Wewe kama Ni miongoni Mwa watu? Wanao tizama huu? MZIKI MWAKA 2024 Basi gonga LIKE HAPA. 😅😅😅 I REMEMBER THIS SONG “” NCHI YA AHADI”” from. KALA JEREMIAH AND ROMA ❤❤❤❤
Hawa ndio Wasanii wa Tz waonaotoa uhalisia Wa maisha yetu, Roma, Kala, ney, stamina, hiki nakiita kizazi cha profesa Jay mtu unajua yes jamaa alikaaa kupanga mashair nipe like kama umenielewa
Tatizo la nchi yangu wanaoimba nyimbo zenye maadili na kuelezea ukweli hawapewi kipaumbele na hawadhaminiwi. Bali wanaoimba casual sex kidinyanyana uwasherati wanaonekana wamaana.. This song is dope
Kala Jeremiah na Roma mkatoliki big up xna watu wngu am your biggest fan from Kenya🇰🇪🇰🇪may God bless you two with more years ahead and I'll be very happy if I see you two collaborating and do more amazing song again
The real definition of a true African artist. The solemn duty is not only to entertain but also interrogate the state of society while starting meaningful conversations. Kongole.
5 years ago toka hingoma ilipoachiwa tunashukuru mungu tuka mpata rais mchapakaz kaya simamia yote yalio ongelewa kwenye hii nyimbo....2020 kapita ata Kama bado atujapiga kura
Hawa jamaa ni noma sana... This is how HipHop it is! Yaani inaongelea uhalisia wa jambo lililopita, lililopo na la wakati ujao... Since 2015 and now it's 2024 😢
Hapa uliimba alipo kuja mwendazake ukageuka KUWA chawa Mwisho wa ameondoka nawe ukazima kama taa. Jisahihishe ulipo jikwaa Zen nyanyuka Uje upya braza..
I dont mean to be so off topic but does anybody know of a method to log back into an Instagram account..? I somehow lost my login password. I would love any tips you can offer me!
This is the kind of talent we need in kenya currently. Viongozi wamewangeuka wapiga kura. Ahadi mingi za uhongo. Tanzania is lucky to have this talent.
THIS TRACK IS MORE OF REALITY ESP IN EAST AFRICA POLITICAL SCENE KWANZA APO KWA 'JEZI ZA MPIRA' .....MAD RESPECT FROM KENYA.... DO A TRACK WITH JOH MAKINI
Huwezi Amini siku haimaliziki bila kuimba huu wimbo asee #Roma #Kala nawakaubali sana ndio mana hata watu hawaelewi rap yangu ni Kama Roma au Kala kila mtu ananidefine kipekee
Kama upo hapa mwezi wa 9 2024 gonga like zangu hapa
3 October 2024
Wewe kama Ni miongoni Mwa watu? Wanao tizama huu? MZIKI MWAKA 2024 Basi gonga LIKE HAPA. 😅😅😅
I REMEMBER THIS SONG “” NCHI YA AHADI”” from. KALA JEREMIAH AND ROMA ❤❤❤❤
Hawa ndio Wasanii wa Tz waonaotoa uhalisia Wa maisha yetu, Roma, Kala, ney, stamina, hiki nakiita kizazi cha profesa Jay mtu unajua yes jamaa alikaaa kupanga mashair nipe like kama umenielewa
Alafu hawafichi chochote
Kabisa yani ukweli kwao ni uhakika
Its true mpendwa
❤❤❤❤tunawapenda sana kwa sababu wanatetea nchi yetu🎉🎉
Sult music industry hiphop top kenya 🇰🇪 tunakubali
Kama upo hapa 2024 shusha like
2024 June 13🎉Nche ya ahidi?
NAKUBALI
Shusha balaka jeshi
Nakubali we shujaaaa ubalikiwa ulipo
😂😂
Huu wimbo unachora picha kamili ya kenya ya leo
mad madd ;love from Kenya tuko nyuma yenyu wazito wa bongo
Unaju
Kala
Wemkali
Mungu
Aendelee
Kukuongoza
Muheshimiwa
Anajua
Kujitetea
Huyo
Naipenda I mean I love that
Good content. Message iko juu. Uongozi mbaya umechangia maovu mengi
Nani bado anaikubali ngoma hii kama mimi ndani ya 2019 !!! Kala J
kali sana
Damian Makala 💪
Ngoma kali sanaaaaaa
Kali sana 2020
%100000000000000
Nakubali mzito, show unaigonga Hadi naikubali
Kama unakubali nyimbo za kala hazichuji gonga like hapa(December 1 2019).
