@@maxozone3762 Huyu jamaa muongo sana wanachukua shoo za Barnaboy Wana Editi Kisha wanapost sadala kaishiwa Yani hapo Angeenda kiba au harmonize wangejaza mbaya Tena bila hata ya kuediti
@@yusuphchuma9093 mpumbavu wa mwisho,Nani anaweza akachukua show ya mtu alafu a edit... Usilete majungu hapa. Kama una uhakika wanaweza wakajaza kwa wasiende wakajaze.
Unajua minilivyokuwa nasemwa vibaya oooh mond ajajaza show wala nini nikikaa naona bora niingie kwa middle simbaa niangalie yani salute kwa middle simbaaaaa💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪
@@dianarobert3989 kila msanii kwenye uleukumbi lazima ataonekan kajaz cz ni mdg hata Mario akienda atajaz tu ukitaka kuamini fuatilia ukumbi unaingz watu wangapi ndo utajua ule hauingiz hat 1k mtu wangu na wizkid na burnaboy co watu wakuwa weka level mojah na diamond wale arena 02 panafurika nenda UA-cam kaangalie kam huamini
Nilishuhudia na macho yangu nikiwa back stage wasenge hawaongei tena vile viredio vyakijinga vimenyamaza waambie msanii wao anapiga picture na mahomeless konde homeless new name simba kama simba tukutane state ingine.
Kwa sasa #Diamond anadaiwa Tuzo za #Billboard,#Bet na #Grammy lkn pia tunamdai show ya #02Arena,,,,big up #Simba maana record zingine ushazivunja,kongore
@@danielpascal3110 Hizo kwa Diamond mbona atazipata soon maana mwana anafanya kazi sio maneno kama wengine na hapo alipo n Greatest sio underdog kama hao wengine
👏👏👏👏 Yaaas! Diamond! Simba Baba Lao.. Show Dem! Yaani kuwa fan wa Diamond ni raha tupu.. There's always good news 😀😀 Haters pataneni kwa ile tent ya nyuma muandamane mkalie kwa choo tu 😂
Kitu ambacho watanzania hawajui ni kwamba promota wa show za diamond platnumz ndo promota wa show za akina wizkid na davido na juzi alifanyiwa interview akasema diamond atafanya show zake kweny viwanja vilevile wanazofanya akina wizkid
What a foolish statement. Diamond chose to sing in Swahili and Burna in English/pidgin. So what the problem. Why do you guys always want to compare your musicians with Nigerian Musicians? It makes no sense. Afrobeat is global now. Nigerian musicians have sold out shows everywhere including Tanzania so who’s fooling who?????
We love DIAMOND PLATNUMZ.HE IS OUR PRIDE.THE BEST BONGOFLEVA ARTIST OF ALL TIME.CONGRATS DIAMOND.
Diamond 💎 is something else No barking only actions 💪🙏🙏💎💎🔥
that reality
@@maxozone3762 🙌🙌🙌
@@maxozone3762 Huyu jamaa muongo sana wanachukua shoo za Barnaboy Wana Editi Kisha wanapost sadala kaishiwa Yani hapo Angeenda kiba au harmonize wangejaza mbaya Tena bila hata ya kuediti
@@yusuphchuma9093 mpumbavu wa mwisho,Nani anaweza akachukua show ya mtu alafu a edit... Usilete majungu hapa. Kama una uhakika wanaweza wakajaza kwa wasiende wakajaze.
Congratulations Diamond...you did well 👏
Unajua minilivyokuwa nasemwa vibaya oooh mond ajajaza show wala nini nikikaa naona bora niingie kwa middle simbaa niangalie yani salute kwa middle simbaaaaa💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪
Ukaona bora uje kwa machawa😂😂😂 show za club 😂😂na bado hakujaza kivile
@@Chrisblaze-beats unaijua club wewe?
@@Chrisblaze-beats Hata Wizkid hakujaza kiviile😂😅😂
@@Chrisblaze-beats unateseka sana
@@Chrisblaze-beats sio kosa lako kosa nilawazazi wako. Kwaiyo skulaumu
Hahaha Middle Simba bhana eti wamejikausha,we waache tu wajikaushe joto likiwazidi watapiga kelele tu Simba ndio baba lao🙌
Amn kitu hajaz chochote huu ni ukumbi mdg san san watu wajaz arena 02 wizkid na diamond ach utani
@@danielpascal3110 Hao uliowataja nao si walisha piga show apo au ww umeelewa vp
@@dianarobert3989 kila msanii kwenye uleukumbi lazima ataonekan kajaz cz ni mdg hata Mario akienda atajaz tu ukitaka kuamini fuatilia ukumbi unaingz watu wangapi ndo utajua ule hauingiz hat 1k mtu wangu na wizkid na burnaboy co watu wakuwa weka level mojah na diamond wale arena 02 panafurika nenda UA-cam kaangalie kam huamini
Hawamuwezi huyu kijana simba ni simba
Daah kweli ubishi upo ila nacho nikipajii hongereni
He sings dances and talks at the same time ain't he a legend 🤣🙌😘
Not just that but he does it all so well 😂🙌🙌
wenye chuki watajinyonga simba diamond Big mungu akuweke mashoga warikina mwijaku tutawanyosha sie mashabikizako 💪💪❤❤❤🙏🙏
Saw kijana kumbe na we umeona!
