@@abdulswamaduathumani2791 ndugu zangu wa tanzaniya nawaomba musichezee bahati aliyo wapa MUNGU mregesheni tena makufuli musidanganywe na wazungu hawawapendei mema
Askar hakupiga salute kwa Sababu 1, askari hapigi salute bila ishara kama bendera, plate no. Ambavyo vyote havikuwepo kama ishara. 2. Gari ya kiraia si tatizo, ila mh rais hakushusha kioo hivyo hakuoneka, so hakuweza piga salute kwa Sababu hakumuona. NB: Kumbuka gari ya kiraia si tatizo, kama angemuona kwa ghafla hata ndani ya chombo chochote tena bila ishara angempigia salute, tatizo hakumuona na sidhani hata taarifa kama alikuwa nayo. 🙏
Uko sahihi, na kinachotambulisha kwamba gari lina kiongozi ni bendera na plate namba. Laweza kuwa ni gari tu bila kiongozi hapo hamna saluti. Kwa mazingira ya gari hilo hapakuwa na sababu ya kupiga saluti maana hakuna kiashiria chochote kama kuna kiongozi. Wenye magari kama hayo wapo wengi.
Hahaha 😂😂nimejiuliza tu kwa sauti mala paaa Askari kapiga mkono gari maana imeovertalki ana kutana na bosi wake 😜😜ungesikia muheshimiwa pita ,, muheshimiwa sasa,, usijari kijana enderea kupiga kazi kwa rafuzi ile ya watani zangu ,,🤣🤣 love you Papaa magufuri 2020 kura yangu chukuaaaaaaaaa💪💪
Wakati mnarusha habari muwe makini mtajikuta mnawaletea matatizo watu wana watoto na familia zinawategemea unaposema "Lakini cha ajabu traffic 👮 hakupiga saluti unamaana gani??"
Sasa angepiga saluti aje gari yenyewe ni ya binafsi angejua aje ni rais Yuko ndani we nawe siku hizi watukologa bana... But much love from Kenya's in Dubai
Mhe, usalama kwako ni muhimu sana, Mimi naona hii si Sawa, ninapenda sana unavyojiamini ila isizidi sana, wewe ni Tanzania na Tanzania ni wewe kwa sasa, Mungu akulinde Mhe wetu
Ndg , watanzania wenzangu mungu aliye ruhusu magufuli aibadilishe Tanzania ndiye aliyeruhusu mama samia aendeleze safari aliyoianza JPM kwaiyo tuzid tu kuombeana kwa mwenyezi mungu Tena na Tena ng'ambo tutafika tu Amina.
Mungu anamuonyesha kuaa.kunasiku itakua hivyo usijisahau jpm kuna maisha baada.ya kutawala duniani kotee watu hawapendi kutawaliwa na.were unatawala badala ya kuongoza kama jl au kenyata Uhuru we jpm Leo umekua kagame juzi idiamini mtondogo umekua Mobutu baaadae baada ya utawala utaitw makuful ya kuwafungiaa.watu jela mungu asukusaidiee hata chembe aaameni
Dereva anatakiwa kutoa ishara inayoonyesha mkuu yupo ndani kwa ishara ya taa kama hajamuwashia kamanda hana koso na kama gari lipo na dereva tupu unampigia mambo yanaenda na ishara
I'm very very sure his excellent president maghufuli was really bothered and disturbed seeing that unnecessary jam thus must have given instructions to his minister to remedy that problem... I truly like and respect the TANZANIAN president.... I wish and pray Tanzanians decide to change their constitution by giving him a third term, I promise you it will rank second after South Africa in infrastructure development and Tanzania will be the ONLY country in Africa that will be corruption free and with the best economy!!!!!!
