KALA JEREMIAH - AMERICA (Official Video) Ft ZEST

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 798

  • @neemaplatnumwasafitv8053
    @neemaplatnumwasafitv8053 5 років тому +2

    Kweli wewe Maniger nakubali sana you will be stay up

  • @okamanosiao1861
    @okamanosiao1861 5 років тому +2

    Huyu jamaa ni creative sana

  • @youngrappertz1735
    @youngrappertz1735 5 років тому +350

    kama unafikiri #KalaJeremiah anafikiri sana #GongaLikeHapa tupo pamoja...!!!
    👊👊💪💪💪😁😂

  • @mussaelisha5785
    @mussaelisha5785 3 роки тому +1

    Mwangaloka mlechiza👍

  • @fundievergreenengineering3923
    @fundievergreenengineering3923 5 років тому +2

    Bonge la Video

  • @jasirimkombozi4926
    @jasirimkombozi4926 5 років тому +1

    America pabaya sana

  • @Sokolangugroup
    @Sokolangugroup 5 років тому +2

    kama umemwelwa kala gonga like apo

  • @selemanitz7496
    @selemanitz7496 5 років тому +1

    Hoooooweee kamesha kabisa safi

  • @paulmae1796
    @paulmae1796 5 років тому +223

    Nataka kwenda America, comment no. 31 likes kaeni nazo nina yangu moja

  • @nobertjacobo1986
    @nobertjacobo1986 5 років тому +2

    Ngoma Kali

  • @Kazimily_Music
    @Kazimily_Music 5 років тому +2

    Mwadira gawiza weka like twende sawa🔊

  • @reubzdullahboymusic685
    @reubzdullahboymusic685 5 років тому +2

    Wanangu wa 254 kama unamkubali kala rusha likes zako hapo tukisonga

  • @pricejr2621
    @pricejr2621 5 років тому +20

    kama unamkubali kala Jeremiah gonga like twende sawa 🔥🔥🔥

  • @hmatta3024
    @hmatta3024 5 років тому +27

    Ng'wangaruka mlichiza 😂😂😂 Sukuma to the Word gonga like hapa kama unaamini kalah katisha

  • @hamishashello8231
    @hamishashello8231 5 років тому

    Madila gawiza!!! Well J kazi zako huwa zina ujumbe mnono...

  • @haroubselemani5578
    @haroubselemani5578 5 років тому +66

    Bora kubaki kuwa chizi Tz kuliko kwenda America then urudi ukiwa mteja au maiti,,Safi sn Kala,hapo umeitendea haki fasihi

  • @cornelsifa3790
    @cornelsifa3790 5 років тому +92

    Oya trump nipe visa,
    Bill Gates nipe pizza !!
    moja kali kala jeremiah....

  • @seifhilal9489
    @seifhilal9489 5 років тому +81

    Hatapata tabu sana fundi karud anaekubal agonge 👍

  • @MteuleMabuku
    @MteuleMabuku 5 років тому +57

    Machizi hawaendi America, waliotimamu wanaenda ,wanarudi wakiwa machizi au maiti.
    Kajana so talented

    • @tatuyussuf7574
      @tatuyussuf7574 5 років тому

      Thobias Mabuku @fact...

    • @monicaney3782
      @monicaney3782 4 роки тому

      Lugha ya picha imetumika hapo America yaweza kuwa ni mafanikio ambayo kila mtu anayatamani ila matokeo ya mafanikio yaweza kuwa hayo

  • @felistermwangalaba7658
    @felistermwangalaba7658 3 роки тому +2

    I'm black don shot me I have a dream don kick me I'm Martin Luther ✌️✌️✌️✌️✌️....Kaka umtixha...big up xana...