Nilishuhudia na macho yangu nikiwa back stage wasenge hawaongei tena vile viredio vyakijinga vimenyamaza waambie msanii wao anapiga picture na mahomeless konde homeless new name simba kama simba tukutane state ingine.
Sema like hairudiwi ningekupa hata mia 💯😎🎤
L'homme de la situation simba 🇹🇿🇨🇵🇨🇵
Mnyama mkali Simba ..msanii number one east africa
Atakufa mtu middle simba kuna watu humu ukisema ukweli wanaumia sana binadamu acheni roho mbaya anaemtaka mungu binadamu hawezi pangua go go diamond
Hyu mwamba muziki anaujua sanaa next level
Bongo vilaza wengi
@@sponsor7882 kvp yan
@@sponsor7882 team wcb tunataka kutembea na bibiyako ndio utuchukie kabisa. Chuki zako sie kwetu raha....🤣🤣🤣🤣
Simbaaaaaaaaaa I proud of you
Kwa sasa #Diamond anadaiwa Tuzo za #Billboard,#Bet na #Grammy lkn pia tunamdai show ya #02Arena,,,,big up #Simba maana record zingine ushazivunja,kongore
Kabisa tunataka simba andae show.#02arena awakomesha wambeya🥰🥰🥵
Soon as possible
@@jenywalker5246 ARENA hata akijaza watasemaa kaedit
Labd akaibe
@@danielpascal3110 Hizo kwa Diamond mbona atazipata soon maana mwana anafanya kazi sio maneno kama wengine na hapo alipo n Greatest sio underdog kama hao wengine
Kondegang wanalia eti hakujaza, naona sikuhizi kondegang n walevi
Aiseh unbelievable 🔥🔥🔥🔥
More enemies more success! No enemies no success! Big up Simba!
👏👏👏👏 Yaaas! Diamond! Simba Baba Lao.. Show Dem! Yaani kuwa fan wa Diamond ni raha tupu.. There's always good news 😀😀 Haters pataneni kwa ile tent ya nyuma muandamane mkalie kwa choo tu 😂
😂😂😂😂Madame niwachie mbavu zangu tafadhali🙌
@@dianarobert3989 😂😂😂 tuzivunje tu wote wawili maana hata mimi bado nawacheka hao haters
Wambie kabisa.......,🤣🤣🤣
Umeonee kabarikiwa diamond
@@sophieatieno5148 yaan wanatapatapa hawana cha kusema zaidi ya Kutukana😅😅😅
Wa Kwanza Mimi Leo,, Nipongezeni Hadi Mawe yamsifu Diamond Platnumz
Middle Simba una uchawa sana. Sio poua. SIMBA anajua. Big up for Lion making east Africa proud.
Unaujua uchawa wewe
Tuachie middle simba wetu
😂😂Usimpangie middle cha kufanya
@@robinsonshoo6754 hajui asamehewe
Sawa tu
Let us give to diamond platnumz like guy, diamond platnumz fans like back Aswan from Kenya more love to
We're brothers and sisters tz 🙏❤️
Uyo ni simbaaaaaaa 🦁🦁🦁🦁🦁🔥👏👏🦁 kumlinganisha
Kajaza choo labda
Simba BIG 💥🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥
Level zake lazima wafunikane ila simba inawatesa sana wanaija hakuna mwingine anawassumbua hakili
Hata Wizkid alisemaa
Yanni middle simba big up bro simba for life 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Fireeee diamond platnum
🇹🇿🦁chibu one of my dreams is to see you
Kitu ambacho watanzania hawajui ni kwamba promota wa show za diamond platnumz ndo promota wa show za akina wizkid na davido na juzi alifanyiwa interview akasema diamond atafanya show zake kweny viwanja vilevile wanazofanya akina wizkid
Diamond kwa level aliyopo hawezi kutumia promoters wa njaa njaa, the only Tanzanian artist who has the financial muscles to invest heavily.
