Yaani pastor ubarikiwe huwa na angaliya hii vidio kila mara yaani unanibariki sana video zako hata mda nikilala naziweka alafu ndo napata usingizi mzuri sana Mungu akubariki. Tokea marekani California.
Nashukuru mungu kwa mibaraka ambayo nimepata neno ambalo unalalinena from Kenya am Dorcas tafadhali pastor ombeaa mama mushirilki ambaye ana sumbulia na mashetani for two years
Nakusikiliza toka Belgium. Unanisaidia sana katika Neno. Ubarikiwe sana Pr. Mmbaga
Ubarikiwe sana pastor kwa kazi nzuri mungu akuneemeshi
Ameen nafutalia Saudi Arabia barikiwa Sana Mutumishi wa Mungu
Pastor wewe n wa baraka sana katika maisha yangu
Amen pastor mungu akubariki sana Kwa mafundisho fundisho mazuri
Barikiwa sana ..yani hua unanifundisha vizuri na kunielewesha kabisa
Mahubiri mazuri mno nabarikiwa Amen
Pster nakuombea Mungu akubariki ninafuraha sana ,wewe ni mhubiri mzur sana nahis Roho mtakatifu akibubujika ndani yangu
Mungu azidi kuku bariki ni fiston walemba toka Congo
Amen Kwa Neno la Mungu kwetu nafuatilia kutoka Lebanon
Indeed nimebarikiwa pastor sana saaana
Dev tumika wewe ni mwalim
barikiwa mtumishi hakika mahubiri Yako yananijenga sana.Nafuatilia nikiwa Makueni-kenya
Yaani pastor ubarikiwe huwa na angaliya hii vidio kila mara yaani unanibariki sana video zako hata mda nikilala naziweka alafu ndo napata usingizi mzuri sana Mungu akubariki. Tokea marekani California.
Amina Amina nafuatilia nikiwa Kenya.
Nafuatilia kutoka viungani Kisii Kenya.
Amen nafuatilia kutoka Nairobi Kenya
Ubarikiwe Mtumishi
Ubarikiwe pasta
Nashukuru mungu kwa mibaraka ambayo nimepata neno ambalo unalalinena from Kenya am Dorcas tafadhali pastor ombeaa mama mushirilki ambaye ana sumbulia na mashetani for two years
Nafuatilia nikiwa saudi toka kenya
Muchungaji naomba unisaidie
Nitajuaje mapenzi ya Mungu maishani mwangu?
Yaani jamani nnabarikiwa sana jina la bwana libalikiwe❤❤❤🙏🙏🙏🙏
Thanks PR nakusikiliza kutoka Kenya you sermon has changed my life
Amen
ameni mchungaji nabarikiwa sana
Ameni na uendelee kubarikiwa pr
Nakusikiliza kutoka dar es salaam mbezi ...tuna barikiwa sana na mafundisho yako
Amen,Mungu akubariki kwa mafundisho,yanatujenga,kutoka Fin.
Kuna vitu unanifurahisha sana mchungaji.Maisha tuliyoishi tukiwa wadogo watoto wetu hawaishi hivi.Ubarikiwe sana kwa somo zuri pr.
Amen
Pr nawezaje kupata mahubiri yako ktk mfumo wa Disk au flash
Mpigie huyu +255 67 388 8226
Uji wa chumvi
Amina
Live long Pst David, you are a vibe to me 🙏😇
Nami nazidi kukuombea akusaidie kukufundisha kuwa mwanamke hapashwi kuvaa mavazi yampasayo mwanamume na anapaswa kuvaa mavazi yenye kusitiri.
Asantee pia mm nitafunga pst, ubarikiwee
Be blessed prophetic mbagga
Mungu akubariki unaokoa maisha ya wengi
Ubarikiwe mutumishi wa Mungu!
.Mungu atukuzwe kwa kila jambo naishani mwangu
Ubarikiwe Pr David
Amen...
Amen.
Amen
Amina
Amen
Amen