  • @gresicosmas6452
    @gresicosmas6452 5 років тому +1

    Nimeielewa broo

  • @storyzetu8114
    @storyzetu8114 5 років тому +183

    Jamaa katumia fasihi amabyo ni ngumu sana kuielewa
    Najua wengi hamjaelewa UNAONA HAPO WATU WANAINGIA AMERICA wanarud wakiwa kwenye majeneza na wengine wanarudi wakiwa washakuwa mateja 😂😂😂😂 this man is creative
    #umewachanganya wengi awamu hii @kalajeremiah

  • @kamandab7976
    @kamandab7976 5 років тому +63

    # Kala Jeremaya mm nahishi America nimekuelewa 💯 kaka unaona mbali
    Natamani wengi wausikie wimbo na waelewe video

    • @gambajunior2275
      @gambajunior2275 5 років тому +1

      Nimeelewa Sana bro ...vijana wengi wanaaminni ughaibuni ndo Kuna maisha mazuri kumbe balaa tupu ...wakirudi hawana kitu,mateja na Wengine inarudi miili tu wakiwa wafu

    • @jonasyohana3258
      @jonasyohana3258 5 років тому

      true blood

  • @Gtwice
    @Gtwice 5 років тому +125

    Bro umedhihirisha kipaji ni ubunifu na sio kuigana... This is really HIPHOP

    • @madamcolethaa641
      @madamcolethaa641 5 років тому +1

      Nimeelewa kumbe huko America ndohivyo siendi bora nikomae najiji sitaki kufa mapema

    • @jonasyohana3258
      @jonasyohana3258 5 років тому +1

      ya true

    • @Thadigga1
      @Thadigga1 5 років тому +1

      G twice sana chief...

  • @shedo7275
    @shedo7275 5 років тому +2

    Mi nataka kuenda Tanzania yeah ya

  • @abdulyabdunuru1476
    @abdulyabdunuru1476 5 років тому +2

    Kama umeelewa ujumbe uliofichwa kwenye hii song gonga like tujuane

  • @masagapaul5039
    @masagapaul5039 5 років тому +191

    Kama umesikia mwangaloka Gawiza, Madelo Gawiza.
    Like twende mbele...chakokaya

  • @aishamother9943
    @aishamother9943 5 років тому +1

    Pendant sana kala

  • @Yegon254
    @Yegon254 5 років тому +33

    wachache wanaojua fasihi wameielewa, Kala Jeremiah is the most creative artist TZ

  • @sebastianjoseph8579
    @sebastianjoseph8579 5 років тому +1

    Rapper mwona mbali sana we jamaa

  • @anthonymwandu2615
    @anthonymwandu2615 5 років тому

    mwangaluka mlechiza madelagawizaaaaaaaaaaaa king of sukuma wasukuma mpaka tupate nini jamani wakati kala nizawadi katupa mungu acha like hapa kizazi

  • @Thadigga1
    @Thadigga1 5 років тому +1

    Gud Music na Ujumbe

  • @amrzaqmlawa4015
    @amrzaqmlawa4015 5 років тому +1

    Masaai kaenda America karudi bishoo #kala noma sana

  • @shadrackrabison8032
    @shadrackrabison8032 5 років тому +19

    Jamaa ametisha sana, huu wimbo lugha ya picha imetumika "ujumbe ni kwa vijana wanaotaka kwenda nje kwaajili ya biashara ya madawa ya kulevywa" WELL DONE KALA

  • @hussenblolo2033
    @hussenblolo2033 5 років тому +1

    Nakubali

  • @yudasamweli
    @yudasamweli 5 років тому +2

    Wangapi wamemuelewa kala Jeremiah tujuane apa

  • @davismdula1517
    @davismdula1517 5 років тому +21

    Mwangaruka mlechiza na kasikia kisukuma kama mimi

    • @davidelias6376
      @davidelias6376 5 років тому

      akili nyingi mpaka unaboa kala du this is too much

  • @hassanbonge2605
    @hassanbonge2605 5 років тому

    Nymbo qali saaana km umeikubal gongw like twnd sawa

  • @maxwellvangulinja
    @maxwellvangulinja 5 років тому +1

    jamaaa creative sana strong message kwenye video

  • @maxmaizer4631
    @maxmaizer4631 5 років тому +1

    Ebanaa mwanza tumekiwasha tenaa awakina baracka da Price kina h baba wamesha shindwa majukum na kuolewa sasa matumain kwa kina kala na fid q msodiki pia

