The Story Book : Kisa Cha SHETANI Kufukuzwa MBINGUNI (Kwa Mujibu wa WAISLAMU)
Вставка
- Опубліковано 9 лют 2025
- The Story Book : Kisa Cha SHETANI Kufukuzwa MBINGUNI (Kwa Mujibu wa WAISLAMU)
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Ee ,Mungu uliye mkuu nifanye niyatende yaliyo mema katika jina la Yesu , Ameen,!❤
MITI ILETAYO MIKOSI INAYOTUMIWA NA WACHAWI MAJINI NA MASHETANI
Am top 30 to connect ... I have been waiting for this .. From Kenya with love 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 ... Show some love my people
Great bro
WASAFI MEDIA nawapongeza sana kwakuturudishia THE STORY BOOK yaani kama mlikuwa mkiona nlivyo kuwa nateseka 👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽
Not only u bro
Kiukweli haya ni zaidi ya mateso, mimi kama Mkenya, nawakubali sana wasafi media
Qq
@@Noooonat-o5s😂😂😂
MITI ILETAYO MIKOSI INAYOTUMIWA NA WACHAWI MAJINI NA MASHETANI
Amen mungu hana dini kila kiumbe kila chenye mwili kila chenye roho pumzi maisha ni cha kwakwe tumshukuru yeye mkuu kuliko vyote amen
Hiyo ni iman yetu” Muslim
Kama hana Dini iyo ni Imani yako
Polo sana Mungu afunguwe akili yako
Who subscribed to this channel because of Jamal April (professor)🇰🇪💕
hii story imeniingia sana ,nimekugundua kwenye biblia tumesoma kwa kias kidog sana ,namshukuru Mungu kwa ajili yako ndgu endelea kutuelimisha.
Mungu akubariki zaidi Prof. kwa kweli nimejifunza mengi kutokana na utafiti unaotuletea .Nakupa likes kwa wingi
MITI ILETAYO MIKOSI INAYOTUMIWA NA WACHAWI MAJINI NA MASHETANI
Napenda story zako mwamba one ❤ nakupta nikiwa doha Qatari.kama unamkubali professor gonga like yako ❤
Hii kiboko ilivyoishia da Shaitwani kweli kiboko, Sanaiya st 29
St15
Nakubali bloody Asia city- Grandmall 🤜
@@kimjey0012aah karibu sana mwendo wa mguu tu kama dak 10
MITI ILETAYO MIKOSI INAYOTUMIWA NA WACHAWI MAJINI NA MASHETANI
Jamal hakika uko vizuri. MOLA WETU MTUKUFU ALLAH S.W. AKUZIDISHIE maarifa na uelewa zaidi. IN SHAA ALLAH. AMINA.🙏🙏🙏🙏
Amin
ameen
Allah (S.W.T)
From Kenya,Nakuru Niko Tuned....Mungu akulinde Jamal
Alex
MITI ILETAYO MIKOSI INAYOTUMIWA NA WACHAWI MAJINI NA MASHETANI
Mashaaallah Maalimu Jamal.......Allah S.W akuweke ndugu yangu.Sio sili unaelimisha sana Allah S.W akuweke ndugu yangu.
Allah akupe maisha marefu kwasababu elimu ninayoipata kutoka kwako haina tofaut na ile nlioisoma kutoka kwa mola wangu waislam tukumbuke tumeitwa umma bora kwasababu ya kukatazana mabaya na kuamlishana mema ndugu zangu katika imani tukumbuke heri na shari zote zinatoka kwa Allah nawatakia usikivu mwema na Allah atufungulie mioyo yetu zaidi tupate kujitambua Ameeeen
shukran sana profesa wangu shekhe jamal mustapha kwakweli unafaa kuwa hata muhubiri kwa kutangaza maneno matukufu ya mwenyezi mungu (ALLAH) yaani hadi inafurahisha kukuskiliza mwamba april, tulete na mengine kama hivi yenye kuusiana na dini yetu tukufu yaani udini uwemwingi sana usijali nani anafurahi au nani anakasirika big up sana brother.
