Asante sana Kaka Jamal kwa Story nzuri... Kila mtu atachambua stori hii kutokana na Imani yake ya Dini. NAOMBA UTULETEE STORI YA MUHAMMAD (AMANI IWE JUU YEKE) KWENDA MBINGUNI. KISA CHA ISRAA NA MIRAJI. ASANTE.
Wewe kijana nimekuombea baraka kutoka kwa mwenyezi Mungu maana haunaubaguzi wowote kuhusu dini wewe nimtu wa Mungu kabisa.Mungu azidi kukulinda nakukuongezea ufahamu zaidi from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮and 🇺🇸🇺🇸🇺🇸
I have Being a great follower for Jamal and listened to many stories from the story book bt for today was fantastic, am even now motivated to search for the book of Enoch and read it all.
Yaani sjui ni zambi gani kubwa iliyotuondolea hofu ya MUNGU kwetu wanadamu na kumfanya MUNGU awe mbali na mwanadamu. EEEEH MUNGU me nimwe zambi nyingi ila unikumbuke me na kuniweka kwenye himaya yako kabla ya umauti wangu maana naamini katika wewe na wewe ni jana ,leo, na hata milele 😭😭😭🤲🙏
Biblia ni primary source ya taarifa na mafundisho yote ya Mungu na dini ya kikristo Ambayo hayapo n wasomi wa dini wanajarbu kuwa na akili zaid lkn uwezo wa Mungu n mkubwa zaidi yao
Biblia ina vitabu vingi ambavyo vingetakiwa viwepo humo lkn vimeondolewa ikiwemo kitabu cha enoko, vyote vipo kwenye library kubwa zaidi duniani pale vatican. Chunguza mambo
Kitabu cha Enoch, kilitolewa miongoni mwa vitabu vya biblia kwa sababu kinazungumzia viumbe vinavyoishi sayari zingine waitwao Annunaki na ndio waliomchukua kwenda kumfunza teknolojia na sayansi yote unayoiona katika dunia hii, Kanisa la Roman waliokua watawala kipindi hicho hawakutaka elimu hiyo itoke kwani itashindwa kukita utawala wake wa kuitawala dunia, na ndio maan kwenye biblia ya Wethiopia baadhi ya kurasa ya kitabu hicho bado kipo, Waromani ili kupotosha taarifa hizo waliamua kuita hivyo viumbe malaika ila uwepo wa viumbe nje ya dunia waishio safari zingine zipo na ndio huitwa Aliens. Na wakaamua vitavu vipi viwepo na vipi visiwepo.Teknolojia inayotumika sasa elimu yake inatolewa katika vitabu hivi na mataifa yanayotawala wanaficha na ndio maana nchi kadhaa ndio wanaoongoza katika ulimwengu wa sayansi.
{Siku ambayo kipofu ataona basi chakwanza kabisa ataanza kutupa fimbo yake iliokua ikimuongoza } Daaah bonge la fact bro tunahitaji ufafauzi zaidi kwa hilo
Siku watu watakapojua siri za dini kwamba zilianzishwa tu na binadamu kwaajili ya kuwaongoza watu ndipo watakapoziacha izo dini na kuenenda na njia zao
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
Nime.ielewa sana hyo kauli ya kipofu na ndio maana saiv watu wame amka Sanaa kuhusu mambo ya din na me nasema endapo kizazi Cha mwaka 1900 kikiishaa na kupoteaa bas hakuna mtu ambaee atA ijua dini tenaa wana iacha na kuishi kivyaoo na ndio Yale walio yasema mpga kristo yata tumiaa kwasababuu ya muamko
Habar vijana wenzangu Naomba kutumia nafasi hii kuwavuta kwenye fursa kama wewe ni mhitimu wa elimu ya ufund veta kwa fani ya fund bomba, umeme na umeme wa magari tafadhar chukua Mawasiliano Yangu hapo chini na kama wewe pia unamoyo wa kusaidia wengine gonga like zako hapa
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni HEBU mwamini YESU na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende mbinguni.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
Yesu kashamkubali na anamtambua jamani, kuna sehem nilimsikiliza kuhusu mawe ya amri kumi za Mungu hayajulikan yalipo alimtamka Yesu kua ndie atakayekuja kutatua hilo fumbo, kwaiyo tusisahishe tusichokjua tumtege sikio tuelimike..
