Beatrice Mwaipaja - Ni Mungu Tu (Official Audio)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 523

  • @PriscellahNjoki
    @PriscellahNjoki 21 день тому +55

    kama wajua ni mungu tu nipe like❤

  • @MauryneAshiali
    @MauryneAshiali 7 місяців тому +79

    Team ke ke ke ke🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 let's show our love here💃

  • @FrouranceAkinyi
    @FrouranceAkinyi 2 місяці тому +105

    Wenye tumesikiliza more than 70 let's gather here ❤❤

    • @Emily-sj3ot
      @Emily-sj3ot 2 місяці тому +5

      Hata niko nadance tu kwa myumba peke yangu

    • @CarenNamai
      @CarenNamai 2 місяці тому +6

      Me more than 100times

    • @RyanmashBouyance
      @RyanmashBouyance 23 дні тому +4

      I'm on the way

    • @agnesmutindi3094
      @agnesmutindi3094 21 день тому +4

      Here I am❤

    • @GuilaineFuraha
      @GuilaineFuraha 12 днів тому +1

      Que Dieu vous bénisse ma sœur 🥰cette chanson m’a beaucoup béni 🎉je n’arrive pas à couper le son 😊

  • @gladysosoro8963
    @gladysosoro8963 23 дні тому +25

    Baada ya ushuhuda mkuu,,mwenyezi mungu akufungulie milango ya kheir,akutangulie ktka kila jambo🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️♥️

  • @winmedmandela795
    @winmedmandela795 2 місяці тому +107

    😮😮😮Six months yet nimejua huu wimbo Jana??????Team tiktok gonna like.... Enyewe ni Mungu tu

  • @AdonisSifa
    @AdonisSifa 23 дні тому +18

    Tupe video. Usijali wengine tumeelewa kila kinachoendelea na shida ilipo

  • @hassanmbwambo8097
    @hassanmbwambo8097 19 днів тому +10

    Wewe dada ni mkali sana dada yako hakufikii hata kidogo sikuwa nakujua ila nyimbo nasikiliza sana na ninazipenda sana kuliko maelezo

  • @Selina-n7j
    @Selina-n7j 20 днів тому +16

    Jaman je naeza comment hata mara mia juu hii nyimbo imenigusa🎉😅

  • @CynthiahKerubo-u3r
    @CynthiahKerubo-u3r 23 дні тому +33

    What🤔sikuwaijua huu wimbo ni wa huyu dada nimekuja hapa kutoka TikTok after kuona testimony akilia aki🙏🙏🙏

  • @gracendaki4515
    @gracendaki4515 22 дні тому +10

    Mungu awape patanisho la familia katika jina la YESU KRISTO,Ameen

  • @puritymusidoke9481
    @puritymusidoke9481 2 місяці тому +32

    Coming from tiktok,Ni Mungu tuh😢🙏

  • @AnnbrendaShikuku-h7z
    @AnnbrendaShikuku-h7z 15 днів тому +8

    Kama wewe ni mkenya unampenda mungu like

  • @MiracleEagleofAfrica
    @MiracleEagleofAfrica 3 дні тому +1

    Greetings watching from Zambia Lusaka I love this song may God bless you Woman of God.
    Nimungu tuu ❤❤😊Hallelujah even though I don't understand Swahili you are blessed Mama 🎉🎉🎉❤❤❤

  • @Marya.90
    @Marya.90 2 місяці тому +28

    Have survived the whole of this year jobless.
    I can just say Ni Mungu tu.
    Atafanya njia Mwaka ujao Nina Imani.

    • @carolinemukhwana9899
      @carolinemukhwana9899 2 місяці тому +2

      @@Marya.90 Amen 🙏

    • @ruthmuthini7022
      @ruthmuthini7022 Місяць тому +2

      We unasema one year am 41 now never had a job only for 6 months since I was born imagine how it's been but God never fails

    • @wilkistermagaki9426
      @wilkistermagaki9426 25 днів тому

      Finished college 2015,,,no job to date. Got married, failed, with two kids and still going strong.

