Rostam x Nay Wa Mitego - Kijiwe Nongwa (Official Video) Sms 9331231 To 15577 Vodacom tz
Вставка
- Опубліковано 3 жов 2024
- Rostam (ROMA & STAMINA) Featuring Nay Wa Mitego
KIJIWE NONGWA
Audio Produced By Bin Laden (Tongwe Records) & Mr. T Touch (Touchez Sound)
Video Directed By NiCKLASS In Dar Es Salaam, Tanzania.
ALL RIGHTS RESERVED.
#ROSTAM #NAYWAMITEGO #KIJIWENOGWA
Now You Know ► • KHALIGRAPH JONES x ROS...
Kibamia ► • Video
HIvi Ama Vile ► • Rostam (Roma & Stamin...
Zimbabwe ► • Roma - Zimbabwe [Offic...
Kaolewa ► • Rostam - Kaolewa (Off...
ParaPanda ► • ROSTAM - PARAPANDA | ...
Kama kuna anaesikiliza hii nyimbo had leo gonga like
Wah! Hip hop Juu Tanzania, naomba likes zenu watanzania mimi natoka Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Pia Mimi mkenya ila Bongo noma
Asanteni Wakenya kwa kuikubali sanaa ya Bongo, gemu letu bado halijaiva ila soon mutaielewa zaidi.
@@RamadhanAli hip hop ya Bongo naipenda
Mmefany
Nawapenda sana Wakenya.. karibuni kwetu Tanzania
Walorudia hii ngoma kuicheki zaidi ya mara moja tujuane 😀😀😀 ni fire
Suni wao anakuja kutoka uberigiji
Bonge la ngoma
Wauni wa 3 wa TZ... Mr Nay ka fanana na ngoma ndo kisa cha kushirikishwa kwenye ngoma hiyo...like kama umekubaliana na mimi
Mimi ndo mkaguzi mkuu wa nyimbo Kali Tz.... Nasema hivi HII NI YENYEWE KBS👐
Yaani huu wimo neno
😂😂😂 cheo changu hicho braza
Mafans wa Rostam Kutoka Kenya mpitie apa🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥
Rostam kila time.. Msd respect from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Aliyelielewaa tako la mama ntilie kwenye hii ngoma kama mm gonga like twende sawaa
Hatar fire...nimeirudia ngoma kwa udhamin kwa tako la mama ntilie
Mimi sijaelewa nieleweshe
kapinga george 😂😂👏
Baharia ww😂
kapinga george 😀😀😀😀🙆🏿♂️
Mob love from Kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 huu Sasa ndio ushairi sio michezo na ujinga zingine ziko humu Kenya. #NEYwamitego never disappoints. Piga like kama wakubaliana Nami 💥💥
Tupo hapa. Ngoma ngumu!
Kama ungependa Ney wa Mitego ajiunge Rostam ili tupate ngoma Kali kama hizi gonga like
Salute mwanangu
Ney hawezi kumatch na level za Rostam ... Rostam wanaandika sana
Na jina liwe rost............
@@salimmussa9719
awez andk ila michano yake iko wazi wazi so atafunika kwa uwezo wake wa uwaz
Atufanani ila tunategemean kwa kile anachofany kila mmoja
Eric Tinx
😂😂😂😂 HAWA Wapuuzi sio poa eti wote mama ntilie UCHEBE 💪💪
Tuipeleke #1 Trending Kabla basata hawajafanya üpuuzi Wao 🔥🔥
Christopher Soty 😅😅😅😅 truuu that man
@chrisopher soty ww shari kweli😂😂😂😂
😂😂😂😂Audio inatrend natamani intrend video yan wamekutana
Kama unaamini Roma & Ney ni wasema kweli Gonga like japo sio Kiroho Mbayaaa... 😂😂😂
nice
Hawa majama nay angepewa ves ange arubu sana naisi munge tukanwa watu ndani
Mmetisha aiseee hii ni yakufungia mwaka 2019 km umeipenda km mim gonga like twende sawa!
Sijui kama tuta pata tena watu kama hawa katika historia ya Tanzania...
Jamani kama umeuona huu wimbo zaidi ya mara moja nipe like zenu kwa Roma Stamina na rais wa manzese Nay
Nimekubal jamaa wakali
Kama kuna aliyeirudia hii ngoma zaidi ya mara kumi alike hapa tujuane
Mimi hapa niliyirudia zaidi ya mia
@@innocentmanirakiza2328 Mimi richadi kutoka mosh ngoma nikal
Now 2023
@@anitag.laswai6800 mh we nae
Mie toka KE 🇰🇪
Tunao angalia ngoma hii mpa Sasa 2024 gonga like . Vichwa vilivyopo ndani ya hii ngoma ni hatar ogopaa
Jamani Hata like moja, bongo ndo nchii pekee inayo sapot ujinga
Noma kweli
Mhu ukisema kutekwa kupo jarbu uone
Kweli
imenoga sana nimependa sn
Wakali wa hizi kazi hili kundi miaka buku litabaki kileleni rostam hivi vichwa vya moto havishikiki havikamatiki na havina mfano 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 tunaopenda cheko la roma la kidaku twende sawa
Huu ni usanii wa hali ya juu!.kioo cha jamii kweli..napenda sana kutoka Kenya!
