I remember in 2021 when I used to struggle a lot, and when in deep prayer, God told me that he will put me above my peers. Because he is faithful and he is not a man to lie, He fulfilled his promise. I see myself now and for sure, God has given me an upper hand in so many things. Every time I listen to this song, it reminds me to stay humble regardless of what I have. May God grant me a heart of humility for the rest of my life. God gives grace to the humble but opposes the proud (James 4:6).
Kuna daktari tumedate after kutoka kwake nikipiga simu anaiangalia tu ,,, but mwishowe ameniacha but safari Bado,,, ipo siku mungu atanipea mwanaume wa maana
I remember nikiwa kwa basi from nairobi to isiaya nilisikiriza ika nifunza mengi sana nikaenda UA-cam nika download lazima siku haishi bila kusikiriza 🙏🙏
This song came up to my heart today. Listening and feeling blessed. Mungu anisaidie nikae vizuri na yeye na watu wake sababu safari bado. 26/04/2024@ 9:42am
Mungu nisaidiye niweze kutambuya ya kwamba safari bado ndani ya maicha yangu piya ni weze kuhechimu wengine.mungu akubariki papa bony kwa iyi maubiri kupitiya nyimbo
Before nivuke mwaka I dedicate this song to our current government ( kenya) all members of Parliament at large and all the honourable they call themselves
Am a Muslim but the song really inspired me alot while i was in training,,, so any time i listen I remember my C.O FoLEa ,,, it was the first time I had the song and I got the courage to end my course.
This message goes to current governor of tharaka nithi . continue grabbing people's land God is watching you But one day God in heaven will be proven by his believers.
Yaan hii nyimbo siezi maliza siku bila kuiweka inanifunza mengi,aki tuombe mungu Sana atupee macho na akili za kirohoo tuweze kufahamu ndani yetu Kuna rohoo Gani,Amen🙏
Who else is here 2024 safari Bado tuweke kiburi na madharau pembeni
I'm here even in 2024
Mimi hapa
❤Mimi hapa
Nko sasa ivi
And you can guess why😊
2025 who is here...safari bado tuweke kiburi kando .tumutumanie Mungu🙏
Amen
hi
Amen, really
Woke up with this song today in my heart and head i had to listen to it 3/04/2024
Who else is here 2024 bora kujijusha sikuzote safari bado
Me mwaka 2024naisikiliza hapa
Mimi pia naisikiza apa
Daah barikiwa sana wapiga kinanda na kinubii na singer Mwaitege na Bahati who is here 2025
Kbxa yan wanapiga vzur hta ukiskiza waskia malaika yanasimama
Hii wimbo inanikumbusha tarehe 20 mwezi wa saba mwaka huu saa 10:40 nikimwangiwa maji chafu na kijana ya boss yangu . 😭😭😭😭😭
Pole sana 😭 mamy duniani kuna mapito mengi Sana🙏
Pole Sana Aki
Wueh hii umecram adi time.😭😭😭Been there I feel your pain... I'm sorry you went through that
What the hell is he! Pole sana, siku moja utafanikiwa. Watakusalimia kwa heshima.
Usijali.. Tables turn..
Wimbo unanikumbusha nilipokuwa chini now I'm a boss safari Bado tuheshimiane wapendwa
Ameni
Heyyy
Hi boss
👏👏👏
Amen, Glory to God 🎉
I remember in 2021 when I used to struggle a lot, and when in deep prayer, God told me that he will put me above my peers. Because he is faithful and he is not a man to lie, He fulfilled his promise. I see myself now and for sure, God has given me an upper hand in so many things. Every time I listen to this song, it reminds me to stay humble regardless of what I have. May God grant me a heart of humility for the rest of my life. God gives grace to the humble but opposes the proud (James 4:6).
Good to hear & God bless more & more. I’m blessed by the song even though I only understand the word safari
Kuna daktari tumedate after kutoka kwake nikipiga simu anaiangalia tu ,,, but mwishowe ameniacha but safari Bado,,, ipo siku mungu atanipea mwanaume wa maana
Kama umefika hapa baada ya kusikia habari kuhusu kifo cha huyu bigwa piga like, Long live Bonny
Upuuzi. Ulimuua au?
Tuko wengi
Tuko wengi
Nko hapa
Nimesikia vibaya nikisikia bad news Leo nasikiza nyimbo zako usiku wote.uishi cku mingi bro
Hii safari haina mwisho na hata ukifa unaanza nyingine ya kuzimu kulingana na ulivyoishi duniani, hivyo tuombe sana.
