Mwenyezi Mungu akubariki sana Jamali Profesa kwa ajili ya jinsi unavyotumiwa na Mungu kutuelimisha kupitia kipinda hiki cha history book mimi mwenyewe pia ni mpenzi wa kipindi hiki. Asante.
Jamal april professor katika siku ninazo zipenda zaidi ni siku ya the story book kwasababu najua the story book inatoka ijumaa lakini mimi nitaiona jumamosi kwa sababu ndio nimetulia na nitaenjoy nikiliona asante sanaa professor ubarikiwe
Yesss Sasa ulitaka tuweje😁😁😁kitu kizuri chochote lazima kiwe na ubaya wake yaaani ni kawaida kabisaa ukiona husemwi kwa mabayaa bado hujakamilikaa kwahyo mwanamke amekamilika asilimia nyingi
What!!so I have been wasting my time all this long🙄🙄....I want to follow, listen, understand and learn all your stories....thanks fo these good educative stories.....suparb
Niseme tu ukweli, MIMI binafsi napenda sana Jamal akiwa anasimulia historia zaidi kuliko makala, yani hakuna utamu unaonoga sana kama kusikiliza story za kale hafu upate msimuliaji mzuri,,,Aise utatamani hata asisimame,aendelee tu,,,Congrats Jamal April na team nzima ya the story book kwa hii kitu aise,,,ITS THE MOST ENJOYABLE & ADORABLE TV SESSION INDEED! Kwasasa mnakua Role model wa stations zingine,
Jamani Mimi naomba like hata kumi kama unazipenda story Book
Mwenyezi Mungu akubariki sana Jamali Profesa kwa ajili ya jinsi unavyotumiwa na Mungu kutuelimisha kupitia kipinda hiki cha history book mimi mwenyewe pia ni mpenzi wa kipindi hiki. Asante.
Shukran sana kwa story.
Kama pia umefurahia gonga like
Jamani mimi naombeni like 100 tu kwa professor jamal
Pw
Cute baby by Chris brown
Huyu jamaa ni mfikirivu snaa tutunze vipaji kama hvi
Professor kama professor jamal April💥💥
Hii ndio sababu inayo fanya watu wawe na uzito mkubwa unaweza kujizuia hivi
ua-cam.com/video/4ZT_JT-wQVc/v-deo.html
Sanaaa
Hivi ni professor kweli?
Kwan nn maana ya professor
ua-cam.com/video/CBMPP0F3TcI/v-deo.html
Mbuga 10 bora Afrika mwaka 2020
Mungu wetu ni mwema sana kwetu!!!! Samson mmoja na mpofu akafa pa1 na wafilisti 3,000 law nguvu zake mwenyewe kupitia kwa Mungu!!!
Leo pia +254 nimefika kisela kwenye top. Naaminia huyu mshikaji kisela yaanii. Nipewe zangu mashaallah
Hii ndio sababu inayo fanya watu wawe na uzito mkubwa unaweza kujizuia hivi
ua-cam.com/video/4ZT_JT-wQVc/v-deo.html
hili linatuhusu sote ua-cam.com/video/hBLcoacB6gw/v-deo.html
Namkubali sana Jamal. Uelezaji wake ni wa kiwango kingine 100%
The story book 📖 kila ijumaa 💪
Mungu inuliwe milele hata milele amen
My brother our mighty GOD protect you and your family until the will of GOD done .
Nipe like moja aki
One of the excellent story teller like zake hapa zijae sana
Kutoka kutukanwa Hadi kushangiliwa..... Bravo Broo Jamal April
ukiona ujakutana na hiyo hali kwenye maisha juwa we bado komaa
Dah umevaa kuendan na story shout out kwa aliekuvalisha🤗
jaman napenda xana xtori za jamal like 10 znantoxha maana xjawai kupata lile
Kwakel amina
Nazitaka like za huyu mwamba Jamal from wasafi Media
Yaannhujisikia nipo vizur wakt natazama 😊❤
Napenda sana ikiha nachoo fanya jamali nikitukikubwa sana unao weka disi laiki nichukitu naloo mbaya
Kama unapenda story za hyu jamaa gonga like twende saw
Iriho Freddy
Nakukubali jembe kwa hadisi nzuri zakale.ukija cape town kwa madiba lazima nikutafute
Hii there naomba like zen u🤣😆😄😆😅🤗
Mungu akubariki sana kwa historia hii mtangazaji, uinulie zaidi ya hapa, somo zuri sana 🙏🙏🙏
Jamal april professor katika siku ninazo zipenda zaidi ni siku ya the story book kwasababu najua the story book inatoka ijumaa lakini mimi nitaiona jumamosi kwa sababu ndio nimetulia na nitaenjoy nikiliona asante sanaa professor ubarikiwe
Kumbe usaliti ulianza kitambo.. shikamooo Delila
Hii noma
Mungu atusaidie sana katika nyakati hizi
From Burundi na enjoy the story book na jamal April jamal professor
O
hili linatuhusu sote ua-cam.com/video/hBLcoacB6gw/v-deo.html
Kama na ww unamtakia professor Jamal April maisha marefu ili azidi kutupa story kila siku tujuane Apaaaa🙏🙏🙏
Hiki ni kipaji kikubwa sana tumsifie2 maana aliepewa kapewa
hili linatuhusu sote ua-cam.com/video/hBLcoacB6gw/v-deo.html
God bless you
Jamaaa anajua
Pa1
Nyie mwanamke ni kiumbe hatari sana duniani. mapenzi mapenzi mapenzi yana run dunia.
