Martha Mwaipaja - OMBI LANGU KWA MUNGU (Officia Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 сер 2024
  • #marthamwaipaja#ombilangukwamungu#OfficialVideo

КОМЕНТАРІ • 193

  • @moseskamalamo4669
    @moseskamalamo4669 2 місяці тому +6

    Kweli mungu si mwanadam Asante mungu wangu kwa kunikumbuka mimi

  • @esteralinanuswe325
    @esteralinanuswe325 Місяць тому +4

    Hakika MUNGU ni Mwaminifu Sana Ametengeneza Njia Katika Mwaka Huu 2024 nimeona ukuu wa Mungu Sanaa Katika Maisha yangu Nashindwa Nielezeje Ubalikiwe Sanaa Martha Uinuliwe Zaidi na Nyimbo zako

  • @justinkiriza3798
    @justinkiriza3798 2 дні тому

    Mungu nami nipe hushuhuda baba , nitendee baba

  • @user-ty1wt4if4m
    @user-ty1wt4if4m 7 днів тому

    Mungu naomba pia nami nipe ushuhuda kama huu .nitendee baba

  • @user-uy8gs1po4l
    @user-uy8gs1po4l 2 місяці тому +1

    Nimemu pokeya yesus kwa bwana na mokozi wa maisha yangu Amen!😢🙏🙏🙏💪

  • @efrasiabosco4661
    @efrasiabosco4661 Рік тому +3

    Mwenyez Mungu aendlee kkutia nguvu dada Martha najickia Farah ninapockia wimbo huu

  • @OmanOman-dn6dj
    @OmanOman-dn6dj Рік тому +3

    Unanipa sana Nguvu ...na kila ninapotia magumu hufikia kuisha...ni muislam ila napenda mistari yako ya Ushuhuda wa kweli tunayopitia baadhi yetu.barikiwa

  • @benta8051
    @benta8051 Рік тому +2

    Mungu alikupaka upako uimbaji wko dada nyimbo zko zanpea atua ingne god bleesing

  • @user-hk5ji5iq1d
    @user-hk5ji5iq1d 8 місяців тому +2

    Asahanteni sanadadanyimbozako zotezinaniingizakwanguvu mungu akubarikipia nafamilia yakoyote

  • @Bibichekusinza
    @Bibichekusinza 4 місяці тому +1

    Ubarikiwe Dada unanijega moyosana ninapo sikiya nyimbo zako kabisa. Mara namshukuru mungu wambinguni aliye kupa okovu mungu akupe maisha marefu dada

  • @malkiarose4955
    @malkiarose4955 2 роки тому +3

    Ahsante Mungu ulinikumbuka naombea wengine pia uwakumbuke kwa hali zao tofauti tofauti amina.

  • @brownmwailunda1436
    @brownmwailunda1436 Рік тому +1

    Mimi huwa Naamini kwamba kwa wimbo huu Matha Mungu Alikuwa Anakuita kikamilifu na kukufungulia Mlango na Wimbo huu hauchuji uko vilevile Ombi Langi Kwa Mungu

  • @rosechunji7143
    @rosechunji7143 2 роки тому +2

    Hakika Mungu SI mwanadamu na wewe dada Martha ni ushuhuda....na mimi pia nashuhudia kuwa Mung.u ni Mungu Kwa wanaomtegemea

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 Рік тому +2

    Mungu naomba na mimi pia unitazame kama ulivyotazama wengine, naomba niwe mmoja wapo wa wale uliowachagua Mungu nikumbuke na mimi pia.

  • @veronicamkhuyu6580
    @veronicamkhuyu6580 Рік тому +3

    Napenda saana. Nyimbo zako hunileta karibu. na MUNGU barikiwa.

