KALA JEREMIAH - NISAMEHE (OFFICIAL VIDEO) FT ASLAY
Вставка
- Опубліковано 6 чер 2019
- KALA JEREMIAH - NISAMEHE (OFFICIAL VIDEO) FT ASLAY
This song's message is for some Men who are perpetrators. Violence negatively can affect women’s sexual,mental,physical and reproductive health. Violence against women and girls has devastating cost and consequences to individuals and socities. violence against Women is real. End Violence against Women now.
#NoExcuseforWomenAbuse
WATCH AMERICA VIDEO HERE 👇
• KALA JEREMIAH - AMERI...
Follow Kala Jeremiah on Instagram:
/ kalajeremiah
Follow Kala Jeremiah on Twitter:
/ kala0444
Follow Kala Jeremiah on Facebook:
/ kala0444
Wabongo kulike nyimbo kama ii n ngum, kaz kulike manyimbo ya ajabu😤😤
#Nisamehe🔥🔥🎶🙌
Gonga like apa tuende sawa na Kala❤
Ooh! Asanten kwa like zenu na comments za kumwaga😍❤❤❤❤❤❤❤🙌
Umenena idea kama hizi wanazo wachache sana
Its touching and very nice song
Kala Jeremiah ni super 🌟
Kweli kabisa ujakosea
hahahahaha iyo kweli
Msanii namba moja bongo anaefanya muziki wa kuielimisha jamiii anastahl sapoti kubwa mno na kongole pia
Bila shakaaaa
nyimbo kali sn
Exactly
Unastahili heshima kubwa kwa jumbe unazotunga kwa jamii yetu...wimbo unagusa makundi yote #Nisamehe ❤
Nyimbo kama hizi nchi za watu ungechongewa sanamu ya heshima.. god bless you bro
nakukubali bro
Uyujamaa ajawahi kosea km unamkubali km mimi tujuane apa like hapa
Kama umerudia huu wimbo ngonga like twende sawa mchiz katisha kinyamaaaaa💪💪
Yaani sasa hivi watu hawacomment kwa sifa za video (kazi gonga like hapa )mnaboa sana ....! Mziki mzuri kaka ❤️
Asmini Abdalah sahihi usemalo...yaani nilikuwa naangalia coment nani anasifu huu wimbo ila sijampata kila mtu gonga like hapa
Nakuelewa man, kaz nzur saana nisamehe pia sikuwa nacomment nyimbo zako tangu mwanzo, najua unasoma nisamehe😁😁😁😂😂❤❤❤nyimbo nzur saan
kweli kabisa sio
Weka like km ulikuwa umemic dude kutoka kwa mchiz
bonyeza link apo utazame ngoma kali msanii Madsoft daaaa
sio poa wazee
ua-cam.com/video/xMXMjLCLP3A/v-deo.html
Daah nimeielewa kinyama iyo ngoma
Namkubal sana yuko vzr
Lussambo King Wamishe tusaidie kushare ua-cam.com/video/XIL7ML8lKPY/v-deo.html
Daha kala ujawai toa wimbo wa kijinga on lov brother kama umeuelewa gonna lk
Huyu ndio kala mwenye mashairi yake weka like kama tupo pamoja nae 👍👏👏
Mm huu wimbo nishausikiliza mara 11 kama naww km mm like /mzigo ni mzito goligota ndo naelekea
Bonge la ngoma...respect kwako bruh🔥
kama umeipenda hii nyimbo gonga like Hapa☝☝☝☝☝
Bonge la nyimbo.
Yusufu Majid
saana mkuu
Sasa like hapa ya nin na wimbo sio wako 😒 wabongo cjui tumelogwa na nan
Mimi ndo mkaguzi mkuu wa nyimbo kali Tz.. Nasema hivi hii ni yenyewe KBS 👐
Kinje Athuman 😂😂😂
Unanichekesha 😂😂😂maana nimetoka kuona comment yako kwenye ngoma mpya ya bella na mobetto
Makin xan
Mapesain
Kwa pamoja tuna kubali kazi zako, je una amini huyu jamaa ana tengeneza good songs, gonga like hapa tuone wangap wanakubali
Never die mr kalla.