    • @ruthmuthini7022
      @ruthmuthini7022 24 дні тому

      @@Marya.90 hiyo ni sauce people have gone through hell God is our source and supply

    • @RyanmashBouyance
      @RyanmashBouyance 23 дні тому

      It gonna be well

  • @EliMsuya
    @EliMsuya 22 дні тому +12

    Dada nakupenda sana ujue wimbo mzuri sana

  • @TabbytheeJournalist
    @TabbytheeJournalist 22 дні тому +10

    Beatrice nakupenda dada❤❤Mungu akuinue kwa viwango vya juu zaidi na zaidi❤❤

  • @arnoldkalemela5078
    @arnoldkalemela5078 8 місяців тому +40

    Lets gather here those who have listened more than 50 times ❤ 4:00 -5:00

    • @JoyAkeyo
      @JoyAkeyo 8 місяців тому +1

      Here I am

    • @LilianLudisi
      @LilianLudisi 2 місяці тому

      Very powerful song👏👏👏🙏✋

    • @risperkubai8431
      @risperkubai8431 2 місяці тому

      I just looped it.. this is personal. ❤❤❤

    • @SuzanNambi
      @SuzanNambi Місяць тому

      Here I come

  • @georgeoyombe1440
    @georgeoyombe1440 8 днів тому +2

    God bless you for this song. I heard about this song in November 2024. I has been a real blessing to me and my family. It always begets me to the heart of god. Ni Mungu Tu. God Bless you ABUNDANTLY

  • @isselwaga2053
    @isselwaga2053 21 день тому +11

    huu wimbo mzuri nyie khaa

  • @jackiechacha2151
    @jackiechacha2151 27 днів тому +8

    Ugonjwa huu watu Huwa hawaponi wanajiuliza nimeponaje, najibu ni Mungu tu, nasema ni Mungu!!

  • @zighemargaret
    @zighemargaret 2 дні тому

    Keep firing Dada God is on your side forward ever backwards never. Be strong no matter what. God never fails his people

  • @purity8975
    @purity8975 День тому

    Ak n mungu kunfikisha mahali nlipofika🎉🎉🎉🎉

  • @kalistarkwamboka
    @kalistarkwamboka 24 дні тому +11

    Maisha yangu nikiwa 14 years niliugua kifua,but vile niliamua kuja saudia majibu yote ya hospital yakatoka yakiwa clear,watu wakwetu awakwamini ety nimemaliza proses niko Saudi niko na miaka mbili na miezi 5 sasa I Thank God forever 💖

  • @lydianamusia4380
    @lydianamusia4380 21 день тому +5

    Asante dadangu kwa ajili ya huu wimbo umenibariki MUNGU ni wewe tu kwa umbali huu🙏🙏🙌🙌🎉🎉🎉

  • @beatricemaleve
    @beatricemaleve 22 дні тому +8

    Wonderful song my namesake Ur a such a blessing to many

  • @faithmutheu171
    @faithmutheu171 8 місяців тому +24

    Kama sio mungu na Israel aseme..... Ni Mungu tu amenisaindia, amenipingania, amenitetea, amenishindia, amenitengeneza, amenifanikisha, amenivukisha... Asante Mungu🙏
    Much love to you @BeatriceMwaipaja from kenya

    • @edwinkunyonyi1191
      @edwinkunyonyi1191 8 місяців тому +1

      Your visit at JCC Tassia was a blessing.Barikiwa ukibariki

    • @valentinewanga8710
      @valentinewanga8710 5 місяців тому

      🙏🙏🙏🙏 ni Mungu tu,,,

    • @valentinewanga8710
      @valentinewanga8710 5 місяців тому +1

      🙏🙏🙏🙏 ni Mungu tu,,,

    • @BelyseNiyodusaba-th5om
      @BelyseNiyodusaba-th5om 2 місяці тому +2

      Ni mungu tu amenisaidia. Amenitetea amenifania. Kila kitu mungu Asante kwa yote uliniotendea Béatrice nakupenda sana from Burundi 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @mercyodero7059
    @mercyodero7059 2 місяці тому +17

    My wedding song is here..ooh ni mungu tu😭😭 . be blessed my sister.

