😭😭😭😭God when you are blessing people don't pass my family, bring peace that the earth cannot bring 🙌🏻 This song is such a blessing to me,help me pray for my parents no peace at our homestead 😭😭😭😭😭😭
Niliwahi kuusikia wimbo huu kwetu Uganda, lakini nilikuwa sijui mwimbaji, hadi leo. Ubarikiwe kwa wingi, binti ya Mungu, maana wimbo huu ni wakuvutia sana.
God bless you my sister for this beautiful song may God take you even further we are blessed through this song my name is brother elvi AMANI I am DRC👉🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Amen 🙌🙌🙌🙌🙌🙌 may God continue to bless you abundantly 🙏 I always listen to your God's given songs ni Mwimbaji WINTERTON KOSKEY tuko pamoja 🙏 (Wintaa koskey)
asante kwa kutumiya karama vema ila UNA IMBA KOSA KWA SWALI ..CHAKUTUMAINI SINA ILA DAMUYAKO YESU INA WEMA WAKUTOSHA NA ZAMBI ZANGU KUZI OSHA .....PAALI PA ILA DAMUYAKO YESU SINAWEMA WAKUTOSHA.AKSANTI SANA
Ndiye mwamba ni salama 😭😭wangapi mwamba wetu ni Mungu mwenyewe ngonga like yako hapa👍🙏
Yaa
Mungu ndiye mwamba wangu salama
❤❤🙏🏾🙏🏾
❤By crew getting drew ft drew he❤ft🎉! P@@ruthowino6866
Habari napenda sana nyimbo zako Sanaa namwomba sana mungu nije kuwa kama wewe 🙏
Am a Muslim but I like the song,,infact I love all the songs for mathar mwaipaja ❤
Barikiwa sana
karibu kwa Yesu,akuokoe, 1 timotheo,2:1_6.
karibu kwa Yesu,akuokoe, 1 timotheo,2:1_6.
Karibu kwa Yesu.nilikuwa kama ww Muslim but kwa Yesu nimepata Amani ya milele hallelujah. Yesu ndiye mwamba😢
Watanzania wenzangu tunaomb like zenu hapa🇹🇿🇹🇿🇹🇿♥️♥️♥️
Wow...nani mwingine amerudia kusiskiza huu wimbo kama mimi? Mara ya tatu na bado naendelea 💞 ndiye mwamba ni salama 🇰🇪🇰🇪 🙌🏻👌🏻
Here I am
Maisha malefu dada
@@ralphinbuhashe9348 Asante🙏
@@everfavoured4076 👏👍
This another song filled with miracles, I may not understand the meaning, but the holy spirit understands. Greetings from Nigeria
Finally it's has been awesome one much love from.kenya Martha 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🎤🎧🎧🎧🎻🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗 piga like tukisonga
Ukweli kabisa
True Esther
God bless you
😭😭😭😭God when you are blessing people don't pass my family, bring peace that the earth cannot bring 🙌🏻 This song is such a blessing to me,help me pray for my parents no peace at our homestead 😭😭😭😭😭😭
Amen
In jesus name i declare peace to your family dear Amen
Mungu ampe amani nyote
God of impossibles will do.
Love
Yesu ndiye mwamba salama🙌❤️
Kweli huyu Mama anapenda Mungu Sana. Mungu akuinue mtumishi!
Ooh so powerful song be blessed mamaa
J'aime bien les chansons swahili, quand je les écoutes il y a des frissons qui me sort, njia yangu iwe ndefu yeye unipa wokovu
Sitarudishwa nyuma na chochote na anapigana kwa ajili yangu Yesu ndiye mwamba ni salama
Baba nanyenyekea mwambani Salama ,, May the Almighty God bless his people Amen ,,
Jesus is my solid foundation , my rock of salvation , my defender, my refuge 🙏
Christina sushu
Suti hii tamu sana .Nyimbo zako zinanibariki haswa na kujisikia furaha tele rohoni .ubarikiwe sana dada
Niliwahi kuusikia wimbo huu kwetu Uganda, lakini nilikuwa sijui mwimbaji, hadi leo. Ubarikiwe kwa wingi, binti ya Mungu, maana wimbo huu ni wakuvutia sana.
I love this woman of God she is truly not fake maghushi nenda waambie watu wokovu mtumishi!!❤
Nakupenda martha wewe ndiye unifanya niendeee kusonga mbele
Anayekufanya usonge mbele ni Yesu siyo Martha.. Jifunze kutokumpa mtu utukufu wa Mungu ila Mshukuru Mungu kwa ajili ya Martha
Wawa!! mchungaji Martha cjui niseme nini kwani nimeinuliwa sana . ubarikiwe sana . from Kenya
“Bear with each other and forgive one another if any of you has a grievance against someone. Forgive as the Lord forgave you.”
Colossians 3:13
Cha kutumaini sina ila damu yake mwokozi 🙏🙏🙏🙏
Aki your Blessing in my life even my ringtones are your songs is my prayer to meet you one day we share servant of God
Wewe ni Wa maana sana kwangu,inuliwa zaidi uponye mioyo ya wengi.
