PROF JAY, FEROOZ Walivyowasha MOTO WASAFI FESTIVAL DSM

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024
  • PROF JAY, FEROOZ Walivyowasha MOTO WASAFI FESTIVAL DSM
    Tamasha la Wasafi Festival limefanyika Usiku wa NOVEMBA 09, katika viwanja vya posta jijini Dar es Salaam..
    YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982)
    -------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
    HABARI MPYA DAILY: www.youtube.co....
    HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:www.youtube.co....
    GLOBAL RADIO TV:www.youtube.co....
    EXCLUSIVE INTERVIEW:www.youtube.co...

КОМЕНТАРІ • 245

  • @kingzforeal6421
    @kingzforeal6421 4 роки тому +68

    Kama na wew umewaona wenye bongo flavor yao. Like

  • @seiphajalomba7456
    @seiphajalomba7456 4 роки тому +84

    Kama umeona kuwa professa jay nyimbo katunga mwenyewe ndio maana anaziimba bila kusahau weka like hapa

  • @landrinebagalwa5919
    @landrinebagalwa5919 4 роки тому +76

    Yoooo uuwimbo naupenda saana, kama na wewe mpaka leo una wa kubali gonga like 😍😍😍

  • @emmanuelalfred140
    @emmanuelalfred140 4 роки тому +29

    Kweli wakongwe wa zamani mnawafanya mashabiki wawe an momeries za zamani bila kujali zinawaumiza ama kuwafurahisha but just something to remember,,,,!!!!!!! Big up wasafi and keep up naangalia nikiwa 🇬🇧 UK😍😍😍😍😍

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 4 роки тому +25

    Hawa jamaa wawili hawajapata tu njia nzuri ya kuuza muziki wao vzuri.ila wana moto.HAWASHIKIKI

  • @raynelson4231
    @raynelson4231 4 роки тому +29

    Zamani kulikuwa na music ndio maana utaona shangwe mwanzo mwisho.

  • @halimaseleman559
    @halimaseleman559 4 роки тому +25

    Hakuna cha mondi,mbosso wala nani hii show imefunikwa na pro.jay+ferooz.

  • @faridaabdala1316
    @faridaabdala1316 4 роки тому +34

    Old is gold wapi like zangu

  • @omarimusa2090
    @omarimusa2090 4 роки тому +4

    Hawa ndio wazee wameinua mizuka Sana show yote ilikua mbovu we believe old is gold +254 outta Nairobi West

    • @samadumohammed9292
      @samadumohammed9292 4 роки тому +1

      Ndo maana upo Nairobi utaonaje mizuka,sogea karibu sio unachungulia na CMU yako iko na mawingu wingu

    • @abdulrazakgwotta5561
      @abdulrazakgwotta5561 4 роки тому

      Tatizo haukuwepo kwenye show

  • @edgaredson6078
    @edgaredson6078 4 роки тому +11

    Big loving for. ferooz and prof. J

  • @samadumohammed9292
    @samadumohammed9292 4 роки тому +6

    Yani mpaka najikuta natoa machozi ,Hawa wasanii ndio walitudhibitishia kuwa bongo fleva IPO vizurii
    Asante diamond I kwa kuwakumbuka kaka zako,tunawakubali ingawa hatuna namna yakuwarudisha kwenye msitari,midea zetu ndo hivo tena ,bado znakuza vipaji vya mabifu,wasaf meadia nmewapa kazi tafadhaln tusaidien.tueaskie,naskia uchungu sana

    • @alicemakongo1088
      @alicemakongo1088 4 роки тому

      yani Daimo ni mutu Muzri Sana siamini Jamani mungu akubariki sikutegemea nimefalai sana wanao kusema vbaya wewe muache mungu atawaukumu tuu safi sana nimekupenda Kwa