MSF Ni Jukwaa linalo Project Juhudi /Kazi za Mh Rais Dr John Pombe Magufuli kwa jamii inayotuzunguka na dunia kwa ujumla! #Nchiyetu, #Raiswetu #Fahariyetu #🇹🇿🇹🇿🇹🇿🔥
Waandish nao simaruf kwa kuropoka tu mara gari binafc amepanda mara askari hakumpigia salute mambo mawil tofaut hapo kama kila gari askari angepiga salute ss kwa kila v8
Kungekuepo na ishara ya kumjulisha kama kuna kiongozi akajua kama ni rais anahaki ya kumpigia salute kama hamna ishara hiyo haina shida yeye hakunua kama ni gari ya rais
....duh Safi sana...lakini Hiii haitakiwi itokee Tena hata Kama hayupo kwenye madaraka ulinzi lazima .. kumbuka Rais wa Burundi, mwalimu nyerere, karume Wachawi wengi na wenye hasira wengi piya .. 🇹🇿
R.I.P His Excellence honourable Magufuli.....You are Forever in our hearts ❤
Magufi
You have to say this in your heart not in our heart don't speak on behalf of others
JPM Mimi nakupenda lakin Kuna ambao hawakutak hvyo suala la ulinzi ni muhimu. Much love my president JPM 💯✓
Naamini hilo gari limejaa walinzi na waochukua video itakuwa usalama
Weee lazima awe na walinzi asikuambie mtu
@@abdulswamaduathumani2791 ndugu zangu wa tanzaniya nawaomba musichezee bahati aliyo wapa MUNGU mregesheni tena makufuli musidanganywe na wazungu hawawapendei mema
Analindwa na Mungu, hata usihofu, maana maandiko yanasema ,mlinzi akilinda bila Mungu afanya kazi Bure.
Mimi na kupenda baba uende lee kutuongo zasiku nyingine usifanye hivo usalama wako muhim baba
Jemedali wetu daima tutakukumbuka mwamba .Mungu akupe pumziko la milele
Askar hakupiga salute kwa Sababu 1, askari hapigi salute bila ishara kama bendera, plate no. Ambavyo vyote havikuwepo kama ishara. 2. Gari ya kiraia si tatizo, ila mh rais hakushusha kioo hivyo hakuoneka, so hakuweza piga salute kwa Sababu hakumuona.
NB: Kumbuka gari ya kiraia si tatizo, kama angemuona kwa ghafla hata ndani ya chombo chochote tena bila ishara angempigia salute, tatizo hakumuona na sidhani hata taarifa kama alikuwa nayo. 🙏
Pia kuna inshara ya taa dereva huwa anaionesha unajua ndani kuna mtu anaestahili kupigiwa sarut
Nadhani wameelewa
Nakukubali mkuu wangu William Bado makumbusho au Santa peters
Askari akiwa anapitisha msafara wa kiongozi yeyote hawajibiki kupiga salute. hizo sababu nyingine ni za ziada
Inaonekana askari taarifa anayo ila Hajui ni gari gani. Ona gesture yake alivyosimama kusubiria.
The best president in Africa never happened before..congrats JPM..
We had Thomas Sankara before.
@@someaafrika.3379 He wasn't smart, he got screwed by the brothers themselves.. Magufuli spots rotten people
what abt madiba?
@@sponsor7882 Madiba yes so was Nyerere and Mugabe...In fact we had so many of them, unfortunately our generation only have access to the presence.
Bokasa,Mobutu and Banda
Sasa police anakosa ganiii 🤣🤣🤣
Sasa askari angeota nirais anapita🙄🙄🙄
Mbona kama umeniwah.swal kama Hilo ndo nilitaka niulz
Kweli mrembo
😂😂😂😂ata kama n mm ningejua ni rais anapepezaa gari vilee😂😂
Uko sahihi, na kinachotambulisha kwamba gari lina kiongozi ni bendera na plate namba. Laweza kuwa ni gari tu bila kiongozi hapo hamna saluti. Kwa mazingira ya gari hilo hapakuwa na sababu ya kupiga saluti maana hakuna kiashiria chochote kama kuna kiongozi. Wenye magari kama hayo wapo wengi.
Hahaaaa sasa apo asikar angepiga vp salt Na gari inakimbia jaman haaaaaaa mbavu zang mie
nchi yetu ni nchi ya amani namshukuru Mungu kwa kuniwezesha nizaliwe Tanzania
kwa sasa mama anaipoteza aman
Wakati wa Makufuli watu walijuta kuzaliwa Tz,hata sura ya Tz iliharibika kimataifa
Ulijuta ww na ukoo wako@@saimonjohnsumley9198
@@nailatypita hivi
@saimonjohnsumley9ulijuta wew 198
Nakupenda mh jamani mungu akupe maisha marefuu ya amani
Tiffah ulikua Kama unamuombea kufa vile ndo ishatokea
Raisi we2❤
Kabisa
Mnamuandama uyo askar mwishoe afukuzwe kazi
Hawezi kufukuzwa kazi kwanui angejuaje kwamba Rais anapita wakati ni gari binafsi
Sio kosa lake askar hawez kufukuzwa kaz
Kwani umeambiwa anawafukuza hivyo magufuli ni rais mwenye elimu safi na akili timamu
@@kato_tz apo sasa🤷♀️🤷♀️
Hamna kosa la kumfukuzisha kazi Askari huyo kwani yuko sawa na ni sawa 100% unapigaje salut kwa mtu ambaye humjui au hufahamu ni Nani.