@@marywanjiku9890 pia nawe
Who's here in August 2024,,Kristo ni Mwamba
Bwana Yesu asifiwe.
Barikiwa kwa yule anauetazama na kuusikiliza wimbo huu.
Hakika Mungu baba. Ndiye mwamba ulio salama
Wimbo umenifariji Sana nahisi kitu ndani yangu ,,,nimeurudia mara kumi sasa
asante nimebarkiwa hapa.nilikuwa nimevunjika moyoni,ila nimesimama nakuimba naww
Thanks from the country of thousand hills, Rwanda. This is an outstanding and inspiring song.
Good song na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Que le saint esprit te guide tjr pour la gloire du seigneur jésus christ. Ma sœur soit bénie
Yesu ni mwamba wa maisha yangu siku zote namtegemea yeye
Wakati nikisema rohoni mwgu nimefika mwisho wimbo huu unanifariji na unaniinua moyo wangu bariki wa hataushangae
i love this song i play it every day every morning to and from work on repeat mode much lovefrom🇿🇦🎉❤
Yes kwake NISALAMA hakunashaka🙏
Amen enjoying from Saudi Arabia 2023 be blessed ccta indeed our lord Jesus Christ is the only alpha and Omega 💯💯💯💯🙏🙏🙏
Barikiwa mtumishi wa Mungu.. Wimbo ni mzuri mno.
M
Mmmm?
Mungu Akutuze milele barikiwa sana my dada
Que Dieu benise cette parole
🙏🙏🙏🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇹🇿🇹🇿🇹🇿💚💚❤
Barikiwa sana mtumishi
Salama kweli 2023 nimefika baba asante 🙏🙏🙏
May our LORD GOD heal everyone one with covid_19 and may HE heal everyone. AMEN
This is my favorite thanks to you Martha, you really bless me with your songs 🙏🙏 support from Zambia 🇿🇲🇿🇲
From yombo vituka dsm. I love so much all a gospol music of martha mwaipaja, God" bless you for you messages.
May God uplift you so that everybody in the world watch out your ministry!
Amina,njia yangu iwe ndefu,Ndiye mwamba ni salama.!
marthamwaipaja naomba anipe like...sauti yake si ya hii dunia ni angelic
God bless you my sister for this beautiful song may God take you even further we are blessed through this song my name is brother elvi AMANI I am DRC👉🇨🇩🇨🇩🇨🇩
🇹🇿
Nakupenda sana Kwanza Mimi hupenda nyimbo zako
Mwamba salamaaaa.....mama wa wote@ mwaipaja
Njia yangu iwe ndefu yeye hunipa wokovu mawimbi yakinipiga nguvu zake hunitosha🙏
I love the calmness in your voice my sister in Christ Martha.God bless you
BABA yangu ni Mwamba ni salama ,cha kutumayini chamgu ni Yesu only amenibadilisha ,ananikinga asante sana🤲🤲20.05.2023
Chakutumaini sina i Mungu akubaliki dada martha nikisikiliza nyimbo zako naona uwepo wa Mungu moyonimwangu❤❤❤❤
Nikiitwa hukumuni rohoni nina amani nikuvikwa haki yake sina hofu mbele zake 🙏🙏
Barikiwa sana mtumishi wa mungu.,,,uwepo wa mungu ukuzidie.mungu akukumbuke kila wakati na akunene nyimbo zingine .BARAKA juu yako na familia yako 🙏🙏🙏
Sister martha is annointed to serve the Lord from her child hood, may the almight Lord continue using u in a mighty way, its spiritual
Jesus is the rock. Asante sana Dada kwa Nazi nzuri unaoendelea kunikuza imani yangu kwa Baba.
My role model
I listen to the song daily more than once though I don't understand the language...I can feel God around me..the anointing
Amen Katika wakti huu mgumu nlio nao Martha nyimbo zko nkisikiza zanitia Moyo ninajikuta nimesimama Tena mungu azidi kukuongoza 🙏🙏🙏
#Mwambanisalama #AMEN #mummarthamwaipaja wimbo mzuri sana ubarikiwe. Mungu ainuliwe.
