Waongo hawa matapeli Kuna changamoto zao wenyewe za kifamilia iyo midea imeitwa tu kama kiegesheo watu bado tunadai Kodi zetu jengo ni Zima,,,Aya rudisheni Kodi za watu ndo mvunje uyo anaezungumza haelewi kama uyo kaka ale Alo mleta hapo wafanye fujo ya kuvunja ametoka kuchukua Kodi za watu juzi tu namimi. Nikiwa mmoja wapo kama alijua jengo ni bovu na anataka kuvunja kwanini amechukua Kodi za watu tena Mimi nnimelipa juzi na simu alinipigia mwenyewe uyu dada ana roho mbaya kishenzi😏😏😏😏😏😏 kama mmeruhusiwa mbona mmekuja na maasikari,mbw na walinzi lipeni pesa ya watu. Ndo mbomoe @millard ayo
Hongera sana dada❤❤❤, msafara wa mamba na kenge wamo, huyo anaekuwa mtata ni miongoni mwa ha kenge,anakuwaje mtata kwa jambo la msingi km hili,yaan hatar inaonekana kabsa lkn bado anakuwa mtata,mim hilo jengo nalifaham nani kweli limechoka
@@benimlisa6056 mzeee,whether linauzwa au haliuzwi sio issue yetu..ukweli ni kwamba jengo limechoka sana hata kwa macho tu unaliona na lina miaka90,ma men..man'up some.
Guys amewaambia ANAISHI INJEEEEEEEE , mentality take Iko vizuri mnoo, kukaanjee kuna uzuri wake,akili nyingiiiiiii . Angekua anaishi Dar asingekua na mawazo hayoo , watu wanjee oyeeee oyeeeeeeeeee
Kwa kweli haya majengo yachunguzwe vizuri kama kuna wengine wanafanya ujinga kama ule wachukuliwe hatua na kila mwenye jengo akague jengo lake kama liko salama huo ndo utu pesa hazijaagi jamani
huyu dada nimempenda bure jaman nimempenda apewe mauwa yake ...hajaangalia tamaa ya kuendelea kupata kodi wao wameangalia uhai wa watu🎉🎉🎉🎉 hawa wamiliki.kama.hawa wakiwa kumi naamin kariakoo itakuwa mpyaaa
Huyu mama ana roho safiii sana ila ndugu yao anayejiona yeye ndo kila kitu huyo mswahili sana nina wasiwasi pia na mkurugenzi kwanini amkingie kifua huyo mwingine ilihali Jengo ni bovu
Waongo hawa watu wanataka kutapeli wenzao jengo Lina mgogoro Toka muda sisi ndo wapangaji Wa duka ilo mbona Medea hazijatufuata kutuoji???????? Aya warudishe Kodi za watu Sasa maana wapangaji tunafukuzwa kama mbwa why?????? Mmmfyuuuuu uyu dada anaongea wakat kaka ake alokuja kuvunja nae kachukua Kodi za watu juzi hata mwez bado alafu wanajifanya wanataka kuvunja kama walijua ni bovu Kodi wamechukua zanini kama kweli ni wastaarabu??????? Tupeni Kodi zetu Ili mvunje jengo lenu
Kama Wanajali..Uhai Wa Watu Basi..Wangeanza Na Mji Mkongwe..Maana Maghorofa Mengi Yamechoka..Na Mengineo Mpaka Yanawekewa..Miti Kama Mgomba Wa Ndizi..Ili Ghorofa Lisianguke..🤪
Waongo hawa matapeli Kuna changamoto zao wenyewe za kifamilia iyo midea imeitwa tu kama kiegesheo watu bado tunadai Kodi zetu jengo Lina mgogoro Toka muda ,, Aya warudishe Kodi zetu Sasa sio wanatutoa kama mbwa 😢😢😢😢😢😢😢😢
