Magdanella,umesahau ile nyimbo,kila mtu atachukua mzigo wake mwenyewe siku ikifika,yesu alikua Hana dhambi atateseka vipi,hakuna kumpa mzigo yesu ,wakiristo wanafanya dhambi kisha mnambandika yesu,nikuulize Magdalena mtoto wako akifanya makosa ,atakae shikwa au kushtakiwa ni wewe au mtoto wako
Mwana Wa Mungu Kijana wangu anaugua ugojwa Wa Vigo nakuoba umponye na umsamehe makosa Yake mfungulie Milango yanjera Kama Ulivyo fungulia Paul Na Sila Nakwamini Mwana Wa Mungu Amen 🙏🙏
Yesu mwana wa mungu ni mkuu ndani ya maisha yetu imeandikwa tusiwe watu wa kujaribu mungu kwa vitendo vyetu jina la mwokozi litazidi kuinuliwa Ameeeeeeen
YESU KRISTO ahsantee Kwa kunipenda, kukubali kunikomboa na kunisamehe. Kazi ya kalivari na shukuru. Nashukuru Baba pia na Roho Mtakatifu. Ahsantee pia waliohubiri na kupanda mbegu kwangu. Nawapenda mbarikiwe zaidi
Ooh my God, i love you Jesus christ, i put my heart in ur hands protect me , my family, friends and the whole world in Jesus name i pray Amen 🙏. Thank u heavenly Father, for loving us unconditional ❤️ 🙏🙏🙏🙏
🎉 Amen milele yote nawatuote wakakujuwe kuwa wewe ndiwe Mungu wakipekee namwenye utukufu nanguvu naheshima na Baraka zote Zina wewe Milele na milele Amina kwa watuote wamchao
🙏 Ungependa mtu aombee kwa ajili yako? Bonyeza hapa ➡ swiy.co/nahitaji-sala-sw ⬅ ✝ Yesu alikuwa nani kwa kweli? Pata kujua! Bonyeza hapa ➡ swiy.co/Injili-Jesus-sw ⬅
Nakushukuru mungu kwakulinda siku zangu zote za maisha yangu endelea kunitendea wwma katika maisha yangu pamoja na ndugu zangu marafiki,majirani,nawengine wote aminaaaaaaaa
Mungu wangu ulie juu nakushukuru sana ju wewe ndie unaeweza kunisaidia nahukuna mwengine anae weza mbele yako mungu wangu najina lako libarikiwe nakupewa sifa amen.
YESu christo mwamba wangu Kaa nami bwana katika maisha yangu familia zetu ziko mikononi mwako huta tuacha wala kutupungukia nkupa sifa na heshima baabaa uketie mahali pa juu❤❤🙏🙏🙏
MUNGU ndiye mwokozi wa maisha yangu na ni mlango wa mafanikio yangu naomb unisamehe Mimi mwenye dhambi na kuzifuta dhambi zangu katik kitabu Cha hukumu na kuyaandika mema yangu katika kitabu Cha uzima wa milele Amen. 🙏🙏🙏
Yesu asante sana🎉yesu asante kujifanya chakula kutuletea shibe alama ya pendo🙏🙏🙏asante yesu kwa kunifia msalabani aki😢😢😢😢😢😢😢upendo wa ajabu yesu wangu🙏🙏🙏🙏
Nimetenda dhambi nyingi sana na Kwa bahati mbaya nimekua nikitenda dhambi nyingi nikijua ni natenda dhambi ,,bila kujali nimeendelea kufanya ivo, hata Leo nimefanya dhambi za kusudi kabisa na moyo wangu haukutaka kufanya ivo, eeeh mungu nisamehe dhambi zangu maana hakuna neno lolote nitasema ili kukushawishi unionee huluma , Bali ww uliniumba na unajua mapungufu yangu hivyo naomba baba isiniache
Yesu wewe ndiwe ngao yangu simama nami Katina maisha yangu usimame unisaidie mikononi mwa adui zangu uniokoe we yesu wangu wewe ndiwe njia na uzima wa milele Amina
Oh lord my God I repent all my sins and declare that I will serve you wherever I go all the days of my life,to reach out, Renew my salvation and use me according to your will..in Jesus name I thank and pray.Amen
Lord Jesus thank you for the great love,from the bottom of my heart,my greatest wish is to enter the kingdom of God and see this man that died for my sins
AMEN MUNGU WETU UNATUPENDA SANA SISI TU WAKOSAJI KWAKO UENDELEE KUWA NASI BABA🙏
🙏🙏🙏 nakupenda sana yesu wangu unikumbuke sikuyangu ya mwisho mbinguni tukafurahie sote kwa baba
Emungu,wangu nakushukuru kwa
Kumutoa mwano kujakutuokoa.