Mie nawaambiaga wanaume haya kama mwanamke umeoa hajasoma anaweza kukumaliza bila kujua.
Yesss Sasa ulitaka tuweje😁😁😁kitu kizuri chochote lazima kiwe na ubaya wake yaaani ni kawaida kabisaa ukiona husemwi kwa mabayaa bado hujakamilikaa kwahyo mwanamke amekamilika asilimia nyingi
@@lightnessshayo1783 kweli ❤️ ndoo maana mungu aliona mwanaume haezi kua na maisha kamili bila mwanamke 🔥🔥❤️
💯%🤝
From Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Leo ni 02 October 2020 (1989)
Birthday ya CEO wa WCB & Wasafi media
💎👑 Parabéns meu ídolo 💎 Platnumz 💥💣💣💣👑👑💥💥
What is the national language in Mozambique
@@veeJesus Portuguese
Ìmlìyamluyd averages mmļ nhi mlùy
Prof Jamal ww ni bora zaidi kuliko Prof Lipumba 😎,yaani unaakili mingi sana ww 🔥🔥🔥🙌
Umetumia kigezo gan kumlinganisha na prof lipumba !
Napenda utangulizi wako huwa unaanza taratiiiibu! Then ukianza unakimbiza haraka nadhan jamal wewe ni mbana matumizi pia ya bundle🙏🙏🙏
hili linatuhusu sote ua-cam.com/video/hBLcoacB6gw/v-deo.html
Sanaaa Hadi rahaaa alafu angalau tunamuonaa wengne hata hatuwaoni sura
What!!so I have been wasting my time all this long🙄🙄....I want to follow, listen, understand and learn all your stories....thanks fo these good educative stories.....suparb
Nafulahia the story book ngonga like
I like Jamal's stories....so good 👏🇰🇪2022
Damimwenyewe nape ndasanastori mbarikiwesana👏👏👏
Naipenda sana the story book tokea Nairobi 254.
Tuned
ua-cam.com/video/CBMPP0F3TcI/v-deo.html
Mbuga kumi bora Afrika
hili linatuhusu sote ua-cam.com/video/hBLcoacB6gw/v-deo.html
naipend sana story book sana umetisha kaka utafika mbali usikatee tamaa
The story book IPO poa sana sindio gongs like tulete mpya
Nawakubali Sana wasafi munatufanya tujuwe mengi Kama tuko wengi tunayo ikubali wasafi gonga like tujuwe the story book ni 💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯
Safi sana endeleeni kuitoa history ya Africa ipo sk Africa 🌍 tutaamka tu
Story story ...story njoo utam kolea ....☺😋😋😋
Thenx brother kwa ujumbe wa Mungu ulio nifundisha kua makini na wanawake
Asnti kwa story 😊 like kama umepnda
Umesema kama ilivyo kwenye Bible Mungu akubariki kwa hilo , nimefurahi
Mungu akupe ufunuo zaidi be blessed
Story ya pendwa sana
JAMBO NA VIJAMBOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO..... 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 WAKO WAPIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII.... 🔥 🔥 🔥
Naipenda Sana Story Book💖
Km ulimtakia mema diamond af ukasklz ngoma yke mpya af unaangly the story book yaan wasafi wanankosh ✌️✌️✌️
😂😂😂
@@shabanjohn3636 yeah ✌️✌️✌️
MUNGU AKUBARIKI SANA JAMAL ...