  • @MercyMwenesi-gj7yx
    @MercyMwenesi-gj7yx 6 місяців тому +2

    Mimi naupenda huu kimbo unanipa tumaini kwa maisha yangu

  • @user-uh1us2wh5m
    @user-uh1us2wh5m Рік тому +1

    Asante sana mimi wimbo huu unanifrij sana maana niliyopitia Mungu ndo anaju

  • @kelvinobarasa
    @kelvinobarasa 4 місяці тому +1

    Wimbo hatari sana mpaka shetani anaibika Mungu akuongezee miaka mingi sana

  • @Francine-wg3bm
    @Francine-wg3bm 2 місяці тому +1

    Ubarikiwe sans dada yangu

  • @david76948
    @david76948 Рік тому +5

    Wimbo mzuri sana. Dada Mwaibaja wakati unatutia moyo maishani pia nawe Mwenyezi Mungu asikie sala zako na mahitaji yako yote.

  • @atunosyegemwakangata8604
    @atunosyegemwakangata8604 2 роки тому +2

    Haleluya hongera Mtumishi wa Mungu kweli ipo ssbabu na tunayo sababu inayotufanya tupaze sauti kwa bwana yesu ili atusaidie maana yeye ndiye peke yake mwenye nguvu kubwa kushindwa kitu chochote Amina

  • @benjaminolenja9006
    @benjaminolenja9006 Рік тому +4

    Asante Sana kwa huduma huu wa nyimbo za kutuliza nafsi zetu ndani yake Bwana wetu Yesu Kristo.

  • @leahakinyi1092
    @leahakinyi1092 11 місяців тому +1

    Asante sana ubarikiwe unatia nguvu umbali huu

  • @getrudeauma5812
    @getrudeauma5812 Рік тому +6

    Mungu akutendeye dada yangu ,,nyimbo zako za nitia nguvu sanaa,, barikiwa sanaa sister I love your songs be blessed mtumishi 🙏🙏🙏🙏🙏

    • @joshuakelly749
      @joshuakelly749 Рік тому

      Hakika dada nyimbo zako zimenipa matumaini zana, hubarikiwe Sana,

  • @LarousseBen-dr5gw
    @LarousseBen-dr5gw Рік тому +1

    Ninayo sabu Inaya sababisha hakika Mungu ni Mungu atosha ndani ya maisha yangu ubarikiwe dada nyimbo zako zinakumbushaka Mwenye ni metoka amenitiwa mbali kweli Mungu siyo mwanadamu

  • @AimeYav-qs8ix
    @AimeYav-qs8ix 26 днів тому

    Ubariwe sana vraiment amennnn nachukuru

  • @user-bc3dh2sm7n
    @user-bc3dh2sm7n 4 місяці тому +1

    Asante sana dada nakupenda sana nyimbo zako zotenzur .pia wewe mzur .pia mayai yako mazuri.pia suit yako nzur .tembea yako kiukwer nakukubari saaaana

  • @ellybernard5254
    @ellybernard5254 Рік тому +1

    Ubarikiwe san dada hakika napockiliza nyimbo zako Napata faraja moyoni mwangu Mungu azidi kukupa viwango vya juu kwa kadiri ya uwezo wake

  • @JonasBernardoMoises
    @JonasBernardoMoises 18 днів тому

    sifa kwako martha

  • @elizabethjohn2076
    @elizabethjohn2076 Рік тому +18

    Ubarikiwe Sana Dada Martha huu wimbo huwa unanipa nguvu Sana ninapopitia wakati mgumu na huwa nashinda yote barikiwa saaana sanaa

  • @enockmabulls
    @enockmabulls 2 роки тому +2

    Hakika Mungu si mwanadamu Mungu akuzidishie dada

  • @kelvinmutalala3200
    @kelvinmutalala3200 2 роки тому +7

    What a beautiful voice. Shukrani kabisa. You are gifted and talented @Martha Mwaipaja. Mungu akubariki.