Yesu kristu 🙏 nakupenda Sana
Bwana Yesu uliteseka Kwa Ajili ya dhambi thanks God for everything ❤❤❤❤
Magdanella,umesahau ile nyimbo,kila mtu atachukua mzigo wake mwenyewe siku ikifika,yesu alikua Hana dhambi atateseka vipi,hakuna kumpa mzigo yesu ,wakiristo wanafanya dhambi kisha mnambandika yesu,nikuulize Magdalena mtoto wako akifanya makosa ,atakae shikwa au kushtakiwa ni wewe au mtoto wako
Mtoto ni Mtoto kuna upendo Kati ya mwana damu na upendo wa Mungu kwetu
Poa🎉
Le Français manque de temps en temps
🧐🧐🧐hum hum
Amen yesu ndiye kimbilio langu
Leo nimemuona mungu wa wakristo amempa kipigo mungu wao sema yy anasema ana bwana wake
Asante Mungu kwa kumtoa Yesu kwa ajili yetu
Yesu kristo wewe ndio mwokozi wa maisha yangu , mwenye Dhambi naomba uniokoe hadi siku źangu za maisha yangu yote
Mungu azidi kunilinda na kuniokoa mimi na familia yangu siku zote za maisha yetu na tuikiri Imani siku zote na tuione pepo Amen.
Were ndehe baba wangu tu na Sema Asante sana kwa Kazimierz yako
Amen 🙏
Uco wapi Uco binguni
Lakini huyu sio YESU KRISTO ni muigizaji tu
Mungu ni wewe tu mungu wangu nautabaki kua mungu tukatika maishani mwangu pamoja na usao wgu na usao wetu
Eee mungu wangu Nipe moyo wa kuwapenda wanao nichukia ❤❤
Thank you Jesus for sustaining me and my family.
Eeee mungu sisikii vizuri nahitaji uzima na kila maumivu ninayo sikia yatoeke kwa jina lako
Mwana Wa Mungu Kijana wangu anaugua ugojwa Wa Vigo nakuoba umponye na umsamehe makosa Yake mfungulie Milango yanjera Kama Ulivyo fungulia Paul Na Sila
Nakwamini Mwana Wa Mungu
Amen 🙏🙏
Ameen ubarikiwe sana yesu yani mpaka chozi limetoka
Usiwe mjinga huyo mungu wako yupo Ungereza ana enjoy ela zake ww kilimo cha upuuz
SALOME niombee maisha yangu na kemboi ni mume wangu wa maisha
Yesu mwana wa mungu ni mkuu ndani ya maisha yetu imeandikwa tusiwe watu wa kujaribu mungu kwa vitendo vyetu jina la mwokozi litazidi kuinuliwa Ameeeeeeen
Amenn
Amen
Yesu kristo ndiye mwamba wangu imara sitaogopa katika magumu yote yeye ni msaada tele.