  • @gilbertbusuku7445
    @gilbertbusuku7445 4 роки тому +9

    This was crayz mr muheshimewa wa mitaa wa mikuni

  • @stevengeorge2466
    @stevengeorge2466 4 роки тому +15

    Profesa j Anajielewa sana Na ndio mana Anakaa kwenye gem Kwa muda mlefu

  • @qaltumsaid3095
    @qaltumsaid3095 4 роки тому +1

    Cha zaman ni chazamani full shangwe kama unamkubal ferooz gonga like hapa👌

  • @ameenambogo796
    @ameenambogo796 4 роки тому +1

    Nampenda sana fr naombeni huujumbe muumpe nampenda kutoka moyoni yani nimefrahi sana kumsikia tena hapa

  • @dantewasia6191
    @dantewasia6191 4 роки тому +1

    I love old bongo, achana na izi vitu huimbwa siku izi

  • @erastoselemani5443
    @erastoselemani5443 4 роки тому +2

    Dah yani nimesikia poa mmenigusa ezi zangu global safi sana

  • @milemo604
    @milemo604 4 роки тому +33

    Ndonyimbo hizo , hazipoteyi Mana hawakuhimba matusi henzi zao walikuwa wakitowa elimu.

    • @nadinenzisabira4660
      @nadinenzisabira4660 4 роки тому +1

      Diodryck Mas Mijo yeeeeeees umeongea point adi nikasem nikupongez ulichosem.mimi sio mtu wakukomnt

    • @luvunodzunga5131
      @luvunodzunga5131 4 роки тому

      Nakubaliana na ww nyimbo kama hizi zinakuingia akilini yani msg ukitaka kufanya Zina moyo unarudi nyuma ama unatuma Kinga. Kuliko hizi za kufanya mapepo ya ngono yanapanda mzuka Loooooo...

    • @phineruge3480
      @phineruge3480 4 роки тому +1

      Milemo !! Hao ndo wenye Bongo Fleva yao wengine wanyakuzi tyuuuu, Nyimbo zenye ujumbe na tena mwaweza kaa Familia nzima Mkisikiza👏👏👏

  • @agent48classified40
    @agent48classified40 4 роки тому +9

    Kuna watu wakisikiliza starehe ya ferooz ndio wanatambua jamaa alion mbali sana. Wanabaki na majuto.
    Legends wameiba shoo. Nature kaingia stejini kibabe.

  • @seiphajalomba7456
    @seiphajalomba7456 4 роки тому +12

    😥😥😥😥 jaman jaman jaman ule msemo wa uzee dawa nimemin kwa hawa wakongwe yaan wameponesha hii festival 😁😁😁

  • @dladchalle9179
    @dladchalle9179 Рік тому +1

    Feel the music......old is gold

  • @aminamakacha6258
    @aminamakacha6258 4 роки тому +28

    😭😭😭 Nimelia kwa furaha zilipendwa ni dhahab

  • @sanifhesro2169
    @sanifhesro2169 4 роки тому +13

    Nyie watu ni shidaaaaaa mambo ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @joshuason557
    @joshuason557 3 роки тому +1

    Much respect to Ferroz n JAY 🙏✌️👍🇺🇬🇺🇬

  • @josephduniamulumba5357
    @josephduniamulumba5357 4 роки тому +3

    Bonge la show, na kubali sana ferrooz, prof j. Na mzee wa hip hop.

  • @abdilahijuma3373
    @abdilahijuma3373 4 роки тому +6

    Ni kwereeeeeeh hawaa nima legendary

  • @japhetbarton8268
    @japhetbarton8268 4 роки тому +12

    We don have this kind of talents now days

  • @dannybillykega
    @dannybillykega 4 роки тому +2

    we miss those songs proffessor💪💪big up bro

  • @ahmedmwenye9564
    @ahmedmwenye9564 4 роки тому +1

    Love the show respect to diamond unafanya mziki wa nongo uunganishe watu...Wasanii wa bongo wamenyonywa sana na clouds.Waonyeshe how to brand yourself..Sio unakua msanii mwepesi mwepesi tuu kila mtu anakuingia.