  • @yusufumajid8392
    @yusufumajid8392 5 років тому +1

    kala Jeremiah nikajua unaeckt movie ya kivita👈👈👈 gonga like Hapa kama umeikubar hii song

  • @usowabwanatv9655
    @usowabwanatv9655 5 років тому +2

    Muimbaji Kala kwa nyimbo hii nimekuelewa kua ndani yako kuna kipawa na elimu kubwa ambayo Mungu ameweka ndani yako kwaajili ya kuelimisha dunia.... Kwani watu wengi wamekua wakifata upepo kama bendela na huku wakiwa hawajui kua wanapotea... Ninakuombe na nitazidi kukuombea ili Mungu azidi kukutumia uelimishe watu na sio kupotosha watu na jamii kama wengine wanavyofanya..
    By Prophet Luckson N.M

  • @officialfilihomemayuyu6799
    @officialfilihomemayuyu6799 5 років тому

    semeni tena niliwasikia kalajeremay kafulia nathani kawafunga midomo🎌🎌 sisi haoo America tunaotaka kwenda like👍👍👍

  • @richardjames7269
    @richardjames7269 5 років тому +1

    Kama umesikia ng'wangaluka weka like zakutoha hapa

  • @salehnahdy5447
    @salehnahdy5447 5 років тому +2

    USINIFWATE.....ACHA!!!!🔥🔥😊

  • @wambalishabani1630
    @wambalishabani1630 5 років тому +70

    Usinifuate......#me nataka kwenda AMERICA 🔝 🙌

  • @2abstvafrausbigshowtv294
    @2abstvafrausbigshowtv294 5 років тому +1

    Kali sana🇨🇩😂😂😂😂

  • @salehecharles9444
    @salehecharles9444 5 років тому +32

    video imebeba ujumbe mzito, hii ndo maana halis ya kuwa creative big up kala

  • @asifiwenzoya2015
    @asifiwenzoya2015 5 років тому +1

    Duuuuh!! Unaweza kuona namna wanavyokimbia kwao wakidhani fursa zipo nje, sasa wanarudi wakiwa tofauti kabisa wengine mateja, wengine zinarudi maiti. Its now to understand that ni bora tunavyoviacha kuliko tunavyovikimbilia. AMERICA katika wimbo haimaanishi twende America kweli Bali inatuonesha ni wanaokimbilia huko wanasuffer. Thanks @KALA JEREMIAH . you are my role model. One day I wish kufanya unachokifanya

  • @godfreyibrahim818
    @godfreyibrahim818 5 років тому +1

    Wewe ni noma bro

  • @allybmfaumes9764
    @allybmfaumes9764 5 років тому +1

    nani kavutiwa na mshangao wa kala kulishangaa jeneza tujuane tia like

  • @shukurumpenda2569
    @shukurumpenda2569 5 років тому +7

    kk umewaza sana kunawengine bado hawajaelewa apa

  • @emmanuelkateule207
    @emmanuelkateule207 5 років тому +21

    Dah this guy is not only talented but also intellectual, kinu kitu cha kujifunza Ktk hii nyimbo...