Eeh yesu wangu untiaye nguvu unipaye ujasiri nkupenda sana Baba yngu stakuacha had sku z maisha
YESU KRISTO ahsantee Kwa kunipenda, kukubali kunikomboa na kunisamehe. Kazi ya kalivari na shukuru. Nashukuru Baba pia na Roho Mtakatifu. Ahsantee pia waliohubiri na kupanda mbegu kwangu. Nawapenda mbarikiwe zaidi
amen
SALOME Thanks jesus for protect me and my family I lov u jeses❤❤❤❤❤
Mungu naomba maisha yangu uniongoze wewe pamoj n familia yangu tuokoe tuhurumie n utuokoe
🙏🙏🙏amen
Hapo alipo yy kapigwa mijeled atukusaidia je acha upofu
Thank you god ww ndie jia yetu utusamee tambii zetu mungu
Nampenda yesu mwana wa mungu
Amen thanks God love you with only my heart Jesus Christ protect me and my family and everyone that need you lord🙏🙏🙏🙏🙏♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Asante YESU kwa kuniokoa na kunisamehe na kunifanya moja ya wtoto uliokwenda kutuandalia makao mapya MBINGUNI HALELUYA
Amen
amen...nitamtumikia Mungu siku zote hadi atakapo kuja tuishi pamoja maisha ya milele mbinguni
Napenda sana haya mafundsho ni zaid ya chuo chochote ulimwenguni
Ee yesu mwema unisikilize ibaliki ndoa yangu isivunjike idumu siku zote za maisha yetu mimi pamoja na mume wangu na family yangu Amina 🙏🙏🙏
Yesu ndiye yule jana na hat millele tumwamini yy by babu jonathani j lusinde ubarikiwe na akulinde
Zz
Yesu nimuchungaji wangu sitapungukiwa na kitu ❤❤❤❤❤❤ l love Jesus Amen Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏➕
I love youJesus
Kwa kweli Yesu ndio ufufuo na uzima. Asanti mungu kwa kumtuma mwanao afe kwa ajili ya dhambi zetu .amen 🙏🙏🙏🙏
Buli kimu kisoboka bwokiriza kristo yesu mukama waffe❤❤❤❤❤
tuji funzeni hapa kwani dunia imefikia pabaya yesu anasuli vizazi vyetu 🙏AMENI
Ooh my God, i love you Jesus christ, i put my heart in ur hands protect me , my family, friends and the whole world in Jesus name i pray Amen 🙏.
Thank u heavenly Father, for loving us unconditional ❤️ 🙏🙏🙏🙏
Asante mungu kwa kuniokoa kwa mikono ya hibilisi na watu wabaya
Thank you Lord for your eternal love..Glory be to Jesus Amen
Yesu ndiye mwana Wa Mungu aliye Hai nampenda yesu
Jinalako lisifiwa wewebwana
Ee Mwenyezi Mungu niokoe nifike MBINGUNI AMEN 🙏 Nitakuabu BWANA MUNGU WANGU . NIOKOE MIMIMWANAO 🙏
Yesu asante kwa zawadi ya uhai unao nipa mimi na watoto wangu amen❤❤❤
Kama unaangalia hii movie 2025 mungu akupe hitaji lako ulio omba kwamda mferu likatimie Amen napia acha like twenze pamoja tukamshinde shetani
🎉 Amen milele yote nawatuote wakakujuwe kuwa wewe ndiwe Mungu wakipekee namwenye utukufu nanguvu naheshima na Baraka zote Zina wewe Milele na milele Amina kwa watuote wamchao
🙏 Ungependa mtu aombee kwa ajili yako?
Bonyeza hapa ➡ swiy.co/nahitaji-sala-sw ⬅
✝ Yesu alikuwa nani kwa kweli? Pata kujua!
Bonyeza hapa ➡ swiy.co/Injili-Jesus-sw ⬅
AMEN, YESU NDIYE NJIA NA UZIMA WA MILELE
Yesu ni mwokozi
Mungu baba yetu aliye juu n hata dunia mfalme wa falme akuwe pamoja nasi milele n milele amen 🙏💖😍
Amen
Ooh LORD protect my entire family with your blood AMEN 🙏
Nakushukuru mungu kwakulinda siku zangu zote za maisha yangu endelea kunitendea wwma katika maisha yangu pamoja na ndugu zangu marafiki,majirani,nawengine wote aminaaaaaaaa
Those who will be watching These 2080 just know we watched it 1990 ikiwa hivi..