The story book 📖📚 toka kwa Prof Jamal 😊
Mungu akupe umri kaka hii ina mafunzo sana kwa muelewa.Wakenya tupatane kwa likes basiii
Asante kwa ktupa Elimu hii ila ukitaja jina la mtume Muhammad malizia kwa kusema "saw" (swallallahu alaihi wasallam)
Jamal is back, vivaa
Mimi wakwanja nampenda mungu namaamuzi yake yote nmimi nitamuomba musamaha nikiwa nimetambua kosa langu kwan Mimi nwamungu kwamimi siomukamilifu niyeye anikamilishe Mimi nwakwanja kusemahayo yote like yangu jameni kwani Mimi aijachelewa
❤prof.asante kwa somo endelelea kutuletea maarifa kumjua Alie juu.
Wa kwanza kutoka mkoa wa mara wilaya bunda munipe likes ata 20 tu zinatosha ❤
Napenda story zako sana. Jamani tukumbuke ahadi alo iweka uyo shetani kwa mungu. Nani anaejua kama atakuja kutuma na kwenda kusujudu katka kaduli la baba adam. Sis tutatubu lini. Kili kichwani kwetu. Tujitahidi kufanya mema😞😞
Mmmm am very appreciative for the back of story book with jumal,,,,all the way from malawi
Kutoka Egerton University ,KENYA.Jamal God bless you bro.
Duuuu story book kila ijumaaa ni uhakka...
Nikuwaiii tuu.
Kenya na Tanzania let's go
Good morning wadau Bana Nimimi Jamal in Kenya please likes zije kwawingi😊😊
Prof umetisha sana hakika mungu aendelee kukupa maarifa na sisi tuyapate
He's so professional more likes to jamal❤❤
Hakika Uislam ndy dini iiyojitosheleza#SUBAHANALAH
Umepagawa wewe
Msujudie na kumtumikia Mungu Peke yake Dini haitokupeleka peponi hivyo tupendane Sisi Kwa Sisi na tusijione Bora Kuliko wengine
DINI ya majinI , mapepo, wauajii
@@jameskazungu8032majini vp na niviumbe waliumbwa wamuabudu ALLAH kama hujui kuna majini na majini wakristo na dini zengine
@@danieljohn3836 ww ndio uliopagawa tena umechizika kabsaa🤪🤸🏻♂
Ubarikiwe shekh wangu Jamal bin mustafa.🙋🏾♂
Safii sana story nzurii sana
Moja safiiii sanaaa
EE MUNGU WETU UTUONGOZE TUSIFANYE DHAMBI NA TUPATE UZIMA WA MILELE AMEN
Jamal you are fire ,,,Kindly ✈️✌️✌️
Waislamu ni waongo sana. Ati Ibilisi alikuwa mtoto, ati hakuwa malaika. Amini biblia pekee na kitabu cha Henoko. Usiamini vitabu vya kiislamu. Pia Mungu wa waislamu Allah si Mungu wa ukweli.
Wewe hujui kitu bora ukakaa kimya tu. Kama hujui maana ya neno Allah utakua mjinga tuu. Allah ni neno la Kiarabu lenye maana ile ile ya Mungu. Ukiwa hujui bora usiandike ukae kimya
Kazi nzur San Profs Jamar be blessed
Asante sana my brother from another mother
Sawasawaaaaa Iko poa
Nimejifunza kitu kikubwa sana Leo mungu akuweke Jamal
Wakwanza kutoka Msumbiji,naomba like zenu❤
Na mm naomba like bas
Mashallah Mungu akupe miaka mingi uzidi kutupa hadithi nyingi
kama unaamin hyu ni genius like hpaa❤
❤❤❤❤❤
❤
Nice story sema nakubal zaid story kama za kina mtaalam jogodo
Jamali Mungu amekupa kipaji kizuri sana hakika tunakupenda sana kwa hii kazi unayofanya kwa hakika pepo itakuwa wazi kwa jili yako
goood voice apreciate likes plzzz 🎉
Mungu ni mwema sana huwa hatupi mjawake
Someni Maandiko Acheni Tu kusema Wakwanza Kama mmesikiliza Vizuri .. Sio Yote aliosema NI kweli kunavingine havipo Sasa ili uweze kuelewa NI vema usome Maandiko Ya Mwenyezi Mungu Na uombe Mungu Akusaidie kuelewa ...
