Huyu dogo katisha sana. Yaani mi mkenya ila huyo kijana ana hekima na tajriba sana. Aya basi gonga like kama umefurahishwa na kazi. Big up yourself @FounderTz
Wakwanz leo ni mimi sijawahi kupata like za founder tz,,,,,nawaomba like za founder tz zote ziwekwe hapa jamani hata like 1k. kazi nzuri pambana utafika mbali ...❤❤❤❤
Kenya represented any GEN ZII here🇰🇪🇰🇪🇰🇪kesho same time same place 😂sijui kar naeza pata likes TZ show some love❤
Welcome Tz umeona hzo mangoma broo uku kume bamba mbaya
Ziusound tu kar choir😂nataka bibi wa dar,salaam sasa😊
😂😂😂haki ww ngoja nkupe mm mkenya mwezako❤
❤❤❤❤❤wow
Huyu dogo katisha sana. Yaani mi mkenya ila huyo kijana ana hekima na tajriba sana. Aya basi gonga like kama umefurahishwa na kazi.
Big up yourself @FounderTz
uhakika mwanangu
Safi dogo hizi like tunafanyia nini namimi ni like nione faida pamoja sana dogo wa home kigoma moja Niko Zambia nakufwatilia sana
Hata mi wa kigoma rakin founder anajua sana atakuwa mkubwa zaidi hapa Tz
❤❤❤❤
Nabi eliya
Mungu akutangulie dogo wewe na familia yako
Wakwanz leo ni mimi sijawahi kupata like za founder tz,,,,,nawaomba like za founder tz zote ziwekwe hapa jamani hata like 1k.
kazi nzuri pambana utafika mbali ...❤❤❤❤
Like zikusaidie nini ?
Safi sana founder uko vizuri
🎉safi
Eu não entendo também like é pra uque vc burros
Maisha ni polepole fonder tz❤ pambana natoka congo
Kama wewe umeskiliza hii ngoma mara mbili (2) gonga like tuwe pamoja....
Nipeni likes zangu kama nampenda founder
Ulimkopesha nani
Sipendi like Mimi ila ngoma inaongeya kbs Jama naona kama mu nipe tu like kweli
daaaah yaani dogo yupo vizuri kiukweli dogo pamaja sana na kazi nzuri
Mungu akuvushe katika maisha ya muziki 🙏🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Yuba boytz
Safi sana rafiki angu ngoma kali asee nimecoment toka urusi kwa mzee baba putun
Following
😊😊 ushaa fika Kenya acha tushow the love
Following
Following
talented boy, hii ni ngoma nzuri
Following
Acha like kama ngoma umeiyelewa
Kama mimi
youtube.com/@chancemalumba?si=oe7l7oFE9jLiwQ3S
Kazi nzuri mdogo wetu wengine baba zako piah nao wanakukubali dogo❤❤❤❤❤
Following
Mungu akuongoze kwenye kipaji chako mdogo wetu🙏❤❤❤🎉🎉🎉
Keep proceeding
GOD FIRST 🙏
Dogo napenda kazi yako sana hit after hit,much love from +254🇰🇪🇰🇪🇰🇪
🎉🎉🎉ready for the best to hear
Following
Mjomba wangu kwema
Jambo mkubwa
We need to support our talented like this person .God bless this artist from Tanzania
Nipe like za congo 🇨🇩🇨🇩
🎉🎉🎉🎉🎉
much love 💕 from Kenya
Big explosion
The young man has talent kuliko diamond, nawengine huimba matusi tu, nipe like hapo
Dg pambana wengi tunakubali kazi zako mungu yupo utatoboa
Following
I like it 💥💥
Following
Wapendwa kama upo unangoja video ya mdgo watu hebu gonga like hapa twend sawa 🎉🎉
Dogo katisha nipeni ❤ ya Wakenya
Following
Mungu akusaidie akupatie uhitajiacho mdogo wangu yan leo hii unatuelimisha hata sisi safi sana
Na anza na nani
Dogo utafika mbali sana 💪💪💪
Kazi zuri sana usikate tamaha pambana uzidi kwenda mbele zahidi
Huyu dogo anatupa challenge sisi huku kenya. Nipe like kama unakubliana na mimi
Following
From Kenya here let me confirm that founder tz is my best artist in Tz
Naomba likes za mbeleni wala sio za zamani😂...nipeni likes La nda jinusuru kwenye account😢😢
Faunder tunakukumbari sana Mozambique 🇲🇿
Maisha ni hadhithi ,ishi vizuri uwe mfano kwa wengine
Nahisi vibaya kuuona huu wimbo nimechelewa lkn wa mwisho ndo faida wap likes za founder Tz mkenya huyu🇰🇪🇰🇪
Kutoka 254 dogo ameweza Sana 🔥🔥🔥🔥, nipeni likes hata ✌️peke
If the must be something it's going on in this world kwasababu ahiwezi kuwa tu, koma savaaa koma savaaa ayah sawa tu na mwimbo umetobowa hivi.