Nipeeeni likes kidogo..
Surely let's tell them it's the same nothing changes
Niliona 1920
Ameen nakupenda yesu wangu karibu kwenye moyo wangu.
Mungu wangu ulie juu nakushukuru sana ju wewe ndie unaeweza kunisaidia nahukuna mwengine anae weza mbele yako mungu wangu najina lako libarikiwe nakupewa sifa amen.
YESu christo mwamba wangu Kaa nami bwana katika maisha yangu familia zetu ziko mikononi mwako huta tuacha wala kutupungukia nkupa sifa na heshima baabaa uketie mahali pa juu❤❤🙏🙏🙏
Uniongoze eebwana kwakila siku ya maishani mwangu duniani popote niendapo.
Aaamen !!
Am preparing myself and know more about Easter celebration and understand more of Jesus in my life.
JESUS AM YOUR SON PROTECT ME AND MY FAMILY FROM ENEMIES AROUND US,ALL DEMON'S TO PASS AWAY AS I USE YOUR NAME 🔥
Tuongoze Ee Bwana.
MUNGU ndiye mwokozi wa maisha yangu na ni mlango wa mafanikio yangu naomb unisamehe Mimi mwenye dhambi na kuzifuta dhambi zangu katik kitabu Cha hukumu na kuyaandika mema yangu katika kitabu Cha uzima wa milele Amen. 🙏🙏🙏
Rita yesu unikumbuke kwa hii nyumba unifunike na mapawa yako kwa jina la yesu kristo amen
Ni naomba filme
Rédigeze
Yesu ni mchungaji wangu sitopungukiwa na chochote
Mugu Atukuzwe , I ❤❤❤❤❤ you Jesus ,Atukuzwe mwana wa mungu 🙏🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️❤️🇩🇪🇪🇺
Yesu nikumbuke mimi nauzao wangu watoto wenzangu wazazi wangu mke wangu eee Bwana wangu kwaniaba yao nabisha mlango wako tufungulie 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Thanks jesus for protect me and my family i lov u jesus ❤❤❤❤❤
Asante mungu wewe ndio tumaini langu sitaogopa amina
Amina
Amina
Asante yesu
Yesu asante sana🎉yesu asante kujifanya chakula kutuletea shibe alama ya pendo🙏🙏🙏asante yesu kwa kunifia msalabani aki😢😢😢😢😢😢😢upendo wa ajabu yesu wangu🙏🙏🙏🙏
Bless me lord🎉❤
Ee mungu tusamehe ss binadamu🙏🙏🙏🙏
Ooh lord I put my heart in your hand Protect me and my family in the name of Jesus Christ
Nimetenda dhambi eeh mungu unioshe dhambi zangu kwakupigwa kwako eeh yesu unihurumie mimi na dhambi zangu kwakumwaga damu yako unitakase niwe mweupe kwama theruji
Nimetenda dhambi nyingi sana na Kwa bahati mbaya nimekua nikitenda dhambi nyingi nikijua ni natenda dhambi ,,bila kujali nimeendelea kufanya ivo, hata Leo nimefanya dhambi za kusudi kabisa na moyo wangu haukutaka kufanya ivo, eeeh mungu nisamehe dhambi zangu maana hakuna neno lolote nitasema ili kukushawishi unionee huluma , Bali ww uliniumba na unajua mapungufu yangu hivyo naomba baba isiniache
Amen God bless you
Nakupenda Yesu Kristo nakupenda Yesu waku kaanami
sasa jamaha yesu anazalika mungu mwenye nalimuomba mama yake na yesu alikuwa nani nauliza wacrito wote😂😅
Amen
Mwombe Yesu msamaha atakusamehe
nampendayeyesu wangu kwakilakitumwamin Mungu atakufunguliachia yoyo amen
Yesu ni muokosi wetu
Namshukuru mungu kwayale ambae umenitendea amen❤
Yesu nipe ndoa yangu Baba
Yesu wewe ndiwe ngao yangu simama nami Katina maisha yangu usimame unisaidie mikononi mwa adui zangu uniokoe we yesu wangu wewe ndiwe njia na uzima wa milele Amina
Oh lord my God I repent all my sins and declare that I will serve you wherever I go all the days of my life,to reach out, Renew my salvation and use me according to your will..in Jesus name I thank and pray.Amen
Yesu ndie mulinzi wetu sote namupenda sana
Ameni asante kwa fundisho kwa sinema ya maisha ya Yesu nimebarikiwa
Nakupenda sana mungu wangu nimejitoa kukutumikia kwa uwaminifu
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉asante sana mungu kwa ukumtuma mwana wako yesu kristo aje atukomboe.
