TUKIO LA KUTISHA LINAKUJA-UMEJIANDAA?-PR. MMBAGA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 245

  • @josphat1780
    @josphat1780 Рік тому +1

    Mungu azidi kuwabariki ni JOSPHAT KARITHI nko Kenya.

  • @mandagohuja6729
    @mandagohuja6729 Рік тому +71

    MUNGU akubariki pastor, huwezi kujua tu, lakini ukweli ni kwamba umekuwa mbaraka kwangu Sana, I was not an Adventist but today am an Adventist sehemu kubwa ni kupitia mahubiri yako nikajikuta nautambua ukweli na kuacha njia nilizokuwa nazo

  • @zabrongermanus-co1jj
    @zabrongermanus-co1jj 6 місяців тому +1

    Barikiwa sana mtumishi Mungu ananifundisha kupitia ww

  • @jacklinennko8517
    @jacklinennko8517 Рік тому +21

    Mimi sio msabato ila nimejifunza vitu vingi Sana katika mafundisho yako na nakupenda maana ni kama huna dhehebu na hutetei dhehebu wala din ila unaisema kweli ya Mungu .ubarikiwe sana

    • @MahubiriPrMmbaga
      @MahubiriPrMmbaga  Рік тому +2

      🙏

    • @simonlomayani5743
      @simonlomayani5743 Рік тому +3

      Ni kweli kabisa ata Mimi sio msabato lakin anibarikigi sana sana huyu atetei siku wala dhehebu anamhubiri YESU KRISTO

    • @maryjosephat2885
      @maryjosephat2885 Рік тому

      ​@@MahubiriPrMmbaga msaada tafadhar wa mawasiliano na mchungaji nina shida

    • @luckymsomba4818
      @luckymsomba4818 Рік тому

      tunasikiliza neno la Mungu sio dhehebu

    • @DAVIDMAGHANGA
      @DAVIDMAGHANGA 6 місяців тому

      Hakuna msabato Kwa ufalme wa MUNGU ila kuna Wana wa MUNGU alie hai

  • @franciskaranja4015
    @franciskaranja4015 Рік тому +4

    Mchungaji mungu akubaliki umekua ukinxaidia xana since Covid19 iaze umkua baraka kwangu xana,,,,,napenda mahumbiri TV kuliko vyote mtadaoni,,,

  • @upendobaina2171
    @upendobaina2171 6 місяців тому +1

    Hakuna mch anayenibariki na kuniweka karibu na MUNGU kama wewe.MUNGU akutie nguvu.amen.

  • @hedijohn-nb9nq
    @hedijohn-nb9nq Рік тому +7

    Mchungaji mmbaga mungu akutie nguvu zaidi na zaidi na akuzdishie miaka mingi

  • @n.dvillagirl3272
    @n.dvillagirl3272 Рік тому +5

    Paster Mungu wako anashangaza leo nime barikiwa kimiujiza wala sijaamini kama nikweli 🙏❤️❤️❤️

  • @vincentchotta-pd1zw
    @vincentchotta-pd1zw Рік тому +13

    Mungu akutie nguvu mchungaji, na tunabarikiwa kupitia wewe. Natumaini kuwa siku moja tutashiriki katika ufalme wa Mungu.

    • @annaabraham8647
      @annaabraham8647 Рік тому

      Assnte kwq ujumbe mzuri. Tujiandae twende na yesu.

  • @lucywensilaus6264
    @lucywensilaus6264 Рік тому +2

    Nimebalikiwa sana na mahubili mtumishi

  • @bluelionboyhistory6591
    @bluelionboyhistory6591 Рік тому +1

    Sasa Moyo wangu unafuraha na shauku kubwa maana naona kabisa Bwana yuko karibu kurejea; Wapenzi tufanye kazi upesi kelele inagonga tuwe tayari kumpokea Amina

  • @neemabisendo5392
    @neemabisendo5392 Рік тому +5

    Natak jambo moja tu maishani mwangu, Nikuone ufalme wa mbinguni ... Ee mwenyezimungu nisaidie🙏😔

    • @hellenfifi8952
      @hellenfifi8952 Рік тому

      Mpendwa hata mimi natamani sana tukaze mwendo na Mungu atusaidie

  • @Neemakilimba
    @Neemakilimba Рік тому +9

    Ameen Mtumish nakuelewa mno
    Eee Mungu nimedhamiria kukutumikia ,Nipe Nguvu ya kusoma Neno lako,Nipe Nguvu yakuomba

