From 🇧🇮 namkubali sana huyu mwamba maana naimani kuna siku moja patakuwa mabadiliko kupitia huu Rais wa Kita kama ilivyo kuwa south sisi huku kwetu msanii imala kama Nay arikuwa anaitwa mkombozi ila arichochezwa paka akachana nayo 😢😢
Raisi wa wanyonge bro nyimbo nzuli sana natamani ningekuwa mkubwa kwenye nchii hii ningekufanyia makubwa sanaa mziki wako unelimisha sanaaaa bro saluti kwako sitochoka kukusaport
Am from Burundi ,nampenda Nay nampenda mwana Hip hop kutoka Tz maana mashahiri Yao mazito sana.big up rais wa kitaa sauti ya watu.nipeeni like zenu tukisonga mbele💪💪💪
In this Era where every song is about "Nifinyie kwa ndani,katikati patamu,nazamisha mpaka ndani,ikisimama rukia" Tukipata kitu kama hichi ni faraja toshaa..... Asante Nay...
Nakupenda sana ney we ninoma sana kaka napenda ur songs mungu akubari upate huru Tanzanian najuwa una teteya Tanzania yetu iwe na amani tuna mukumbuka rais wetu mangufuli 😢😢 don't give up brother fight for ur chi yako
This is a second song that makes me listen repeatedly to you,I wish all African leaders could reason the way you do.Nipeni likes za huyu rais wa Afrika nikiwa Kenya.
Ninge kuwa na utajiri ninge kuomba urudi shule, hadi upate u dactor ya HAKI JUSTICE!!! ili uikoe nchi hii, maana ninapo kusmini kwa nyimbo zako kila mara ulenga haki tuuuuu...
Alafu apo utasikia eti wimbo ni wa uchochezi ufungiwe Nay akamatwe. Yani hii nchi basi tu. Big up bro nakumbuka kwenye wimbo wa "Sauti ya watu" ulisema wasanii mpo wengi ila hakuna anayesema Kama wewe. Nazikubali sana harakati zako Kaka. Twende sambamba ipo siku watakuelewa tu❤❤
Daaaa what a song 🔥 nomaa sana ney wa mitegoo much love from Scotland and nawapa salaam ndugu zangu watanzania hiyoo ikawape faraja wahanga wa vita ya Israeli, na,, Palestina #weka like yako hapa
Basata tunarudia kuangalia na kusikiliza tupate kosa na tumelipata Mgonjwa bila Mganga ww umeandika mgongwa bila Mganaga ndo nini sasa umepotosha Ney, , najua kama umerudia kuangalia hilo kosa la kiuandishi gonga like hii comment plz
😢😢😢 Aki ya Mungu naapa hapo kwenye umeme hata mimi ningepewa mamlaka hawa viongozi uchwaro wangenitambua wangeishi Kwa mateso sana wasinge pewa hata tone la umeme wanatutesa sana hawa makuma
Aiseee nimerudia mara nne kuangalia,ni huzuni na kilio,ulichoimba ni ukweli mtupu iwapo ikatokea tukabilishana hali zetu za maisha,sitakaa kuona mbunge au waziri akisema Vijana wajiajiri,au vijana wavivu au Maisha ni marahisi vijana hawataki kazi.Hongera sna Ney wa Mitego
You can clearly feel the pain of this dude through the splendid lyrics. In a nutshell, Nay Wa Mitego tries to conspicuously show that privilege is invisible to those who have it - And in that breadth, our leaders know nothing about our struggles. Pure class of ACTIVISM from Nay Wa Mitego! Following closely from +254🇰🇪.
Sijawahi kuona wimbo una ujumbe mzito hivi, ujumbe kamili uliosukwa, ubunifu mwingine on another level Nay,hapa hata Roma mkatoliki ametii,🎉🎉🎉🎉 chukua maua yako bro
wimbo wako mzuri kaka ila mungu akulinde na akutie nguvu nimependa ccm wawe chadema, chadema wawe ccm ila pia hakuna mtu mkubwa tanzania na duniani kwa ujumla kama mwalimu japokuwa wanalipwa mishahara kidogo kiukweli nakubaliana na wewe hakuna maisha bila siasa wanatulazimisha kuwa wazalendo mbunge wa darasa la saba anapanga dactari alipwe mshahara kiasi gani ndo tanzania yetu hiyo nymbo za ney ni zaidi ya nyimbo hasa zinazohusu harakati. by robbyn
Habari za wote. Recently I started to learn swahili, because I am very interested in Swahili language and culture, and I selected this guy and another called Darassa, to keep going along the way in this exciting adventure. Learning with their music will be so funny and enjoyable. Safari bado ndefu, lakini nitavuka jangwani.