  • @ramsoommy2868
    @ramsoommy2868 5 років тому +1

    sema #AMERICA

  • @jifaqmoonwalker6032
    @jifaqmoonwalker6032 5 років тому +1

    Ngoma Kali idea Kali video kali

  • @sharifmgweno3515
    @sharifmgweno3515 5 років тому +1

    Broo katika nyimbo ambazo huwa c choki kusikiliza ni hii amerika yaan kuna vitu umeongea ndani ni vya msingi mnooo big up broo mungu akujalie kazi uzid kutoa nyimbo za kuelimisha bro

  • @ckosmah21
    @ckosmah21 5 років тому +35

    Sna kingine zaid ya kumshukuru mungu kwa hiki kipaj cha kala thanks God

  • @charxsymon1954
    @charxsymon1954 5 років тому

    Kama hujamuelewa kama mm ucpite hv hv dondosha like

  • @godlandmushi2224
    @godlandmushi2224 5 років тому +1

    🙌 mikono juu goma qali

  • @salumuduhjamanijamanimadan6105
    @salumuduhjamanijamanimadan6105 5 років тому +1

    Nomaa saana kala umetisha kama umemuelewa kala kamanilivyo muelewa mimi naomba tujuane tafadhar

  • @abdalahkishari2888
    @abdalahkishari2888 5 років тому +1

    huyu jamaaa ni kwere anaupeo mkubwa sana wa kufikiri aise

  • @stevenpeter2260
    @stevenpeter2260 5 років тому +1

    Huu mziki siyo level ya wapenda matusi. Audio na video havitenganishwi, ukitenganisha unapata uiumbe nusu.

  • @petrojacob1133
    @petrojacob1133 5 років тому +6

    Kama masihala lakin funzo hilo. Respect sana mzee hapo mjinga haelew lakin wajanja kitaaaaambo...

  • @davidnyiti8215
    @davidnyiti8215 5 років тому +1

    Ujumbe mzito. ...let live and die in our tz

  • @BONGO_FILAMU
    @BONGO_FILAMU 5 років тому +1

    Hii ndio nimeielewa ni hatari ......#Nipe Viza

  • @lameckjohn3257
    @lameckjohn3257 5 років тому +44

    That is what we call creativity broo well done

  • @Momtaa
    @Momtaa 5 років тому +1

    noma nomani gonga like kumsuport kala

  • @youngloyclassic3173
    @youngloyclassic3173 5 років тому +1

    Hujawah kosea kaka

  • @leoncerichard1276
    @leoncerichard1276 5 років тому +1

    Nataka kwenda amerikaaaaa twenden ni fire

  • @carenmwaka2117
    @carenmwaka2117 5 років тому +2

    Huyu jamaa anajua sana..❤ He is a thinker n talented. Goma liko juu🔥🔥🔥

  • @saidsuleiman8647
    @saidsuleiman8647 5 років тому +3

    sema bigup sana brother najua mziki unauwendesha hauendeshwi na mziki please usibadilike brother maan tupo wenye akili kama ww wenye kupenda vitu vya maaan....

  • @binsururu
    @binsururu 5 років тому +5

    UBINIFU wako upo kiwango Cha juu sana, wachache tu ndo tunakuelewa.

  • @marthamartine5010
    @marthamartine5010 5 років тому +7

    yaani nimeirudia mara 10 big up bro wakwetu gt one yani habar ni america

  • @georgerwebembera1565
    @georgerwebembera1565 5 років тому +1

    Waliobora kabisa. Walikubaniaga tu bss kama ealivyomzingua mwana wa mahhryaaaikhaaaa

  • @josephhenry3398
    @josephhenry3398 5 років тому +3

    video simple.
    ujumbe mzito.
    timamu na aelewe.
    ushauri mzuri

  • @gabriellytairo2552
    @gabriellytairo2552 5 років тому +9

    RESPECT kwa director. umenionesha ubunifu mairi.

  • @josephmathias7021
    @josephmathias7021 5 років тому +32

    Ila we Kala aisee, dah! Mungu akupe zaidi brother u d best!