  • @moseskamalamo4669
    @moseskamalamo4669 Рік тому

    Ubarikiwe dada Martha ata Mimi ninayo sababu ya kumwambia mungu Asante Kwa mema aliyonitendea

  • @mulyangasudaniel8715
    @mulyangasudaniel8715 Рік тому +1

    Amene dada akubariki

  • @CamillahAdam
    @CamillahAdam 16 днів тому

    Nyimbo yangu pendwa

  • @newtonwanyama1846
    @newtonwanyama1846 Рік тому +2

    Mungu akubariku sana Martha Kwa kutubariki na hizi nyimbo🙏🙏

  • @susanmonyi8995
    @susanmonyi8995 Рік тому +1

    Napenda nyimbo zaidi zanileta karibu na Mungu barikiwa sana dadangu❤

  • @ScolasticaLisakafu-nh8hl
    @ScolasticaLisakafu-nh8hl 10 місяців тому

    Hongera sana Dada nyimbo zako nzuri sana unaimba kwa utaaratibu kabisa mungu akuongezee kipaji zaidi

  • @ergyebuelaaoci1685
    @ergyebuelaaoci1685 Рік тому

    Mungu akubariki kwanyimbo unazoimba zinatufariji sana kwa safari yakwenda Mbinguni

  • @moseskamalamo4669
    @moseskamalamo4669 Рік тому

    Ata Mimi ni sababu ya kusema mungu si mwanadam Asante yesu Kwa kunitendea wema mimi

  • @SIASATZ
    @SIASATZ Рік тому +1

    Nyimbo Bora wakati wote

  • @onesmomapunda6878
    @onesmomapunda6878 2 роки тому +1

    Mungu Akubariki Ktk Kumtumikia Vyema

  • @janetkalu3870
    @janetkalu3870 Рік тому

    MUngu akubariki dada Kwa nyimbo zako na hisi kubarikiwa nikishiwa katika Hali ngumu

  • @mercymakale211
    @mercymakale211 Рік тому

    Asante mungu kwayote unanikubush maisha😭😭😭

  • @jeanpierrentayagabiri4403
    @jeanpierrentayagabiri4403 2 роки тому +2

    Barikiwa sana Martha

  • @GeoffreyMMuema
    @GeoffreyMMuema Рік тому +5

    The first time I noticed this great talent was in 2017. I went for some shopping at turskys, Greenspan Mall. They used to sell music CDs that when I heard this particular song. I bought the CD there and then. That was the national anthem in the house and in the car.

  • @aishalovesidibeaisha9156
    @aishalovesidibeaisha9156 Рік тому

    Mwimbo uyu unabaraka nasal mungu amubariki Dada yetu kura unakuca adi kuingiya naskia nyimbo iyi🙏🥰🥰💯💯👆

  • @moseskamalamo4669
    @moseskamalamo4669 Рік тому

    Kweli mungu si mwanadam Asante yesu kwa kunikumbuka mimi

  • @user-cg8yr2ul2x
    @user-cg8yr2ul2x 7 місяців тому

    I love your song Martha,naiona kesho inanipea nguvu sana hata natamani nikuone life

  • @MireilleAssa
    @MireilleAssa Рік тому

    Utukufu ni kwake Muumba wa yote 🤲🙇🇧🇮🇧🇮

  • @MariaKangalu
    @MariaKangalu 6 місяців тому

    Kweli Mungu si mwanadamu. UBARIKIWE SANA

  • @GILBERTNKULU
    @GILBERTNKULU Рік тому +1

    Soyons reconnaissant à ce que notre seigneur Jésus Christ fait pour nous !