"siku ambayo kipofu ataona chakwanza kufanya nikutupa fimbo iliyokuwa ikimuongoza kwenye upofu wake" hii ni lugha yafumbo yenye maan kubwa zaidi kuja kuwahi tokea🙌
Elimu kubwa sana kuliko akili ya wasikilizaji wako,wengi wameishia tu kupenda sauti yako kuliko kuelewa,ahsante kwa elimu kubwa sana ila nitahitahidi kusoma zaidi ili nielewe,ila ni kweli kabisa kitu cha kwanza kabisa kipofu siku akifanikiwa kuona basi itakuwa ni kuitupa fimbo yake iliyokuwa ikimuongoza
Kusema ukweli mimi siitaji kuipinga dini yoyote wala mtu yoyote ila kwa uelewa Wangu,kifupi tu kwenda kwake mbinguni lazima kunaushuda Mbali Mbali aliyo shudia uyo enoki inamanisha yangetakiwa yawepo mpaka leo hii ili tupate kujuwa na kujifunza na kuemika maana mtu awezi kwenda mbinguni afu kusiwe na lolote ata linalohusu kule mbinguni liwe ni mbaya au nzuli kikubwa alikwenda na kujuwa yaliyopo uko kifupi kitabu chake au ushuuda wake aliyo uwacha apa duniani kuusu kwenda kwake tulitakiwa leo hiia kuwepo Katika dini zote maana uyu enoki anakitu ambacho tungetakiwa tukijuwe ila tu watu wa shetani wameficha ili tusielimike na kujifunza ili ujuwe chema na kibaya lazima ujuwe vyote ndipo sisi tungejuwa kitabu chake nibola au siyo bola sasa tutajuaje pasipo ivyo jamani sijapenda kwakweli 😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Upo sahihi ndugu mim ni muislam huwa napenda kuangaza nipate kujua dini yangu na dunia yangu na hata wanacho amini wasio wa dini yangu , sio kwa ubaya nimekuwa nikifatilia mafunzo ya biblia kwa uchache nimegundua kuna gap nyingi na hakuna details zote ni kama wanafichaficha baadhi ya vitu watu wasijue wakati tunahaki zote za kumjua mungu kwa upana na vile alivo taka yeye tuvijue , kama ikiwa mwanadamu amejua kitu kumuhusu mungu basi sio siri tena ya mungu ametupa funguo ya elimu juu ya hicho kitu ,
Najua atujuani ila popote ulipo katika dunia hii mungu akubariki na pia akufanyie wepesi kaktika kila jambo nawapenda ❤❤❤❤❤
Amen
Amina
Amina, na iwe kwako pia
AMEN
Kiukwel kaka unatujuza mengi sana kwa ss tunaopenda history ya kujua mambo mengi .god bless you
Who is here in 2024? Don't pass without a like. We thank God for life and everything he has done for us...be blessed 🙏🙏🙏
Nimeisubiria hii since last year....finally 🔥🔥
kaka nashukuru sana ombi langu umelitimiza🎉
Asante sana Kaka Jamal kwa Story nzuri...
Kila mtu atachambua stori hii kutokana na Imani yake ya Dini.
NAOMBA UTULETEE STORI YA MUHAMMAD (AMANI IWE JUU YEKE) KWENDA MBINGUNI.
KISA CHA ISRAA NA MIRAJI.
ASANTE.
Kabisa
Wewe kijana nimekuombea baraka kutoka kwa mwenyezi Mungu maana haunaubaguzi wowote kuhusu dini wewe nimtu wa Mungu kabisa.Mungu azidi kukulinda nakukuongezea ufahamu zaidi from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮and 🇺🇸🇺🇸🇺🇸
Safi sana
Thanks May God bless
Asante mungu atusaidie
Amin
Pp
Ppp
Pp
Finally❤❤,nipeni like from Kenya
😅😅😮😮
tuko kaka
I have Being a great follower for Jamal and listened to many stories from the story book bt for today was fantastic, am even now motivated to search for the book of Enoch and read it all.
