Uko na fasi tena apa Angola, tuna kusubiri sikumoja kuleta Habari njema, laminitis baba Mungu akulinde pamoja na jamala, watoto piano na mumewako anakupa fasi kwajili ya wewe kupashua Habari kupitia nyimbo za enjili.
UBARIKIWE SANA. Unanibariki Sana DA MARTHA kwanzia Kaz zako zipipoaanza natamani siku mmoja nionekane kwenye video zako maana nyimbo zako kwangu zinapia mapigo matatu Moyo,Rohoni na nafsini Kama utatu wa MUNGU. Hadi najaaga roho TU.nakunazidi kunikumbusha mi nimsafiri
Dada yangu Martha Mwaipaja wewe ni mwimbaji wa kipekee sana nyimbo zako zinaniingia kwenye mfumo wangu wote wa fahamu big up Marwa Sunday Mairabe from Rorya Mungu akupe maisha marefu yenye mafanikio tele.
Depuis 🇨🇩 congo 🇨🇩 ♥ nous aimons beaucoup soyez bénit richement la sœur Martha j ♥ aime beaucoup t'es chansons que Dieu mes donne aussi une femme qui chante comme toi c'est ma prière 👏👍👍👍🙏🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Barikiwa sana,,,,,,mashabiki wako wengi ni Wa Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 wakenya gonga likes tukisonga
Mimi nilicheza waliposema karibu kwa baba utapona wee Amina wimbo huu unanibariki Sana matha nakupenda sanaa
Uko na fasi tena apa Angola, tuna kusubiri sikumoja kuleta Habari njema, laminitis baba Mungu akulinde pamoja na jamala, watoto piano na mumewako anakupa fasi kwajili ya wewe kupashua Habari kupitia nyimbo za enjili.
Dada nakukubAli saana kwanyimbo zako natamani SKU moja tuje tuonane nikuone
Yani Huwa nafikambali sana nikisikiliza hu wimbo
HII nyimbo inanibariki Sana ,
Ubarikiwe momykweli umeitwakummtumikia mungu kwanjia ya uimbaji
Amazing 😍
Nilifurhia sananilipo ambiwa twende nyumbani kwa baba nimeona baraka zababa hongera sana kwawimbo mzur mungu abarik ameeeeeeeeeeee💃💃💃💃💃💯💯💯💯
*Be blessed Martha mwaipaja,, here in Kenya we love you so much* 🙏🙏🙏
I love your song and videos always yani nyimbo zako huwa zinanitia moyo sana na pia zinanitia amani na imani kwa yesu ,nakupenda martha
kiukweli ni MUNGU ANAFURAHISHA HEMAN MWAKE KUNA AMAN NA BURUDIKO LA MOYO TOSHELEVU...........UBARIKIWE SAN mama etu Martha
Michel kazaba APA Congo RDC tunafurayi kiku sikia❤❤❤
Be blessed Martha nyimbo zako zanitia nguvu kila mara, uli tumwa kama nabii kwa taifa la Mungu
Hubarikiwe Dada Martha kwa neehema mungu ana kufaniziya, ubarikiwe mara tena apa Kinshasa DRC
Ubalikiwe saaaaana
UBARIKIWE SANA.
Unanibariki Sana DA MARTHA kwanzia Kaz zako zipipoaanza natamani siku mmoja nionekane kwenye video zako maana nyimbo zako kwangu zinapia mapigo matatu Moyo,Rohoni na nafsini Kama utatu wa MUNGU. Hadi najaaga roho TU.nakunazidi kunikumbusha mi nimsafiri
Blessed one much love from kenya 💯💯💯💗💗💯💗💗🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nalifurahia waliponiambia tqende nyumbani kwa baba barikiwa sna dada martha
Nakupenda sana martha nabalikiwa na nyimbo zako
barikiwa mtumishi...mungu akuinue viwango❤
Dada yangu Martha Mwaipaja wewe ni mwimbaji wa kipekee sana nyimbo zako zinaniingia kwenye mfumo wangu wote wa fahamu big up Marwa Sunday Mairabe from Rorya Mungu akupe maisha marefu yenye mafanikio tele.
Amen kabisa hakuna penye Raha kama nyumbani kwa baba.barikiwa sana matha.
Ahk mama uwa unanijenga nikiwa inchini kenya MUNGU akubariki zaidi 🙏
Kipawa Cha kipekee....Barikiwa saana.
Walipo niambia tuende na nguvu za mungu dadaangu martha, asante asante dadaangu ubarikiwe daima,Adam bin Smith from drc congo 🇨🇩 beni tawn
🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏
MUNGU akubariki sana niko congo Drc niko mtangazaji natumia nyimbo zako sana katika vipindi vyangu vya mashauri.
Asante
Kazi safi mommy
calm, lovely message as Christians this is best encouragement we can have.