The encouraging song i needed this week after going through a breakup. Mwenze u nikilia nanyamazishwa❤️😭🙏🏾
😭😭😭😭mapito yenye nimepitia wacha nizidi kumtumaini huyu Yesu 🙏🙏🙏najua atanivusha salama
100 times keep listening and being blessed, u raise my spirit wow so sweet dear,God bless you, I will welcome you to my wedding one day💋💋💞💞💞💋💋💋🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Kwer huyu Yesu nitumaini langu namwamba salama, Ubarikiwe Dada Martha
Amen 🙌🙌🙌🙌🙌🙌 may God continue to bless you abundantly 🙏 I always listen to your God's given songs ni Mwimbaji WINTERTON KOSKEY tuko pamoja 🙏 (Wintaa koskey)
Nikiitwa hukumun moyoni Nina amani barikiwa sana dada Martha mwaipaja
What a lovely and inspiring voice with a special anointing ,indeed umebarikiwa sana.Yesu ni mwamba wa salama .Great love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mungu akubariki kweli nabarikiwa sana na huduma yako
Barikiwa sana Martha, wewe ni baraka kwa watu wengi... from Kenya
Karibu Tanzania ( arusha)
@@sarahmsangi7243 Asante siku moja nitakuja kufanya mziki, Mimi Ni mwanamziki bado
Emen
Barikiwa sana nyimbozako nazipenda sana
Nmebarikiwa sana na huu wimbo
Nabarikiwa cna kwenye huu wimbo naona kama anga ua inafunguka kwangu wakati ninauimba
There is something unique with your voice, Mungu akubariki sana.
Wimbo mzuri umetulia na una nguvu ya ajabu. Big up Martha
Good song na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you 🙏🙏🙏🙏🙏
I like this song
asante kwa kutumiya karama vema ila UNA IMBA KOSA KWA SWALI ..CHAKUTUMAINI SINA ILA DAMUYAKO YESU INA WEMA WAKUTOSHA NA ZAMBI ZANGU KUZI OSHA .....PAALI PA ILA DAMUYAKO YESU SINAWEMA WAKUTOSHA.AKSANTI SANA
Na barikiwa sana na uimbaji wako.Mungu azidi kukuinua utukufu hadi utukufu kwa jina la Yesu.
Mungu akubariki na aendelee kukutetea.
Cha kutumaini Sina Mungu wangu Ila Damu ya Yesu usiniache Mungu wangu, usiniache niiache njia yako
Hii nyimbo pendwa ya baba na amefariki taipenda na ninazidi kuipenda
Ubarikiwe ,munyimbo zako zinatusaidia sana ,courage,yesu amende nawe katika iyi safari
Her songs are very inspirational! With her angelic voice! Bless you sister!
Nyimbo ya kujenga ni nzuri kwa kukufanya moyo kuwa wa furaha Mimi mwamba wangu ni yesu Sina mwingine
God is the only person who can plan for better things in our lives and no one can go against his plans 🎉🎉🎉🎉🎉
This lady has really got a great gift.All her songs are inspirational
Good song na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you 🙏🙏🙏🙏🙏
True ❤
Naipenda saaaana mamangu kipenzi changu🔥🔥🔥mwamba nisalama
Blessed to everyone listening to this song. Merry Christmas and Happy New year 2023.
Mungu akupe ngufu dada🙏🏾
Que Dieu te benisse et t 'ouvre t'emporte dans d'autres dimensions. J' aime cette chanson. Vas plus loin ma sœur
nakupenda sana Martha. yu r a blessing to the World. I pray to meet n hug you one Day. yu bless n rule my Airwaves.
Really touching 😢😥😥.lots of love ♥️♥️♥️❣️
Dada Martha mwaipaja mungu akubariki kweli na akuinuwe tena mimi napenda nyimbo zako zote ubarikiwe saaana !!
Amina tunakupenda sana mungu azidi kukuongezea nguvu zaidi kwakutupasha neno la mungu kupitia wimbo.
Love you always from South Africa, your songs changes my lifestyle
the best chorus !God bless you.take the greetings from Bujumbura -Burundi
This song is a blessing to me 🙏💃💃💃💃
Thank Blessed Holy Spirit 🙏
Cha kutumaini sina Ila mwamba ni salama ila mwamba ni salama ila mwamba ni salama.🙏
Good song na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Dada angu barikiwa mnoo hakika Upo na upeo wa MUNGU napenda sana mahubiri yako hakika napataga faraja kwa nyimbo zako
Amen Amen Amen 🙏🙏 barikiwa sana dada love from Kenya 🇰🇪
Amen
Abençoado é todo aquele que vive e anda na palavra de Deus
Porque ele é a nossa vida
Good song na amini uta barikiwa na wimbo huu pia 👉🏻ua-cam.com/video/9uJYAtHEXR8/v-deo.html God bless you 🙏🙏🙏🙏🙏
Dada mungu azidi kukubariki siwez kuacha kusikiliza nyimbo yako Ina ujumbe mzito Sana.
Christo ndiye mwamba n salama. Amen
Usimwache Yesu asijetoa kipaji hiki alokiweka kwako tunapona wengi kupitia ww
Team strong hope mko sawa,mwamba ni salama🙏🙏
barikiwa sana Martha Kila mara ninaposikiza nyimbo zako naona mungu akiwa upande wangu
Nabarikiwa sana na nyimbo zako ccter martha
Mungu aendelee kukubariki katika kipaji chako
Kazi nzuri Sana martha barikiwa sana
Kazi nzuri #MarthaMwaipaja hallelujah... Nikilia nanyamazishwa 🙌👏👏❤
Hakika Sina cha Kutumaini zaidi ya Mwamba Yesu
Barikiwa sana..love you W.O.G from Kenya..💞💞