Unaweza chukulia poa... Huu ujumbe sikiliza vzr unamwaga machoz.. inauma sana.. tena sana.. Kuna watu maisha magumu. Ukimuona. Mwl afadhal ya ww ambae ujasoma. Acha shida. Ukimtendea mwenzio unaona sawa
Hii nyimbo najikuta narudia mara 3 Sasa...waliorudia like plzz
Huyu ni mwana sanaa achana na makenge wengine ila kama unamkubali jamaa weka like Kwangu please ni ukweli mtupu
Rais wa kitaa chukua maua yako🎉🎉
Mungu akuidishie pumzi uzid kutuamsha na kutukumbusha🙏🙏
Tupia ❤️👍 Kwa rais wetu,,
Congrats to him💪💪
Better ameacha kufanyia kazi 👿😈👹 thanks 🙏 mungu
Sijawah comment katika ngoma za ney...ila hiii imeenda, big up bro Ney umebeba dua za wengi...voice of the voiceless 💪
Kama umerudia kuangalia zaidi ya mara 3 gonga like tuondoke 🔥🔥🔥
Me nmeiyacha ijurie kwenye bufa...😅😅😅
Mara ya pili ivi na maliza. Maneno ya ku elewa ni mengi ndani
Kijana mungu azid kukuinua
Hunaga baya Broo ktu 🔥🔥🔥
From 🇧🇮 namkubali sana huyu mwamba maana naimani kuna siku moja patakuwa mabadiliko kupitia huu Rais wa Kita kama ilivyo kuwa south sisi huku kwetu msanii imala kama Nay arikuwa anaitwa mkombozi ila arichochezwa paka akachana nayo 😢😢
Jamaa anafikria sana aisee,hebu weka like nyingi kama unamkubali huyu mwamba#NAY THE TRUE BOY❤
😂😂 mamlaka🙏
😮😅
Raisi wa wanyonge bro nyimbo nzuli sana natamani ningekuwa mkubwa kwenye nchii hii ningekufanyia makubwa sanaa mziki wako unelimisha sanaaaa bro saluti kwako sitochoka kukusaport
Jamani sijawai kupata like Ata 3 kwa Rais wetu wa kitaa leo nipate hata 7😢😢😢😢😢😢
Am from Burundi ,nampenda Nay nampenda mwana Hip hop kutoka Tz maana mashahiri Yao mazito sana.big up rais wa kitaa sauti ya watu.nipeeni like zenu tukisonga mbele💪💪💪
Watu wa Burundi 🇧🇮🇧🇮 tujuane
@@davidcreative1756 👌👌👌
Ney siopoa
Dope beat,maneno ya uchungu.hamna matusi,hamna wanawak kua uchi na kucheza uchi.msg sent kwa viongozi km woote wa Africa.
Raisi waki taa na chunga wimbo na homu ni mototo wa Congo toka.goma✌☝❤
Nakukubalisana brother ! Kiukweli wewe ni RAÏS wa KITAA.mungu azidi kukulinda mimi naishi norway ila hakuna msani wowote hule namkubali kukuzi wewe NEY WAMITEGO.wewe ni moto 🔥🔥
Vipi kazi uko ndugu tukumbukane sijuagi kuchagua ataenifaa sijamjua
@@bainolatino3412 mbona nghafula Sana 😅😅🙌
@@bainolatino3412kazi ukaishi kwa nani? Na ule nini kabla haujapata hiyo kazi? Au unafikir watu kule ni km wasukuma
Wapiii upo mbeyaa apaa AU unaogopaa kuuuute
Ney wewe noma sana yani yote ni Sawa basi nakupenda bur🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
79
Elpresidenti..wewe ni zaidi ya wanyama pori
Nay wamitego awe basata na basata wakitoboa ney kafa 😂😂😂😂 like Kwangu umeikubali hiyo kauli
Hii kaipatia sana icho kipande kiwekwe pale mwenge😂
Huyu jamaaa anaakili kama zangu
Ngoma nimeikubali ❤❤❤❤❤
Me co mpenz wa miziki ila huyu mkaka napenda kuckia nyimbo zake mana zinamaana sana
Ngoma inatafakatisha ubongoo vemaaaa ney 🎉
Ukipewa eti wananchi unawapa umeme afu Kwa Viongozi unazima motooooo🔥🔥🔥🔥🔥
This dude knows how to be a peaceful activist....lyrics on top
100%
Unajua
In this Era where every song is about "Nifinyie kwa ndani,katikati patamu,nazamisha mpaka ndani,ikisimama rukia"
Tukipata kitu kama hichi ni faraja toshaa.....
