Professor Jay Feat Walter Chilambo - Siku 462(Official Music Video)
Вставка
- Опубліковано 28 гру 2023
- #Siku462 #ProfessorJay #walterchilambo
Professor Jay Ft Walter Chilambo - Siku 462 (Producer & Mastering by BinLaden of Tongwe Studio records (C) 2023 exclusively licensed Under (Professor Jay )
Stream/Download: bfan.link/siku-462
For Bookings: ProfessorJaytz@gmail.com
Follow Professor Jay on:
/ professorjaytz
/ professorjaytz
/ professorjaytz
Nimeandika nafuta naandika nafuta. Pole sana mkuu, tunakutakia afya njema na maisha ya amani. Tunashukuru kwa burudani na tumekuwa kizazi cha bahati kuco-exist nawe katika muda wetu wa uwepo duniani. Tunatamani kuendelea kukuskia, lakini pia hatutamani kuendelea kukuchosha kwa kazi mpya, unaweza ukapumzika ukipenda, tuna nyimbo zako nyingi mno ambazo kila siku sisi tunaziona mpya. Kila la kheyr mkuu.
Nilitaka kusema hili pia Mwamba angepumzika
Ume Nena Mkuu..
@@douglasndeki8346Sema kupumzika Hawezi maana Ni kitu Anacho kipenda na Ana tufikia sisi kupitia mziki Wake.anao ufanya.🙏🏿🙏🏿
Ni kweli angepymzika amefanya vya kutosha ila ndo vile prof. anapend san Muziki
You have say it all my brother
Naomba like 1000000 kama unaamin mungu yupo na wimbo huu umekugusa
❤❤
Chama cha wasoma comment Tanzania (CHAWACOTA) Tujuane.
Mwenyekiti wenu nipo hapa nasubiria mahudhurio tafadhali sana😂😂😂😂
Niko hapa
Jinsi mungu alivyo mkuu ktk maisha yetu ya Kila siku nataman watanzinia wote wangekuja kuusikiliza huu wimbo ukawa wimbo wa shukran kwa ulinz wake,mungu wang na huu ndo wimbo wangu wa shukran kwa matendo ,nyakati zote ulizonindea 2023 naamin 2024 nitakuwa na nyakaz ushind zaid🙏🏻 Asante prof na mungu akuimarishe zaid
Hii nyimbo anapenya sana moyoni na unaweza hata angusha chozi ukiisikiliza na kutazama pia, hakika Mungu acha aitwe Mungu , mitihani tumeumbiwa bina adam na tunaishi kwa mipango yake mola.
- Mungu akupe umri mrefu legendary wetu.
Nimerudia mara nne😢
Hii song inanikumbusha Mwalimu wangu wa esabu the late Mr.Maseghe (Mwafuga High School) Mungu ailaze roho yake pema peponi 😢.
Kenyan fans ❤🇰🇪🇰🇪
Only God can. Thanks lord for keeping him, may your name be glorified!!!
Amen
Wow wow wow! Tumshukuru Mungu. Ushuhuda huu ni wa kuonyesha mwenyezi Mungu hamuwachi mwana wake! Glory to God!!! This song is on repeat!!!!!
Ashukuliwe mungu maana hata Mimi niliumwa sana great god
Pole sana Professor.Mungu aitwe mungu 🙏
The sound of proff only tells you God is great.
Ukweli nimeguswa na maneno mengi ndani ya wimbo huu na nimepata kujifunza mengi hapo kwakuwa sisi wanadamu tunamsahau saana Muumba wetu yatupasa kushukuru kwa yote kila wakati
asante sana Prof kwa wimbo ulio beba hisia za wengi Mungu aendelee kukufanya utukumbushe wema wake kwa wakati utakao upata lakini pia kupumzika linaweza kuwa jambo jema. Masisitiza usiache kutukumbusha kwani kwa wimbo huu tumekumbushwa wengi maisha ya hapa duniani tangu kujitambua mpaka hivi sasa na vile tunaelekea kufunga mwaka
This is very heart touching…get well soon, one of the best five TZ artists of all times. Respect and love from Congo🇨🇩
Mungu akuzidishie neema na maisha marefu kaka. What a testimony! In God we trust and everything is possible in God's sight.
Mungu nimwema.Amina
Akika mungu yu mwema na Ni mwenye kuponya ,Praises to the most high on god 🙏🙏
Mwacheni Mungu aitwe Mungu.Huu wimbo umenikumbusha mwaka 2020 Niliumwa sana lkn Mungu aliniponya.Mungu akiruhusu uishi unaishi.J Mungu azidi kufanyia uponyaji.🙏🙏
Pole sana, Mungu ni mwema mno🙏
Pole sana, Mungu ni mwema mno🙏
Amina, ubarikiwe 🙏
Pole sanaa mungu ni mwema
Pole sana nawewe
Mungu akuepushe na dhiki zote za muovu shetani
Mimi Mdogo wako Nakupenda sn kaka..❤❤😭😭
Kweli bila msaada wa Mungu tusingelikuwepo...