Mungu akuweke mahala pema sana mkuu wetu tutaonana badae tupo tunakuombea sana tunajivunaia sana kipindi chako...
Kwakweli
Hakua na haja ya kupiga sarut wakat Gari alilokuwemo rais lilikua n gar binafsi Hana kosa lolote trafik
Siyo sarut sema salut
@@selector728 😂😂
Kwanii nani kasema ana kosa!!!
Kwahiyo gari ndiyo inapigiwa saluti? Sema hakumtambua kwa usafir uliotumia.
Gari ya rais kama ikiwa na ile nembo hata kama hayumo unaipigia salut
Nimipenda sana hii ,Rais alivyo jichanganya kitaa .Na hii ndiyo inamfanya kujua SHIDA nyingi za wananchi wake .Mungu atubariki Watanzania.
Hahaha 😂😂nimejiuliza tu kwa sauti mala paaa Askari kapiga mkono gari maana imeovertalki ana kutana na bosi wake 😜😜ungesikia muheshimiwa pita ,, muheshimiwa sasa,, usijari kijana enderea kupiga kazi kwa rafuzi ile ya watani zangu ,,🤣🤣 love you Papaa magufuri 2020 kura yangu chukuaaaaaaaaa💪💪
Duh! tunakupenda baba lkn usirejee tena kuna wasiokutakia mema rais Karume aliuliwa na wewe Mungu akulinde ila ulinzi muhimu . big up
Kwani ww kwa akili zako ndo unaona apo yuko peke yake jiongeze dungu apo ulizi upo ila so kama ule ulozoeleka siku zote
Huyo aliechukuwa video tuu tujiulize...inamana ulinzi anao
Karume aliuliwa baada naye kuua
Shomari kapombe
😢
Askari angejuaje sasa jamani..mtangazaji unazingua
Baba Magufuli ndo ushalala, duu inauma sana
Sasa mtu hapo ajichanganye lamda hizo daladala zimekodiwa zimeja wajeda nyie mnaona yuko kwa foleni kumbe wote hao niwajeda😂😂🤣
😂😂😂
KabizaaaAaa
Hahahah! Umeona eeeh
Tenaa
@Humphrey Msengi
Yami ulinxi wa rais hapo mkuu ni mkubwa sana.hsyo maari yite unskuta wamejaa wazee wa kz.
Our president ni zawadi yetu kwa Mungu. Hakuna mwenye imani kama yake, hana kibri. Mungu ampe afya njema na familia yake yote. We love you Baba
He jailed innocent people,he never employed ,he had dangerous neopotism
Alichokifa hapa sio cha kukipongeza Rais ni taasisi bhana
Milladi ayo angalia usipoteze hadhi ya channel zako sasa huyo mtangazaji anasema rais hajapigiwa salute angejuaje ikiwa hajamjua
Wakati mnarusha habari muwe makini mtajikuta mnawaletea matatizo watu wana watoto na familia zinawategemea unaposema "Lakini cha ajabu traffic 👮 hakupiga saluti unamaana gani??"
😁😁😁😁😁😁😁 Ukickia mataira ndo hawa
Exactly angejuaji
Mungu akulehemu mueshimiwa magu
Mungu akulaze mahala pema peponi amin
Mungu akuweke baba msalimie na baba angu😢😢
Mwenyezi Mungu akupe pumziko la milele upimzike kwa amani
Jamani!!! asa atapigaje saluti wakati hana taarifa yoyote ya safar ya Raisi 😁😁😁😁😁
Alindwe siku zote
Marufuku siku ingine
Tumempata kwa shida my lovely prezidaa
Mungu amrehemu. JITU LA WATU.
Sasa traffic angejuaje km ni rais
Slaying Tee eti jamani yeye angejuaje
Angeota😁😁
Si angenusa harufu ina maana harufu ya boss wake haijui
Asingeota
True...
