cupcakes za biashara 💰 //

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 сер 2024
  • video hii naimani itawafunza watu wengi kujiajiri hatakama wako nyumbani namna ya kupika cupcakes za biashara 💞
    #cupcakes #biasharandogondogo #byme😁

КОМЕНТАРІ • 54

  • @raniamussa7631
    @raniamussa7631 6 місяців тому

    Wow

  • @user-mm9bi4sv3c
    @user-mm9bi4sv3c 4 місяці тому

    Asante sana ,nimejaribu cake ni nzur tamu na lain mnooo

  • @dorcasabel2027
    @dorcasabel2027 7 місяців тому

    Unaelezea vizuri, god bless you

  • @giftgifty706
    @giftgifty706 2 роки тому +1

    Nice

  • @rosemwakyoma8371
    @rosemwakyoma8371 2 роки тому +1

    Safi sana

  • @fooddiarytz
    @fooddiarytz 2 роки тому +1

    Yummy

  • @raniamussa7631
    @raniamussa7631 6 місяців тому

    Umejitahidi sihaba

  • @TeddyMashayo
    @TeddyMashayo 2 місяці тому +1

    Nikitumia mafuta yanafaa?na ni kiasi gani

  • @upendokasumani8384
    @upendokasumani8384 2 роки тому +1

    😘

  • @OliverKikoti
    @OliverKikoti Місяць тому +1

    Hizi zinaweza kukaa kwa mda gn mpk kuharibika?

  • @veriarbogast9016
    @veriarbogast9016 2 роки тому

    Wow naona no unatumia ngeli Zaid Jacob hapa usi Replay please mwambie makii anitunzie pc💻 ntarejea after 2 month

  • @joycetido1896
    @joycetido1896 Рік тому

    Umepata cupcakes ngapi kwa recipe hii

  • @ifgeniakimaro4171
    @ifgeniakimaro4171 Рік тому

    Mimi cups cake zangu jina jaa vizur zikiwa kwa oven lakini zikishaiva zinakuwa ndogo Nini tatizo

  • @marktesha762
    @marktesha762 4 місяці тому

    Umetumia unga gani. Ppf ama wa kawaida tuu

  • @babyplus5093
    @babyplus5093 Рік тому +1

    G unatumia Unga gani

  • @HadijaSheban
    @HadijaSheban 2 роки тому +1

    chef asante sanaaa

  • @schoollife5813
    @schoollife5813 11 місяців тому

    Mbn za kwangu zinazingua hazitokei vzr😢😢

  • @khawlathassan7545
    @khawlathassan7545 2 роки тому +1

    Tafadhali tuambie kwa kilo ndio tutaelewa zaidi

  • @AdhiHassan-de2pu
    @AdhiHassan-de2pu Рік тому

    24 tu

  • @innocensiafaraja3830
    @innocensiafaraja3830 2 роки тому +1

    Hello naomba kuuliza vipimo vya robo unapata cup cakes ngapi

  • @mwajabualhaji9773
    @mwajabualhaji9773 Рік тому

    sasa ukitumia blueband faida inapatikana naomba kueleweshwa hapo boss wangu

  • @user-sn4bg6lz6l
    @user-sn4bg6lz6l 6 місяців тому

    Darasa sh ngapi?

  • @vivianmlekani9525
    @vivianmlekani9525 Рік тому +1

    Mimi naswali mbn ukiweka madukani hazikai sana walisema tuweke calcium

    • @Georges.Kitchen
      @Georges.Kitchen  Рік тому +1

      Ukiona mzunguko wako so mzuri ni vyema uweke calcium ila mimi sijawai itumia maan zangu azikai

  • @user-vw7do6xl1q
    @user-vw7do6xl1q Рік тому +1

    Vyombo vya keki vinapatikana wapi

  • @madimpooo
    @madimpooo 2 роки тому +1

    😋

  • @marianyahenge9529
    @marianyahenge9529 Рік тому

    Kwa recipe hii labda uuze elfu moja otherwise hailipi hapo

  • @irenepyuza2902
    @irenepyuza2902 2 роки тому +2

    Samahani kwa vipimo ulivyotumia unatoa cupcake ngapi?

  • @spesiozasimon4704
    @spesiozasimon4704 Рік тому

    George mm napika faida sipati

    • @Georges.Kitchen
      @Georges.Kitchen  Рік тому

      Best Kuna kitu na taka ni kuambie kila siku vitu vina panda uwezi fananisha na miezi 6 ilo pita baking ni kujiongeza kama nilikua natoa 5 waeza ongeza manjonjo or kupunguza baadhi ya vitu ujipatie faida

    • @Georges.Kitchen
      @Georges.Kitchen  Рік тому

      Ntafanya video nyingine ya kuelekezana kwenye hii tasnia ya baking karibu

  • @nolimittvonline6822
    @nolimittvonline6822 Рік тому +1

    Nime tengeneza naanza biashara leo nimeoka kwenye mkaa Ila nimepika nusu kiro faida ndogo ! Nimepika vidogo vya sh mia Mia je nifanyeje nipate faida nipike kuanzia kiro ngap

    • @Georges.Kitchen
      @Georges.Kitchen  Рік тому +1

      Kwenye makaa kwa kweli naona inakata sana faida labda ujaribu kununua mkaa hata debe kwa bei ya jumla.... Atlist utaona faida nzuri

    • @nolimittvonline6822
      @nolimittvonline6822 Рік тому

      @@Georges.Kitchen sawa Ila pia George asntee Sanaa nimenunua kiroba Cha mkaa naoka napika Mia na hamsini na zinaishaa watu wanafata adi apa nyumbani natamani unisaidie vitu vingi natamani kuwa mwanamke mwenye kipato changu nakuomba Sanaa naitaji kujua adi kupamba keki na upishi wa keki Aina tofauti tofauti ! Nisaidie tafadhal maaana kwengine nashindwa ada ndefu Sanaa na Mimi ni mama tuu nategemea hela ya kupewa na mmewangu

    • @Georges.Kitchen
      @Georges.Kitchen  Рік тому

      Ntafute 0620758995 dear ntakupa mbinu nzuri ya kusoma

    • @nolimittvonline6822
      @nolimittvonline6822 Рік тому

      @@Georges.Kitchen asntee Sanaa my dear

  • @ibakecakevaluable.
    @ibakecakevaluable. Рік тому +1

    Hzi unaweza kuuza shngp??

  • @halimaabdi1721
    @halimaabdi1721 2 роки тому +1

    Sorry kikombe cha maji ulichotumia kina ukubwa gani?

    • @Georges.Kitchen
      @Georges.Kitchen  2 роки тому +1

      Nusulita ila utapima kuangalia uji wako wa cake usiwe mzito wala usiwe mwepesi

  • @efrasiaaron5197
    @efrasiaaron5197 Рік тому +1

    Hapo kuna faida kweli zikotoka 21?