  • @jaredmayaka2993
    @jaredmayaka2993 Рік тому +4

    🤣🤣🤣🤣🤣 wacha tu nicheke aki mimi nilipewa mfuta na kitambaaaa lakini nimetezeka maisha yangu yote hata family yangu ikapoteza vitu vyote but since i started following pastor David Mmbaga na pastor Mohamed Mgase i have see the hand of GOD. My prayer today is GOD to deliver people from that churches Amen God for being there for and you're my fighter

  • @miltonjohn9779
    @miltonjohn9779 Рік тому +1

    Ni kweli kabisa, Kuna Maja ga yanakuja makubwa sana hapa Tanzania na Duniani Kwa ujumla. Kwa sbb nimeiona wachungaji kama watatu wa kilokole wakiyatabiri haya haya ambayo na wewe unayasema. Mungu akubariki pastor Mbaga pamoja na Familia Yako. Naomba Kila unapoomba nami unioombee. Asante.

  • @yunesondicho4498
    @yunesondicho4498 Рік тому +4

    Hii Mahuburi ni kama ni ya kwangu. Barikiwa sana pastor Mungu akuvunulie sana

  • @AgripinaTarimo-rd6tq
    @AgripinaTarimo-rd6tq Рік тому +1

    Mungu atukuzwe kwa hekima aliyoweka ndani yako. Ujumbe mzuri sana ,mungu tusaidie kuifikilia toba na kumpendeza.

  • @ClovisKalimurhima
    @ClovisKalimurhima 2 місяці тому

    Mungu akuzidishiye mara elfu posto

  • @josekibuthu622
    @josekibuthu622 Рік тому +6

    Mimi ninechoka na Sunday worshipers nawa join very soon

  • @laliaelulu1815
    @laliaelulu1815 Рік тому

    Tunazidi kupata ujasiri wa kukimbia nguvu za miungu ya kigeni kupitia wew baba 😢 Asante sana Nakupata vizur Kutoka Canada,

  • @lorainnelarryson3626
    @lorainnelarryson3626 Рік тому +3

    Asante kwa mahubiri mazuri, Mungu aendelee kutupa roho wake Mtakatifu atuongoze.

  • @gideonivutha-bc1oz
    @gideonivutha-bc1oz 9 місяців тому

    Niwachache wakuhubiri siku za mwisho ...mchungaji GOD BLESS YOU

  • @stevemugingi-sv8rg
    @stevemugingi-sv8rg Рік тому +1

    Mungu akutumikishe hadi mbinguni,upate taji isiyo haribika,kweli kwa nyakati izi neema ya yesu kristu itufunike sote na atuondoleye yeriko ambayo Ime asirisha maisha yetu kwa Jina la yesu.

  • @sophiasamiji932
    @sophiasamiji932 Рік тому +2

    Nafurahia mahubiri Yako nabarikiwa Mungu akizidishie baraka na akupatie haja za moyo wako

  • @mpokimwakaje8178
    @mpokimwakaje8178 Рік тому

    Mungu akabaliki kuigeuza mioyo ya wasabato wamjue Mungu wawaloke.

  • @MerryMbwambo-x1w
    @MerryMbwambo-x1w 9 місяців тому

    Barikiwa sana pastor wangu songa. Mbele Taji zakungoja Amen 🙏

  • @gustavenintunze6466
    @gustavenintunze6466 Рік тому +1

    Asante Mungu kwa neno lako, E Mungu bariki wengi waelewe maneno haya matamu na ya ukweli

  • @rodahadhiambo3637
    @rodahadhiambo3637 Рік тому

    Mungu atukuzwe kwa kukutumia kutuambia mengi ,nakua kiroho Kila siku

  • @danielmwita1989
    @danielmwita1989 Рік тому +1

    Ubarikiwe sana pr

  • @saimonmossi4515
    @saimonmossi4515 Рік тому

    Mungu azidi kukutumia pastor, lakini sisi tunaousikiliza huu ujumbe roho wa BWANA atusaidie tuutumie kukua kiroho na kuwa wakristo kwelikweli.Barikiwa sana.

  • @jaredmongeri645
    @jaredmongeri645 Рік тому

    Nimebarikiwa na kubadirishwa sana kupitia kwa huduma yako.Mungu wa neema akubariki sana. Naskia wito kufanya kazi ya mungu. Niombee niweze nipate nguvu na ujasiri ninaohitaji.