    • @laumlimbila4337
      @laumlimbila4337 4 роки тому

      Acheni unafiki hamuoni t.i.d na chid fiesta!? Semeni mond anafanya vizur ,et kunyonywa kwan wana maziwa

  • @mosendababumansigiria8621
    @mosendababumansigiria8621 4 роки тому +9

    Professor Jay hakunaga mzee wewe tu🙏

  • @muhamoha5038
    @muhamoha5038 4 роки тому +1

    Legend ndiye huyu sasa

  • @antoinettedjumapili2522
    @antoinettedjumapili2522 4 роки тому +19

    wakongwe wa bongo wakiimba ni raha mtupu original bongo flavor

  • @amaniharub1569
    @amaniharub1569 4 роки тому +7

    Mumeweza Sana combination hii si mchezo

  • @wafaidaconnection3470
    @wafaidaconnection3470 4 роки тому +5

    Aliyemuona Zimwi akiruka mapanga shaa Agonge like hpa

  • @aminaomar4073
    @aminaomar4073 4 роки тому +2

    This part never gets old🔥🔥🔥🔥❤️

  • @ndakinyalali4940
    @ndakinyalali4940 4 роки тому +12

    Aaaaaaa!!!! Profesa j na feruz mmenikumbusha mbali kinomaaaaa, na mkofiti kwenye gem bado GUHOKA mbovuuuuû

  • @complexjackal2782
    @complexjackal2782 4 роки тому +9

    Mmetukumbusha mbali...old schoool..pro jay katisha

  • @madukaj.j.6999
    @madukaj.j.6999 4 роки тому +4

    Yaani kama wimbo wa Taifa watu wote wanaujua

  • @valineatieno7038
    @valineatieno7038 4 роки тому +3

    Nice show professor jay👊👊

  • @chuimnyama9074
    @chuimnyama9074 4 роки тому +5

    Wasafi festival ni habari nyingine Hakuna

  • @iambaizo
    @iambaizo 4 роки тому +21

    Kweli jamaa alikua na ukame wa show anatmani abaki uchi 😂😂😂

  • @masuline5925
    @masuline5925 4 роки тому

    Penda sana nyie watuuu big up sanaaaa kwako prof j

  • @abdallahkassim318
    @abdallahkassim318 4 роки тому

    Nakubali prof..big up wcb festivals ..

  • @japalablack1588
    @japalablack1588 4 роки тому

    🇰🇪 Representing kambi nyege 2023
    Bado kama kawa

  • @nanzalajuritah6883
    @nanzalajuritah6883 4 роки тому

    Kama unamkubali arudi kwenye game, gonga like hapa

  • @jessydaktari5209
    @jessydaktari5209 4 роки тому +2

    Hii suruali ya ferooz ni swag au aliperfom mpka ikashuka🤤🤤🤤...

  • @carolinekatana06
    @carolinekatana06 4 роки тому +1

    Hawa ndo walikill show Bana wasanii wagongwe mambo mbaya nyimbo nikama hizi mob love from kenya

  • @merygalfaminja3852
    @merygalfaminja3852 4 роки тому

    Big up nawakubali sanaa 💪💪

  • @samwelimatampi1607
    @samwelimatampi1607 4 роки тому +3

    Jay atari gonga like

  • @iammsaffi2548
    @iammsaffi2548 4 роки тому +1

    This is wat we cal living legacy💯💯

  • @johnsonlenas8227
    @johnsonlenas8227 4 роки тому +3

    DJ kazingua kinoma, sijui walimuokotea wapi?!!!