Hata ukikaa miaka 100000 bila kutoa wimbo ila ukitoa tu lazuma igonge mazeeh.
@kallajeremiah
Safiii sanaa
Hata wasipokupa tuzo mishabiki wako kindakindaki nakupatuzo ulisawa ngosha mungu akongeje❤
Kara we noma
respect mkal wangu nakukubal sana
aiseeeeeee,bro hajawai kosea abadan
Harafu Jamaa akinyoaga anafanana kama 2park
Alwayz nakubali sanaa kazi zako#kala...god bless you
Ibrah Cataryan tusaidie kushae ua-cam.com/video/XIL7ML8lKPY/v-deo.html
toka kitambo nakuelewa sana brother hakika wasanii wote wangekuwa na akili kama zako tasinia ya muziki TZ ingekuwa mbali💪💪💪👏👏👏
Gonga #LIKE na KUNISAMEHE pia
KALA THE BEST MUSICIAN IN TZ💪💪💪💪💪 mambo ni Yente... yechu....fasi...ya....edwasi
kama umeamini hii ji story ya kweli imemtokea mtu ndomana kala kaenda kwenye kaburi la mtu wake ni story ya kweli LIKE twende sawa tuamini #MAPENZI yanaumiza sana
uyu mshikaji namkubal san
@@paulojohn8203 ata mimi sana
Tatizo Lenyu Ham Support Nyimbo Kama Hizo Sikuizi Mpo Kwa Mwendo Wakutetema Sio Poa . #Nisamehe 🔥🔥
Most Wanted ] umeona ee
Wengi wanapenda nyimbo za inama inama inuka inuka
Aaaiissee Wanaharakati Wengi Wanakata Tamaa Kwa Kukosa Support Kutoka Mashabiki 💯💯💪💪
Most Wanted ] timu ndo zinatuponza
Kuna nyimbo za kusikiluza ukiwa umelewa zakina inama hii unasikiliza ukiwa unaakili timamu
Godrick Ernest Ngoda inackitisha sna nyimbo nzr km izi viwer zke chache
Ujui kuandika ama shda nn ..
Kumbuka kuna edit button bna
Kwa sababu nimeponda nyimbo zenu za walevi tunapaswa tusapoti muziki wenye meseji siyo kila siku mapenzi tu
Daaaa kweli myn
@Mog Josely hujitambui kenge wewe
Nisamehee! Kama umeangalia Mara mbili kma mimi gonga like twende sawa
Jeremiah Mungu akubariki na kazi yako nzuri sana, upo creative sana na ni uhalisia wa jamii zetu , big up Kalah
daaaaaaah nmelii kaka yani unavyo imba kiisiaa
Ni bonge moja la wimbooooooo nice kala
Ujumbe mzito sana had choz linalenga lenga... Big up bro kaz Nnzur
Kala the true bongo star.God bless you my fellow countryman.
hbl
Kkk*ppu l
Mambo gani haya kala ya kulizana ...maisha yenyewe yanatuliza wewe pia utulize
Kuma ww
@@wemakingdaily1462 Kamuulize vizur Mama'ko Kua baba yako ni nani kama hatonitaja mimi
😆😆😆mbavu zngu
@@jullygodwiny4058 🤓🤓
Umetisha mzee ngoma kali sana
pamoja sana kala umetugusa wengi kwa huu wimbo
Hivi viroba bado vipo eeeh?!