Mtumishi ubarikiwe kwa neno lenye mafunuo tunabrikiwa na kuguswa pia❤😊🙌🙌🙌🙌🙏🙏
Ukuu wa MUNGU n wa milele jamn, Ee bwana yesu naomb unipe Ujasiri kama mtumish wako HENOKO, AMEN,,🙏🙏
Yeah tena😂
From Burundi 🇧🇮 nipeni like zangu
mambo vipo
Burundi sehemu gani ndugu
@@silverworld4571Nko mtaa wa nkulunzinza
Ngozi
How are you doing
Professor jamal salute kwako
Ooh Leo angalahu nime comment 180 toka nianze fatilia wasafi sijawahi kupata ata like moja😢😢😢
Asa ukishapata izo like unalienable au😢
@@MackdonaldAudifas bro fata yesu niongo huyojamaa muongo paka akubali yesu ndio nitamskia
😂😂😂
Kumbe auna akili 😂
@@ilovejesus666 ilovejesus666 oya rada ya namba
Yaani sjui ni zambi gani kubwa iliyotuondolea hofu ya MUNGU kwetu wanadamu na kumfanya MUNGU awe mbali na mwanadamu. EEEEH MUNGU me nimwe zambi nyingi ila unikumbuke me na kuniweka kwenye himaya yako kabla ya umauti wangu maana naamini katika wewe na wewe ni jana ,leo, na hata milele 😭😭😭🤲🙏
Ameen🙏
Apana Mungu Baba anatupenda sana àjawai kwenda mbali na sisi tungekuwa tunaishi ivi
Napenda jinsi unajizatiti sana kwa utafuti wa mambo na nadharia mbali mbali
Drc Congo mungu akuzidishiye kwenye ume pungukiwa
I wish umpokee yesu awe BWANA na mwokozi WA maisha yako Jamal.. kwakuwa unaukweli wote kuhusu habari za Mungu wetu tunaemtumikia
Mungu kwanza halafu yesu
Biblia ni primary source ya taarifa na mafundisho yote ya Mungu na dini ya kikristo
Ambayo hayapo n wasomi wa dini wanajarbu kuwa na akili zaid lkn uwezo wa Mungu n mkubwa zaidi yao
Hakika barakiwa sana Mtu wa Mungu.
Uthibitisho?
@@azormatthew7813 uthibitisho wa nn
Biblia ina vitabu vingi ambavyo vingetakiwa viwepo humo lkn vimeondolewa ikiwemo kitabu cha enoko, vyote vipo kwenye library kubwa zaidi duniani pale vatican. Chunguza mambo
@@gildasnyaki3812 kipi kilitakiwa kiwepo hakipo nambie
Kitabu cha Enoch, kilitolewa miongoni mwa vitabu vya biblia kwa sababu kinazungumzia viumbe vinavyoishi sayari zingine waitwao Annunaki na ndio waliomchukua kwenda kumfunza teknolojia na sayansi yote unayoiona katika dunia hii, Kanisa la Roman waliokua watawala kipindi hicho hawakutaka elimu hiyo itoke kwani itashindwa kukita utawala wake wa kuitawala dunia, na ndio maan kwenye biblia ya Wethiopia baadhi ya kurasa ya kitabu hicho bado kipo, Waromani ili kupotosha taarifa hizo waliamua kuita hivyo viumbe malaika ila uwepo wa viumbe nje ya dunia waishio safari zingine zipo na ndio huitwa Aliens. Na wakaamua vitavu vipi viwepo na vipi visiwepo.Teknolojia inayotumika sasa elimu yake inatolewa katika vitabu hivi na mataifa yanayotawala wanaficha na ndio maana nchi kadhaa ndio wanaoongoza katika ulimwengu wa sayansi.
ukitaka kukipata hiki kitabu unakipataje mfano......
