@@rhythminspire9677sio kesho siku Io Io ukianza tuu kuchatnae unaitwa majina yote bby,mume wangu, Alafu huombi show yy ndo anaanza uchokozi alafu baada ya tendo simu zinaanza kuingia kwake na ndo mmeachana Ivo faida yake ni Io date na pesa unayowezakumwachia..Mungu ambariki mwanamke alienizungusha kwa zaidi ya miezi 6 na akaja kujua nampenda na amenizalia Mungu atufikishe mbali Agrina vituce mpogole..Mrs Passover.
Huyu hata kwa muonekano anaonekana kabisa ni mke...siyo kama akina Fulani 😊
Mwanamke mstarabu Sana jamani mungu akubariki Sana 🙏🙏
Huyu dada mzuri ❤❤❤
Chips ziheshimiwe😂
Sasa kwann tusiheshimu vibanda vya chipsi 😢
Asante nimekupenda bure we dada MUNGU akubariki sana kiukweli nimejifunza vingi sana 😊
Nomà Saana aisee
She is very smart !!!dahhh prof hapa kapata
Nous sommes ensemble vraiment avec vous FROM 🇨🇩 UVIRA RDCONGO
enzi hizo ni miaka ya 98 yuko na kundi linaitwa hard blusters, ngoma moja wapo ni mwokozi nitoe roho niepuke hili balaa, niamini,
Chemsha bongo
Chuzi limekubali
Siku hizi ukiomba namba tu kesho ukimpigia anakwambia anaomba umuongezee kodi ya nyumba..!😂😂😂😂
@@rhythminspire9677😂😂😂😂 aise acha kabisa
@@rhythminspire9677sio kesho siku Io Io ukianza tuu kuchatnae unaitwa majina yote bby,mume wangu, Alafu huombi show yy ndo anaanza uchokozi alafu baada ya tendo simu zinaanza kuingia kwake na ndo mmeachana Ivo faida yake ni Io date na pesa unayowezakumwachia..Mungu ambariki mwanamke alienizungusha kwa zaidi ya miezi 6 na akaja kujua nampenda na amenizalia Mungu atufikishe mbali Agrina vituce mpogole..Mrs Passover.
Mzuri sana nasauti yake yataratibu
demu wako mkali pf j usimwachie mwijaku aonge nae chawa huyo mwijaku
Mungu akiamua kukupa anakupa tu
mzur mam lissa
Kawafunika studio kwa hekma za matamsh na lugha ya kstarabu
Sauti na video ni viwil tofaut
Nimekupenda sn sn umeongea vzr
NA POLE SANA KWAMARAZI YA PROF JAY
Kipindi icho tayari ana album ya machozi jasho na damu
Mwenye akili anapata mwenye akili tuu
Tuheshimu vibanda vya chips
Hakuna professional presenters hapo midomo inawakauka wanakosa hata cha kuuliza😢
Hawapo radio zote labda tbc na ITV huku kwingine wamejaa watafta rizki tu
Je wewe utauguzwa na mwenzi wako?
😂😂😂😂😂 Sina uhakika Kama nitamuuguza
@@LydiaStephanommmh👀👀👀 mnatutisha jamani
Inategemea na uliyomtendea ukiwa mzima
@@OliverKavishe-hy3zg mtihani mzito sana huu jamani🙌