Project kali
Hongera Kala
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Nyimbo ya 2016
Mh
Mkuu umewanyosha sana wewe mfano wakuigwa Kwa tanzania yetu bonge la ujumbe inabidi upewe cheo uwe raisi wawasanii woteeeee anaye bisha nani nimpe sababu za msingi
hakuna broo si ungewaona
Asante kala hujawai kutoa nyimbo mbaya hongera sana
mumny I love u, R.I.P mama & sorry for my life( plz mummy forgive me?)
daaaaahhhhh nakukubaliii xanaa Kala hii nyimb nixhid mzee baba👍👍👍👍👍👍👍
Iko good sanaaaa
Nice song
japo story inackitisha mweh😢😢
From sandton . iv wabongo wanaakil au. nyimbo zakuleta fujo mnagonga like. Izi apa no...dah kwakweli Mungu anawaona. Mnipe like zangu APA kama mmeipenda kama mm😮😮
Nyimbo nzuri na nifundisho,big up broo
High creativity Kalah aliye elewa hii ngoma like kwa kushow love
Chorus ya ki-legend sana
Km kweli ww ni Mtanzania na umeona km.hili ni bonge la nyimbo kuliko zile za kina dada gonga like twende saw Mtz mwenzangu
Mr Brangi Omari kalii
ngoshaaaa from Mwanza Tanzania autuangushi wanamwanza uje Mwanza KaManda wetu tuujaze uwanja ccm kirumba kpata radha ya witu adimu ulio nyo Mwanza tuko juu sna kwa marapaaaaa aseee
kweli bongo wanamziki wamebaki wa chache sana wengine ni wacheza show, kweli bongo bahati mbaya ngoma kama hizi zinazo funza jamii hazipewi air time yakutosh kwenye media Ila zile za matus za wale jamaa ndo watu wanazifagilia kweli hiki ndo kizazi cha nyoka laana tupu wangapi wanaikubali hili pini la #Kalajeremiah tujuane mapema
Kala ndo superstar hzo zingine ni wakatikaji viuno tu, unajua bro kaz nzur👍🥰🥰
wewe ni jembeeee
Amazing Hit Song Ever! Reflection Of The Real Feelings🎧:::: Definition Of The Artist.
Ngoma iko vizuri nataman nyengine kama hii aisee
Skuhizi sinywi bia ni viroba mixsa gongo Kala huuniwalaka wenye maskio nawasikie kama umekubari tia Like🇯🇲💪🎤
Firts song that nimesikia mwanaume akimkumbuka mwanamke wake na kuona dhaman ya mwanamke but too late love this song my fav of all time🥰😍😘🥰🔥🔥🔥🔥🔥
Mungu azidi kukupa wered zaid wa kufanyakazi bora
Kka Kala, bigup sana, Hua ufanyi makosa kwenye kazi, hongera sana my fan, I love youu, keep going
daah! braza jeremah umenifundisha kitu kikubwa san ktk hii goma😢😢😢
Skuiz sinywi bia ni viroba na gongo #ebaba mungu saidia @nisameeee mana thx song inanifanya nikumbukee mengii thank kara
Kazi nzuriiiii Sana mmetisha sana
Hizi ndio nyimbo tunahitaji sio msanii anapanda jukwaani na kitanda anatuonyesha anavolala na demu wake,,,,,
Gonga like mingi kwa kala jeremiah tuende sawa
Sema Chochote Nafisi Itapona Na Dunia Imenielewea
Kuna nyimbo za wenye akili kama hii.... Lakini zipo pia za wehu
Ashery Michael 😀😀kweli kabisa
😂😂😂😂😩
Ngoma ni balaaa mwamba umetisha its a leason to take. Hizi situation ni mingi sana bora mapema thn too late 🇹🇿👍💪
Mungu nimkubwa Sana kalajeremaya karuditena munguakulimde mikayote utakapokuwepo duniani 1000000%
daa nusu nilie daaa big up sana kaka
Huyu ndo msanii achana nawapka poda bila kik hawawz kutok gonga like hap kama unampa kala 100%
Kala we ni best ov de best. Hii song mpk nimeccmka 😭😭
Gonga like twende sawa Kala ni nomaaa nimejifunza kitu 💯💯💯
When u say hiphop knowledge... Is not #babasaleh or #Mwendo tu
Meanz future thinker in bigger...