Yaan hawa. Haki mungu atawanyoosha na izi Medea kiukweli mnaitwa kwenye tukio mmefika pale mmeona watu wako ndani wanafanya biashara ghafla jengo linavamiwa na vunjwa kwanini wasiwaoji kwanza wanaotaka kujeruhiwa ndani na Mali zao????? Yaan msimamizi Wa jengo juzi kakusanya Kodi za watu kala Jana anakuja kuvunja hii imekaaje jaman kama waliona jengo bovu kwanini wamechukua Kodi za watu???????? Aya Sasa mnataka kuvunja rudisheni Kodi zetu kwanza sio mnatuvamia na mapolice,mbwa pamoja na walinzi Wa makampuny why?????? Kiukweli nynnyi ni wauaji na hamtumii busara kabisa Jana watu tumepoteza Mali Kwa kimbizana dukani kutoa vitu uku tukisukumwa😢😢😢😢😢😢😢wengine hapa ndo mama ndo baba kwenye familia zetu na wazazi wetu tusipoingia kazini hatujala 😢😢😢😢 turudishieni pesa zetu wapangaji alafu nyinyi muuane wenyewe Kwa urithi wenu wapangaji hatuusiki na wengi hapa mmeshusha comment zenu Kwa kumsifu uyo dada ila ukweli hauko kama anavyo ongea😢😢
Shida yetu tuliyokuwa nayo sisi Watanzania ni Ukaidi.. Mtu anawapa Notsi na kuwaambia hameni sababu hili Jengo ni Hatarishi na wenyewe mnaona halafu anatokea mtu anawaambia mrudi na nyinyi mnarudi tena kwa wingi.. Sasa mnataka msaidiwe vp hapo..
Ikiwezekana, Serikali ifanye uamuzi mgumu kwani kariakoo mghorofa mengi yanahatarisha maisha ya watu.Japo wananchi hawapendi mashauri kama haya mpaka matatizo yatokee. Fikiria imetolewa tahadhari ya kutolitumia jengo kwa shughuli yoyote lakini watu bado wanaingia kinyemela kwenda kufanya biashara. Wamiliki wengi wa majengo haya wanapenda pesa kuliko hata usalama na uhai wa watu hivyo ni vizuri Kwa Serikali Kuchukua hatua madhubuti bila kuangalia mtu anayemiliki ni nani
@@hildagabriel1003nashangaa🤔🤔 ktk pitapita zangu mjini nishaona ghorofa limejengwa 1922 lakini sio refu ckumbuki ni wapi haya mpaka leo ni miaka mingapi!
Mungu awabariki sana coz hawajaangalia tamaa ya pesa .., Wamekubali kupoteza kwa hiyari kabisa❤❤❤❤
BIG UP SANA TAHADHARI NI NJEMA KULIKO KUJA KUTOA POLE KWA KUCHANGIA MAJENEZA YENYE MWONEKANO MZURI👍💪💪
Alhamdulillah... Nimejisia amani kujali uhai na maisha ya wengine jambo zur sana ALLAH awajaalie kher wote walioridhia kuvunja
Waongo hawa matapeli Kuna changamoto zao wenyewe za kifamilia iyo midea imeitwa tu kama kiegesheo watu bado tunadai Kodi zetu jengo ni Zima,,,Aya rudisheni Kodi za watu ndo mvunje uyo anaezungumza haelewi kama uyo kaka ale Alo mleta hapo wafanye fujo ya kuvunja ametoka kuchukua Kodi za watu juzi tu namimi. Nikiwa mmoja wapo kama alijua jengo ni bovu na anataka kuvunja kwanini amechukua Kodi za watu tena Mimi nnimelipa juzi na simu alinipigia mwenyewe uyu dada ana roho mbaya kishenzi😏😏😏😏😏😏 kama mmeruhusiwa mbona mmekuja na maasikari,mbw na walinzi lipeni pesa ya watu. Ndo mbomoe @millard ayo
Safi sana dada..Leo nimekuwa wa pili naombeni like
Acha utoto like kachkue milembe
Hongera sana mamy kwakujali maisha ya watu
kiswahili kizuri no code mixing no code switching no ujuaji
sisi matajiri huwa hatuna mambo meng bro😂
@@joshuandaki8077Kweli kabisa mo mambo mengi😊😊😊
@joshuandaki8077 Sahihi
Mzungu wa Tanzania. She speaks very calmly 😊
Arab huyo
Safi Kwa kujali uhai wa wengine 🎉🎉
Hongereni sana huu mfano ni wa kuigwa wengine waige mfano jamani 😊😊
Huyu dada apewe cheo serikalini maana anaakili Sana na anajali wengine.