  • @geophreykikoti192-sb5be
    @geophreykikoti192-sb5be 6 місяців тому

    Pastor Ubarikiwe Umenikumbusha habari za yule Jamaa alikuja kutapeli akidai wewe na Baba yake mdogo

  • @peterdavid20149
    @peterdavid20149 Рік тому

    Tangu tangazo la Mungu la kuangamiza miungu ya misri, ukiangalia historia misri haikusimama imara tena na ndio kilichosababisha watu waanze kuondoka kuelekea kusini na magharibi mwa bara la Africa. Wabantu walielekea magharibi na wakushi na wanilotic wakaelekea pembe na kusini, umoja wao ulikufa, nchi mama ya kemet misri ya sasa ikaporwa na wageni toka kaskazini hadi leo wakakuta magofu,maiti zilizokaushwa na mapiramidi mirefu. Miungu zaidi ya 24 ya kemet misri ilibaki ukiwa hata sasa. Pastor Mungu akubariki sana

  • @emmanueltwahirwa2712
    @emmanueltwahirwa2712 Рік тому +1

    Jambo pasta Mbaga, n’a hitaji uniweke katika maombi. Kila niki fwata mahubiri, n’a hisi kama Mungu ana niongelesha kitu fulani.
    Mungu azidi ku ku Linda n’a ku kubariki ku pindukiya🙏

    • @MahubiriPrMmbaga
      @MahubiriPrMmbaga  Рік тому

      Mungu akutendee

    • @evelinedayday4000
      @evelinedayday4000 Рік тому

      Pastor mbaga mi naomba number yako maana niko na shida kubwa sana ya maombi sikuizi nashindwa kabisa kuomba kwaajiri ya familia yangu naomba nisaidie number yako au namna ya kukupata kama uko dar salamu nije kuonana na wewe please Pastor naomba🙏

  • @joycemugaka3039
    @joycemugaka3039 Рік тому +1

    Mungiu akubariki Sana mjungaji maa unatisaidia kujiandaaa vyema ,na kila nikiingia Kwa UTB Kwa somo la ko cha Kwanza mungu Anjali letea funzo mpya ndio chakula changu cha roho nashukuru saana umeokoa maisha yangu nimekua jaziliKwa upande wamungu bila hofu

    • @MahubiriPrMmbaga
      @MahubiriPrMmbaga  Рік тому

      Amen

    • @denonode6546
      @denonode6546 Рік тому +1

      Ansate pastor tangu nilipokufahamu umejifusha mengi Sana umenisaidia katika kiroho Mungu akubariki na hii SoMo nzuri ya leo , nkuomba uzidi kuniombea .

  • @pendomollel-oy7gm
    @pendomollel-oy7gm Рік тому

    Mungu aendelee kukufunika pr uzidi kutufunulia na kutuimarisha

  • @harerimanaleonce8153
    @harerimanaleonce8153 Рік тому

    Mungu Apewe sifa kwa kutuma kwa sisi mhubili na mahubili kama haa ufunuo wa ajabu

  • @margretmwita8745
    @margretmwita8745 Рік тому

    Mungu wambinguni akupaliki KAZI zuri🙏🙏🙏

  • @SatoMisungi
    @SatoMisungi 4 місяці тому

    Mungu akubariki Pastor utumike mpaka uzeeni

  • @MussaCharles-k7n
    @MussaCharles-k7n Рік тому

    Ubarikiwe sana mchungaji napenda sana mafundisho yako

  • @yusuphshimei
    @yusuphshimei Рік тому

    Mungu akubariki sana pastor mbaga unafanya roho yangu inenepe kila siku ufahamu wangu unazidi kuongezeka siku hadi siku

  • @godlovemapunda774
    @godlovemapunda774 Рік тому

    Hata me nisha pewa mafuta na maji Mungu anisaidie izo roho zishindwe ktk jna la Yesu Amen

  • @marysteven3543
    @marysteven3543 Рік тому +1

    Mungu akubariki sana pasita 🙏,, kiukweli unanibariki sana

  • @hildansombo1437
    @hildansombo1437 Рік тому

    Ninabarikiwa saana kila ninapolisikiliza neno la Mungu aliloweka ndani yako na unalihubiri kupitia kinywa chako ni la uwazi na ukweli mtupu Mungu na atusaidie tulisikie, tulielewe na tutakasike tukaufikie mwisho mwema. Naamini toba ni mlango mwema Ameen

  • @neserianpaul
    @neserianpaul Рік тому

    Asante Kwa mafundisho ya moto sana umenifumbua mengi

  • @hellenbarnaba9069
    @hellenbarnaba9069 Рік тому +2

    Amina 🙏 Mungu atukuzwe Sana kwa maonyo makuu ya siku za mwisho. Ubarikiwe Sana mtumishi wa Mungu.