  • @dadychaps7527
    @dadychaps7527 5 років тому +1

    Nakuaminia toka zama🇰🇪💪💪👍🔥🔥

  • @husseinomary4466
    @husseinomary4466 5 років тому +1

    Kawimbo kanaujumbe, halafu video imejieleza aisee huyu jamaa anakipaji sio chakawaida, Kama na ww umeelewa Zaid unavofikir gonga like

  • @abdulrahmanjr5573
    @abdulrahmanjr5573 5 років тому +1

    wewe ni bonge la artist kala jeremiah

  • @anldnkpl3810
    @anldnkpl3810 5 років тому

    Ungekuwa Mwalimu ,ungepewa mwalimu Wa michezo na burudani

  • @matarisuma9036
    @matarisuma9036 5 років тому +1

    Nakubali kala ngoma kaliiiiii safari hii umekuja kivingine,,gonga like kama unakubali mabadiliko aloyafanya kala ..

  • @jamesjoseph6825
    @jamesjoseph6825 5 років тому

    Ukisikia tungo tata ndo hii, wengine wanaenda america wamerudi vichwa vimelipuka, wengine wamerudi wamekufa, wengine hawajarudi,,,,,, mwisho kala na wenzie wameruhusiwa kwenda ila wameghairi,,, ngumu sana kuielewa hii video

  • @momamishevevo8460
    @momamishevevo8460 5 років тому +1

    kala big up unatisha kk

  • @mfalmeodinga6417
    @mfalmeodinga6417 5 років тому +5

    +254,this is the best music that unaweza kurudie kuwatch kila wakati ukiwa na tamaa sana.

  • @martinthomas7034
    @martinthomas7034 5 років тому

    Like kama umeelewaa style anazooo chezaa kalaa

  • @michaelmaximino1234
    @michaelmaximino1234 5 років тому +6

    THIS is HIPHOP FULL OF CREATIVITY gonga like twende sawaaa

  • @nkudwanabakejohn7505
    @nkudwanabakejohn7505 5 років тому +1

    Nadhani video ina ujumbe mzito kashinda mashairi yenyewe

  • @tarickadam7294
    @tarickadam7294 5 років тому +2

    Duh bonge la ngoma 😁😁😁 usinifuateeee

  • @lusyff7230
    @lusyff7230 2 роки тому

    Uko juu my brother.....yani unatoka home ukiwa na adabu unarudi umechange kabisa

  • @patrickalfred8387
    @patrickalfred8387 5 років тому +1

    Wanamwita KALA

  • @allvinckelvin9738
    @allvinckelvin9738 5 років тому

    Hahaha kama ume iludia kutizma kma mimi gonga like ,😂👏

  • @martinthomas7034
    @martinthomas7034 5 років тому +1

    Kubwaaa

  • @lenardmdee7563
    @lenardmdee7563 5 років тому

    Dah watanzania ujumbe umetugusa sajani tujifuzeni jamni

  • @emmahstephano
    @emmahstephano 25 днів тому

    Idear kalii sana brother. Mungu akulnde cku zote za maisha yako🙏

  • @stephenguga7601
    @stephenguga7601 5 років тому +7

    Back to African movement. Falsafa ya MTU mweusi myahudi halisi fuatilia makala za @HMG. Ujifunze falsafa ya MTU mweusi na historia tata. back to African movement.
    #Kala Jeremiah umefanya kitu chatofauti sana na chenye maudhui mazuri hongera black mwenzangu

  • @yasinjumanne9209
    @yasinjumanne9209 5 років тому +9

    Kala nakubali kaz zako
    Mi mwnywe nataka kwenda America 💥💥💥💓

  • @richmawetztz6176
    @richmawetztz6176 5 років тому +1

    Mwangsluka ngawiza ww kala nomaaaaaaaaa

  • @metrumetru309
    @metrumetru309 5 років тому

    Kajemaya ngoma kalisana mze baba anamkubali kajemay achia conty kajemay

  • @garmawatown1694
    @garmawatown1694 5 років тому +1

    Unajuaaa sana gawiza baba