Political science hii...kwa mfanyabiashara wa kiafrica tena mTz siamini naya 2000 yaliyoongezwa basement yavunjwe
Cheo tena😂😂😂😂
@@Zanzibar0001😂😂😂😂
😅😅😂😂😂@@Zanzibar0001
Cheo which dear
Dada uko sahihi ❤
Safi kabisa dd mambo mazuri kujalia maisha ya watu.
Jengo limeoza asei hata kwa kuliangalia 😎
Ndugu wngn jmn wao ni pesa tu hawaangalii uhai wa watu
Hongera sana dada❤❤❤, msafara wa mamba na kenge wamo, huyo anaekuwa mtata ni miongoni mwa ha kenge,anakuwaje mtata kwa jambo la msingi km hili,yaan hatar inaonekana kabsa lkn bado anakuwa mtata,mim hilo jengo nalifaham nani kweli limechoka
Kilakitu kikienda kwautaratibu mambo yangekuwa sawa tatizo siasa zakiitikadi wote sisi nindugu,❤😮
Kaishi ulaya ndo maana ana akiri sana sio huyo mdogo wake bichwa maji yupo radhi watu wafe
Usichojua kaa kimia... Hawa wanao vunja wanataka kuuza. Ndugu yao kagoma. Mzee wao aliwambia wasiuze.
Nikweli hii nyumban Ina mzozo mkubwa sana tangu wazir wa ardhi akiwa mh Jerry slaa@@benimlisa6056
Kwahyo jengo sio bovu?@@benimlisa6056
@@benimlisa6056 mzeee,whether linauzwa au haliuzwi sio issue yetu..ukweli ni kwamba jengo limechoka sana hata kwa macho tu unaliona na lina miaka90,ma men..man'up some.
@@benimlisa6056Itakuwa sahihi tu, inawezekana hawanufaishwi na hiyo mali, acha wauze ili kila mtu abaki na cha kwake.
Guys amewaambia ANAISHI INJEEEEEEEE , mentality take Iko vizuri mnoo, kukaanjee kuna uzuri wake,akili nyingiiiiiii . Angekua anaishi Dar asingekua na mawazo hayoo , watu wanjee oyeeee oyeeeeeeeeee
Aiseee nje haiongopi kabisa Dada anaogea vizuri sana I wish na mie niwe naweza kuongea kwa mpangilio na calm kama bint Bahashuwani
Mwambieni namwomba tuwe ndugu 😢😢😢
🤣🤣🤣🤣🤣
Ndugu wa hiyari😊😊😊
😂😂😂😂
Safi sana Sister Warda Bahashwan
thanks my boss lady
for modificadhion of
build conglatulation
for gaverment you welcome
we see together about build thanks
Safi sana dada
Uvunjaji huo ni hatari,uvunjaji unaanzia ghorofa ya juu mwisho,
Waache tutazk tu
Asante sana dadaangu🎉
🎉🎉🎉🎉🎉🎉safi sana naomben likes
Kwa kweli haya majengo yachunguzwe vizuri kama kuna wengine wanafanya ujinga kama ule wachukuliwe hatua na kila mwenye jengo akague jengo lake kama liko salama huo ndo utu pesa hazijaagi jamani
Miaka 90🙄🙌
😂😂😂😂Yn mm ndio nazaliwa jmn nshazeeka🤣
@@rahimaaaaa5682 sio limejengwa miaka ya 1990 bali jengo lenyewe lina umri wa miaka 90 toka lijengwe
🤔🤔🤔 hata mm nnimeshangaa
@@rahimaaaaa5682umezaliwa mwaka mwaka gani mwenzetu cjui hata bibi yako km alishazaliwa miaka 90 c mchezo
Dada nimekupenda
Niameelewa vizur Hata sihitaji kuuliza
Hongelen sana jaman
Love this ❤❤
Nauliza huyu dada iko single?