  • @raphatv4307
    @raphatv4307 2 роки тому +3

    Amina. Hakika Mungu wetu si mwanadamu. Be blessed sister Martha

  • @lucykazungu3626
    @lucykazungu3626 Рік тому +1

    Ubarikiwe siz napend nyimbo zako

  • @jonathankayombo2948
    @jonathankayombo2948 Рік тому

    Kwa kweli uyu wimbo unitiya nguvu na kuongeza Imani mbele ya mungu

  • @user-mg1qs4hk2g
    @user-mg1qs4hk2g 5 місяців тому

    Nakubal sana dada safar iwe nyeupe 🎉

  • @elizabethbarasa
    @elizabethbarasa 8 місяців тому +2

    So encouraging, may God continue using you to touch lives

  • @Liliane-sw9lp
    @Liliane-sw9lp 11 місяців тому

    Amen this song time like this shen I have no peace

  • @jabipeninah-hz6vt
    @jabipeninah-hz6vt 9 місяців тому

    Ever smart love your music 🎶 much love from Uganda 🇺🇬 ukweli mugu ametengeneza njia🙏🙏🙏😊😊

  • @user-wb5yn9zf3w
    @user-wb5yn9zf3w 3 місяці тому

    Songa mbere

  • @edwarddaud8327
    @edwarddaud8327 Рік тому +1

    Hongela sana dada

  • @rehemamwakio7377
    @rehemamwakio7377 Рік тому

    I love you so much mama MUNGU shahidi wewe ni baraka kwangu ❤❤❤

  • @bettykaari4611
    @bettykaari4611 5 місяців тому

    Napeda xana nyimbo zako dada yangu❤❤❤❤❤❤❤

  • @SueRebirth
    @SueRebirth 10 місяців тому +3

    I danced along the powerful words of this song, I declared it, it became my heavenly anthem all the way in South Africa, from Kenya to USA. Here I am today replaying this beautiful song which never grows old. Hallelujah, heaven is my final destination in Jesus name, amen.

  • @monicaangollo79
    @monicaangollo79 Рік тому +1

    Napenda sana nyimbo zako zina ujumbe sana kwa maisha yetu sana Mungu azidi kukulinda

  • @lameckson5345
    @lameckson5345 Рік тому

    Wimbo muzuli mungu akuinue sana dada angu

  • @florencendarua5343
    @florencendarua5343 Рік тому

    Mwampaja,napenda miziki yako sana,especially huu,may God bless you

  • @chidebrutechs
    @chidebrutechs 2 роки тому +1

    Amina. Ubarikiwe mno dada, Ombi lako limekuvalika.

  • @user-es1nb4wr2q
    @user-es1nb4wr2q 9 місяців тому

    ❤❤Ameen mungu Atabaki kuwa mungu kwa maisha yangu tu

  • @MagrethThomas-em3bc
    @MagrethThomas-em3bc 10 місяців тому

    Hakika mungu ni muweza wa yote mungu akubariki.sanaaaaa

  • @hatungimanagilberte3414
    @hatungimanagilberte3414 2 роки тому

    Nawewe Martha Mwaipaja Mungu akuinuwe tena zaidi Ombi langu kwa MUNGU

  • @florencendarua5343
    @florencendarua5343 Рік тому

    Huuuu,napenda muziki was m mwibaji.especially huu muziki

  • @daudimhoha320
    @daudimhoha320 4 місяці тому

    Hakika.huyu.mungu.nimzuri.

    • @daudimhoha320
      @daudimhoha320 4 місяці тому

      Barikiwa.sana.kwakuniombea.namimi.uliumbwa.freshi.kwaajili.yakusudi.lamungu.ilitufike.mbali.namimi

    • @daudimhoha320
      @daudimhoha320 4 місяці тому

      Haleluyaaa..duuuu

  • @florentinmutulab3804
    @florentinmutulab3804 4 місяці тому

    Wimbo muzuri sana. Una tuliya

  • @faithmueni9020
    @faithmueni9020 Рік тому

    Amen and amen Asante dadagu Martha God already he ansa my prayers thankyu 😭😭😭♥️♥️♥️🇰🇪🇰🇪

  • @user-ou2zo8uz4j
    @user-ou2zo8uz4j 9 місяців тому

    Barikiwa sana nyimbo zako huwa zanitia nguvu

  • @AaAa-dd1qu
    @AaAa-dd1qu Рік тому

    Mungu usikie ombirangu unikumbuke🇧🇮🇧🇮🙏🙏🙏💥💥💥💯💯👌👌

  • @worshiplibrary7157
    @worshiplibrary7157 Рік тому +2

    I promise you I heard this at the right time! Depression, YOU WILL NOT WIN!