Soma Qura'an upate elimu
Kabca maandiko ndo usema kweli ivyo vingne mbwe mbwe tu
Kuna kitu nilikua nataka nione between script na nimekiona this is fantastic 🤩🤩🤩🤩😊😊😊🤩
Am proud of you Jamal❤️❤️ keep it up💪💪
Laa ilaaha ila llah wahdahu laa sharika laa..Lahuu Mulku walahu Lhamdu Yuhyii Wayuu umitu.Wahuwa alaa kulli shay inn Qadir.
Aii na mmkawia sana ilaah umeegemea upande mmja wadini tu😢 lakini ni sawa fun mkubwa kutoka🇰🇪🇰🇪
Mbona amesema kwamba hii story ni kwa mujibu wa dini ya kiislam?
🤗🤗🤗🤗bb mbon kaongea mapema
najua kuna mishetani hapa itakasirishwa sana hata kuchukia ulioyasema maalim jamal april lakini endelea hivyo vivyo kusema haqqi maana hata mitume walichukiwa kwa kusema ukweli we endelea mwamba kutufahamisha & kutujuza tena hivi hivi kidini leo mashallah ndo nimejua uko upande gani profesa jamal (Allah) akurinde☝🏻 na mahusda na wachawi nk. mwamba umetisha sana kiukweli 👍🏻
Safi sana mtiga, Allah atujalia mwisho mwema 🇰🇪
We kichaa huyu ni jamal april huyo mtiga alifukuzwa miaka 3 iliyopita
Nazifuata hadithi hizi kutoka Longisa Kenya.
Najifunza funzo moja au mawili.
Shukrani kochokocho!
Kama unamkubali professor gonga like apa♥️♥️♥️
❤❤❤❤❤
Vp
A lesson to learn both Muslim and christian brilliant story teller Jamal 🔥🔥🔥
😂😂brother Jamal unavosimulia ni kama ulikuepo jaman big up sana
😂😂😂
😅😅
Dah nimeelewa sana hakika mungu ni muweza wa yote
wakwanza kutoka american munipe like ata kumi tu jamani.
😂upo america lakin bado unauzuzu wa kuomba like, chiz wew
Amerika kwema
@@hallin9561kweli chizi😂😂😂😂
Kutoka AMERICAN?
Tupe connection za American
Amini Mungu peke yake.
Amini manabii wote amina
Lakin maOmbi peleka kwa Mungu
Usishikanishe na mngu na yoyote
We love you jamal from Zambia
One of a kind professor keep it up
Ee mwenyezi mungumm ni mja wako nipunguzie mitihan naamini mm ni mwenye iman kubwa juu yako yaraab
Wakwanza Leo naomben like zenu tano tu
akhi jamal umetisha sana tena sana yani kinoma noma
From Muscat Oman 🇴🇲🇹🇿
Mashalla mwalim wetu Mungu akupe nguvu na maisha marefu jamali ❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
WASAFI mmeupiga mwingi sana. Tulishaanza kuhamia MANARA TV maana nao wameanza kutoa simulizi. Prof Jamar wewe ni gwiji
Wale waimba taarabu tu
i love prof jamal he is inspiring
Masha Allah ...❤❤❤
God bless you blo you teach a lot mwenyezi mungu azidi kukupa uhayi ili uzidi kutujuza zaidi maana unakipaji mzee (ningependa kujuwa story ya majini iyo myaka ma elfu ambayo waliyoishii 🙏
Kung of story tanzanian km unakubali akuna mwengine km yee na unamuombea maisha marefu weka like ajionee
Oya like huwa zinasaidia nn Mzee au Kuna maokoto??