Bwana yesu niongoze katika kipindi hiki kigumu katika mapitio yangu
Mungu wangu,,unasitahili kuabudiwa milele❤
Ninakupenda sana yesu mwana wa mungu emen.
Mungu maisha yangu na mienendo yangu ziku pendeze
Bwanayesu asifiwe kilawakati yy ndiye mwenyeuponyaji Na mwenye mamlaka emeen 🙏
Amen mungu naomba uzaliwe kwa maixha yetu hixi leo joseph kutoka 🇰🇪
Kama unaangalia hii movie baada ya ijumaa kuu 2024 weka like hapa❤
Pamoja
Ni mafundisho mazuri Sana. Tumfuatekristu tuache dhambi
,
Mungu akuurumie😢😢😢
Amen🙏🙏🙏
YESU utakudja chukua kanisa usinipite na uzale wangu sote na familia yangu bila kusahahu majirani na marafiki Amen❤
Tusamehe dhambi zetuuu heri umefufuka pasaka ya 2024 nafurahi kuitazama
Amen amen amen Baba yetu uliobiguni tusamee mangosa yetu
Bwana ndie mchungaji wangu sitapungukiwa kitu❤
sifa,nguvu na utukufu ni zako Yesu Christo.Amen
Yesu ni mwana wa mungu,tena ni mungu
😂😂😂Duh Mwana wa mungu halafu Mungu tena
😂😂@@binseif2216
Eee Yesu mwema,unisamehe mimi mwenye dhambi,univue vazi la aibu,univike vazi la heshima,niondolee majivuno,unipe unyenyekevu wako mkuu.Unipe amani yako ipitayo akili zote,inihifadhi moyo na akili zangu.Uende mbele yangu unionekaniye daima.
Big Amen
Thank you Lord for your life at the cross,protect me and my family Amen.
I love jisus
❤❤❤😂😂🎉😢😮😅😊
Amina, tuombee sisi wakosefu
Hakika mungu ata baki kuwa Ni mungu tu😢❤❤
Amen nakupenda sana bwana wangu yesu karibuni moyon mwangu ili nikae nawe daima
Amen for the word of God I love you Jesus Christ my Lord and Saviour
Lord Jesus thank you for the great love,from the bottom of my heart,my greatest wish is to enter the kingdom of God and see this man that died for my sins
Mungu tunaomba utusamehe dhambi zetu eeeh Baba 😢😢😢
Amen Yesu ni mwokozi wa maisha yangu 🙏
❤❤❤❤❤
I love this story
Indeed Jesus Christ Our Savior is Our King 👑❤️
Asante mungu kwa kunipa huhai
Amen mungu ndiye njia na uzima🙏🙏🙏… mungu nisaidie niweze kuishi maisha ya utakatifu🙏🙏
Love you Jesus ❤❤
Huu Mkanda nimekuwa naupenda sana tokea nipo Mtoto mdogo.