Tumshukuru Mungu kwa kila jambo.🙏🙏
From Zali la mentali, to hapo vipi, nikusaidieje to this song....proff your life is a testimony. Thank you for everything. May God show you how to serve him best. We sincerely love you, from 🇰🇪
Ndio napata habari after kutafta wimbo mpya
Im in tears imagining how melodious how jay was, but thank to sir God because he is okk and strong now
This is a good testimony from our Brother Proffesor Jay. May we never take anything for granted in this life. Seeing someone like him testifying his story is not easy. This also means it can happen to you or me anytime. Thank you Proffesor Jay for testifying the Strength, Power and Glory of the Most High. We pray for you that you may regain and recover quickly as you have found a purpose to Praise God More.
Absolutely right
Glory be to God who healed you. May His name be praised forever. Amen
Kwa kweli Mungu anaweza ,,bila msaanda weke hungepona,,Pole sana jay,,,much love from Kenya 🇰🇪 continue believing on God,,we love your music
"The music lives forever" 🎧☺️
Nini chakusema unakuta nakosa hata chakuandika, but Mungu nimwema siku zote wimbo huu ukiwa na shukran kwa muhusika ila hata sisi hatuna budi kushukuru hivi tunavyoendelea.👏👏 producer, water chilambo, na profesa Jay kwa wimbo mzuri wenye hisia naujumbe mkubwa.
Daah hadi sauti yake ilibadilika sana😢
Duh! Kweli hii nikama movie kwenye banda la video god bless you prf jay
Uko kwaajili ya kutimiza kusudi la Mungu mtumishi Professor J na katika kila jaribu Mungu anaweka na mlango wa kutokea, ninachoamini Mungu anakupa jaribu kulingana na ukubwa wa Imani yako, hivyo unaimani kubwa sana na kupitia hiyo changamoto wengi watasaidika kupitia wewe, Mungu aliona watu wanavyoteseka na kuangamia kwa kukosa fedha kwaajili ya matibabu ya figo, akaamua kukutuma wewe maana yakini alitazama na hakuona yeyote aliyekuwa tayari kafanya huu utumishi ila alipo kutazama wewe akaona moyo wako uko tayari akaamua kukupitisha ulikopita ili tu kusudi lake litimie.my take utumishi siyo lazima uwe muhubiri,nabii,mtume, mchungaji au mwalimu ila kuna namna nyingi sana za kumtumikia Mungu.Atukuzwe Mungu katikati yako sasa na milele
Huwezi amini Nimeirudia zaidi ya mara tano (so emotional)
Hata sauti imebadilika..but soon itakuwa kama zamani.
😢 Hakika Mungu Ni Mwema Wakati Wote, Mwenyekiti wangu ❤
Huyu Sasa ndio Mungu wa Ibrahim, Isaac na Yakobo, Mungu bwa walio hai mtenda miujiza, Asante Mungu kwa uhai wa Pf j
Mungu ni mwema kila wakati
Mungu Mpe Maisha Marefu Jay Awez Kufanya Makubwa Bila Mkono Wako Awez Kitu Baba Mungu , In God We Trust 🎉🎉🎉🎉🎉
Sina Cha kuandika zaidi ya kusema Ahsante Mungu kwa kumponya Prof J leo tunakuona ukuu wako Mungu mwenye huruma
Alhamou doulilah, Mungu ni mkuu, piya jay ni wakati mutumikiye basi Mungu wako maana Aka kutendeya nauka shukuru.toka Congo Drc we love you. Asante sana kwa Mungu wetu
This song is so touching and so emotional 😭😭😭😭🇿🇲.So much love for jay
Am shocked have no words but to say thank you to God.May God restore your health completely 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Hakika mungu ni mwema
Aiseeee Mungu huyu🙌🙌🙌
God is always good and God did!
God is good 😊
Pole sana duuuuh hujafa hujaumbika
Mungu ni mwema
A song that portrays faith and an experience of seeing God
True story 😢😢🙏🙏
Mungu ni mwema🙏
Kama movie .
Alhamdulillah kwaleo hii kesho unaijua wew mkuu uliye juu barik afyaa njem na utujalie mwish mwem,
Ameen
😢So touching. God is great!. God Did! 🙏
God is Good
Nyimbo nzuri sana, kwangu mimi wewe ni profesor kweli kweli, nashangaa kuna watu wanatunukiwa shahada za udaktari wanaacha watu kama wewe, tumejifunza mengi kupitia mziki wako na hakika tunajinza zaidi kupitia maisha yako, mungu azidi kuhimarisha afya yako na atimize ndoto zako za professor jay foundation. Ameen!