And maintaining in hiphop icon'
Na sio usikilize wezele ukasahau Yenye funzo kwa wote.
Respect to kalaJeremaya
If you believe in kala jeremaya
You believe in hiphop
#LIKE HERE....
Tomplex haruatani
that is true
Dah!! Nlikuw nmemic knouma kala💪💪...wapambe walionipamba wamenigeuzia mgongo💪💪 kala noma
Kama unamkubaliii kalaa gonga like hapaaa
Aslay sauuuti jamaaaani wewe ndo mungu wa Bongo flava 👑🇨🇩🇨🇩
Nyimbo nzuri video nzur(inapendeza zaidi msanii anapousika mwenyewe kwenye baadhi ya matukio kwenye video)
Dah Kala unanitoa machozi
Hizi ndio Bongo flava tunazozitaka bonge la nyimbo hili
Good
Kala Jeremiah,2022 bado unanipeleka darasaniii nakutakia maisha marefu kala...mwamba was hip-hop mwenyewee
"najua unanisikia ila kunijibu ndo huwezi"........inaumiza..xana..😭😭😭😭😭😭@Nisamee#....keep it up Kaka💪💪💪💪
Hii yamoto sana asee
ALWAYS UTABAKI KUWA JUU KATIKA GAME... Bonge ya ngoma, bonge ya track, bonge ya song, bonge ya nyimbo, najua MESSSGE SENT KWA WALE WOTE WASIOWATHIMI WAPENZI WAO..🙏🙏
wimbo haunichoshi kabisa nakunikinai ndo usiseme kila muda nakula hii ngoma ujumbe mzuri kaka shukurani sana kwa sanaa yako nzuri
nahisi kama umeniimbia mm tyu
huu wimbo maana daaah😢😢😢
Welcome again mpiga picha uliyewapiga picha wapiga picha waliokuwa wakijipiga picha
Dah Huyu Jamaa Anaimba Sana Facts
asante kwa fundisho, Kalajelemaya, nakukubali sana
We missed you brother Kala. Umeua band kaka waooowaoooo waooooo lyk na views nyingi kwa wote wanaoikubali ngona hii kama mimi. Ivi moyo wako unamwelewa kala kama mimi? Like nyingi kwa kala aiseee
Mafundisho mazuri, ngoma kali sana big up sanaa #kalajeremiah
Kala, umeuwa mende kwa nyundo. Bonge la ujumbe. Kimya kingi kimetua na kishindo.
Legendary hey Kala I'm your big fan🇹🇿plz don't take much to realise your medicine 💓
Nakiri nilikuumiza sana mama yangu Nyumbani kukugonganisha na machangu Pia kukugombanisha na ndugu zangu Ili mradi nifurahi ndani ya nafsi yangu Nakunywa ninalewa na rafiki zangu Nakuangushia kipigo na una mimba yangu Mpaka mimba ikachoroboka kwa ujinga wangu Leo nitaficha wapi mimi sura yangu? Mbele sioni kitu zaidi ya ukungu Na maadui wako wengi zaidi ya nywele zangu Nishike mkono mikosi inaniandama Na usipo nionea huruma haki ya nani nitazama Mwili hauna nguvu kama mwenye homa Nahisi niko kuzimu na shetani ananichoma Ongea chochote na nafsi yangu itapona Nakiri sitorudia tena mbele ya Maulana Najua unanisikiaaa Ila kunijibu ndo huwezi Eeeh Mungu baba saidiaaa Umlaze mahala pema mpenzi Na pia anisamehe maha, anisamehe Na pia anisamehe sana, anisamehe Nisamehe nitakufa, kwa mawazo ya msongo Wapambe walionipamba, wamenigeuzia mgongo Baada ya kuishiwa pesa, wanadai sina mpango Ni kweli sina dini, wala sina mchongo Siku hizi sinywi bia, ni viroba