Simba Kama middle Simba 🔥 October 🔥🔥
Congratulations Daimond
The African 🦁 heavy weight 💯
Simbaaaaaaa, 💥💥💥💥💥💥💥💎 💎💎💎💎💎💎💥💥💣💣💥💥
proud of you simba much love from +254🔥🔥🔥
WCB4LIFE 🔥
MIDDLESIMBA4GOODNEWS ✊
*SIMBAAAAAAAAAAAAA* 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
kwn ulikua hujui middle Simba ,, n chawa wa Diamond ,,, ety nguli 😂😂😂
@@elvisbahamkanju1859 hahahaaaaaaaaa mi sipoooooi🔊🔊🔊🔊
💚💚💚👌👌👌💪💪💪🙏🙏🙏uyo ndie simba nduguzangu
Simba is so fireeeeeeeeee
Siyo kupongezwa kwa makofi ni kwamangumi simba nyoko sn🇹🇿🇹🇿👏👏👏
Artist of the year💎🦁🔥
✌️🙌🙌🙌Simba
RAMBO amekomboa state nyingine hukooooooo
😂😂😂😂watu mna maneno🙌
😃😃🇨🇵🇹🇿
😂😂😂😂
Simba is so fireeeeeeeee🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Rambo jenze kma wewe 🔥🔥🔥👑👑
Something i apriciety my self is tu be in simba side,wcb for life❤❤🔥🔥🔥
Rambo on one and two tuheshimishe bingwa
Always diamond platinum juu,,, midomomidomo kimya
Simbaa baba lao 💞💞💞💞
Siulisema tunamtuma lambo akakomboe taifa Sasa Kaz lasimi imeanza uko 💥💎💎💎💎💎💎💎🔥🔥🔥🔥🔥🔥🎤🎼🇯🇲
Simba 🦁 ajuagi kujaza kabisa yeye anajua kukusanya kijiji kabisa 🔥🔥🔥🔥✊
Hongera saaana middle simba kwa updates nzuri simba ni mmoja2
Hiyo ndio Rambo dange simbaaaaaaa
Wataumia sanaaaaa....simbaaaa forever
Namsubiri Phoenix Az
Diamond number one kwa kila kituuu
Kama middle simba wanasema eti ni chawa,basi mie kunguni
Diamond Is so fireeeeeeee🔥🔥🔥🔥
Big up bro you are one of kind
Asanteni kwa kuja tulowakera sahann mkam bila stress hili hifadhi hawafugi panya🤣🤣🤣🤣🤣🙏🙏👣👣
Leave alone Diamonds personal life..he is the best!!!!!
Amkeni jamani kabla ya wale wa nguvu za kiume awajacomment.
Hahaha
🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂🙌
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🔥🔥🔥✌♥️🇹🇿 Wcb 4life✊
If diamond can sing one English song with live band Burnaboy would be nowhere to be seen in America 🇺🇸 simba is talented forever 👏 👏 👏
@Chris Maloney leave the fool burna is bigger than the whole Tanzania music industry is not by UA-cam
What a foolish statement. Diamond chose to sing in Swahili and Burna in English/pidgin. So what the problem. Why do you guys always want to compare your musicians with Nigerian Musicians? It makes no sense. Afrobeat is global now. Nigerian musicians have sold out shows everywhere including Tanzania so who’s fooling who?????
Baba laooo🔥🔥🔥🔥🙏🙏
Simba 👏 👏 👏 👏
Platnuuuuumz noumaaaaa
Simbaaaaaaa mpeperusha bendera ya 🇹🇿
Hongera Sana mwamba kwa kufanya vema
SimßAh🦁🦁🦁🦁🔥🔥🔥🔥🔥🎉
J'adore 😘
Simbaa king of Africa
simba good job brother 🇰🇪
Daimond yuko juu tu me nafurahi sana anavyotutambulisha Tanzania yetu
Naseeb is the best in Africa 👏👏👏👏
Simbaaaaa🙌🏽
🔥🔥🔥🦁
Middle Simba mko poa sana 😍😍❤❤
My artist
Asante middle simba
Simbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa 🔥
daiamond platnumz the pride of africa
Rambo 4life
Heshima kwake mwamba simba
🔥🔥🔥🔥🔥👏👏👏👏
🔥🔥💥
Diamond foreveer
Simbaaaaaaa🔥🔥🔥🔥 jamani daaah hatareee
Simbaaaaaaaaaa kama Simbaaaaaaaaaa
Ila kweli huyu Jamaa akera hadi anaudhi, kama Mange Mimambi mwnyewe ameamua kufumba Domo lake bila ya kupenda
Acha asafishe 💯🔥💯
Kaka wewe ufai nakubari sana kazi zako
🔥🔥🔥🔥
Nakubali sana simba
Huyu jamaa ni moses wamziki ataendelea kutuongoza mpka Israel tuifikie bana wapi likes za Kenya kwa mondi
Once again 🙌🙌🙌
Simbaaaaa ni rambo Poá sana kaka
Simbaaaa
❤️❤️❤️
🔥🔥🔥❤️❤️
Simba burning the place
Nice
Mido simba nakupenda sana na unassailable zawadi kutoka kwa dai