Ohoooo dear God 🙏🙏🙏 we need you most
Wimbo umenikumbusha wakati Mzee Wetu anaumwa.
Mwenyezi Mungu Azidi kutujalia Afya . tuendelee kumkumbuka Mwenyezi Mungu
All praises go to God for healing prof jay we still need your wisdom in the music scene bro stay blessed 🙏🙏
M/Mungu ni mwema saaana. Tumtegemee yeye tu ndo mwenye uwezo wa kila kitu
Pole sana ma classmate Prof. J. Mungu ni mwema kl wakati na tunazidi kumshukuru kwa kukuponya
Mungu apewe sifa daima ours legend is back 🙌 🙏🙏
Prof J chose the right person to work with in this piece... @Walterchilambo is humble n talented. God is not yet done with you professor. May you live long to testify His greatness. May God receive all the Glory
Mungu ni mwenye Kuweza 🙏🙏🙏
Mungu yupo nawe tunakuombea afyayako ipate kuimarika
God is A Merciful God... Be blessed Proffesor Jay❤ Surely God heals.
Indeed professor Jay is a hero iko love from Kenya 🇰🇪
Mungu atabaki kuwa Mungu
Nice one My beloved brother keep it up 👍
What God can't do doesn't exist. This has touched my heart. May God always protect you Professor Jay.
The heavy weight MC of all time keep staying safe❤❤❤❤❤❤❤
Mungu aliruhusu upitie hii changamoto kwa kuwa anakupenda na umebeba kusudi lake! Wewe ni ushuhuda ulipo hai, kupitia huyu Mungu aliyekuponya wengi watamjua Mungu aliye Hai! Usimwache huyu Yesu!
Maon yangu kwako mwamba wetu naomba uendelee kumtukuza MUNGU wako aliekufanya uko salama mpaka Sasa kwa jina la yesu wetu kirsto achana na mziki wakidunia kwanzia Leo naomba usjisahau kwa MUNGU wako
Kaka umeendelea kuonesha kuwa wewe ni SUPER WEIGHT WA MITULINGA!! HBD Prof, Mungu ana kazi nawe nina IMANI atakutumia kwa kazi yake MUHIMU!!
pole na safar bro
I felt it in the deepest part of my spirits. God is Good
Pole bro twakuombea uzidi kua na afya njema
Pole sana mwamba wangu mungu Atakuafu kipenzi cha wengi
Father of our hip hop
Iikes za wakenya hapa, pongezi kwa muziki mkali
Kwakweli Mungu atabaki kuwa Mungu tu
Ahsante Baba Mungu
Dah! Hadi chozi limenishuka
Mwenyezi Mungu ni mkubwa sana tena sanaaa
All the best Prof.
Respect to Professor. The best Testimonials lyrics
Mungu aendelee kumjalia dady
Mimi ni baraka Esther toka Congo tokeye niko mdongo natwataka nyimbo zako mpaka sasa ila hu mwimbo umenitowa machozi kila leo nilikuwa niki omba Mungu akuponye uwe mtumishi wake❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Masikini professor Jay! Sauti yake bado haijakuwa sawa..😢 mungu amjaalie apone haraka!🙏🏻
😢
Professor Jay you are a living testimony God enabled you to rise from the ashes like the phoenix
May God strengthen and restore your health completely
Mungu ni mkubwa 🙏nice song👍👍
Mungu akusimamie mtaalm jay
Acheni MUNGU aitwe Mungu😭😭😭
Respect bro..qod is everythinq..
mwenyez mungu aendelee kukutia nguvu na akupe afya njema prfss
The feeling is acceptable God is in control 🙏🙏
What a Wonderful Testimony... To God be the Glory, God of Second Chance
Mungu aendeleye kuku ponya mzee wangu Legend
Watu wanapitia makubwa zaidi yangu. Poleni kwa yeyote anayeumia kindani..mungu yuko nawe
Now these is the reason to why you are a Hip-hop artist 💪💪 Hip-hop is all about telling the truth 🤢🤢
Quick recovery Legend 💪💪
God is great ❤
Hapo kwenye kigambon nolasko dar es salaam hii show naikumbuka vizuri☝️ kaka Mungu ni mkubwa tuko hai tena✍🏼
❤❤❤ poleni sana professor Jey watu wa GOMA congo DRC 🇨🇩 tunakupenda
GOD DID AMEN🙏🙏 1:20 1:22
God is always good to everyone happy new year ❤
Pole Sana Prof. Jay MUNGU azidi kukupa Afya Njema.. @Green City Mbeya
Oooh God I couldn't stop my tears.... Mungu we ndo kimbilio letu siku zote🙏🏾
God bless you professor jay
Only God🙏🙏