Kutoka Kenya, Roma & Stamina.... RESPECT!
All tha way from USA🇺🇸 tunawaombea rostam msivunjike tuu 🙏🙏🙏
Nice
pacha milionea nakubali babaangu
Hatar san kak
Click link hiiua-cam.com/video/Xmqd_GtIhqY/v-deo.html kuona kipaji kingine hiki
From USA🇺🇸 too.. I love this song
KAZI SAFII SANA....lori imeandikwa MICHARAZO
nyie majaaa mnaimba alafu kama mnapiga story . . nzuri sana . asee . KUBALI MNO IO STYLE .. viva ROSTAM ft NEY
Ila fundi wao nakuja soon kutoka ubedgiji 😂😂😂 like zang wadau
Ba bado akamlaza muumin kifo cha mendee
😁😁😁😁😁😁😁
Huu mstar nomaaa
Like zenu wa tz🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Like za Rostam ft Nay
From Mozambique 🇲🇿🇲🇿
Goma kali
ua-cam.com/video/Xmqd_GtIhqY/v-deo.html click link hii
Kuna dem aliachiwa mtoto akaolewa na mtoto akamwacha mtoto kabaki analea mtoto.
Dogo nakukumbuka. Mozambique warap!!🇲🇿
Kwemaaaa
rostam is in another level💥💥sema Roma nakukubal waimba huku wacheka 😂😂ney kafanya mazishi ya kijesh stamina we n 🔥🔥🔥
safi
😂😂😂
Goma lishafikisha views 1.2M ROSTAM achilieni goma tunalingoja kwa hamu...niko na ukoko wangu hapa...anae subiri goma la ROSTAM GONGA LIKE HAPA zikifika 500 goma linaachwa...kutoka kenya hapa
hii siku ya 5 ndo leo naelewa ngoma 😆... ROSTAM 🙌🙌
Mim sijaelew
Hahahaha fasihi ni hatar
duuh hili lina FAA kuwa grup maana sio pw, anae kubali nilichosema Na kina FAA , aache like yake ,twende sawa
Nasema kweli sijawah kufikisha LIKES 1500 leo silali
Hahahah poa we usilale subiri zifike likes 100
Zinakarbia
nyieee acha tuuu ni noma
Hatar sasa 80
Bado 20 jaman
😁😁😁 Hihop is in My Blood,,
Ukweli Rostam pamoja na Nay Absolutely Salute so Much, Song Limetulia sanaa,Hawa ndo wanaharakati Halisii ,Keep on Moving Mabrothers
Aliyeokota almasi mchangani alikuwa miss Tanzania, na aliyekuja inunua dukani ni Mganda aliyekuwa na nia..
Mad love Rostam!!
🇳 🇦 🇰 🇺 🇧 🇦 🇱 🇮
Šhöw qâľîî
Hamjawah niangusha qwenye kaz zenu show respect kwenu rostam mkojuuuuuuuuuuuuuuuuuu Mia mia
Anaeangalia na kuusikiliza huku anatabasamu kama mm gonga like twende sawiaaaaa
Hwa jaamaa wapo sawa kweli jmn
Awa nikihoo chajamaii
alikuja kama masia
Nitumie number ako
Gonga like basi hapo chini twende mbele kama unapendeza na hii ngoma ya rostam
Nakwenda jela hatuogopi duu Ney nime kuelewa sana hapo🤔 hii Ngoma inaujumbe mzito na mshamba hawez kuelewa-- nawa kubali kinoma nyie watu Mungu awaweke zaidi mzidi kutujuza maana sio kwa ujumbe huwo🙌🙌
Kumamamazenu Rostam &ney nakueleweni sana mkimba mtindohu kuliko mapenz nmekusifuni cjakutukaneni 😂 munajua mpaka mnakera from 971
Wangapi tumeipenda. Hii nyimbo gonga like twende saw
Kwel hiki kijiwe noma umbea hadi kwao wao wenyewe
Hawa jamaa sio watu wazuri
NAOMBA LIKES 50 kwa ajili yao 🙏🏿😂😂😂🇹🇿
Nzur san
Ngoma nzuri rostam
Dats much great
Noma San
Rostam watamu
Wadau wangu wamerudi,kwa mpigo tena📌💯
Kama unakubaliana na hawa PURE NIGGAZ weka like hapo
mbona wako pw nawakubali sana wajama
Show kali
Najua nikisema much love from Kenya hamtagonga likes ju tumezoeana sana