Asante mungu kwa upendo wako ila safali bado mungu naomba unishike mukono hapa nilipo siwezi kuhaishi pecke yangu ❤❤❤❤❤
Safari Badoo mungu noondoleye kiburi baba 205🙏🙇
Watoto wa 2000 hii imewakuza paka leo 2023 ila safari ndo kwanza 😅😅😅😅
😂😂😂 2024 sasa❤🎉
😂😂
🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂
Huu wimbo hunifunza jambo mbarikiwe
Ubarikiwe 2024. Congo Kinshasa 🇨🇩⚔️
Safari bado, mungu niondolee majivuno, kiburi, madharau , na mapuuza Amen🙏🙏🙏 if you watching 2021 december give a like and God shall bless you
Safari bado
Naipenda sana hii nyimbo
Safari bado. Still Watching in 2023
Safari bado yes It Is true 🙏🙏🙏❤️💯 true, ni mwema sanaaa thank you so much pour le rappel 🇨🇬🇨🇬🇨🇬
Listening from Zimbabwe it's awesome
Inanikumbusha babangu akikataa kunilipia fare ya kuenda chip kufanya exam 6 years don't the line I loose hope in him😢😢😢
Who else is still enjoying this gospel music in October 2024?🎉🎉🎉
November here
January 2025
Watu,wote,muko,wapi,mohone,hili,nyibo,wacheni,tabia,yaku,watharau,watu,kiburi,ni,baya,sana,tena,heshimu,watu,wengine❤❤❤🎉❤🎉.
Nilifikiri nimefika,kumbe Safari bado mungu nipe nehema🙏🎀
Wimbo huu ni Tiba kwangu
Good song reminding people to humble them selves❤
Mungu wangu nikisema nitaonekane nasafisha njia yangu kwa wanadamu wezangu,ila mpk nipo hapa Baba ni wew .SHAGGY nipo USA
Huu wimbo una upako wa juu. Shukrani kwa Mwaitege na Bukuku. Love you both. Perfect collaboration
Shukrani kwa Roho mtakatifu aliyewaimbisha
Be humble in life, safari bado. Hujafa hujaumbika ati!
I remember nikiwa kwa basi from nairobi to isiaya nilisikiriza ika nifunza mengi sana nikaenda UA-cam nika download lazima siku haishi bila kusikiriza 🙏🙏
This song came up to my heart today. Listening and feeling blessed. Mungu anisaidie nikae vizuri na yeye na watu wake sababu safari bado. 26/04/2024@ 9:42am
Ukowapi njeri?
Humble your self down and God will lift you up
Huu wimbo unifunza maisha ni safari tuwe na heshima kwa watu wote
Nabarikiwa sana na nyimbo ❤❤❤
Walisema bonny amekufa lakini mungu ni Nani
Ombeni mungu miaka mpiya 2025 mungu amubariki merci 🙏
Kbx bad safari bad❤❤❤
Who listens Same song as me in 2025🥰🎉 from Congo Kinshasa 😁
Mungu nisaidiye niweze kutambuya ya kwamba safari bado ndani ya maicha yangu piya ni weze kuhechimu wengine.mungu akubariki papa bony kwa iyi maubiri kupitiya nyimbo
ubarikiwe mwaitege, hii nyimbo imetufunza mabo meng sana kwenye huu uso wa dunia
Who else is year after receiving some Bad News about Bonny mwaitege , may God keep you long sir , safari bado
Safari bada kweli mungu pamoja na mm kila hatuwa nifike salama 🙏🙏🙏🙏🙏
We rebuke the spirit of death in Jesus name may the servant of God live to proclaim the greatness of God.
Ni lazima kuishi vizuri na watu na pia kumkumbuka Muumba wako kila siku maana safari baaado.
Kiburi inayonesha kuwa ci vizuri kutofuhoro mungu kwani yeye mungu pekee barikiwa sana
Nikisikilizaga huu wimbo kiburi cha uzima huwa kinaniisha kabisa😢
Wimbo mzito huu.
Wimbo huu Mara kwa Mara unatufunza menge kuhusu maisha, Mara majivuno Mara kiburi, Aarau tunasahau kwaba safari hatuja maliza.
Mungu atuhurumie sana inaitwa kiburi cha uzima
Mungu nisaidie niwache kiburi na madharau
Always keep going with respect goodblessed song
Sijawai hata!tharau mtu;BT mm nimetharauliwa.toka kwa ndugu Dada,hadi mke wangu.