Utapitaàaa tu mzee baba 💪💪
Mungu Amjalie punziko la milele
Chuma chetu icho Mungu akupumzishe kwa aman
Sasa angepiga saluti aje gari yenyewe ni ya binafsi angejua aje ni rais Yuko ndani we nawe siku hizi watukologa bana... But much love from Kenya's in Dubai
Bora umesema urais sio madaraka ya kutesea wap... Angejuaje Kama huyo ni rais
Haaaa....!!! Amiri Jeshi wetuu,ni baadhi ya mambo ambayo yanamfanya awe unique!!Barikiwa!!?sanaaa Rais wangu.
We mtangazaji ni boya, kasome kwanza ujue mazingira ya kupiga salute nanga ww
Hahahahaha ! Nanga maneno ya majeshini hayo !
Huyo hata skauti hakupita🤣🤣🤣🤣
Lilikuwa Jembe letu,Tingatinga Mweke mahali pema,Peponi Amina
Mhe, usalama kwako ni muhimu sana, Mimi naona hii si Sawa, ninapenda sana unavyojiamini ila isizidi sana, wewe ni Tanzania na Tanzania ni wewe kwa sasa, Mungu akulinde Mhe wetu
Kama polisi hakujua kuwa rais anapita bas alikua salama
Ndg , watanzania wenzangu mungu aliye ruhusu magufuli aibadilishe Tanzania ndiye aliyeruhusu mama samia aendeleze safari aliyoianza JPM kwaiyo tuzid tu kuombeana kwa mwenyezi mungu Tena na Tena ng'ambo tutafika tu Amina.
Anapigaje Saluti wakati hajui kama rais yupo kwenye hiyo gari wewe mwandishi nae kimeo
Raisi wa mfano barani africa
MAGUFULI BABA LAO kwa maendeleo ya Watanzania 🇹🇿
Tunakupenda Sana rais wetu Ila wapo wachache wanao kuchukia
Mungu anamuonyesha kuaa.kunasiku itakua hivyo usijisahau jpm kuna maisha baada.ya kutawala duniani kotee watu hawapendi kutawaliwa na.were unatawala badala ya kuongoza kama jl au kenyata Uhuru we jpm Leo umekua kagame juzi idiamini mtondogo umekua Mobutu baaadae baada ya utawala utaitw makuful ya kuwafungiaa.watu jela mungu asukusaidiee hata chembe aaameni
Salute yann wkt mshasema amejichanganya gari binafc
Traffic hana makosa hakujua Kama ni msafara wa mh
Polisi alikuwa anashanga tuu
Mwaje Mwafula yah
Dereva anatakiwa kutoa ishara inayoonyesha mkuu yupo ndani kwa ishara ya taa kama hajamuwashia kamanda hana koso na kama gari lipo na dereva tupu unampigia mambo yanaenda na ishara
Kama umeona moto wa hii vx v8 nipe like tafadhali sana.
Sasa apige sarut gar katumia private kwanza trafic alioigwa butwaa Nani anaharibu foleni
Hahaaaaa
😁😁😁😁
😂😂A anajua kutufurahisha
Yaani uyu mtangazaji nguchiro kweli
Au anapigia magar yote salutii😂😂 ,Mtangazaj naye anazingua 😂😂
Mpaka Leo tunakukumbuka baba
RIP chuma😭😭😭
Rip jmn😣
Our Great Hero may your Soul rest n peace. 🙏🙏🙏
Hiyo ya Askari kutopiga salute isiwe story, nafikiri hakujua Kama president...unajua mazingira ya Askari kupiga salute? We love our president.
The best president of our time, it is 2023 now but we still grief
BWANA YESU AKUPE PUMZIKO LA MILELE
Tutakumbuka daima
Asee tuna kukumbuka san mungu akusaidie uko uliko
Nakupendaaaaaaaaaa JPM, nakupenda, jamani nakupendaaaaaaa.
We proudly for your good leadership
Hiyo ni ishara kwamba Tanzania ni nchi ya amani#na tuombe Mungu azidi kuidumisha amani ya Tanzania daima kama alivyofanya Mh.
Amani Iko wapi? au kwavile hujadhuriwa wewe au nduguyako,ACHA unafiki
Angelipiga salute tungeshangaa kuwa huyu mwamba kazi ni kuchungulia magari asee
Traffic wa watu anajishangalia tu maana hakukua na namna ya kujua huo ni msafara wa rahisi. So alikua sahihi kutokupiga salute.
Salute haipigwi hovyo mzee angejuaje ndani ya gari kuna magufuli,au plet namba ya gari imeandikwa jina la magufuli?