Asante Nay...
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂namkubali sana Nay
bigap san broo🎉🎉
Nakupenda sana ney we ninoma sana kaka napenda ur songs mungu akubari upate huru Tanzanian najuwa una teteya Tanzania yetu iwe na amani tuna mukumbuka rais wetu mangufuli 😢😢 don't give up brother fight for ur chi yako
Na kubali ❤
Tz chukueni akothee mtupee huyuu nay the true boy
This is a second song that makes me listen repeatedly to you,I wish all African leaders could reason the way you do.Nipeni likes za huyu rais wa Afrika nikiwa Kenya.
Mdogo wangu hujawahi niangusha kamwe!!!....good music with deep message in it.
Ninge kuwa na utajiri ninge kuomba urudi shule, hadi upate u dactor ya HAKI JUSTICE!!! ili uikoe nchi hii, maana ninapo kusmini kwa nyimbo zako kila mara ulenga haki tuuuuu...
Nani angempa afanye ivo mda utakao maliza kumfundisha tulia wewe kaka ney😁🤣
Unyama sana mzee wangu
Huuu jamaa kiukweli ni genious wa kuwaza uhalisia na uwiano wa maisha naomba mamlaka msikilize ifanyie kazi haya maono yake asipuuzwe.
Alafu apo utasikia eti wimbo ni wa uchochezi ufungiwe Nay akamatwe. Yani hii nchi basi tu. Big up bro nakumbuka kwenye wimbo wa "Sauti ya watu" ulisema wasanii mpo wengi ila hakuna anayesema Kama wewe. Nazikubali sana harakati zako Kaka. Twende sambamba ipo siku watakuelewa tu❤❤
Viongoz wetu nyoko Sana
C tunamuelew man toka way back. Mwamba tunamuelewa. Km ngoma alishilikishwa na yakuza mobb aliuwa sana kudadeki zake. Km huijui kaitafute hyo ngoma
@@JaymbwanziOg😂😂😂
waalimu tumekumbukwaaa ..
Nipeni like za raisi wa kitaa
Huyu ndio msaniii sio msaniii unaogopa kufikisha ujumbe kwawana nchii Kuna Mana gani ya kua msanii? Kama unamkubali Mr ney gonga like tujuane
Hizi ndizo nyimbo za kuelimisha jamii, Zinagusa jamii iliyopo na mambo yanayotokea. Biggup sana bro
Bonge la nyimb❤
Daaaa what a song 🔥 nomaa sana ney wa mitegoo much love from Scotland and nawapa salaam ndugu zangu watanzania hiyoo ikawape faraja wahanga wa vita ya Israeli, na,, Palestina #weka like yako hapa
salute mr president 👏 ney gonga like kama sio mmbinafsi kama raisi wetu
❤❤❤Wanaokuchukia wote niwachawi2 kwer ww ni raisi wa kitaa naikiwezekana tukupe kula Napenda kusema akili mingi sanaa❤❤❤❤❤❤❤❤
Tulioirudia hii Ngoma zaidi ya mara tano tujuane❤❤❤❤bonge la Ngoma
Aisee hii booonge 1 ya dude 🎉🎉🎉🎉
mimi ni mkenya na naweza sema hakuna kama NAY huku kwetu...kazi safi mkuu. ukiwa rais wa TZ ninahamia huku alafu roma awe naibu wako✌✌✌✌✌✌
Jaman sijawahi kupata like ata 5 kwa raisi wetu wa kitaa Leo nipe ata like 10😢😢😢😢😢😢😢😢
Nmekupata like ila sijui mnaziuzaga wapi
@@Charles_Carney😅😅😅
Nimekutumia LIKE usiongee sana bc😂😂😂😂😂😂
@@aishafrancis7714😅
Kubabako
An enlightened spirit never goes dark. Keep up the spirit man. 🇹🇿
Saf ney
Ase kama umeelewa kitu hapo raisi wa kitaa ni🔥🔥anaumiza sana Akili ,, au tumpigie kura jamani 🎉🎉
Much love home boy Harakati tumezaliwa nazo... One day yes
Yaani kila mustari kwenye wimbo..funzo tosha..respect my guy!!!!