Y666666666666666y6y5
Febuari 2021
@@clemenskayombo6787 live
Nimezikubali
👍
Nyimbo zurii mpka Raha sauti ipo juuuuuuu kwangu
Ngoma imekaa bomba sana jomba gud job bigup
Tumainiely Moshi gods sana
Daaa umetish hv
ROMA na JEREMIAH twawahitaji Bungeni mwakilishe sauti za Wanyonge. 254 Maaaad Respect👍👍
Mpishi Rocko
Yes wagombee ubunge 2020
Fact
Ngomaa safii kabisa!! hip hop halisi, imeniguza ikaniliwaza. Shukran' namrudishia msanii kwa hii kazi ya umashuhuri. SWADAKTA
Allah awabariki kila nasposkiliz nakumbuka mbali na mateso yaliyopo now
Wangapi bado wana hangalia huu? Mziki mwaka 2023. Kama wewe bado unaangaliya basi gonga like hapa twende mbele ❤❤❤
bro we ni kiboko kama sio kiboko bas ni mamba 😃😃😃 we ni nomaaa
Harid
Umeona ee
Noma sana haw watu wawil
Hata huku kwetu wako ivo tu 😀😀😀😀😀😀(Kenya)!
clive museveni hata kwenu wapo 😂😂😂 Africa aliyeturoga kafaa 😩
ni wakati sasa wasanii mwingie kwa uongozi....ila sio mmoja mmoja...ingieni kwa pamoja.
Kama unaitazama nyimbo hii 2019 , bhass like hapa twende sawa
pongezi kwako, nakukubali sana
Kama unaangalia 2019 gonga like
Tatizo la nchi yangu wanaoimba nyimbo zenye maadili na kuelezea ukweli hawapewi kipaumbele na hawadhaminiwi. Bali wanaoimba casual sex kidinyanyana uwasherati wanaonekana wamaana..
This song is dope
2024 gonga like yako
Weeee, hili ngoma kali sana. Ujumbeee uko top. Long Live. Peace.
Duh umenikumbusha marahemu binamu yangu Jose aliyepigwa risasi mwaka 2011 ,RIP binamu
Ivi bado tunakubuka hili jenedha🎉🎉🎉
KWELI WATANZANIA NI VIPOFU.HAWA JAMAA NI ZAIDI YA KINA DIAMOND NA YAMOTO BAND
Allan Mlagulwa hawo daimondi kelele hizindonyimbo
Allan Mlagulwa. kaka ujui watanzania wanapenda nyimbo za mapenzi
Mc pilipili
Allan Mlagulwa wtz.hawataki nyimbo za ukombozi
Allan Mlagulwa kweli kabxa
Kala Jeremiah na Roma mkatoliki big up xna watu wngu am your biggest fan from Kenya🇰🇪🇰🇪may God bless you two with more years ahead and I'll be very happy if I see you two collaborating and do more amazing song again
naielewa sana hii nymbo dah!!!
Duuh waliona mbaliii
The real definition of a true African artist. The solemn duty is not only to entertain but also interrogate the state of society while starting meaningful conversations. Kongole.
Ngoma kali forever
This is pure talent........Tanzania you have talent. I wish we had such in Kenya
Dha huu jamaa anafaa kuwa kiongozi mkuu wa dini au wa nchi maan sio poa🙏
Roma ...you are rocking the airwaves bro...big up....
Roma njoo Kenya bana .. Goma moto hili daaa
Maana halisi ya hip hop 🙏🙏🙏 blessing be up on you kala ad Roma
Nakubali kbs
5 years ago toka hingoma ilipoachiwa tunashukuru mungu tuka mpata rais mchapakaz kaya simamia yote yalio ongelewa kwenye hii nyimbo....2020 kapita ata Kama bado atujapiga kura
Hawa jamaa ni noma sana... This is how HipHop it is! Yaani inaongelea uhalisia wa jambo lililopita, lililopo na la wakati ujao... Since 2015 and now it's 2024 😢
Nani anaangalia hii 2021 Kama upo weka like
Napenda sana hii!!!! Great spoken word piece collaboration daaaaaaa!!!!! Washikaji
jamn n kipaji syoo baht!!
Wasanii wanao jua maisha yawa tz ao
Mad love from Kenya... #nohomo
ebaneee sjawahi kuangalia vitu vya Kalla lakini livyoona ilee na Natabili basi nikaamua kuangalia nyimbo zake zoteee
From +254 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 bado nipo hapa 2020
Wasanii wanajitahid sana kutusemea MUNGU AWALIPE SAIz walau tumepat kiongoz
viva Roma viva you do good in hip-hop bro take this from me 100% god bless you with your family think you 😊💃👂🕊🕊🕊🕊🕊🕊🕊🕊🕊
Hapa uliimba alipo kuja mwendazake ukageuka KUWA chawa Mwisho wa ameondoka nawe ukazima kama taa. Jisahihishe ulipo jikwaa Zen nyanyuka Uje upya braza..