Weka like ya mavazi ya Professor
Please kaka kweli tumependa sana kipindi cha story zako, naomba na story ya vita kati ya malaika wa Mungu na Shetani. au ya shetani kumuasi Mungu.
Niseme tu ukweli, MIMI binafsi napenda sana Jamal akiwa anasimulia historia zaidi kuliko makala, yani hakuna utamu unaonoga sana kama kusikiliza story za kale hafu upate msimuliaji mzuri,,,Aise utatamani hata asisimame,aendelee tu,,,Congrats Jamal April na team nzima ya the story book kwa hii kitu aise,,,ITS THE MOST ENJOYABLE & ADORABLE TV SESSION INDEED! Kwasasa mnakua Role model wa stations zingine,
Jamal luv u.... Much luv
Jamal
Unajuaa brother.
Good job
THIS GUY DESERVES GRAMMY FOR STORY TELLING
Kabisa umenena true mwanangu
Pamoja mwanagu 💪
Nimekamu hapa kuwakilisha wakenya Kenyans konga likes 👈
Amen aksante mwalimu
Huwa najifunza mengi sana THE STORY BOOK from Kilimanjaro moshi kimochi mjohoroni kameti
Hakuna kama ww bongo nzima Keep it Up Jamal
Much respect Jamal ♥️♥️💖💖
Daaaaaah aise ninakufatilia sana mwalimu wangu
Mimi naomba like 2000 tu😢
Watching form Mombasa-Kenya
Nakubar sana hiki kipnd knanfunuaga akili na kujua ambayo skuyajua asante jamal na diamond platnumz WCB4life
Hii ndio sababu inayo fanya watu wawe na uzito mkubwa unaweza kujizuia hivi
ua-cam.com/video/4ZT_JT-wQVc/v-deo.html
Kak nakupenda San Yan Leo nimefulai San kak
Imani lnaweza kumpa guvu mwenye kuiamini
Bro uko vizuri kinoma,,unatoa story kwa hisia.....
Ni HAKI BANDLE LANGU KUISHIA HUMU # wasafi 4life
Nimejifunza vitu vingiiii jama aprill kazi nzuriiii mkuuuu
Mi huyu jamaa alivokua anaanza sikumkubali sana akini saivi nakuelewa sana Jamal kama unamkubali na unajifunza kitu tuwe pamoja
Jamani sijawahi kufikisha like ata 10 nipeni ata 5 Tu na Mimi reo kama unaikubali the story book 😭😭
Sasa hizo like alafu walipwa....ovyo
Kufurah Kunatosha
Sasa wewe like zinakusaidia nini?
Ndio hizo basi uridhike🤣🤣🤣
😂😂😂😂ushapewa
Sijawah kupewa like mm
Asante sana mungu akupee hekima
Good job professor jamal
I like you professor
leo nime enjoyy , kwanza story ndefuu hadi raha
asaaaanteee nimeisubiri sana hii
Duuuh story naipenda sn jmn leo mjuwa kunifulahisha
"After GOD fear women"....!!
We jamaa Mungu azidi kukuinua na kukupa story nzuri za kutufundisha...
Asante san kwa story
nakukubali san mzee baba kwa simulizi zako tamuu
Glad to have you in WCB family brother
Hadi chozi jmn!!!
Nakubali sana professor
Mapenzi shetani sana!!! ......... mimi hata yameanza kunishinda .......ila yalimshinda Samson pia .......kina dada wenzangu najua itakua mumenielewa 🥰😘😘😘
Mapenzi dah
Omar Lugendo mapenzi yana wenyewe
Ni kweli julia ila umpate mtu sahihi
Omar Lugendo kabisaaaa
Story nzuri
This is amazing story from Jamal April
I love you wasafi may God bless you!
Tunaomba Historia ya Muhammad (SAW)
Awe na uhakika na kile atakacho kizungumza....hata huyu samson nikweli alikuwa ni nabii?
Nowdays unatisha....yani as days go on....I see you're the best..
𝐌𝐚𝐬𝐡𝐚𝐀𝐥𝐥𝐚𝐡... 𝐉𝐀𝐌𝐀𝐋
Jamaa anasimulia muvi...tushaiona hii
Jamali
The great 👍👍
Ni Nani Anarudia Kuskia Tena Hi Story kama mimi 😂😂😂 2024 Tujuane
Professor Jamal mnajua san kusimulia story
Asante nimejua mengi
🙌🙌🙌🙌🙌🙌 nice story thanks u
Hongera
Jamal