Basata tunarudia kuangalia na kusikiliza tupate kosa na tumelipata Mgonjwa bila Mganga ww umeandika mgongwa bila Mganaga ndo nini sasa umepotosha Ney, , najua kama umerudia kuangalia hilo kosa la kiuandishi gonga like hii comment plz
Mimi ndo mkongomani tu hapa? Mashabiki wa Nay mko wapi?
Naombeni like za true boy... Message deliverer 💪💪
🎉🎉🎉 raisi wa kitaa
Sisi wapenzi wa haki, mara nyingi society ahitupendage ata kidogo... maana ni watu wenye misimamo mikubwa sana....
Raisi wetu wa kitaa❤🎉 WE hujawai kutuangusha hata Siku moja!! All You need IS a day oneday😢😢. Love from Burundi🇧🇮🇧🇮.
Naomba likes zeunuuu hapaa
🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮nagomba 😂😂😂
Tunaosema hii ngoma inaenda sambamba na yaamkeni tujuane kwa like👇
Nay again, as amazing as usual , good work 👍🏼👏🏽👍🏼👏🏽👍🏼👏🏽yes maua yote ya ikulu ya Dar na Dodoma ni yako!!! 🌿💐🍀🌹 🪴🌺 🌿🌸 🍀🌷rais wa mioyo ya wapenda haki
Wallah me kimeniguz ahuu song ney Mungu akulinde na akutii mema 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mi kila nikiimiss ngoma nakuja humu kula tuuh bando Mr.Nay unatusema sana jamanii 😢🎉
Great piece of art...
Tanzania tunakukubalili, God protect you always. Much love bro 🇹🇿
Nay wa Mitego Umetisha sana Mwamba na Mtetezi wa Wanyonge.
Much Respect, watu wakinyamaza mawe yatapiga kelele. Kazi iendelee kaka, big up
Wimbo uongezwe kwenye beti za wimbo wa Taifa
nafrai kuonaa ngoma ya mr free nation no.2 trenging ,,tupush ngoma zake.
😢😢😢 Aki ya Mungu naapa hapo kwenye umeme hata mimi ningepewa mamlaka hawa viongozi uchwaro wangenitambua wangeishi Kwa mateso sana wasinge pewa hata tone la umeme wanatutesa sana hawa makuma
🔥🔥🔥🔥🇹🇿
Ukisikia msanii anaeimba nyimbo za kuelimisha na kufundisha Nay wa Mitego wa kwanza❤
Ney nimwalimu wapili
I feel the pain this dude is addressing in this Banger. Your the best Mr Nay.
Aiseee nimerudia mara nne kuangalia,ni huzuni na kilio,ulichoimba ni ukweli mtupu iwapo ikatokea tukabilishana hali zetu za maisha,sitakaa kuona mbunge au waziri akisema Vijana wajiajiri,au vijana wavivu au Maisha ni marahisi vijana hawataki kazi.Hongera sna Ney wa Mitego
Unafaa kuwa rais"**
Much love from Ethiopia Rais WA kitaa wanakutambua ipo siku Moja uwaogoze WA Tanzania keep moving I salute Brother 👏
😊😊😊
You can clearly feel the pain of this dude through the splendid lyrics.
In a nutshell, Nay Wa Mitego tries to conspicuously show that privilege is invisible to those who have it - And in that breadth, our leaders know nothing about our struggles.
Pure class of ACTIVISM from Nay Wa Mitego! Following closely from +254🇰🇪.
From Kenya with respect.
Tanzania Marais ni wawili.Rais Magufuli na Rais wa Kitaa
Huu wimbo unaweza kukutoa machozi maana alichoimba ney humu ndani ni ukweli kabisa🙏 God bless you Ney Rais w kitaaaa big up💪💪🇹🇿
Nay wa mitego umeupiga mwingi BIG UP brother Mungu akusimamie katika kazi yako izidi kusonga mbele
I'm a good fan of mr Nay. Mziki wenye ujumbe mzito sana.