Kama na wewe umerudia kuitazama Mara tano km Mimi ndio ukaelewa kua mlezi wa watoto ni uwoya na fundi speaker za bunge ni lisu gonga LIKE
fire hii ngoma
Jmn yhn hawa nishid
Mmmmh kumbe nimeangilia nilikuwa sielewiiii now nimeekewa
@@peterkyese4516 nni sasa umeagalia mbna sjakuelew mchiz wang
😂😂bonge la ngoma hiliii...team rostam +254🇰🇪🇰🇪🇰🇪pitieni hapa❤❤❤❤mob love 😍😍
Kwel
Mziki mtamu
Tumechoka na kupepeta mara tetema mara kanyaga mara vumbi Duuh.... Hao vikuku huwez waona hapa
sifatiliagi hip-hop Leo hii imenikosha naombaaa like 200 Kwa ajili ya watu hawa
Ngoma tam haina mfano kwa mwaka huu
Saf
Kali sanaaa
tsm tsm ikosawa
Og
Basata wakifungia hii ngoma baraza tunalifuta rasmi. Gonga like kama uandishi unaamini umetumia akili kubwa
🤣🤣🤣🤣
😆😆
hahahaahaa
Daaaah sina la kusema kwa kweli
Basata hawawezi kuifungia hii ngoma
Sheria kawekewa mjinga ,mwerevu anaziishi..Rostam bado tunawahitaji
Mnatafuta Kiki na mumeipata kweli
tutabanana ata kama hapatoshi..... ipe lyk.
Jaman namimi naomba Like 🐘🐘
Mashairi yameenda shule!! Big up... Kazi nzuri sana!!! Mmeongea ukweli mtupu!!!!
Nani anayeangalia video na kusoma comments kama mim 💓✌🙏 good music kakazangu
Na sijaona comment mbaya mpaja now....yaan the song is lit🔥🔥
Pmj
Akuna
Kazi nzuri
Munira Ahmed Mimi pia munira
kama unawakubali kwa ubunifu wao kila nyimbo gonga like hapa 👍
Za ney wa mitego nizione hapa like
Sultan Qabous ney namkubali sana
Kali sanaaaa wapi likes za Rostam na Nay wa mitego
Nyinyi jamaa dah 😅😅😅👍 kweli leo kipole hakilali sisi tunakipiga gonga like tusepe na kijiji oyooooooo
Tanzania Football Failures (TFF).....Ney Wamitego kaumiza Chorus..... Ngoma ya Mwaka hii 2019
Sema nini..kama ulitaka ngoma iwe na verse ya tatu gonga like...😏
Kgctu
Hii ni hatari 🔥 kijiwe nonga
Acha iwe nongwa
Mziki mzuri,utunzi maridhawa, uandishi mzuri na aliyeshirikishwa kaitendea haki.. Good music
Hey chill man sina majibu deal done hawa watu nowmaa kweli that s why nawakubali kinomaaa✌
Onyeshenii Upendo....Gonga like
Hahahhaha hii nyimbo moto naomb like kama ume enjoy kama mim
IRENE UWOYA... aliachiwa mtoto, akaolewa na mtoto DOGO JANJA, akaachana na mtoto na saa hii anampatia mtoto LAVALAVA... hiphop in my blood
Nilikuwa nasikia sikuelewa ila umenielewesha
@@lupetamhagama2145 hahahahahaha hiz comment yaan mbav mpk zinaumaaaa!
😬😬😬📢📢📢
Lazima utumie akili sana kuimba hip hop lool
Bongo bana
Rostam na ney wa mitego Kama unawakubali Kama mm like 100 za kutosha 2019 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Ig
Sebastian Msoma Nouma sana
Sebastian Msoma
Good sana nakubali
@@castorlwena5196 nomaaa
hawa jamaa n moto ! me cjawah kupata like ht moja leo naomba japo kumi tafadhal
Weh🔥 yani ngoma ukweli mtupu ahhh hawa watu wamewezaaa dondosha tu 👍🏾👇🏽 ukisomanga comments
Fundi toka ubergij tam sana
FUNDI WAO ANAKUJA SOON KUTOKA UBELGIJI .. TUNDU LISU .. wooooooooooza . NANI KAELEWA KAMA MIMI APO ??
kiduku kilikuu wew ndio umenifungua ubongo
@@mohamedmpogoro3058 haha sawa sawa mr.
duh huu wimbo lazima uelewa TZ inaendaje
Dah nilikua sija elewa Asante bwana dah.
@@nessa4899 karibu tena Mr.