  • @leoniakimati3434
    @leoniakimati3434 13 днів тому +2

    Ni Mungu ni Mungu tu amenishindia,amefanya njia,Kanitetea,unauliza imekuwa je?
    Mimi ndio yule ninayetetewa na Mungu.Ushindi wangu ni Mungu tu

  • @JudyWeree
    @JudyWeree 21 день тому +6

    A part from the word of God I am in love with her voice

  • @HappynessiZakaria
    @HappynessiZakaria 21 день тому +5

    Huu mwimbo nifunga mwaka umeweza sana Dada

  • @SilviaJairo-vt1vb
    @SilviaJairo-vt1vb 4 місяці тому +10

    May the biological father to my daughter who abandoned her at her time of need one day ask such questions after her achieving mega success in life in Jesus 😭🙏

  • @violetsimiyu6085
    @violetsimiyu6085 28 днів тому +4

    Ni mungu tu nilijua tu nimeisha But God loves me so much

  • @sharonkerubo
    @sharonkerubo 20 днів тому +2

    Team 🇰🇪 hyu dada Ako na kibari ..ni mungu tu❤❤❤❤🙏🙏🙏

  • @becky_a1230
    @becky_a1230 11 днів тому +2

    Ni mungu tu🙏from TikTok God bless you mama

  • @AnnitaShishi
    @AnnitaShishi 2 місяці тому +4

    Nmellia saana Leo hii wimbo nmepatana nayo kaa Niko katika mapito yngu ya Dunia nmeirudia saana woiye imenipa moyo ni mungu TU 😭😭😭😭🤲🙏🧎🏻‍♀️

  • @SophiaMogitu
    @SophiaMogitu 22 дні тому +6

    Waoooh uko vizuri sana

  • @mitchellmarura7507
    @mitchellmarura7507 28 днів тому +8

    They are still asking...but am telling them ni Mungu tu❤❤this is my testimony song ❤❤

  • @AmisamauridNgagada
    @AmisamauridNgagada 5 днів тому

    Dada Bite umeng'ara xana nakuombea karibu Tunduma utuimbie 🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥

  • @edwinrichard3924
    @edwinrichard3924 22 дні тому +5

    Nice song, Nimeusikiliza after her testmon trands.

  • @emmanuelmatola234
    @emmanuelmatola234 21 день тому +4

    Amen.... Mungu mwema Sana utavuka dada❤

  • @tinabm-f4
    @tinabm-f4 8 днів тому

    Direct from tiktok ,meeen this song is a blessing this year.i pray

  • @chany9950
    @chany9950 23 дні тому +5

    Duuuh ni mungu tu Beatrice nakupenda mno😘😘🙌🏾🙌🏾🙏🏾🙏🏾

  • @classicalpremier28
    @classicalpremier28 Місяць тому +5

    Good work Beatrice
    We are just loving it
    While playing it on repeat

  • @OpportunityChance
    @OpportunityChance 21 день тому +4

    Naupenda pia

  • @NellyBilal-t8g
    @NellyBilal-t8g 22 дні тому +4

    ❤❤❤Mimi ni dhahabu I love that song

  • @clarenasimiyu945
    @clarenasimiyu945 23 дні тому +6

    Coming from TikTok

  • @RittahndungeWambua
    @RittahndungeWambua 26 днів тому +6

    Hii wimbo imenitoka machozi kulingana na ile ajali nilipata last weekend

  • @MelaniaAnney-t9f
    @MelaniaAnney-t9f 8 днів тому +1

    Nyimbo tamu sana aisee Mungu mwema nakupenda snaa we dada na nyimbo zako zote

  • @bettyshiro6300
    @bettyshiro6300 День тому

    This will be my wedding song this year😊

  • @HenryYona-c5x
    @HenryYona-c5x 2 місяці тому +10

    Huu wimbo nimeujua jana tu ujumbe niloukuta nasikiliza kilamala dada asante kwa kututia moyo