Najikuta machozi yananitoka😭😭🇹🇿 any way naombeni like zangu nifute machozi nitulie.
Huyu aritakiwa awe raisi waichi sio wakitaa nampenda Sana kinyama🎉
God grant this dude a chance much love from Kenya 🇰🇪 Mr Nay
Ney brother unaakili kwa kweli ..mi naamini hata siku uwe rais hutakuwa mwamba ngoma ..utakua mzalendo tu kama ilivyo nyimbo zako
Kaka nakukubali sana kwa kazi zako ..nyimbo zako ziko Safi sana ukweli brother napenda San nyimbo zako..
Sijawahi kuona wimbo una ujumbe mzito hivi, ujumbe kamili uliosukwa, ubunifu mwingine on another level Nay,hapa hata Roma mkatoliki ametii,🎉🎉🎉🎉 chukua maua yako bro
Ningekuwa rais part 2 part alipga #kalajeremiah
Gonga like tunaopambana kuipeleka trend no 1💥
Siku wapinzani wakishika dollar (nay) atakuwa msanii mkubwa barani African naamini ipo siku❤
Chukua maua yako Mr President
❤msani wangu kutoka Tanzanie 🇨🇩♥️👌 mungu akupe umri mulefu
I love this guy hakuna mwingine kama nay Sam from kenya....
Much love from kenya 🇰🇪
Kaka achatu aimbe neyi wamitengo nikama rais magufuri
Nimeona like 99 nikasema why not me 100 😅 wish all the best
Raisi wa Kitaa😂😂😂👑🔥big up BABA YANGA...@254
wimbo wako mzuri kaka ila mungu akulinde na akutie nguvu nimependa ccm wawe chadema, chadema wawe ccm ila pia hakuna mtu mkubwa tanzania na duniani kwa ujumla kama mwalimu japokuwa wanalipwa mishahara kidogo kiukweli nakubaliana na wewe hakuna maisha bila siasa wanatulazimisha kuwa wazalendo mbunge wa darasa la saba anapanga dactari alipwe mshahara kiasi gani ndo tanzania yetu hiyo nymbo za ney ni zaidi ya nyimbo hasa zinazohusu harakati. by robbyn
Dah!! Naomba Mungu azidi kukulinda siku moja uje kuwa rais wa nchi labda utakuwa mtatetezi wa wanyonge
Sijui ni comment Nini ila ukweli hakuna msanii,mwana Sanaa Kama wewe mungu akutangulie kwa unachokilenga
Unyama unyama we do raisi wangu mama siasa inatu ua haitutunzi Bora andazi nitashi ba
Unyama unyama we do raisi wangu mama siasa inatu ua haitutunzi Bora andazi nitashi ba
Ney Wamitego unajua saana kuimba aisee This is powerful good music 🎶🎵🎼💯💥🔥🖐️💪🌙🌟 Tupo pamoja saana brother
The true boy in the building...big up...🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tuna kubali
Ngoma Zote Za Nay Nazikubali Huyu Jamaa Anafikiria Kuliko Wasanii Wengine.. Big up nay the true boy💪💪
Rais! Kenya! Embu🌎 Wapi!
Much love ❤️ from Kenya, kazi safi Rais tunakukubali sana
Habari za wote. Recently I started to learn swahili, because I am very interested in Swahili language and culture, and I selected this guy and another called Darassa, to keep going along the way in this exciting adventure. Learning with their music will be so funny and enjoyable. Safari bado ndefu, lakini nitavuka jangwani.
Moja kali from +255, we always love the creativity, one love +254🇰🇪🇰🇪
Daaaaaah kuna watu wanajua kutunga mistari hii mistari imeniimgia kweny moyo hadi nimepata huzuni Daaaah big up bruh 😢😢💯💯
Ujumbe wa kweli jaa na kazi hvie ndani mishara midogo mahitaji rukuki
For the first Time and on the first day Ney wa Mitego got me as whole. Kaka umeuwa tembo kwa ubua kabisa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Safi sana Nay nyimbo zako ni powerful 👏👏👏🔥🔥🔥🔥
Raisi waki taa ❤tuko hapa Asanti hii wimbo Iko juu
Iwe Iwe the message imehit hard kwa Jirani 🇰🇪.