  • @rukaka_jr4514
    @rukaka_jr4514 4 роки тому +7

    Hii historia iloandikwa haitakuja kuvunjwa kamweeeeee

  • @kibasamohamedi8029
    @kibasamohamedi8029 4 роки тому +2

    Haaaaaaaaa haaaaaaaaaaaa safiiiiiii sanaaaa. Mliamsha powaaaa

  • @officialmcmasauti2556
    @officialmcmasauti2556 4 роки тому +1

    Fantastic rapper

  • @fatumamsemo1176
    @fatumamsemo1176 4 роки тому +7

    Looh hawa wakongwe ninoma wamefunika ase, mziki wazamani ilikuwa rahisi kuuelewa tofauti na sasa

  • @tz7976
    @tz7976 4 роки тому +12

    Naona ferooz anataka kuvua

  • @Everything-series.
    @Everything-series. 4 роки тому +10

    i love ferooz to death 💀💯🇰🇪

  • @numanshomary8520
    @numanshomary8520 3 роки тому

    Nimeielewa sana hii show

  • @dthedon5317
    @dthedon5317 4 роки тому +5

    Ferooz huo mlegezo wa 2pac au lil Wayne du!!!!!!!!!

  • @patrickmbogo7805
    @patrickmbogo7805 4 роки тому +38

    Kuna show moja tu tz nayo ni wasafi festival

    • @shukurumgaya5950
      @shukurumgaya5950 4 роки тому

      Kwa akil yako

    • @niasanga2373
      @niasanga2373 4 роки тому

      @@shukurumgaya5950 🤣🤣🤣🤣Bora umemjibu

    • @kalash_tz9390
      @kalash_tz9390 4 роки тому

      Fiesta ndio ipo broo nayo ndio inafahamika duniani kote.