  • @sellineraudo871
    @sellineraudo871 2 роки тому

    Mimi nakupenda sana dada yangu,acha Mungu akuongezee neema na rehema.

  • @mercylinekerubo6425
    @mercylinekerubo6425 Рік тому +4

    Thank you Lord for this far when I needed you Lord you holded my hand and comforted me more so you opened my doors

  • @winnersneeddiscipline4926
    @winnersneeddiscipline4926 Рік тому +1

    OMG this song have been searching for it.. I got it Asante Yesu

  • @reginawanjiku6536
    @reginawanjiku6536 Рік тому +4

    Am blessed.Thankyou Martha..Continue singing...your voice is one of the best...🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪👋

  • @moseskamalamo4669
    @moseskamalamo4669 Рік тому

    Asante dada Martha kwa ujumbe mzuri

  • @user-sx5iq4lu2c
    @user-sx5iq4lu2c Рік тому

    Mugu akubatiki IRA naoba utuobee mass doa zetu zimeigiriwa nashetatini tuko vibaya sana 5:36

  • @michellemuyoma2259
    @michellemuyoma2259 5 місяців тому

    My all time favorite from you

  • @sheizzmusavi1998
    @sheizzmusavi1998 Рік тому

    Honestly Mungu hafananishwi.....God does his things extra-ordinarily🙏barikiwa sana mtumishi

  • @RoselineNyagaka-yz2ek
    @RoselineNyagaka-yz2ek 6 місяців тому

    You look more prettier with short hair🎉❤❤long live my dear,,and keep on spreading the word of God through your songs as you inspire many to His kingdom

  • @manisobblowi8894
    @manisobblowi8894 2 роки тому +1

    Amen Hakika mungu sio mwanadamu

  • @uzitostars2738
    @uzitostars2738 2 роки тому +2

    AMINA🙏

  • @linalaymond816
    @linalaymond816 Рік тому

    Upo vizuri Sana dada Mungu azidi kukuinua

  • @annesidi9993
    @annesidi9993 Рік тому

    Barkiw san dadangu huu mimba unanip faraja san pale ninapo kuwa kweny shda

  • @mwamachimwangwaimwangwai9671
    @mwamachimwangwaimwangwai9671 Рік тому +1

    Be blessed Martha touching soul songs may you live long in jesus name amen!

  • @aliceiradukunda9431
    @aliceiradukunda9431 Рік тому

    Amen mutumichi wa mungu asikie ombi retu

  • @IbraRamadan-hq1eu
    @IbraRamadan-hq1eu 10 місяців тому

    Unanibariki sana huu wimbo

  • @polycalpshiyowla5905
    @polycalpshiyowla5905 Рік тому

    I was late to work kidogo to be sent away but Lord mate the way ndani ahimidiwe

  • @jacobthuo4623
    @jacobthuo4623 Рік тому

    God bless you from 🇰🇪🇰🇪

  • @judithkon3322
    @judithkon3322 Рік тому +1

    En cas que le seigneur soit avec toi ma sœur

  • @muthamiabby7104
    @muthamiabby7104 2 роки тому

    Neema ya Martha iko juu sanaaa,,,Hakika juu sana

  • @rosebabala195
    @rosebabala195 2 роки тому +2

    Mungu akubariki sana Dada Maritha 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽❤️❤️

  • @estherosala6425
    @estherosala6425 Рік тому

    Nabirikiwa sana na nyimbo zako