Oya nategemea mtoe ngoma mkiwa 3 yani ni nay rostam 🔥🔥🔥💪💪💪
Najikuta nairudia rudia tu, ngoma ipo poa big up rostam na ney
ma best song ever.. love Tz music😍😍😍😍. from Kenya
Jamn nampendaga Roma ngoma Kali sana hahahaa na bado wakamlaza kifo cha mende
Rostammmmmm more fire.nawakubali wanangu love from Zanzibar.
Hatariii sana wazee.. Ila hii nyimbo ilitakiwa iwe na dk hata tano... Yan ni bonge la track...
Aliachwa na mtoto akaolewa na mtoto ivi nani alogundua ka uwoya
gwajima sipika wa bunge wema zali hamisa shishi Baby uchebe ireneuwoya dongojnja dudubaya Runge Nandi Tanasha diamond Ruwasa kama umekubali gonga like twende saw 🙌🙌
Umitisha
@@FarmChoiceLtd Asante
Kweli aisee umeweza kuitafsiri
munira Hassan 6
Ambaruty+mariam biriani+lowasa+mkude+amunike+ruge+nabi tito+dr.shika ilakwann harmonize ckumckia wasafi fetival mkitwa itanoga dadeq zenu
Likes za Roma nizione hapa
👇👇👇👇
1 Million view zimagonga Hongereni sana #ROSTAM 👏👏👏👏💪💪💪
Wazee wa video 2liokuwa 2naingoja 2juane apaaa
Yaani aliyeokota almasi mchangani alikua miss tanzania
Ney kaua haumu au sio kama na wewe umemuelewa gonga like wana jangwani
From 254.ke🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 hii ngoma kali... Raper wangu best Rostam🇹🇿🇹🇿🇹🇿
kama umesikia mlimpeleka mlevi acheze nafasi ya mkude gonga like twende sawa
Mlevi ndio yupi sasa nimepotea
Pierre liquid 🤣🤣🤣
Kama unakubali nay.roma.stamina .like hapo
Oya full shangwe gonga Like hapa kama unawakubali rostam
Hiki chuma concy
Gonga like kwa ROSTAM twende sawa
BASA🚦 subirin ngoma iwe #1 on trending ndo mpite nayo😂😂
ACHA MAISHA YAENDELEE...Jasiri Ameumaliza mwendo #Kazi NZURI 🤜🤛🏾💥💥💥
hii ndo maana halisi ya hip hop ukitishwa tu unaimba kibamia uwe serious za kaz zako goma kali sana hili
Hawa jamaaa shida sana katika industry ya Muziki Tzania 😆😆😆, nabiii Tito na Dr Shika, Gonga like Ngoma Kali Ney wa Mitego bwana.
Joyće Malongo
Km unawakubali ROSTAM
Like tafadhali❤❤❤❤❤❤❤
Kuna demu Aliachiwa mtoto.. akaolewa na mtoto..akaachana na mtoto ..akabaki anamlea mtoto.... Aaah noma sana hiki kipengele
Wale tunaoomba like kila cku afu 2nanyimwa njooni tujihesabu hapa
Uuuu noma
nahikubali ngoma tam
😂😂😂😂😂😂huwa mnazifanyiaga nn kwani
South Sudan represented. ROSTAM are lit 💥💥
Tulimchangia sadaka nabado akamlaza muumini kifo chamende hahah kama umegundua kua nigwajima gonga like apa🤣🤣🤣
Sefania Ayubu umeelewa vbya hilo ni shambulizi Lissu mzee baba
@@fredycloudycloudy3054 apana kak lisu nae yupo maeneo yake lakn xio hapa ok hapa ni gwaj boy
Sefania Ayubu yaan mwanangu mawazo yko yko mbl mno hio ndo kaz ya tafsida lkn naamin 100% hlo ni tukio la lissu
@@fredycloudycloudy3054 nakubaliana na ww
@@fredycloudycloudy3054 yahhh sasa lisu alimlaza nan kifo chamende kak yan umo kuna mixa kama zoteeeee
Rostam wachane wachane mpaka waeleweee....🍻🍻🍻
Wimbo wa mwaka 2019, ujumbe hadi ubunifu. Maana halisi ya vioo vya jamii
ROSTAM mmenichanganya kabisa...sijaelewa k2😂😂😂😂😂
Hapo lazim tu yani Hawa wanamafumb cna
Wangapi tumekubar kama hii ngoma kali togonge like hapa tuonane
✈🐵
Wenye mziki wamerudi. Nawakubali Rostam
👏👏👏kazi nzuri ...we need more of this ..👏👏👏👏👏👏👏👏👏🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤tukipata more artists like hawa hip hop bongo itakua juu zaidi” mapenzi yamezidi redioni
Neyyyyyyyyyyyy