KEKI ZA HARUSI KWA GHARAMA NAFUU/SIMPLE AND BEAUTIFUL WEDDING CAKES
Вставка
- Опубліковано 11 вер 2024
- Matumizi Ya Fondant
Jifunze Kubana Matumizi Gharama Ya Vitu Ipo Juu Sana,Lazima Tuendane Na Hali Hivyo Jifunze Kuwa Mchumi Ili Usipoteze Wateja Wako.
Keki Nzuri Kwa Gharama Nafuu
@mziwandabakers8297
Keki nzuri sana
Ni nzur
Bei Gani keki ya harusi
❤❤
bei gan
Ni nzuri sana hivi kwa Cake za jarusi kama hizo unaweza ukauza bei gani?jibu pl,
Njisi yakutengeneza fondat
Bei gan izo 3
hongera kwa kazi nzur samahan naomba kuona jinsi unavo fanya kuchanganya icen sugar
Jinsi yakutengeneza icing sugar RAHISI sana kaangalie hiyo video
Mashaallah hakika dada wewe ni mwalimu mzuri sana kupitia madarasa yako nami sasa najipatia rizki kwa kutengeneza cake. Allah azidi kukupa afya njema na wepesi ktk kazi yako.🙏
Amiin na hongera
Haya Dada nami nimeamua jifunza
Naomb namb
Kweli mwl mzr sana anaeleweka vzr sana
Nimependa darasa,naomba tupate na somo la maua Kwa kutumia foundat
Sawa karibu sana
Naomba namba nikutafute
Asante
Samahn dada iyo foundant huwa in liwa manake Kuna sehemu nilienda nikakuta watu wanaitupa
Mashallah.. Mashallah.. Mashallah. Allah akuzidishie zaidi na zaidi.. Najifunza mengi kupitia wewe.
Naomba unielekeze namna yakuweka maua niliotengneza kwa foundant nayawekaje kwenye keki
Shukran sana dada ubarikiwe mno mungu akuweke zaid kwaajili yetu
Darasa lako nzr San unaelewk vzr ila nilikuwa naulz vp whtsp Huwa unatowa darasa
Naomba-msaada unifundishe
Anti natamani kujuwa kutengeneza fondant
Thanks for the good job 👍 mama
Thank you. Mungu akubariki sana
asante san dada kwan sahiv naweza kupik keki ila sas nilikuwa nahitaji kupata vifaa vyakupika keki na kupamba pamoja na bei zake
Naomba unisaidie namba ili niwe najiunga namadarasa
Nzuri sana
Mashallah shukran da
Nakupataje dada
Namma ya kutengeneza fondat
Aslmkm nauliza mwalimu shule yako iko wapi
Mashaallah unapatikana wapi nimlete Binti yangu
Thanks for sharing
Habar mpenz naomb mawasiliano yako nijiunge na darasa lako
Asanteee sana dada,mm naomba darasa la costing
Cake costing lipo tayari ila nitafanya tena
Namm naliomba
Dada naomba msaada wa cupcake za biashara,nataka ziwe kubwa
Asante sana
Nashukuru Sana kwa darasa zuri. Nami najifunza lkn kila nikijaribu kupamba keki na butter cream nashindwa inakuwa haishiki kwenye keki. Nakosea wapi , naomba ushauri
Uuiano AMA water balance ya butter cream siyo sahihi
@@mziwandabakers8297 inatakiwa iwaje?
Mimi nataka kusoma kabisa nitakupataje
Naomba namba yako
🙏🏻
Asante Sana Kwa keki hizo zinapendeza Sana. Naomba niulize, hizo rose flowers ni artificial?
Mm nahitaji kujifunza live nakupataje
Asante kwa somo zuri, na kama unadarasa naomba ufafanuzi.
Kazi nzuri sana!!nina swali nikipika red velvet cake inatoka na uchungu kwa mbali je sababu ni nini cocoa?hii natumia ya kupima au ni baking soda nilizidisha?
Asante sana dada.naomba kujua sufuria zako napata wapi
I would like to join your online classes if any .
Am your big fan from Kenya
Nahitaji kusoma live bei gani
Habari naomba kufunzishwa jinsi ya kutengeza faoundant cream
Unapatikana wapi? Naomba mama yako ya simu dada
Fondant hiyo ni redmade au umetegeneza mwenyewe?
Asante madam wangu kipenzi Mimi nazani foundant ya kununua iliyopo tayari ni nzuri kuliko yakuandaa mwenyewe ushauri wako pls
Asante dada kwaujuzi mnzuli
Ivi hauna darasa Whatsapp nahitaji masomo yako Mziwanda nahitaji kujua jinsi ya kupika capcake za biashara.
Hata mm
Admin jaman majibu bas tunasubili.
madarasa yapo my chukuw namba yake
Upo wapi
Nahitaji keki ya graduation ya bei nafuu
Uko wapi
Natamani kufanya biashara ya cup cakes lakini kila nikipika naona zinatoka chache hazinilipi.. Nifanyaje? Nn niweke cake ziumuke zaidi
mamy tunaomba msaada recepie ya keki za vipande zile za miatano
Ili kusukuma foundat unatumia nn