Take heart brother 😢 ipo siku
2024 safali badoo inaendelea❤❤❤
God help me nisikue na kiburi au matharau
safari bado kabisa 🙏🙏
I like this song when i was about 6 yrs old but now i have 18 yrs old
Aki bonny umeinua io bbilia yko ikafanya niaze kuimis ile yngu yotee,,,hadi ntakua natembea nayooo wallae na popote nilipo🙏
Usiseme umemaliza mwaka kuna , safari bado
Safari bado 😢😢😢😢😢 but it rust in the it shall be well with me true this journey
Before nivuke mwaka I dedicate this song to our current government ( kenya) all members of Parliament at large and all the honourable they call themselves
Am a Muslim but the song really inspired me alot while i was in training,,, so any time i listen I remember my C.O FoLEa ,,, it was the first time I had the song and I got the courage to end my course.
Twende pamoja nawe Yesu , safari peke yangu siwezi
Ndigu zangu safari bado usijione umeshafika
Thank bony mwaitaingwe and your sister Bahati for good song.❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Safari ingali Bado ..Mbali na changamoto hizi za ujana nina Imani nitafika .Amina
Inyimbo inanikumbusha bigi😢😢😢😢🇧🇮🇧🇮
Nyimbo tamu sana Mungu awaongeze zaidi na zaidi mbarikiwe sana miamba yauimbaji wa nyimbo Injili.
Safari badooooooo MTUMAINI MUNGU USIMWACHEEEEE MUNGUUU
Amen amen bro barikiwa sana wimbo safi sana mtumishi wa mungu amen 🙏🙌
Ingelikuwa wanadamu tunamasikio Sawa hatungekuwa nakazarau kuwengine kabisa . merci sana kwa maonyo
Funzo kubwa kutoka Kwa huu wimbo .... Glory be to God 🙏
Mungu anisaidie nyenyekea nisiwahi dharau mtu.
This message goes to current governor of tharaka nithi . continue grabbing people's land God is watching you But one day God in heaven will be proven by his believers.
It looks really ❤❤❤❤❤😊😊😊
Here in 2024 and still feel blessed with this song. I believe God is doing great things in my life through this song
wimbo una nijengaka sana barikiwa mtumishi wa MUNGU
Mungu tusamehe kwa madharau.Hakika hatujafika.Safari bado.Uwe nasi.
Usipo zarahu umasikini ata unapo patikana tajiri ya hii dunia
Kweli safari bado
Yaan hii nyimbo siezi maliza siku bila kuiweka inanifunza mengi,aki tuombe mungu Sana atupee macho na akili za kirohoo tuweze kufahamu ndani yetu Kuna rohoo Gani,Amen🙏
Mimi ata dix fois par ça me ramène aussi dans le droit chemin
Óóoó up to
Amen
Amen
Amen 🙏🙏
Uhu wimbo unanikumbusha wakati nilikuwa naishi nyumbani za famille.
Watching from Nairobi,Kenya this song humbles me kweli safari badoh
Niko katika drc nimbo iZi zinanifundisha mengi
The best Swahili gospel stars in Africa
Nikweli madharau hayafai hata kidogo
Amina munguazidi kuikuza karma ndani yako
Nikisikiliza tu huu wimbo naskia kulia🙏🙏🙏🙏 yaani nikama naskia kuokoka🙏🙏
Utukufu Kwa YESU KRISTO Amen
nyimbo zuri san mama napenda kisikiliza nyimbo yako haijalishi ni za muda nakupenda san dada
Kwakiburi nilichokuanacho mm baraka mungu anisamehe barikiwa muhubiri.
Bonny umenyamaza sana karibu Kenya tumekukosa sana katika Huduma
Ee Mungu nakuomba unijalia hekima na utii huku nikithamin watu maana safari yangu badoo🙏🙏
Mungu nisaidie nisiwe na majivuno
Mungu ni mwema wakati wote
Amen bado safari long way to go 2024🙏🙏🙏
Tunaelekea 2025 bado ni hit song🔥
Mungu wangu safari yangu bado
Muratwika turabakunda burundi ngozi marangara kirimba 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🙏
Safari bado inaendeleya kwakweli 🙏🙂😃💝😀
2024 Safari bado inaendelea.......
Nyimbo nzuri nakupenda Dada Bukuku
Mungu zidi kutuongoza kwa hii safari