Barabara nyeupeee😊
I'm very very sure his excellent president maghufuli was really bothered and disturbed seeing that unnecessary jam thus must have given instructions to his minister to remedy that problem... I truly like and respect the TANZANIAN president.... I wish and pray Tanzanians decide to change their constitution by giving him a third term, I promise you it will rank second after South Africa in infrastructure development and Tanzania will be the ONLY country in Africa that will be corruption free and with the best economy!!!!!!
Stop there
Totally dictetorship
@@saimonjohnsumley9198 your very stupid ni Bora udikteta wenye maendeleo kuliko demokrasia iliyo jaa upuuzi na kukosa muelekeo
Kbx Nami nakupenda sana Pesident wa Tanzania kbx
Duh noma can trafk alijua gari tyu la kiraia
Endelea kupumzika kwa Amani Dr. JPM .Tutakukumbuka daima🙏🏼🙏🏼
Daa inauma
Mungu Hakulinde Rais wetu wa tanzania
Milard acha ushamba na wewe ulitaka apige salute vipi wakat gari private hiyo
Mwamba hakika tunakukumbuka sana
Sasa atapiga salute vip n magu sio raisi hadi achaguliwe tena ndio awe raisi wa nchi
Spati picha trafiki ange simamisha gari akague leseni lama kawaida yake mara paap ana muona boss MAGU😢😢😢😀😁😁😀😀
We hujui tz & hata Hao boda boda ndio wale wale, much love tz. 😂 😂 😂
Kumbe na wewe umeliona hilo ahsante
MSF Ni Jukwaa linalo Project Juhudi /Kazi za Mh Rais Dr John Pombe Magufuli kwa jamii inayotuzunguka na dunia kwa ujumla!
#Nchiyetu, #Raiswetu #Fahariyetu #🇹🇿🇹🇿🇹🇿🔥
Hahaha angekuwaaa dar hata asingejaribu kukaaa kwenye folen
Watanzania hakuna zawadi au fadhila tunayoweza kukulipa Zaidi Ya Kukuongezea Muda Tu Wa Kukaa Madarakani. Mungu atusaidie tulifanikishe hili
Angekaa kwny folen mwazo mwisho mbona gari imetanua kulia...chezea folen ww
Nice one good very good excellent my President
Maisha ya kienyeji nayo yana raha yake....anamiss vingi mzee
Kwani Askari Angeota kuwa Rais anapita😊
daaaaa uyoo kweli MANGFURI maana anaweza kumkamata mtuu bila yeye kujuwa kama kabambwa😂😂😂😂😂♥️MAGU🔥
😂😂😂😂Mariam huy jamaa hatarii zaid ya covid
Nyie muda mwingine ni wachochezi mshasema gari binafs kwani huyo trafic ni mfalme njozi aote kua hilo gari yupo raisi
Nimerudi leo nikuone chief 🤔😖
Mwenyezi mungu amfanyie wepesi.
Mnashangaa leo mbona mala kibao tuu anatumia private car 😏😏😏😏😎
Ndio wanasema hakuwa akifuata taratibu zilizowekwa?! Basi tu😢
Atapigaje salute kwa mtu asiemjua
Sasa atapiga salute anajuaje kama kuna kiongozi anapita
Waandish nao simaruf kwa kuropoka tu mara gari binafc amepanda mara askari hakumpigia salute mambo mawil tofaut hapo kama kila gari askari angepiga salute ss kwa kila v8
Askari yuko sahihi coz gar iko private mungu azid kumlinda rais wetu
Kungekuepo na ishara ya kumjulisha kama kuna kiongozi akajua kama ni rais anahaki ya kumpigia salute kama hamna ishara hiyo haina shida yeye hakunua kama ni gari ya rais
Tunakupenda sana Mr president
....duh Safi sana...lakini Hiii haitakiwi itokee Tena hata Kama hayupo kwenye madaraka ulinzi lazima .. kumbuka Rais wa Burundi, mwalimu nyerere, karume Wachawi wengi na wenye hasira wengi piya .. 🇹🇿
Mimi nipo nje ya nchi lakini Kuna wakameroon wanampenda magufuli. Jamani hakuna Rais kama huyu.
Dunia nzima rais magufuli apendwa mashaallah Allah amjalie afya njema
Safi sana akikaa ikulu atajuaje tabu za wananchi wake safi sana
Wewe huyo traffic anajua mchezo mzima mana sio kwa usimamaji ule
Magufuli tembo 👏🏿👏🏿
Zaidi ya tembo
Rais nakukubali sana