  • @TheodensiaThadeo
    @TheodensiaThadeo 10 місяців тому

    Barikiwa pasta,masomo yako yananibariki sana

  • @damariskimaiga364
    @damariskimaiga364 Рік тому +3

    May God bless you pastor. You don't know, you are My mentor powerful message Damaris kimaiga from Kenya.

  • @harerimanaleonce8153
    @harerimanaleonce8153 Рік тому

    Mungu Aendeleye kukujaza hekima pastor niko Burundi (mkowa wa kati mwa inchi ya burundi) nakufuata sana

    • @amonmnzava6522
      @amonmnzava6522 Рік тому

      Amina Mungu akubariki sana umenibariki sana naona ushindi

  • @eliyachacha2
    @eliyachacha2 Рік тому +1

    Mwenyezi Mungu atubariki sote

  • @amonsekajingo6996
    @amonsekajingo6996 10 місяців тому

    This is a great message Pr MbagaI wish every individual christian would get and understand it well. God bless u. It is very timely! God
    help us all!

  • @neemapaul7873
    @neemapaul7873 Рік тому

    Amen Mungu aendelee kukutumia kulihubir neno lake

  • @fatema6865
    @fatema6865 9 місяців тому

    Barikiwa zaid pastor nakuelewa sana

  • @ValentinKanyumba-hd8pd
    @ValentinKanyumba-hd8pd Рік тому

    Asante postor Mimi nimeberikiwa Sana Mungu akanibariki Sana

  • @salomevestinamichael1458
    @salomevestinamichael1458 Рік тому

    Amina Pr tunatamani kwenda nyumbani,usemeni ukweli Yesu anakuja tena.Nabarikiwa sana

  • @stanleymhozi7590
    @stanleymhozi7590 Рік тому +1

    Amina pr nabarikiwa sana

  • @harrisonodiwa7248
    @harrisonodiwa7248 Рік тому +1

    Nimebarikiwa na baadhi ya mahubiri yameguza maisha yangu hasa unyonge wa maombi.

  • @UserUser-gq1ir
    @UserUser-gq1ir Рік тому +1

    Mungu atusaidie sana kutambua nyakati tulizo nazo

    • @Reginajohnson19884
      @Reginajohnson19884 Рік тому

      Mtakatifu za mwisho zimeshapit ni mda wa mnyakuo umefika, na watu wako so busy na dunia

  • @williammusambai3702
    @williammusambai3702 Рік тому

    Mchungaji unanena ukweli mjungu,Yesu wa Tongereni ni county jirani ya Bungoma na kakamega.Mungu akusitishie heri zake.

  • @ombenimgonja4318
    @ombenimgonja4318 Рік тому

    Mungu asifiwe nabarikiwa sana nakilahubiri lako

  • @eustina0
    @eustina0 Рік тому +1

    Mungu atuhurumie kwa hili tujue wajibu wetu🙏🙏🙏🙏

  • @zawadiamuli4186
    @zawadiamuli4186 Рік тому

    Mungu akubariki pastor pia nilitamani sana kupata musaada wakoroho kwako ila nawezaje kuku ona? Hata kwasimu

  • @shukranjulius9526
    @shukranjulius9526 Рік тому

    Pastor @mbaga Mungu azidi kukubariki hakika umebariki watu wengi

  • @judithmakoye6592
    @judithmakoye6592 Рік тому

    Barikiwa Pastor Mmbaga

  • @christophaelia7174
    @christophaelia7174 Рік тому

    Mtumishi ubarikiwe sana

  • @gaselochaula2692
    @gaselochaula2692 Рік тому

    Mungu akubariki pastor tunabarikiwa

  • @jakee2041
    @jakee2041 Рік тому

    AMEEEN. AMEEEN. POWERFUL SERMON. GLORY BE TO GOD. CONGRATULATIONS PR. MMBAGA. GOD BLESS YOU.