  • @isaacombati4240
    @isaacombati4240 27 днів тому +4

    😭😭😭😭 this my song indeed
    Ni mungu tu not anyone's favor

  • @josephinekerubo8807
    @josephinekerubo8807 4 дні тому

    I thought ni new song ❤❤❤I really love this lady may God protect her always

  • @naazizimuniss989
    @naazizimuniss989 12 днів тому +1

    Umimba vizuri dada

  • @florashauri9228
    @florashauri9228 23 дні тому +3

    Hallelujah,Wimbo mzuri sana,Ni Mungu tu❤

  • @FaithAmagove
    @FaithAmagove 15 днів тому +1

    Nmeskiza sanaa hii wimbo ticktock ❤ adi nmeamua kutafu nimegus2a sanaa

  • @NellyUshindi
    @NellyUshindi 5 місяців тому +8

    Can't get enough of this song, i came across it on TikTok and came you to download it actually it's God🙏 today, tomorrow and forever ❤️🙏

    • @Hamina-r9o
      @Hamina-r9o 2 місяці тому +1

      Too emotional ,🙏

  • @josephmuli8300
    @josephmuli8300 20 днів тому +2

    hakia ni MUNGU tu

  • @eunicebiyaki8470
    @eunicebiyaki8470 19 днів тому +2

    Wimbo mtamu sana na wakutia faraja ❤

  • @angelakeya6467
    @angelakeya6467 Місяць тому +2

    Nimepona Kwa sababu NI MUNGU TU. My song of the season

  • @mulobotigodfrey7172
    @mulobotigodfrey7172 21 день тому +1

    Ushuhuda umefanya nikaanza kufuatilia nyimbo zako ,,,Mungu aipanue mipaka Yako

  • @tinabm-f4
    @tinabm-f4 8 днів тому

    Huu wimbo jamani ,I can't stop replaying again and again

  • @felistermsigala-ew5jy
    @felistermsigala-ew5jy 17 днів тому +1

    Hongera sana dada Kwa wimbo mzuri sana hakika ni Mungu tu, naazidi kukuinua

  • @joyceaseyo8196
    @joyceaseyo8196 15 днів тому +1

    Enyewe ni Mungu tuu.no matter what challenges we face in life,God is our final answer.feeling blessed 🙏

  • @irenedama9748
    @irenedama9748 27 днів тому +3

    My anthem gospel song..can't have enough of this song...the lyrics 🙌👏👌. Truly God remains God

  • @maggynyaboke9215
    @maggynyaboke9215 19 днів тому +5

    Mimi ndio yule napiganiwa na mungu

  • @reginaaloyce4055
    @reginaaloyce4055 16 днів тому +1

    Nyimbo nzuri sana

  • @josephineAssenga-o5g
    @josephineAssenga-o5g 8 днів тому

    Toa video dada, hapa umeweza sana💕💕

  • @RitahOdoli
    @RitahOdoli 23 дні тому +2

    It has been God in everything in my life

  • @nancydaniel8916
    @nancydaniel8916 16 днів тому +1

    Mungu azidi kuinua huduma yako kwa viwango vya juu🙏🙏🙏

  • @pesh-yn8ui
    @pesh-yn8ui 13 днів тому +2

    Hallelujah

  • @preciousmaggie5865
    @preciousmaggie5865 18 днів тому +3

    TikTok imenifikisha nyumbani😍

  • @emeldaoloo4556
    @emeldaoloo4556 14 днів тому +1

    Wow! dada kupitia wimbo yote umezungumzia maisha yangu....am I love with this song naweza irudia through the day ... may the lord almighty guide you and bless you for me mummy in Jesus name 🙏🙏🙏

