Kwa ngoma hii mpya ya DIAMOND ni wazi dunia nzima itamtambua,imewavutia watu wengi,tazama hapa.
Вставка
- Опубліковано 12 чер 2023
- Please subscribe now on our UA-cam channel to be the first to hear about latest news and updates on Time.
#middlesimba
#WeAreEverywhere
#diamondplatnumz - Розваги
Daah Jaman nimechelewe kidogo lakini naombeni like hata 2🦁🦁❤️❤️💯💯🌟🌟✨✨💥💥
Mond❤️❤️❤️hata wafanye nini wewe ndio Baba lao❤️
Nipeni mauwa yangu jameni, leo wakwanza from 🇲🇿
Wakwanzwa leo
Diamond on 🔥
Namkubal sana simba ❤❤❤
Middle simba umenishtua sanaa nilijua simba amesha unguruma🎉❤❤🎉
🤣🤣
😆😆😆
😂😂😂
Diamond our artist forever we wish all the best
Boraaaa kwaaa mana naumiaaa kaka hatoi ngomaaaa duuh unyamaaaa
Diamond go on usisikilize maneno ya kukatisha tamaa,go forward,I love you Nasib
Kweli kabisa!
Jamaa anajua sana
Ngoma Safi kabixa
Tunaomba uachie jiwe mondiii, ww ndo msanii mkubwa tunasblia vitu 🥀🥀💯🙏🙏🙏
Wakwanza jamani nipeni lick zangu
Watakakuwa licked sio 😂😂😂
JIANGALIE WEWE UNAJUA MAANA YA LICK
Diamondd platnumzzzzzz
Mnyamaaaa
Nakubali kaka 🇨🇩🙌🙌🙌🙌🙌🙌
LION is back
Alie muona diamond kaluka Kama chura kutoka kwenye gari gonga like ni hatareee
Da kweli uyo simba yuko vzr sana namukubar sana
Diamond platnumz 👑
Vipi jama abali zako
Simba kama simba ❤❤❤
Diamond you are the best super star
Middle simbaaaa mm nimesha mchoka diamond platnumz kila siku to wani akuna wasani wengi 🔥🔥🔥💪
Wee mchoke. Wengine twampenda. Wapiiii likeeeees??
Achia babaaa, 2mechok kusubir
Simba babalao 🔥 🔥
❤❤Hana mpinzani dogo anaweza piambunifu
Simba mji umepoa toa jiwe,kuchangamke mzee
Nakubar mwamba
🔥🔥
Sijachelewa Sana jamn
achia dudeeeee🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸
Kweli jamani
Watching you from Saudi Arabia 🎉
Simba ni Noma❤❤❤
Wacheni maneno atoe kwanza ndio tuongee Hana jipya uyo Nucho frm Kenya
Atari 🎉🎉🎉
🦁
toa simba nakumiss sana
SimßA1🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥on🌍🌍
Hoooooo middle chawa wa dimond
Mpeni maua yake ❤❤❤
Yuko na mtoto mzuri kwenye kideo nimependa kilakitu kwakwel kabla hata ngoma haijatoka simuoni Moni sentrozone anaangaliaje
WCBforlife 🙌
Simbaaa from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥🔥🦁🦁🦁
Simba🎉🎉🎉
itakuwa balaa
💥💥💥
Baba lao diamond
Nice😊
Diamond 🔥🔥🔥
Ngoja tuone itafika wapi😂😂🤣🤣
Kweli kabisha ushichoke brow
the king😍😍😍
Beat hii inaitwaje? anayotumia middle simba?
1 🇧🇮🇧🇮🙏
Ni global hit
middle simba mmekuwa tena msitowe habari za kiongo🙏
Sasa uongo uko wapi hapo
Hiyo ni tafsiri ya ngoma na ni kweli Sasa weye kadanganywa wapi hapo
Asha ushawa ww wende wasafi wakupe kazii
Angekomaa na kazi kama hizi aachane na Albino wa utopolo
Unaweza ukawa unafirwa
😂😂😂😂😂
❤❤
Nimekubar ..blaza kwaiyo ngoma huna kazi mbovu kaka
Simba baba lao
🌹🌹🌹
Nyimbo mpya ya diamondi plat
Fire fire
kionjo mbona ya kawaida sana. 🙄 hatutaki maneno tunataka mziki. Konde anafanya vizuri sana sasaivi na husemi. kila siku unamsifia Mondi tu sema ukweli Mondi kashuka sana sasahivi. Japo bado yupo juu kashajitengenezea ukubwa ila kashuka hiko kionjo uwezi fananisha na goma jipya la Konde morning call. hata yeye kila akitaka kutoa hiyo ngoma anaogopa anaona inaweza ikabuma anasubiri wasanii wengine wapoe wapunguze moto😂😂😂
Utimu bwana!🤣🤣🤣🤣 Nilitaka ku comment lakn acha nikae kimya! Trending songs za dunia ndo Aina hii 🏃🏃🏃🏃🏃🏃
Wahaya wanapenda sifa ila wamakonde wanapenda ugomvi na chuki kama ww
Grande homem
🙌🙌🙌
Huu niupuzi tuh hamna kitu
Kweli
Daah yani mwamba kama hatoi goma mji unaboa vibaya mnoo
Kaka mbna hii ngoma alishawahi kuitees mzee
Diamond umeama simba tuachie jina letu .hatuwez kuwa na simba wayanga sisi tafuta jina bro
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Our time
Afu bana ni Kama huyu jamaa nyota yake ni nikali sana n asubuhi tu kabla ya hii nimetoka kubishaña na raia mmoja nikawa nacheka maswali yake et mbona diamond kawa kimya mi baada ya apo nikamjibu lile jamaa linakaaga kimmya likiona moto umepamba ajagi kichwa kichwa ila akija headline zote zinageukia kwake na nikwel kama kawaida yake huyu jamaa wako waliokuwa wanahofu kuusu ukimya wake pia wako waliokuwa nalalamika na kuandamana lakn sisi tunao mjua huyu kiumbe achezewi shalubu sasa hona hit sunami inayotangazwa na middle Simba itapitia takataka zote nazozijua mimi na nisizozijua we subili uone baba mubishi Ali kitumbo.
Tatizo lake anatoa kionjo alafu anapotezea
🐘 Ndo
Tunamjua
Sis 😂😂
❤❤❤🎉
Baba inatosha acha tusubr itoke kwnza mbn una promote san😃
Tunakujuwa wew kwa mondi huna doko wew sijuwi anakulipa yani ww
Simba mwamba
Ha wapi bado tunasikiliza single Again ❤
Amka
Middle ban likija swala la kumzungumzia diamond anajua kwl kwl kumpamba, chawa wa mondi ukiacha babalevo😂
Nice one.
Love this guy for nothing ❤
Up poa
Sema jamaa mnyamwezi sana
Mbona lilikua tangazo?😅😂😂
🔥
Aha kumbe
Hii Chanel ni ya diamond
Hizo zako ni ndoto za mchana ndugu
Simba baba rao
By the naomba tu kujua background nymbo yenye yaimba kwa simulizi please
Santa 254
Diamond ni msanii mkubwa ila kashachoka kwenye muziki hili goma ❌❌❌
Some of us English is in our veins ..no need of translation...
Chawa