  • @paschalymlangale8964
    @paschalymlangale8964 Рік тому

    Mungu aturehemu. Amina

  • @ChristiankabingwaGarda-ie9bw

    Mungu akubariki daima muchungaji unibariki sana

  • @byusaajumapili6750
    @byusaajumapili6750 Рік тому

    Ubarikiwe mchugaaji kwa neno hili umenitiya nguvu Mungu hakubariki zahidi Na zahidi

  • @justerkamala3933
    @justerkamala3933 Рік тому

    Amina mtumishi ubarikiwe sanaa

  • @GermaineKahambu-r8d
    @GermaineKahambu-r8d Рік тому

    Aksante mtumishi

  • @baricklutandula9776
    @baricklutandula9776 Рік тому

    Asante sana Mungu kwa neno hili, ni kwa neema tu tunayapata haya maneno, eee Mungu mjalie pastor aendelee kutuelekeza, amen🙏

  • @wiza2309
    @wiza2309 Рік тому

    Barikiwa sana Mtumishibwa Mungu

  • @julietnelima3253
    @julietnelima3253 Рік тому

    Amen pastor 🙏🙏 mahubiri yako hunipa moyo wa kuyaskiza kila wakati..yana mafunzo mazuri sana sana ubarikiwe

  • @felixshikiro7065
    @felixshikiro7065 Рік тому

    Muchungaji Mungu akubariki

  • @ushindimatayo123
    @ushindimatayo123 Рік тому

    Ahsante mtumishi wa BWANA kwa ujumbe bora wa MUNGU nahiwehivyo.🙏🙏🙏

  • @louiskas-su3iu
    @louiskas-su3iu Рік тому

    Asante mungu kwa neno lako,pasta mungu akuzidishie kwa kazi unalotenda

  • @upendotv2776
    @upendotv2776 Рік тому

    Amina PR Mungu kubariki na azidi kukupa nguvu na azidi kukutumia kwa mapenzi yake

    • @nafikaahadi3380
      @nafikaahadi3380 Рік тому

      Ameeeeeeen n Ameeeeen Pastor,Roho Mtakatifu azidi kukulinda na kukutia nguvu

  • @rahmasuleiman9334
    @rahmasuleiman9334 Рік тому +1

    Shukran sana mtumishi wa Allah kwa ujumbe mzuri kwangu mimi ni furaha kubwa la ujio huo

  • @vickyayo8712
    @vickyayo8712 Рік тому

    Asante YESU,kwa kutupatia mtu huyu

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw Рік тому

    Mungu akubaliki Sanaa hii dunia ina shida kubwa ni mungu tu

  • @TuliaIpopo
    @TuliaIpopo Рік тому

    Ameen pastor

  • @ednaJF1028
    @ednaJF1028 Рік тому

    Ni ukweli mtupu pastor
    Yani unaomba mbambo ndo kwanza yanazidi kuharibika I will kick off the devil let me stand on the line in the Name of Jesus

  • @perisbosibori8524
    @perisbosibori8524 Рік тому +7

    Thank you LORD because we're more than conquerors even though in a world which is surely in great turmoil. GOD bless you so much and give you long life Pastor Mmbaga for the work well done.

  • @apostlezizi
    @apostlezizi Рік тому

    Nakuelewa sana pastor,barikiwa mno

  • @madonajust7752
    @madonajust7752 Рік тому

    🙏🏽Mungu akubariki

  • @asiri-romy-simba3671
    @asiri-romy-simba3671 Рік тому

    Mbaga wangu🙏

  • @funakoshtadash6163
    @funakoshtadash6163 Рік тому

    Ubarikiwe sana mtu wa Mungu aliye hai

  • @zanashtv5479
    @zanashtv5479 Рік тому

    Mungu ni mwema...Amiina🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @marynanok7720
    @marynanok7720 Рік тому

    Amen 🙏🙏🙏 mtumishi wa Mungu nimebarikiwa na your preaches

  • @kabembokijigo6454
    @kabembokijigo6454 Рік тому

    Amina na barikiwa mchungaji

  • @AhadiSeleman
    @AhadiSeleman Рік тому

    E Mungu wangu naomba unitie nguvu mana misiko suko zinaniandama

  • @hawamusumba431
    @hawamusumba431 Рік тому

    Amen amen 🙏 be blessed pst mahubiri tv my bst tv

  • @elishanyamsha8085
    @elishanyamsha8085 Рік тому

    Amina, pr very powerful massage

  • @cyrusmagata7148
    @cyrusmagata7148 Рік тому

    Mungu akubariki

  • @margaretwanjiru9096
    @margaretwanjiru9096 Рік тому

    Umenifundisha mengi sana Pastor .....May God bless you

  • @josiahsilas3047
    @josiahsilas3047 Рік тому

    Nabarikiwa 🙏

  • @penwelinatimothy9057
    @penwelinatimothy9057 Рік тому

    Asante sana,nimebarikiwa 🙋‍♀️

  • @emmanuelrubete9008
    @emmanuelrubete9008 Рік тому

    Asante pr mbaga