Umemaliza kiongozi
Bright man👏👏👏
@@HamidSimu kamaliza bado we 😅 elezaaaaa kwa upanaaaaaaaaaaaaa
👏👏
{Siku ambayo kipofu ataona basi chakwanza kabisa ataanza kutupa fimbo yake iliokua ikimuongoza } Daaah bonge la fact bro tunahitaji ufafauzi zaidi kwa hilo
Hapo nayo ni ukweli
Siku watu watakapojua siri za dini kwamba zilianzishwa tu na binadamu kwaajili ya kuwaongoza watu ndipo watakapoziacha izo dini na kuenenda na njia zao
Kama wanayofundisha ni mazuri basi yafuate na kama yanayofundishwa ni mabaya basi fuata njia zako@@givenmgaya8889
Kama vile umesema kwely@@givenmgaya8889
Kwakel ni Mungu tu atuongoze👏👏
Heri walio mwamini Yesu kuwa Bwana na mwokozi wao! Atatuongoza kwenye uzima wa milele
Amen amen ❤
Jidanganye tu 😂😂😂😂
Jmn 😂😂@@fasterwalker1464
Jmn 😂😂@@fasterwalker1464
@@fasterwalker1464ukute wewe ndo unajidanganya be prepared for the second coming of Jesus be care
🎉nasi huku congo tuna fatiliya sana story book
Uchambuzi yakinifu kabisa 👍
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
Hapa ni comment kuhusu story book sio kuhubiri 😄😄😄
MUNGU azidi kutupa Imani soto tuzid kumu amini
This is forbidden knowledge, Thank you,. I was afraid to go there alone. Big up Prof
Ni za kweri izi story kaka ata mi pia namuomba Mungu atusaidie sanaaa
Umeelezea kwa umakini sana
I really like this the story book 😊
Safi sana mtumishi kwa kuendelea kutujuza habari njema,nafurahia sana story book
Ubarikiwe sana kijana si kwa uwezo wako bali roho mtakatifu ame kufunza kama Enoch.
Wasafi never die
Aisee hii elimu nikubwa sana Gonga like kama waamini umekuwa msomi kupitia hapa kwa professor jamal❤❤❤🎉
Love from burundi 🇧🇮
talented professor
💌💌💌💌
Nime.ielewa sana hyo kauli ya kipofu na ndio maana saiv watu wame amka Sanaa kuhusu mambo ya din na me nasema endapo kizazi Cha mwaka 1900 kikiishaa na kupoteaa bas hakuna mtu ambaee atA ijua dini tenaa wana iacha na kuishi kivyaoo na ndio Yale walio yasema mpga kristo yata tumiaa kwasababuu ya muamko
Ni kweli kizazi cha 90 kikiisha Dunia itakuwa na Shida sana
Mungu kakupa kipaji na sauti ya usimulizi isiyochosha masikioni,
Habar vijana wenzangu
Naomba kutumia nafasi hii kuwavuta kwenye fursa kama wewe ni mhitimu wa elimu ya ufund veta kwa fani ya fund bomba, umeme na umeme wa magari tafadhar chukua Mawasiliano Yangu hapo chini na kama wewe pia unamoyo wa kusaidia wengine gonga like zako hapa
Kaka Habar yako naomba mawasiliano yako mm fundi bomba
Mm ni mtanzania ila npo burund kidgo namba tuwasiliane kaka
Nilikua nimesubiria hii sana kutoka kwa Jamali April mwenyewe ❤❤❤
Asante .Nawe piya Baraka za mwenyezi mungu ziwe pammoja nawe
Mungu awaongezee maalifa watoa stoli
Asante Sana Jamal mwenye maskiyo askiye🙏
Nakubali sana brother unanifunza kuoitia oage zako usije ukaacha brother
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni HEBU mwamini YESU na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende mbinguni.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
Kumbuka usipofanya dhambi maana yake yesu alikufa bila sababu
@@Mr_Mawazousihalalish dhambi then kumbuka ukifany dhambi makusudi ni kama unamrudish Yesu msalabani 😢
Yesu kashamkubali na anamtambua jamani, kuna sehem nilimsikiliza kuhusu mawe ya amri kumi za Mungu hayajulikan yalipo alimtamka Yesu kua ndie atakayekuja kutatua hilo fumbo, kwaiyo tusisahishe tusichokjua tumtege sikio tuelimike..