    • @WiselightOfficial
      @WiselightOfficial 14 днів тому

      Kama mm yaan Aisee nimebarikiwa sana tamgu niusikilize huu wimbo

  • @SophiaNdilito
    @SophiaNdilito 16 днів тому +1

    Mungu Akubariki Nimebarikiwa saaana Na Kupata nguvu ya kiroho kupitia huu Wimbo Ni Mungu tyu🙏🙏🙏♥️

  • @AnitaDengwa
    @AnitaDengwa 19 днів тому +1

    Ni Mungu2 continue to make giant steps Betrice only God know you

  • @Magoma.thequeen
    @Magoma.thequeen 23 дні тому +3

    your story touched me in a different way 😢 may this God that you've decided to serve in truth and faith locate you in Jesus name🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @emtichebs3049
    @emtichebs3049 2 місяці тому +2

    Amen Amen Amen! Amenisimamia kwelikweli. NI MUNGU TU! Amenisamehe, amenitoa kwa ugonjwa , etc etc Asante mungu , endelea kunitetea mpaka nifike mbinguni. Amen.

  • @thechapter304
    @thechapter304 11 днів тому +1

    Wow,can't get over it OMG!This is a blessing.🙏

  • @DjayIvovevo
    @DjayIvovevo 19 днів тому +1

    It's true story,ni mungu tu, Glory be to him🙏🙏🙏

  • @SuzyMukhawana
    @SuzyMukhawana 19 днів тому +1

    Wow nice song 👏🥰🥰

  • @MILLICENTMUKASIA
    @MILLICENTMUKASIA 27 днів тому +2

    This song is touching my heart, I have gone through a lot but God did it to me. People wer calling me different names 😢 but thanks God

  • @Selina-n7j
    @Selina-n7j 20 днів тому +2

    Hii n testimony song ,n mungu tu

  • @mpiganajiben3652
    @mpiganajiben3652 23 дні тому +2

    Ujumbe mzuri na sauti ya ushuuuda ❤ barikiwa beatrice

  • @JudyNdanu-y6p
    @JudyNdanu-y6p 3 місяці тому +3

    Amenipigania kwa wenye nguvu ..asiyezuiliwa na mipaka,,ACHA t ajae huyu mungu

  • @sharonkakai
    @sharonkakai 19 днів тому +1

    Team kenya lets support her❤😊

  • @carolinenafula9414
    @carolinenafula9414 13 днів тому +1

    Tumaliza strong Kwa kweli wanauliza tumefikaje

  • @SpeisBonaventure-m4q
    @SpeisBonaventure-m4q 19 днів тому +1

    Ni Mungu tu sifa na utukufu ni kwake

  • @eunicem5647
    @eunicem5647 Місяць тому +1

    Team strong muko wapi pliz niwaone hapa huu wimbo ni wetu 🎉🎉nimeama tiktok kumbe mambo hiko hapa nimeshikiza fulu akika ni mungu ❤❤

  • @Starbowy10k
    @Starbowy10k 26 днів тому +3

    Mungu ni mweza wa yote.👌

  • @danielkyalo5666
    @danielkyalo5666 23 дні тому +3

    Wow very nice song to motivate someone in life "ni mungu tu" keep it up.

  • @virginiamasika5953
    @virginiamasika5953 8 днів тому

    Ushuhuda wangu huu!