    • @fadmokinglove9954
      @fadmokinglove9954 4 роки тому

      PHILIPO MBOGO wasafi baba lao watakubali hao wachumba

    • @jerryjeycokingboy6306
      @jerryjeycokingboy6306 4 роки тому

      Sio show dingi n tamasha mzee nenda kasome utofautish kati ya show na tamasha

  • @user-jn9rc3oj2k
    @user-jn9rc3oj2k 4 роки тому +3

    Wapi Mr Nice

  • @scorasticaclement6308
    @scorasticaclement6308 Місяць тому

    Watching 2024

  • @henrysanga1087
    @henrysanga1087 3 роки тому

    Hatar sana feroz vs profesee j

  • @williammwajeka3347
    @williammwajeka3347 3 роки тому

    Wimbo mzur, show nzur,lkn ferooz kweny hiyo Nguo ya ndani ndio kaboa,,

  • @chuimnyama9074
    @chuimnyama9074 4 роки тому +9

    Hawa ndooo wachawi wa bongo fleva wenyewe

  • @kibasamohamedi8029
    @kibasamohamedi8029 4 роки тому +1

    Ilukuwa safiiiiiii sanaaaa. Mlituoa Radha zoteeee eti

  • @kamaromatiri5038
    @kamaromatiri5038 2 роки тому +1

    Kipindihico ndichochenye muziki muziri kbs

  • @dullymushsa1450
    @dullymushsa1450 4 роки тому +1

    Feruzi umetisha

  • @nizigiyimanathomas8184
    @nizigiyimanathomas8184 4 роки тому

    nawakubali sana professor na ferouz

  • @muumbarobert6091
    @muumbarobert6091 4 роки тому +1

    Prof jay bado anawashabik weng sana nchi hii

  • @fererouzferasixth5374
    @fererouzferasixth5374 4 роки тому +4

    Dar mond umefanya kitu poa sana nimekubal waso wannchi hii

  • @dotnathalyangaukwelmtupu8174
    @dotnathalyangaukwelmtupu8174 4 роки тому +1

    😀😀😀awa jamaa wamevunja sana record

  • @tamboweezay6136
    @tamboweezay6136 4 роки тому

    Umetisha sana ferooz

  • @hawaynatimam982
    @hawaynatimam982 4 роки тому +2

    Nyimbo nzuri lkn ferooz umezingua, maana huimbi unakimbia tuu au huna zoezi

  • @sbizzowakunyumba4532
    @sbizzowakunyumba4532 3 роки тому

    Noma

  • @bonimdimi6942
    @bonimdimi6942 3 роки тому

    Mlitisha sana tena sana

  • @kasimuyahaya4010
    @kasimuyahaya4010 4 роки тому

    Really bongo fleva 🇹🇿

  • @husnatgamaah1335
    @husnatgamaah1335 4 роки тому +1

    Old is Gold

  • @ponsiankahesi3458
    @ponsiankahesi3458 4 роки тому +1

    Naona feruz amechoka haraka but inapendezaaa sana kukumbuka tulipotoka

  • @suleimanjuma1872
    @suleimanjuma1872 4 роки тому +3

    Lasivyoo mgelala n viattuuuu muwashukuru hawa vikongwe

  • @rozmihambo1935
    @rozmihambo1935 3 роки тому

    Papeeeeeeeee🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @hermanmathiya9362
    @hermanmathiya9362 4 роки тому +2

    Jay heshima yako

  • @emmanuelnyakunga5408
    @emmanuelnyakunga5408 4 роки тому +1

    Feruz hakuna kitu hata haimbi anategemea tu Back sound

  • @barakaleader1550
    @barakaleader1550 4 роки тому

    Prof j ni nomaaa

  • @scorasticaclement6308
    @scorasticaclement6308 Місяць тому

    Pro Jay

  • @aheridadhussein5753
    @aheridadhussein5753 4 роки тому

    Sio kama za diamond azina kicwa wa miguu

  • @momsamsangojr3627
    @momsamsangojr3627 4 роки тому +1

    baba lao noma san

  • @martineherman1220
    @martineherman1220 Рік тому

    Big up 🔝

  • @ramakisisa6659
    @ramakisisa6659 4 роки тому

    Nyimbo za kitambo hazichuji

  • @georgegodfrey4776
    @georgegodfrey4776 4 роки тому +2

    Hawa ndio waliokua wanaiweza Bangi bwana

  • @abilahswalehe4206
    @abilahswalehe4206 4 роки тому +3

    Wakongwe noma

  • @jacksonpeter109
    @jacksonpeter109 4 роки тому +2

    Ma Legendary

  • @godiasjohn2915
    @godiasjohn2915 4 роки тому

    woyoooooooooo..... sipo apo lakini sio kwa vibe hiliii

  • @fortyyellu9971
    @fortyyellu9971 4 роки тому +1

    Duh..😂😂😂😂😂 kweli ferooz karudi kwenye chart jaman... Sasa hapo asitumie tena madawa

  • @aminaramdan3283
    @aminaramdan3283 4 роки тому +1

    Mambo ni motoooo

  • @alyjuma847
    @alyjuma847 4 роки тому +1

    Yatapita mbona hatujaisikia au kuondoka wcb mume nuna MA dj

  • @noelnkoma3126
    @noelnkoma3126 4 роки тому +2

    Wanaozungumzia eti kuna ushindani kati ya Simba na Kiba'ka au Pombe na walio'dema ni watu masikini zaidi wa akili duniani.
    Ushabiki wa simba na yanga ndio unaowaumiza.
    Huku sisi hatushabikii tu ilimradi... Tunataka maujanja...hit songs na kadhalika.
    Kama unajua kuimba na hauna hit song kila Leo kamuimbie bibi yako yako

  • @felixlabila4242
    @felixlabila4242 4 роки тому +5

    Kwanza jukwaa sijaonaoga nyie wafiii nyie mtaacha watu wavimbi mpaka wapasuke

  • @tanzaniakwanza9564
    @tanzaniakwanza9564 4 роки тому +6

    hii festival kweli baba lao

  • @doubleymkuu4267
    @doubleymkuu4267 4 роки тому +7

    Hakuna cha nani wala nani hio Show imeshikwa na wakongwe mbaya