"siku ambayo kipofu ataona chakwanza kufanya nikutupa fimbo iliyokuwa ikimuongoza kwenye upofu wake" hii ni lugha yafumbo yenye maan kubwa zaidi kuja kuwahi tokea🙌
Fumbo kubwa
U barikiwa
Hebu tuambie basi maana yake
Yes
Respect broo tunamxhukulu Kwa kutufahamixha Kwa tuxiyoyajua broo. kalibu BAGAMOYO 🎉🎉
Why x instead of S
dah lahaaa sanajamani izi story naomba muniwekehe urumakidigo jamaleo naombeni like atamoja nitashukuru...................😭😭😭
Umeandika vitu gani hapa wewe ndugu? Dah aisee
Kachukue chenji kutoka kwa mwalimu wako wa kiswahili... tutakupa like za kutosha
😅😅😅😅ameandika nn huyu
Makubwa haya 😂😂
Leo namimi nimewahi mapema sana, aya tunaopenda story book naombeni likes zenu namm
Thanks much bro 🙏
Unatishaaa sanaaaaa🎉🎉🎉🎉
Asante sana kutuambia u kweli ongera sana
Namwomba Mwenyezi Mungu nisionje mauti kama Henoki na Elia
Mwenyezi Mungu aendelee kukujalia uhai ili na sisi tuweze kupata elimu ya kujua mafundisho ya yake
This story book it's real facts God bless you 🙏🙏 Jamal April mustapha professor. Amen
This man is one of the biggest investigator ❤
Daah naipenda sana sauti yake wanaoungana na mimi like comment
Kabisa
Soma vizr shetani alikua nani? Shida mnakalili dini.
Congrats Jamal
Daaa ebu tunaomkubali jamal wote gongeni like hapA
Napenda sana simulizi zako❤
Excellent narration..
Professor jamal kabali sana kaka
Nimetimia 😂 nipeni like pia Mimi jameni❤ naipenda sana storybook.
Kutoka kenya
zinakusaidia nini izo like mjinga wewe😅
Kenya nyie wajinga sana hizo like zinakusaidia nn Kama c ujinga tu
@@mustafamasudi8093 yakuuma Nini wewe ngeuzi kula la kwako Wacha mambo ya wivu. Masikini wewe
Kenya sisi sio wajinga kama nchi zingine, juzi kule Olympic Kuna majirani zetu walitoka huko bila medali yotote, kazi yao ni kusikiliza tu story book
Matusi haikufaidi kitu sisi wote ni wapenzi wa story book.yani storybook family @@mustafamasudi8093
Enock the one and only
Nategea from Kenya 🇰🇪 NAOMBENI LIKES
Kenya tupo site.
Enda uandamane
@@Mr_Mawazo audio🏹⚔️⚒️🗡️🛠️🤝
Acha kuomba like kwo kama upokenya🤺🤺🤺
Mafundi wa kuandika wamenogeshwa na fundi wa kusimulia Jamal!! Such a beautiful story
Sijawahi pata like daah 🥺
Kwadalili hzi Kuna story Kali zinakuja ❤
Mr jamal ndo mkali wa hiz kaz mashallah Mashallah Mashallah Mashallah mungu hazidi kukupigania kaka unatujuza mengi sana kwakwer❤🎉
THE GENIUS MAN IN THE HIDEN PLACE.. JAMAL I SEE YOU FURTHER
Elimu kubwa sana kuliko akili ya wasikilizaji wako,wengi wameishia tu kupenda sauti yako kuliko kuelewa,ahsante kwa elimu kubwa sana ila nitahitahidi kusoma zaidi ili nielewe,ila ni kweli kabisa kitu cha kwanza kabisa kipofu siku akifanikiwa kuona basi itakuwa ni kuitupa fimbo yake iliyokuwa ikimuongoza
♥️💯 shocking good😮😲
Hey guys... I like your narration Jamal... Love from kenya 🇰🇪
Hahahahhahaha
Jamar Apr kazii nzuri kak blessing..🙌🙌
Saw nimeanza kukuelewa leta madini mengine
Iko powa sana hii
Napenda sana the story book ❤🎉🎉🎉 always ili ni lale lazima nisikilize mpaka na lala❤
Jambo zuri ❤
Kkkk
Naipenda Sana story book na sauti ya Jamal inanikoshaga acha2 🙂🙂