Nakupenda Sana
Barikiwa Sana napenda nyimbo zako pia kenya twakupenda
Yes u akubariki
Buana akubaliki sana
MUNGU NIBARIKI HALELUYA
Be blessed Martha mwaipaja, here in Tanzania we love you so much
Bila shaka nalifurahia waliponiambia twende nyumbani kwa baba... Nimeipenda ❤️❤️❤️
Nyimbo zote za Martha nikisikiliza huwa zinani bariki sana napata faraja natumaini Ubarikiwe ddangu Martha kipaji chako kizidi kunawiri
Wimbo ulio bora mamaa
Amen barikiwa zaidi
How can i meet this woman of God, I love your songs ..my ways are being opening by listening your songs ..
Nyimbo za ni funzo kwa ulimwengu dada bwana akutie nguvu sana
Again in kenya we love your ministry, pay more visits and features with our artists and you will be more blessed
Barikiwa Sana hapa Kenya twakupenda
Nyimbo nzuri asante kwa kutubariki.
Baraka za baba ziandamane nawe Sikh zote🇸🇸
We love your songs our beloved sister your songs are encouraging may God continue blessings you
Mungu niwa bien
Mary from Nigeria May the Almighty God bless you for blessing us with song
Remain richly blessed
Mungu akubariki
I love your songs from Kenya 🇰🇪
Haleluuuuuuuuya 💃🏾💃🏾💃🏾💃🏾💃🏾💃🏾Hakika inanifurahisha kwenda Nyumbani kwa BABA
Ubarikiwe dada Martha. Nyimbo zako zinanifariji. Mungu Mungu akujaliye mema
Kwa.yesu.raha.tupu.jamani.
Joy joy joy 🤣🤣🤣in the house of the Lord. Mungu azidi kukutumia uwe baraka Kwa wengi..hakika nyimbo zako zinainua moyo ulioshuka.barikiwa martha
Endelea kiidhi ,mungu apate ushindi Kila mara.Ubarikiwe dada yangu
Nafurahi nkiwa Kenya
Awesomeim alwaysz blessed by ur sooongs darling
Depuis 🇨🇩 congo 🇨🇩 ♥ nous aimons beaucoup soyez bénit richement la sœur Martha j ♥ aime beaucoup t'es chansons que Dieu mes donne aussi une femme qui chante comme toi c'est ma prière 👏👍👍👍🙏🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Hakika kwa baba Kuna vyote
Maman wa imani
Thanks martha ur Normally my role model when i listen to ur songs I really feel to be blessed
Once I listen to Martha songs I get so releaved am happy to be in the house of the Lord
Listening from USA.
Barikiwa sana dada yangu martha burundi 🇧🇮🇧🇮tunakupenda sana tena sana
Hi,this is a talent on another level,barikiwa DADA.
I love ❤ you my sis Martha
Frère Patricia
Mungu azidi kukuonekania
Uendelee mbele , Mungu akubariki.
Your songs,make me to stand up again be blessed Martha we love you 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hallelujah nilifulahi twende twende kwa baba
Martha mwaipaja Mungu akuinuwe kwa kibali cha uimbaji 🙏🙏🙏🙏🙏🙏nabarikiwa kila siku
Be blessed martha,,,,,na ninangojea (Nifundishe kunyamaza)pia(Nakutama mpenzi wa karibu) i love those songs 🇱🇧🇱🇧🇰🇪
NAKUPENDA SANA MARTHA NAKUOMBEA ILI MUNGU AKUPENDAYE ZAIDI AZIDI KUKUTUMIA.
First viewer
Gods grace ,the song is really blessing my heart amen sister martha
God 🙏 bless you mum every day I listen to your song I feel good Mey God protect you mom I love you mum
Good work.press on
In the presence of God, there is fullness of joy. Oh how I love Jesus
Amen 🙏🙏🙏.ak mungu azidi kukubariki dadaa nyimbo zako za n tia nguvu kweli❤❤❤❤❤
Barikiwa sana twakupenda sana matha
Mungu amekutumia kuwa baraka kwangu...umefariji moyo wangu sana
I like it.
Ata mimi nilifurahia sana for this song may god bless your voice
nakupenda bure matha am a muslim but i really love your songs be blessed dear
Uuuyyaayyyyyay
Hongera sana Mama kwa kubuni wimbo mzuri.
Mungu akuongoze kila siku🇧🇮❤🇧🇮❤🇧🇮❤🙏🙏
Wow!!! Imazzing you're the one how sees blessings of God thank you😊
All time favorite artist and God PROFET 🙏
I love your songs may God reigns blessings to you dear, love you from Kenya
God bless you sister Martha Mwaipaji. Your songs are blessings us here in Kenya🙏
Xkgc
Xnemxet
Xnemxet
Barikiwa dada ...mob love from kenya.....
KUDOS MINGI MINGI Saaaana!!!
I love u wth ur songs may u continue spreading gospel songs 🥰🥰
Aside the divine songs, your modest dressing depicts a real gospel singer gathering souls for God
Amen, barikiwa sana dada Martha #from Kenya
You are blessed and a blessing to many in Kenya. Songs of encouragement.
Nilishinda baada yakwenda nyumbani kwa Baba yangu
Ubarikiwe sanaaa
Anyone else feel lyk I feel 🤷🤷I feel blessed