Mko creative sana kaz nzur
Ahha kweli
Huyo c mweshimiwa....no..no..no huyu..ni mwizi wa miwa....lv it 😁😀 kutoka Busia Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wakati wana hip hop wakiwa wanajielewa na waktumia vyema nafas zao ktk jamiii japo sasa atuwez walaumu sanaaa maana it need courage.
Unawaza kaam mm?
Ujue hakushindwa kufanya ivi.....sema wananyimwa Uhuru wa kuongea
@@joshuakiimay4194 uhuru finyu
I'm witnessing something great.... Keep it up Kala..
Kalajelemaya yukojuu jamani mukitakamusitake
witness how are u
Hawa watu adimu Roma, Kala, stamina, pro... Jay
Sana
Daaa! It's very perfect
Tume miss ngoma hizi zaki harakati gonga like kama zoteee💣💣💣
Kenya's current situation,tutatenga.........tuta,mheshimiwa tunakuonea pale 18'-22-raga
Nani anaangalia hili dude 2022 tujuane kwa like ikiwa tumepigika kama swala
Congratulation well done
Extreme creativity and clear cut penetrating message.This is the state of Nairobi a thousand times
I dont mean to be so off topic but does anybody know of a method to log back into an Instagram account..?
I somehow lost my login password. I would love any tips you can offer me!
Kikao Cha Dharura-Proff Jay
Jay must be proud of this
My love for kala j and Roma is extreme. Kudos from 🇰🇪
This is the kind of talent we need in kenya currently. Viongozi wamewangeuka wapiga kura. Ahadi mingi za uhongo. Tanzania is lucky to have this talent.
Hawa wanaume no noma xanah, nawatambua Kala Jeremiah na Roma.
Good 👍
Nyimbo nzur sana
wananchi muwe wbunifu, ikumbukwe maria alimzaa yesu bila yusufu...ajab bro
Nitajiajiri VP wakati sina mtaji big up kala
Musa Musa hahahahaha
Makini Kaka nakubalii kinomaaa
Nani anaangalia hii 2023 kam mm naomba like tujuane hapa❤💗
Nipo hapaa
Npo
Tup
One love
Ata Mimi awo washkaji wanajuwa
Great stuff
Kama hawa 100...we had our Susumila wakamfunga akawacha..hawa hata uwateke utachoka
Yan unawateka huku unalia mwenyewe
Imepenya hiyo
hhahhah hhahhah nimekumbuka mbali aisee tulio irudia 2020 tujuane hapa
2020 jamn tujuane kwa kudondosha like zenu APA🤙
Creativity iko juu
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Waalai kuna talantaa Tanzania
this music should be on top top top top. i love this and hope i will see more of this.. chiiiiaaaaazzzz.!!
nimrod kihoro
All the way from Kenya and for sure I love hizi songs!
Daaah! Kalah Jeremiah, you are the best bro. Wimbo utadumu milele....
THIS TRACK IS MORE OF REALITY ESP IN EAST AFRICA POLITICAL SCENE KWANZA APO KWA 'JEZI ZA MPIRA' .....MAD RESPECT FROM KENYA.... DO A TRACK WITH JOH MAKINI
From Kenya...mumeshinda wasafii..
Kama upo hapa 2024 gonga like tukisonga
Namkubali sana uyu kaka mondi akasome kwa uyu
Kama bado hunacheki ngoma hii adi 2020 ngoga like apa
Real ajira kipengele sana duuh'.
who still watching this 2017 to 2018
Nchi na viongozi wanapaswa kujitafakari sana na kuzingatia haki na usawa!,hali sio nzuri,mabadiliko ni muhimu sana,tuamke kifikra!..2022..
Such an inspiration song. 2020 hii nyimbo mengi ilioimba yamefanyiwa kazi
Roma.Stamin&kala hawa jamaaa ni noma sana. Pongezi nyingi sana kwao
This song will stay high forever ✍️
Push this is the voice mozicien in Tanzania have to voice we sick and tied big up revolution again from black colonial rool
Hii ngoma imeweza, Roma ni noma. They both killed it.
Haya nimekuja 2020,, twende sawa tutaheshimiana tu wamerudi majimboni sasa
Just awesome. Had to look for Roma after his collabo with Baba Yao.
Am a Kenyan ...Roma mkatoliki nakukubali sana
Huwezi Amini siku haimaliziki bila kuimba huu wimbo asee #Roma #Kala nawakaubali sana ndio mana hata watu hawaelewi rap yangu ni Kama Roma au Kala kila mtu ananidefine kipekee
I love Kala Jeremiah... Nakumbuka in 2012 my friend who introduced to your song alinifanya to believe u r a Kenyan,,,chaneni ku chana
The creativity man ...its on another level
Respect
nakukubali kaka kwa kuchana hakika waka mbali na watoto