For first time
vzr sana
Sahihi dada
Saiv ukienda kkoo tafuta gorofa jipya ndo ukafany manunuzi otherwise utaporomokewa na hela zako za vikoba😅
😂😂😂😂
😢😢😢ajali haina kinga
Na uwe unapitapita kwa majiraji kuangalia kama wanachimba madini ardhini
😂😂😂😂
huyu dada nimempenda bure jaman nimempenda apewe mauwa yake ...hajaangalia tamaa ya kuendelea kupata kodi wao wameangalia uhai wa watu🎉🎉🎉🎉 hawa wamiliki.kama.hawa wakiwa kumi naamin kariakoo itakuwa mpyaaa
Naomba nikuoe wee msaada please
😊😊😊😊
Safi sana Mama❤
Nahitaji kutombaaaah ninaaag nyege sana mpenzi wangu anitombiiiii vizuri jamaniii❤❤❤❤
tukisemaga sisi wazungu tunaroh, zuri huwaga mnakataa haya sasa kikowapi. komwe lilee!😅
Long live dear ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂
Sawa itasaidia kupunguza hasala na vifo kwa watu..!!!
Duh, sasa hao wanao ng'ang'ania vip
Sasahv Kariakoo kwa hali ilivyo ya Taharuki ukisikia tu hameni jengo linaweza likaanguka mbona chap sana hakuna kufikiri😂
Huyu mama ana roho safiii sana ila ndugu yao anayejiona yeye ndo kila kitu huyo mswahili sana nina wasiwasi pia na mkurugenzi kwanini amkingie kifua huyo mwingine ilihali Jengo ni bovu
Sasa wayabomoe yoote kama hayo jamani 😮😮😮
VIZURI SANA DADA
Hapo Kuna kMgogolo la familia miaka 90 je majengo ya serikali Yana miaka mingapi
Una upeo mdogo wa kufikili
majengo ya serikali yanakarabatiwa kila mara
Dada yuko poa ila anaonekana anapiga zoez cheki misuli ya shingo superwoman
Uyo ndugu yenu mwingine sio mtu mzuri
Waongo hawa watu wanataka kutapeli wenzao jengo Lina mgogoro Toka muda sisi ndo wapangaji Wa duka ilo mbona Medea hazijatufuata kutuoji???????? Aya warudishe Kodi za watu Sasa maana wapangaji tunafukuzwa kama mbwa why?????? Mmmfyuuuuu uyu dada anaongea wakat kaka ake alokuja kuvunja nae kachukua Kodi za watu juzi hata mwez bado alafu wanajifanya wanataka kuvunja kama walijua ni bovu Kodi wamechukua zanini kama kweli ni wastaarabu??????? Tupeni Kodi zetu Ili mvunje jengo lenu
Kama Wanajali..Uhai Wa Watu Basi..Wangeanza Na Mji Mkongwe..Maana Maghorofa Mengi Yamechoka..Na Mengineo Mpaka Yanawekewa..Miti Kama Mgomba Wa Ndizi..Ili Ghorofa Lisianguke..🤪
Miaka 90 mbona kidogo, majengo ya Msajili yapo hapo Kariakoo hata kabla ya vita vya majimaji 1907 na bado yapo ngangari.
Hawajayapima? Inategemea na ujenzi
Waongo hawa matapeli Kuna changamoto zao wenyewe za kifamilia iyo midea imeitwa tu kama kiegesheo watu bado tunadai Kodi zetu jengo Lina mgogoro Toka muda ,, Aya warudishe Kodi zetu Sasa sio wanatutoa kama mbwa 😢😢😢😢😢😢😢😢
Nchi ya ajabu sana...kila sehemu inanuka RUSHWA,KILA SEKTA IMEGUBIKWA NA DHULMA....