Mim nmekua mlevi wa story book cwezi kulala bila kusikiliza huwa narudia had za nyuma
@@vicentedgarchipasula2393 inatokana na hadisi tulizo kuwa tuna hadisiwa utotoni mpaka tunalala me niko ivo mpaka leo
Nan amaiss the story book aweke like hapa... Jamali mbona kimya ukwap wew na shida nin umechelewa
Story book ipo njema kiongozi Nafurai sana
😂
Ubarikiwe boss
Kusema ukweli mimi siitaji kuipinga dini yoyote wala mtu yoyote ila kwa uelewa Wangu,kifupi tu kwenda kwake mbinguni lazima kunaushuda Mbali Mbali aliyo shudia uyo enoki inamanisha yangetakiwa yawepo mpaka leo hii ili tupate kujuwa na kujifunza na kuemika maana mtu awezi kwenda mbinguni afu kusiwe na lolote ata linalohusu kule mbinguni liwe ni mbaya au nzuli kikubwa alikwenda na kujuwa yaliyopo uko kifupi kitabu chake au ushuuda wake aliyo uwacha apa duniani kuusu kwenda kwake tulitakiwa leo hiia kuwepo Katika dini zote maana uyu enoki anakitu ambacho tungetakiwa tukijuwe ila tu watu wa shetani wameficha ili tusielimike na kujifunza ili ujuwe chema na kibaya lazima ujuwe vyote ndipo sisi tungejuwa kitabu chake nibola au siyo bola sasa tutajuaje pasipo ivyo jamani sijapenda kwakweli 😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Upo sahihi ndugu mim ni muislam huwa napenda kuangaza nipate kujua dini yangu na dunia yangu na hata wanacho amini wasio wa dini yangu , sio kwa ubaya nimekuwa nikifatilia mafunzo ya biblia kwa uchache nimegundua kuna gap nyingi na hakuna details zote ni kama wanafichaficha baadhi ya vitu watu wasijue wakati tunahaki zote za kumjua mungu kwa upana na vile alivo taka yeye tuvijue , kama ikiwa mwanadamu amejua kitu kumuhusu mungu basi sio siri tena ya mungu ametupa funguo ya elimu juu ya hicho kitu ,
Hivi tumjue mungu jamani🎉🎉🎉
Respect baba
Ngoma imeanza kwa kishindo cha clip kutoka "Jack the Giant Slayer" Twende kazi Professor
😂😂😂
Nakukubali sana kaka❤❤
Huku ni raha Sana 🔥🔥🔥
Acheni kudanganya watu. Mnasimulia vitu tofauti na uhalisia
Pamoja sana kutujuza
Haya ni madini sanaa kaka hongera sanaa jamal #wasafitv
Ukiacha jack the giant nisaidien hyo muv nyingne za kwenye vipande alivyoweka humo 🙏🙏🙏🙏🙏
Sawa
Tafuta movie inaitwa B. F. G
duh kwel dunia ina mambo mengi sana.
Nakuomba Ewe mwenyezi Mungu nipe macho ili Niweze kuyaelewa maandiko,Shallom.
Kilicho nifikisha hapa sikijui inshaala
Amina ubarikiwe sana
Hakika siri za haya maisha zimo katika vitabu. Tupende kusoma vitabu.
Ni sahihi watu tusome vitabu tuujue ukweli sio kusimuliwa na watu au viongozi wa dini
Ukiywsoma haya lazima udate
Asante kwakutujuz
muda wa henoko ilikua mkombozi yesu hayupo na yeye henoko anasema anaeomba kupitia mwengine kafanya zambi hushtuki
Mungu akubariki endelea kutoa Elihu bila kumkosea Mungu
Kama mna mkubari uyu jamaa like app👍👍👉👉
Dhaa asante kwa kutupa elim yako nasadiki leo na kumupokea mwana nakuwa mokozi wangu
Siku zote nakosaga kufikisha Like 100 jamani sijui nimekosa nini kwenye THE STORY BOOK
Likes zina saidiaga nini surely?
Mola akulinde proffersor
Habari kaka ninaswali hapa