Contact Us Call/Whatsapp : +255758515863.
Video content managed by : Nasry Khan (Bhailam)
Subscribe hapa : www.youtube.co...
Subscribe hapa : / @bhailamkhan
Like Ukurasa wetu wa Facebook : / comedyplustz
Leo nimewah naombeni like hata 5 ❤❤❤❤
Jmn mm nipo sambamba na ep28 nasubir muendelezo,,walio pamoja na mm gonna like 👍 hapo tuende sawa
Nmechelewa lkn nmeifikia km team strong km wapenda mke mwenza like apa please love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mwendelezo basi
Movie nzr congratulations 👏👏👏👏 zenu
Hli ni bonge la movie naiaminia ❤❤❤
Keep on my brother hakika nifundisho kubwa sana good story na good character wamefanya good sana kifupi mm sioendagi riwaya za kitanzania waandishi wengi wanafeli ktk uandishi na uoangaji wa script naijua sanaa ila wewe mkuu umefanya well safi sana
Kazi sàfi, following from Kenya
Muliliye Mungu
Ibada mulimbuwa nasiya na wazazi wenu wawili wa muke na wana mwanamume
Vipi unaswali we mke mkubwa na nywele za kuunganisha SUBHANA ALLAH
Allah atuongoze jamani
Munafi analiya kumbe unafi waongo na furayi uwo ana atamimba
Kiukwel bailamu ❤❤upo vzr beg Story
Movie nzuri sana ❤❤❤❤❤
I love you Naomi May God continue blessing you
Bimkubwa anaweza zaidi ya sana to much love from kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nimafunzo mazuri sana
Nipeni like nimejitahidi kuwahi
Kwenda huko hizo like uzile au
Ila huyu JINI MKUBWA ETI JINI MKE MKUBWA NIZAIDI YAKIPAJI DADEKI😂😂😂😂
Ukiota ndoto baya amka u pray fungisha hayo wabaya. Movie poa sana
Jamani mbona hamtupi mapya kulikoni Jamani 😢😢😢tumesha boweka Jamani 😢😢😢
Mariam na mke mdogo wazuri sana
Baba anapa usiya nakutaja Mungu
Napeda vile Unavosogua❤❤❤❤❤🎉😊
Dah na ogopa waislam.
Nishatokea jamani nipeni like zangu basi kama nawe unafatilia hii movie 🎥🎥🎥😢😢😢😢❤❤❤❤❤😂😂
😂😂😂Ata shetani ubadilika na kuwa malaika😂mbavu zangu😂
Following you Mr Bahilam
B.mkubwa bhana c kwa Ruwani ao 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nampenda Naomi kuja nikubebe
Mbarikiwe sana
Hivyo vinyimbo vyake ktk hiz episode ni raha jamn
Eti we bwana chizi😅😅😅😅😅
Mwesho wa ubaya ni aibu
We can't wait 28 jamani 😢
❤❤❤
Kazi nzur
Nice movie
😂😅
Mnazingua bhana bando lenyewe la mkopo
Mupe bidoge bwake uyo narombaya unamuona
Unapenda atumiyi hekima na kupa kupa aki mwenza
Munanda kuganga unafanyiya wazone
👏👏👏
Mwambiye dada yoko utaka udanganye atowemimba atowi anakata
Kwanini msitoe episode inayokuja
Ukweli dada yako Anakupa usiya muzuri usitowi
Bi recho una vituko wafanya machezo na majini wakija kwa kichwa
NEXT PART JAMANI 😢👏
Mambo ni moto
Binadamu wabaya
Mwabiye ajuwe amefika kumwamba ana kuwa anaculikiya mukwewakee
Mnazingua jaman khaaa
Mnazngua achien muendelezo mnavuta xana axee😢😢😢
Mubaya nibaya
Ila recho jamani daah unajua mpka unajua tena
Mwanamke mbaya huyu duh
😂😂😂nikweli
Wambiya awo niuyo mukubwa wake
Ila huy mke mkubwa anabustani yake
Unapenda baba mukewako mukubwa jomunaya
Uwongo wsmsjini yawongo
Weye jomuobaya
Unafanya bizuri kuvujiya ajuwe unawake na Kubali
Leo ndefu au ndo mwisho
Mbona mmeiludia
Ndiyo usiya unambiya ibada joyalazima
Mnazegua mjuwe
Mwambiye uyo anarombaya
Murozi bikubwa wako
Mbna marudio wadau
Kwanini mnatuletea marudio sibora mnge kaa bilakutuletea chochote
Unakatamimba joyamadawa walishakugeza
Mbona kama marudio sasa
Hii ya zamani
Wa pili leo
Mbona marudio😢
Ndio nashindwa
Jaman mnaboa 😢
Mbon hamtum miendelez mnaweka vitu tumeshaangalia mnazingua nn
Ndo nn sasa jamn mbna mnardia
Jamani mbona hakuna jipya? Mmefanya marudio
Baba yako alikwambiya
Hebu tupeni hivyo vitu moto moto tupate kuungua. Viporo vya nn? Mnatuboa bana
Ndoto yakweli unaota
Wakwanza leo mbona kama ni marudio
Mbona inarudia hichi kipande
Maludio mbona
30
❤❤❤❤
❤❤❤❤
❤❤❤❤
❤❤❤❤