Yaan hawa. Haki mungu atawanyoosha na izi Medea kiukweli mnaitwa kwenye tukio mmefika pale mmeona watu wako ndani wanafanya biashara ghafla jengo linavamiwa na vunjwa kwanini wasiwaoji kwanza wanaotaka kujeruhiwa ndani na Mali zao????? Yaan msimamizi Wa jengo juzi kakusanya Kodi za watu kala Jana anakuja kuvunja hii imekaaje jaman kama waliona jengo bovu kwanini wamechukua Kodi za watu???????? Aya Sasa mnataka kuvunja rudisheni Kodi zetu kwanza sio mnatuvamia na mapolice,mbwa pamoja na walinzi Wa makampuny why?????? Kiukweli nynnyi ni wauaji na hamtumii busara kabisa Jana watu tumepoteza Mali Kwa kimbizana dukani kutoa vitu uku tukisukumwa😢😢😢😢😢😢😢wengine hapa ndo mama ndo baba kwenye familia zetu na wazazi wetu tusipoingia kazini hatujala 😢😢😢😢 turudishieni pesa zetu wapangaji alafu nyinyi muuane wenyewe Kwa urithi wenu wapangaji hatuusiki na wengi hapa mmeshusha comment zenu Kwa kumsifu uyo dada ila ukweli hauko kama anavyo ongea😢😢
Sasa kwanini musivunje na bomoa bomoa?? Munavunja na mkono?? Hatari sana
Shida yetu tuliyokuwa nayo sisi Watanzania ni Ukaidi.. Mtu anawapa Notsi na kuwaambia hameni sababu hili Jengo ni Hatarishi na wenyewe mnaona halafu anatokea mtu anawaambia mrudi na nyinyi mnarudi tena kwa wingi.. Sasa mnataka msaidiwe vp hapo..
Tutalia tutanyamaza tutazika tutasahau😢
Ikiwezekana, Serikali ifanye uamuzi mgumu kwani kariakoo mghorofa mengi yanahatarisha maisha ya watu.Japo wananchi hawapendi mashauri kama haya mpaka matatizo yatokee. Fikiria imetolewa tahadhari ya kutolitumia jengo kwa shughuli yoyote lakini watu bado wanaingia kinyemela kwenda kufanya biashara. Wamiliki wengi wa majengo haya wanapenda pesa kuliko hata usalama na uhai wa watu hivyo ni vizuri Kwa Serikali Kuchukua hatua madhubuti bila kuangalia mtu anayemiliki ni nani
Sasa hao wanaorudi humo wanaakili kweli jmn!!!!!??
Wanataka kubomoa na kujenga mpya.
Umeona raha ya kukaa njee
miaka 90
Anafanana na Sarah wa harmonize
UWONGO MWINGI HILO JENGO HALINA MIAKA90 ILA KULIVUNJA NI SAWA ILI LIJENGWR KISASA.
Ulikuwepo likijengwa??😂
@@hildagabriel1003nashangaa🤔🤔 ktk pitapita zangu mjini nishaona ghorofa limejengwa 1922 lakini sio refu ckumbuki ni wapi haya mpaka leo ni miaka mingapi!
Kuna Majengo mengine pia yapaswa kuangalizwa tahadhari ilikuwepuka hatari mapema mjitahidi
Je kuna USHAHIDI NA DALILI ZA KUVUNJIKA? VIPI AWE MSHTAKIWA KUNA NINI?
Tahadhari ni muhimu🤕
MANA YA HAPO POLISI NDO SHIDA KUBWA TULOKUWA NAYO
Yani kariakoo naogopa hata kwenda
Si kariakooo ppt pale llt linawez kukupt
Anafanana na zari mpaka lips
Majengo ya zaman mkoloni xanadumu zaidi miaka 90 bado gumu
❤
Safi
Ila huo uvunjaji ni hatari sana
90 bado sana Aseme 2 wanamgogoro juu Yao k2 Cha urithi bhana kinakuwaga hvyo
Washapima na wamekuambia wenyewe mpaka linavuja ndan kwa ndan kwa maana limeshapoteza ubora ndugu
@@mamaamourtamba7801yaani hatari tupu na mvua hizi cpati picha
Bora wahlla
Ulaya wanaona mnavunja kwa mikono
😅😅😅😅
@@allymaranya😂😂😂 yaani hawatuelewi jengo km hilo kuvunja kwa mikono!😊
Swali umewashirikisha ndg zako au untaka kufanya dhurumaa?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tunawahitaji watu wa aina hii hata yule chair man wa chade afanye kawa hawa😂😂
Mngeuza
Unawapangia