30 bars, vers 3 za kushiba, wimbo dakika 5 na sekunde 45_ kuna za sasa ni dakika 2 wimbo umeisha na kuna yoyoyooyo hapo hajaanza kuimba ndan ya hyo dakika 2, kuna Wimbo unaitwa Komaa nao, uchanaji wa GK ule cjui nani tena anaweza kuchana kama ile versi kwenye ule wimbo aisee daaah
wanaimba nini kwanza ujinga mtupu. Hiki kizazi cha kina Sugu, Prof Jay, Lady jay dee, Jay moe, Fid q, Rama d, Juma nature, Solo thang, Afande sele etc kilikuwa kina vichwa sana sio kuimba ujinga na matusi kama hawa. Usilinganishe kabisa
Hii ilikua baadhi ya nyimbo za kwanza za Bongo fleva kusikika Mombasa. Tom Japani akiwa Baraka FM kila mchana tulikua twategea redio kusikiza kipindi cha “Kazi Kwako.” Wimbo mwengine naukumbuka ni wa Kazeze “gonjwa hili limezua kizaa zaa mzozo (alikua akiimba kuhusu ukimwi).
Kwenye huu wimbo kuna misamiati mipya iliibuka; -Bitozi Nyangema -Ngoma drow -Chungu ka sifongo -Shuka utosini -Roba za mbao -Wanatamani wazaliee Brunley -Safari kafiri -Mamtoni -Kaka poa -Tuliokuwepo mkoani ndo tulijua sinza kila nyumba bar
2024 mwez wa 9 like pale
Aliyeuziwa cheni katoa hela bandia na aliyepokea hela kauza cheni ya bandia, tuliozoea jiji tunasema ngoma droo
Mbaya kuliko zote mnapovunja vibanda vyao...wengine walikua wezi je warudie zama zao......👍
daaaaah!!! #THROWBACK Tumezaliwa tumezikuta na bado zina fanya vizuri, KAMA WAMKUBALI PRO.JAY LIKE COMMENT HII.🔥🔥🔥
Professor Jay...ulizungumza ukweli saaaana!! Katikati ya jiji deals haziji
Bonge la ngoma...2020 nausikiliza kutoka kwa heavy weight MC 🙌
30 bars, vers 3 za kushiba, wimbo dakika 5 na sekunde 45_ kuna za sasa ni dakika 2 wimbo umeisha na kuna yoyoyooyo hapo hajaanza kuimba ndan ya hyo dakika 2, kuna Wimbo unaitwa Komaa nao, uchanaji wa GK ule cjui nani tena anaweza kuchana kama ile versi kwenye ule wimbo aisee daaah
Mziki mlioupigania kwa gharama kubwa saiz unachezewa tu, ile miiko saiz haifuatwi
Wasiojua bongo fleva imetoka wapi PROF. JAY ndio darasa lao
Yaani Diamond, Harmonize wataimbaaa ila huyu mwamba ndio moja wa ma icon wa Bongo fleva.
wanaimba nini kwanza ujinga mtupu. Hiki kizazi cha kina Sugu, Prof Jay, Lady jay dee, Jay moe, Fid q, Rama d, Juma nature, Solo thang, Afande sele etc kilikuwa kina vichwa sana sio kuimba ujinga na matusi kama hawa. Usilinganishe kabisa
Kama unasikiliza 2021 gonga like zako please
Chemsha bongo 2023😂😂u deserve my solut broo j..gonga like apo kama 2po p1
23-12-2023 After Makonda visited our brother PROF JAY
I’m here
This is what we call music
First time nmeskiza 2001
Hii ilikua baadhi ya nyimbo za kwanza za Bongo fleva kusikika Mombasa.
Tom Japani akiwa Baraka FM kila mchana tulikua twategea redio kusikiza kipindi cha “Kazi Kwako.”
Wimbo mwengine naukumbuka ni wa Kazeze “gonjwa hili limezua kizaa zaa mzozo (alikua akiimba kuhusu ukimwi).
Kwenye huu wimbo kuna misamiati mipya iliibuka;
-Bitozi Nyangema
-Ngoma drow
-Chungu ka sifongo
-Shuka utosini
-Roba za mbao
-Wanatamani wazaliee Brunley
-Safari kafiri
-Mamtoni
-Kaka poa
-Tuliokuwepo mkoani ndo tulijua sinza kila nyumba bar
Maskani Kimara
when Hip Hop was really sweet and soothing
GONGA like kama UNAMKUBALI
Nawakilisha kutoka Kenya.
daaaah! no coment hii ngoma hatari sana
Octoba 2024 still hit song
Wanaokubali bongo ya sasa sio ya mwaka 47 wangapi
Jay hatari sana 2020
Mpaka leo hii bado ni Ngoma inayoendana na mambo ya Bongo
Kabisa aisee.! Yote hayo hadi sasa ndio sura ya Dar Es Salaam
2021 Nipeni like Zangu Jamani na mimo Sijawahi Pata like
Hadi Leo 2023 nasikiliza hizi ngoma, hii album imetoka nikiwa form one
Hatari Kama fire
J wa mitulinga zingatia neno mitulinga
Nani Yuko hapa Leo 2021 ingawa tuko kwenye maombelezo
Bonge ngoma miak 100p
Hii inapoteza mawazo 🍺👭
Watu wa Bongo hamna Hutu Moyo vijana wanajibana mnawaita machinga kibaya zaidi mnavuja vibada vyao aseee wakinamama wanafanya ukahaba
2024, wimbo bado mtamu.
2024 J bado mkali
Bongo dar es salaam....respect sir hii inaishi...
Hii albamu niliinunua shs 1,200..bado ngoma ya moto hadi leo..
dar es salaam🇹🇿
Moja kati ya nyimbo bora ......2023
Best of prof jizy
wabongo jina yao ya asili hawayataki
vitosi nyangema anataka aitwe Tupac😂😂😂😂😂2022 august still here
2023 mzuka mkubwa
Maana halishi ya msanii ni kioo cha Jamii
2021 hii ngoma kama ndio imetoka vile 🙌🙌 J
Ulifanya kazi buanaae.Asiyekubari kiburi chake tu
Nyimbo nzuri sana 😂
Nakukubali mzee jay
Huu wimbo unanikumbusha utotoni
Hahaaha bita kinondoni uta nni....
Master J killed this beat
jonas wasalimie washington
Masterpiece ❤
mkuu weka na chemsha bongo
Mkono wa Master J
Hii ngoma naisikiliza deile haichoshi
Noma sana
Hatareeeeeeeeeee.
Who's here at 2024😅?
Mungu akulinde akuponye jay
Bitoz Nyangema anataka aitwe Tupac 😄😄😄
Jay🔥🔥🔥
Bongooo Dar
Piga likes hapaa kama unasikilizaa 2021 !!! January flanii hivii
Prof Jay my Mentor,My teacher & my big role model,,,
Huyu nimtu sana
Best song ever
2023 likes zangu wazee
❤
Wanamziki wa zamani walikua wanaandika sana, Jay ni mfalme wa huu mziki. Over
2021
Mambo ya isindingo watu mkononi nokia ya ringo😂
Legend
Huyu sio legend ila ni icon wa Bongo Fleva 🔥
2019...!!
🔥🔥🔥
first
🙏
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍.
Noma sana
Legend