Lete vitu
Kijana uko sawa upendo umeongezeka toka Kenya
Asante sana Dogo founder tz wimbo mzuri kabisa. Upendo umepowa🙏🙏🙏
Like zangu jamani fan wake sana sana
Dogo uko vzr...." Oi VUMILIA song by sada boy tuisikilize na yenewe iko good😮🎉❤
🎉🎉❤
Unatisha dogo tumupeni like zake jmn🎉🎉🎉
Hapa like za watu wa dar es salam
Following
Founder tz uko vizur mdogo wangu M.mungu akuongoze 🎉🎉🎉
Wakwanza kucomment
Naombeni like zenyu team founder ❤❤❤❤
Sio mnaomba like2 msifie na aliye toa Kaz mpka ukaipenda
Ujumbe ujumbe ujumbe umenyooookaaa
Good song me ndo wa pili nipeni link zangu
Natoka Kenya, for real siwezi lala bila kumsikiza dogo, keep up brother 💪💪💪💪
Wa kwanza hapa, nipeeni likes jamani
Live from Kenya...I love this baby boy #God bless You richly FounderTz
The founder Tz is back
Umri mdogo Akili Kubwa, Mdogo wakubwa Hawayajui ila Umekuja upya hauna Mkumbo wa kimbilio nimekukubali . . Tia
Nakuamin san kidume Cha baba na mam akooo mungu atakubarik kipenz❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Huyo faunder ni bonge la kipaji mungu akujalie sana🙏
mungu akufikishe mbali my dear
🎉
Like za mwana darasa wang mzee wa totoz @founder😅😅😅😅
bright &best nasso mbona mnaweza kwann msijiite bright nasso gang nawakubar xn bloo
My likes jameni all the way from 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
🎉🎉🎉🎉
Sijachelewa sana ila sitaki like zenu yakwangu tu inanitosha
youtube.com/@chancemalumba?si=oe7l7oFE9jLiwQ3S
from KENYA GIVE A LIKE
Kazi nzuri sana mdg wangu god bress you foundar❤❤❤❤❤❤
Tamaa leo ndio fani yetu😢,duh! Umeuwa mdogo wangu
Tuimbie wakenya moja ya peace buda,uko na sauti ya huruma🇰🇪🇰🇪🤜🤛
Kama unajua dogo yupo kwenye kizazi chenye nyimbo za kuleta maadili weka like hata 50k
Following
Big fun from kenya 🇰🇪
❤❤ nalomba sapoti yenu ❤
Endelea kubambana mdogo upo vizuri saana🎉🎉🎉
Ww nifundi mutunzi muzuri sana mudogo wangu🎉🎉🎉🎉❤❤❤
To much love from Kenya ❤❤❤❤❤❤❤❤
Good news
Kali iyo nduyangu Mungu izidi kukupa maharafa
Huyu dogo ni noma nakupa salute mdogo wang...✌✌✌
Keep forward young boy shine like 💎 I'm about Africa but together support
Founder tz keep it on ,utaenda mbali sana
Unajua sana founder 🎉
Good founder tz🎉🎉🎉🎉
Dogo Unatisha San. Nakupat Nikiwa Louisville Kentucky USA 🇺🇸
❤❤❤❤❤ kweli umetisha kijana wetu.. we love U🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲
𝖫𝖾𝗍𝗌 𝗀𝗈 𝗆𝗒 𝖻𝗈𝗒❤
Dogo founder tz much love from Kenya 🇰🇪❤❤🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥u never disappoint
❤❤ San mdogo wangu unakipaji utafika mbali big u🔥🔥
Huyu dogo ana futur nzuri kbs kipaji cha kuimba anacho
🎉❤❤❤nice 🎉
Love this young boy too much ❤❤
❤ for each song educates a lot one of Kenyan Gen z
Kazi safi dogo,,,nakuombea uende mbali🎉🎉🎉🎉kip it up
Lazima Upewe Mahuwa. Umeningusa San Mdogo Wangu
Piga kazi mkombozi wetu wafamiliy jamani jamani ndugu jamaa namalafiki msichoke kumsapoti foundertz najuwa bila nyie hakuna foundertz
Hii ni noma dogo unaupiga mwingi❤❤
Hongera sana kijana jitume hivyo hivyo
Kenya iko na. Wewe founder❤🎉
Founder tz,ni mqali !! 🙌
Mungu akujalia maisha marefu dogo
Muito obrigado meu irmão
Más força meu irmão 🔥🇨🇩🇨🇩