PROFESA JAY AFUNGUKA ATAKAVYOWALIZA WATU KUPITIA VIDEO YA WIMBO WAKE "LENGO NI KUWA ELIMU"
Вставка
- Опубліковано 14 лис 2023
- www.youtube.com/@Wasafi_Media...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - Розваги
Nakuombea Mungu akuguse kwa mkono wake ukapokee uponyaji akapate kushuhudia siku zote za maisha yako in'shaAllah 🙏
Bwana Yesu kristo wanazareti aseme neno moja tu na upone. Amina Amina❤❤❤❤❤
Munguuu akupeee nguvuu zaidiii na mwishoo wakoo wa hapa dunianii uwee mwemaaa😭😭😭😭
Mungu ni mwema azidi kukutangulia Ktk afya yapo professorjay na Ukupe Maisha marefu pia uone foundation yako ikifanikiwa kuwasaidia wahitaji km ulivotamani iwe
Dah mngu azidi kuku tia nguvu 🙏🙏🙏
Mungu ni mwema ❤
Mungu ni mwema prof ukawe vizuri kabisa
Dah prof J my favourite of all the time still his voice is not clear God ampe afya njema
Alitobolewa koo kuokoa maisha yake ndio sababu
Dah huyu Mwamba kwa kweli amenihuzunisha but Mungu ni mwema sana na aendelee kumpambania
Mungu n mwema mm mamangu aliumwa miaka sita twamshukuru mungu yuko sawa sahii
Pole saana legend Mungu mwema 🙏🙏
Nipo nsemulwa kwa mkumbo mpanda mjini mkoani katavi tz mungu azidi kumpa afya njema zaidi
Mungu akulinde prof jay
Mungu aku bariki profesa J🙏🕯️
Kupitia sisi Waislamu na Umekaa tupu wewe Dadaa Muogope Mungu"
Nilijua tuu kuna wantu watamdis mdada😂
Uisilam unahusika na nini hapo,kwani nyie mnajikutaga wakina nani aisee!!daaah hua napandwaga na hasira balaa yani.
@@zeddymourice4249 pandwa na Hasira" mpaka upasukee but kiukweli Mtoto wakiislamu alofunzwa huezi kaa Uchii" mbele za Camera' upende usipende.
@@leoncegilong1650 Kabisa na Ndo sisii
Mungu akubaliki sana kaka
Mungu ni mwema sana kk
Don’t give up bro🙏🙏🙏
Okoka kabisa,mana media zinatumika kukurudisha ulipo toka.
I aprishiet sana kk yangu🫡🫡🫡🫡
Get well soon my brother🫡🫡🫡🫡🫡🙏🙏🙏💪
❤❤❤❤
😭😭😭😭❤❤❤
Sauti yake itarudi kweli au ndio imekua ivyo
kama nyinyi ndio wasilamu then akuna uwisilamu kabisa
Hatar sana
pole sauti imebadilika jamani pole
Iv km umemuona huyo dada na ukasikia akisema yy ni muisilamu bc muambie kitu
😊😊mimi naogopa
Chakufanya tuombe mungu sote atupe mwisho mwema maana kesho yetu hatuijui waezaukaanza vizuri ukamalizia vibaya na waezaanzaa vby ukamalizia vizuri tuombe mungu atupe sote mwisho mwema manaa hapo mwisho wako ndio kuna jambo
@@user-or5dx8wy3v exactly
Hati Wewe n Muislamu....??? 🙆♂️🙆♂️🙆♂️🙆♂️. Mavazi 🙅♂️🙅♂️🙅♂️
Sauti inarudi
Ww mtangazaji una sema kwass waislam 2naamin kwan ww ni muislam waislam wote wanajua kistiri million yao nenda uko
wamitulinga
Kwa tuliouguz tunaelew kwel mungu ni mkubwa ila pia ndug zako wamepambn muno maan ndug wangn wangeshakukatia tamaa
Madaktari hawataki kusomana maana wanajuana maana kuna wengine chenga.😂😂.. sema naunga mkono hoja .
Proff angesubir apone vzr kwanza bado anaumwa huyo sauti yake haina nguvu,rap bila punchlines ni sawa na kuimba tu....!!