  • @GgGg-k8n7f
    @GgGg-k8n7f 19 днів тому +1

    Mungu azidi kukuinua ❤

  • @thegarvins3064
    @thegarvins3064 Місяць тому +2

    Ni Mungu tu...i thank you Lord🙏

  • @witnessmjema4188
    @witnessmjema4188 19 днів тому +1

    Barikiwa dada🎉🎉

  • @NuwatahoSteven-z5x
    @NuwatahoSteven-z5x 25 днів тому +3

    Nimungu kabisa,I wish people can feel what I feel God bless you maama

  • @RachelEmid-jq6eo
    @RachelEmid-jq6eo 18 днів тому +1

    Ni Mungu tuu❤❤🔥🙏🙏

  • @evelynfesto3544
    @evelynfesto3544 17 днів тому +1

    Kweli ni Mungu tu, if it wasn't God it wouldn't have been possible.......be blessed Beatty.

  • @juliethhenrymasanja940
    @juliethhenrymasanja940 12 днів тому +1

    Mungu akutunze❤❤❤

  • @scholahnyanchama5461
    @scholahnyanchama5461 26 днів тому +4

    This will be my song sooner😢

  • @NancyJohn-i3k
    @NancyJohn-i3k 13 днів тому +1

    Umeweza dada yake toa video

  • @dianaatsieno9609
    @dianaatsieno9609 Місяць тому +11

    for the love and power of this song, acha niwaekee tukabarikiwe pamoja, ASANTE SANA kwa kutubariki na wimbo huu;.................................................................................................................................................................................................................................
    Amenihurumia, Amenipigania, amenishindia, amefanya mlango, kanitetea, amenishindia
    Wanauliza imekuwaje, wanauliza nimeshindaje, Wanauliza nimefikaje, wanauliza nimefanikiwaje x 2
    Najibu ni Mungy, najibu ni Mungu tu, Nawajibu ni Mungu, najibu ni Mungu tu
    Amefanya mlango pasipo mlango nimepita x2 Kanitengenezea njia, pasipo njia nimepita x2
    Mimi ndo yule ninayetetewa na Mungu, Mimi ndo yule ninayepiganiwa na Mungu X 2
    Mbele ya wenye Nguvu, bwana kanitetea, Mbele ya wenye Nguvu, Mungu amenipigania,
    Mbele ya wenye Nguvu,Mungu kanishindia
    Ushindi wangu mimi, una Mungu, Ushindi wangu mimi, ni Mungu mwenyewe
    Wanauliza imekuwaje, wanauliza nimeshindaje , Wanauliza nimefikaje, wanauliza nimefanikiwaje x 2
    Najibu ni Mungy, najibu ni Mungu tu, Nawajibu ni Mungu, najibu ni Mungu tu
    Amenihurumia, Amenipigania, amenishindia, amefanya mlango, kanitetea, amenishindia
    Ajali ile, iliwauwa wote, wanajiuliza nimeponaje,
    ugonjwa huu watu huwa hawaponi, wanajiuliza umeponaje
    Familia, yenu wote masikini, wanajiuliza umefanikiwaje,
    kwenye ukoo wetu , mipaka haivukwi, wanajiuliza nimevukaje x 2
    Wanahoji nimeponaje, wanajiuliza nimevukaje
    Najibu, ni Mungu, najibu ni Mungu tu, nawajibu ni Mungu, najibu ni Mungu tu
    Asiyezuiliwa na mipaka, amenivusha, asiyezuiliwa , na bahari amefanya njia
    Ninaye Mungu muweza wa mambo yote, eeh mimi yeye, mimi ndo yule ninayetetewa na Mungu
    Mimi ndo yule ninyaepiganiwa na Mungu eeh,
    Wanauliza imekuwaje, wanauliza nimeshindaje , Wanauliza nimefikaje, wanauliza nimefanikiwaje x 2
    Najibu ni Mungy, najibu ni Mungu tu, Nawajibu ni Mungu, najibu ni Mungu tu
    Amenihurumia, Amenipigania, amenishindia, amefanya mlango, kanitetea, amenishindia

    • @gladysmkakesi3466
      @gladysmkakesi3466 Місяць тому

      This year msichana alikua form 4 Sina any but ni mungu tu amemaliza 😢😢😢😢🙏