@@TinaMzee-lr9vs Tina apaana ila alieweka video anakua anafurahia shabiki zake Sanaa mana kwa wanaojua utamu wa stori bsi jamali anatukosha
@@TinaMzee-lr9vsYaani me huwa nawashangaa 😂😂😂
KUNG FU 😂
@@Noooonat-o5s jmn unachkua nn
From Sweden 🇸🇪 naapreciate kaz professor jamaal April anyone from Sweden or africa drop likes
Afadhari wasafi mmerud maana mlinikera sana kusitisha the story book
Mungu nipe Nguvu ya kushinda majaribu
Welcome back professor we love you🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤
This is amazing..safi sana appreciate. Mashallah Jamal
Prof i love your stories so much,nipeni kalike for missing this stories
❤❤❤ asante prof. Ammii
God bless you bro the story book🔥🔥🔥🔥🔥
Respect brother jamal you are fantastic story teller 27:13
Hongera jamal Mustapha
Mwenyezi Mungu ni mkubwa, Namuomba mwenyezi Mungu atubariki
From kenya Mombasani like hapa
Mwenyezi Mungu akubariki kaka jamal 🙏🙏🙏
Wewe ni zaidi ya professor 💥💥💥💥
Finally we are back
Been waiting for the story books
Allah akuzidushie bro
Nakupata sana Jamali from Zambia 🇿🇲
Your the best jamal
Mashallah umemaliza vizur sana kwa kipofu🙏
It sounds accordingly .big up👍🏼
Kama hukubali mambo
Ya shetani ungana NAMI kwa like yko❤
Brother keep it up we miss you, l like your analysis, your investigation
From tz bagamoyo tuned....jaah bless our achiveves
Jamaaal Mustaffa
Professor ❤
ALLAAH Akuzidishie elimu na Akujaalie mwisho mwema
Mungu ni Mkuu sana hawezi kupoteza muda kubishana na kiumbe alichokiumba ni story tuu
Amen
Hujaelewa hakubishana ila ibilisi ndie alie bisha elewa hakubishana ndio maana baada ya ibilisi kuasi tu alipewa adhabu hapo hapo mungu hakubishana jitahidi uwe mwelewa
Kaka mkubwa MUNGU ni uhai kamili na MUNGU hawezi kuweka makubaliano ya ushindani na kiumbe chake yaani eti sawa nenda kawapotoshe na nimekulaani wakati ni Mkuu anayeweza kukipoteza chapu iyo ni hadithi tu inshu ni amini kuna uhai ambao ni roho kamili yaani na wazung wameshatengeneza two side yaani MUNGU na SHETANI ila shetani hayupo isipokuwa ni wewe ushapewa utashi ambao ukiona umefanya kitu ukakitafsir negative basi hapo ndio umekosea wewe mwenyewe sio shetani
Huna unalolijua kaa kimya eti mungu kubishana wapi kabishana unajua maana ya mtihani ibilisi ni mtihani kwetu sisi wanadamu na ndio maana ikawepo pepo kwa wale watakao faulu nyie watu mnaamini yesu alikufa kwa ajili ya dhambi zenu duuuh
@@eliasakhamisi7947 naomba niambie Mungu wako amekuumba mkamilifu? Kama jibu lako ndio basi kweli sina nalolijua ila kama hapana basi haikuwa na haja ya kukuwekea mitihani kwenye kuishi kwako ebu nikuulize wewe unapenda kumuona mwanao akipitia magumu?
❤ Mungu muweza akulinde
Kutoka UAE🇦🇪 naomba like zangu