mixer gongo Nisikufiche, nimepoteza malengo Kwenye kupa kwa mizigo, kwenye lori mi ndio tingo Maisha yangu yanaelekea ukingo Na kama nitakufa leo, jua kuu uliacha pengo Nikiongea sana nikajitukana Maana nilifungwa macho na starehe za ujana Nikajiita pimpi kicheche bonge la bana Nikakupa mateso ya moyo, mwili kimwana Na kila nilipolewa ni kichapo cha kufana Nishike mkono japo nimelewa sana Sema neno moja liuponye mwili wenye laana Najua unanisikiaaa Ila kunijibu ndo huwezi Eeeh Mungu baba saidiaaa Umlaze mahala pema mpenzi Na pia anisamehe maha, anisamehe Na pia anisamehe sana, anisamehe Nakiri sina uti, ila sasa nakwangukia Unanijua vizuri, sina haja ya kuhadithia Ila sirudii makosa haki ya Mungu naapia Sauti za kuzimu ninazisikia Bila msamaha wako hakika nita disappear Mi kipofu niongoze, natanga sioni njia Nakiri mi ni bonge la fala tena mburula Nilikuona taka-taka nikazurura Nikapiga chaka kwa chaka na kina Shura Sasa cheki nilivyo, nimenyooka kama rula Natamani ardhi ipasuke nijifiche sura Ama kweli dunia imenielemea Mzigo ni mzito Golgotha naelekea Ndugu wa damu yangu, sioni walikoelekea Hakika ni wewe pekee unaweza kunitetea Nadhani sasa sina tena cha kuongea Najua unanisikiaaa Ila kunijibu ndo huwezi Eeeh Mungu baba saidiaaa Umlaze mahala pema mpenzi Na pia anisamehe maha, anisamehe Na pia anisamehe sana, anisamehe
God Bless You @KALA JEREMIAH ... you made me 😢🖤 damn this is Hip-hop Bro 🎧 🎶 Love from Belgium 🇧🇪 #WakandaForever✊🏾
Mwanahrakat wakwel saf
Daaaaah song for me ...😭😭😭
My dear tumaini munuo #nisamehe ...
Huu mziki mzuri sana cha ajabu watapewa show zako wapige wanaoimba mziki mbaya
Very agitating song, congrats Kala you made me learn 🙏
Nakubali sana Zao La Bongo
Like kama Tuko Pamoja
Sijui mbona mm huwa sipewi like 🤤🤤nyimbo zote.. Anyway song poa all the way from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kama unasoma comments uku unaangalia ngoma gonga like twend saw
kazi nzuri sana king of hip hop tz
Big up sana Ngoma kali 🔥🔥🔥
Dah! Hii ni uhalisia kabsa et
Uongozi wa Magu masong conscious kama haya ni Adimu sana kukutana nayo.. Thanks 0444
Weka like ase please ata 20 tuu
bonyeza link apo utazame ngoma kali msanii Madsoft daaaa
sio poa wazee
ua-cam.com/video/xMXMjLCLP3A/v-deo.html
Niceeewh
mam bo
Poa vip?
Sisi watanzania tumezoa mtu akifa ndy asifiwe lkn hustahil kuwa hpo ulipo duuu kaka iko siku mung atfany kitu kikubwa zaid kweny maish yak
Kama unamkubali Kala gonga like hapa
Bonge la ngoma ujawai niangusha.. nimeludia Mara5 😭wanaume MUNGU aendelee kuwasamehe t🙌
MBONA ASLAY HAYUPO KWENYE KIDEO DAH NATAMAN ANGEKUEPO ... ILA YOTEKHERI UJUMBE UMEFIKAAA
wa sita kucomment like zenu kwa king of hip-hop lala Jeremiah
Mohamedi Issa uyu jamaa anabonge la creativity 🌏🌏