Wakristo mnawaoa mama zenu Mazinge

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 936

  • @khuzeimaabdul4275
    @khuzeimaabdul4275 5 років тому +40

    Yaa Rabbi mungu nipe umri nimuone mazinge hta kwa muhadhara mmoja katika maisha Yangu nampenda kwa ajili ya ALLAH na namuombea umri

  • @pekomisegese7724
    @pekomisegese7724 6 років тому +45

    Wamekubali Yakuwa Qur'an Ni Maneno Ya Mungu. Takbiiiiiiiiir.

  • @pekomisegese7724
    @pekomisegese7724 6 років тому +55

    Mazinge Nimekubali Yakuwa Wewe Peke Yako Ndio Unaewaelewa Wakristo Maana Unawatega Wanaingia Alafu Unawachapa. Mazinge Nimekuongeza Nyota.

  • @زينبتنزانيا
    @زينبتنزانيا 2 роки тому +1

    Mashallah jamani Allah akuongezee maisha marefu inshallah

  • @abuunaraimansalumal-shaib9260
    @abuunaraimansalumal-shaib9260 5 років тому +55

    I am Muslim and I will be Muslim forever inshallah

    • @mugemainyas5241
      @mugemainyas5241 5 років тому +2

      Hakuna anayelaumu hilo endelea kuwa muslim lakini usiwahukumu wenzio .sisi pia tunafurahia ukristu wetu forever

    • @salumuramathani9703
      @salumuramathani9703 5 років тому

      Al-shaib group

    • @fadhililumbasi2820
      @fadhililumbasi2820 5 років тому

      Al-shaib group mwenyezi mungu akupe nguvu

    • @michaelhyungim8174
      @michaelhyungim8174 5 років тому

      Najivunia kiwa mchristo

    • @ayshahams7373
      @ayshahams7373 5 років тому

      Hata mm najivunia kuzaliwa katika uislam niko jaman uislam raha asikwambie mtu yaarab nijaalie kuwa muislam milele

  • @jasminyiddysulaiman9807
    @jasminyiddysulaiman9807 4 роки тому +1

    Maashallah tabaraqallah nakupenda sheikh maznge kwa ajil ya allah

  • @rhiophiri9645
    @rhiophiri9645 5 років тому +21

    professor Mazinge Habib you are a genius Muslim professor,u r very inteligent

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 4 роки тому +1

    Maa Shaa Allah, Allah awape Umri Ma Sheikh Wetu, Muzidi Kuelimisha.

  • @missfa4650
    @missfa4650 5 років тому +25

    Uislam ni dini y'a Haki.Allahu Akbar.still watching in january 2020

    • @naveedladha4211
      @naveedladha4211 4 роки тому

      Full vidoe nitapata wapi

    • @nelsonsalumuclovis753
      @nelsonsalumuclovis753 4 роки тому

      Ipo Siku utamjuwa

    • @abrahamrhys6269
      @abrahamrhys6269 3 роки тому

      sorry to be so off topic but does any of you know a trick to log back into an Instagram account?
      I was dumb lost the login password. I would love any assistance you can give me

  • @asinakassim1548
    @asinakassim1548 6 років тому +2

    Takbiirrrr .... ALLAHU AKBAR.... Najivunia kuwa Muslim... Alhamdulillah

  • @maryammdoe5801
    @maryammdoe5801 3 роки тому +3

    Masha Allah ila msomaji unambwembwe 😂😂

  • @emiliankomba8550
    @emiliankomba8550 5 років тому +1

    Nawaonea huruma sana waislamu,cjui hamna kazi za kufanya maana mnapenda kupayuka kama machizi,amri ya Kwanzaa ucsujudie Mungu mwingine sasa macca mnasujudia kaburi la hyo mtume wenu. Au mna Mungu mfu?

    • @omaralbattashi1187
      @omaralbattashi1187 5 років тому

      Unalana ww sis tunamuambudu mungu sasa nyie mnasema yesu mungu lol

  • @simondray8712
    @simondray8712 6 років тому +36

    I love Christianity. Proudly Christian.

    • @omaryzubery1809
      @omaryzubery1809 6 років тому

      Angalia hat mavazi. Yao

    • @letssee204tuone2
      @letssee204tuone2 6 років тому +1

      Omary Zubery Wewe youh just judging...unamsaidia Mungu kazi yake,..convert to Christianity coz Jesus is the way the truth and life...

    • @radjabundikumana4116
      @radjabundikumana4116 6 років тому +1

      Ngugi Wainaina all Christian are blinded

    • @waheed-ou4ek
      @waheed-ou4ek 5 років тому

      Just be Muslim.... Then enjoy your life....!!!

    • @salehsuleiman8519
      @salehsuleiman8519 3 роки тому

      Allah atujaalie mwisho mwem ampe umri mrefu mazinge baiby wetu tunampenda sana

  • @rajabukatembo208
    @rajabukatembo208 5 років тому +2

    Haya yote sio tamaduni za mwafrika . tumeletewa tyu hakuna anaejua ubora au udhaifu Wa kitu ambacho hana historia ndefu nacho....cha msingi ni kuzitumia tamaduni hizi kama kujipatia kipato na kurahisisha huduma za kijamii kama shule,hospital,maji.Na pia kudumisha faraja na relief ,matumain ya maisha tunayo yapata kupitia dini...ushaur wangu kwa ndugu zangu waafrika tusikubali kutofautiana kwa sababu ya aitikadi za dini.....

  • @hassanmpwepwe3826
    @hassanmpwepwe3826 5 років тому +20

    mungu awape umri mlefu waazir wetu inshallah

  • @mwanaimasaidy9416
    @mwanaimasaidy9416 6 років тому +1

    Shekhe mazinge mungu akupe afya tele juu ya kutangaza dini ya kiislam uwe na afya njema.

  • @myself4128
    @myself4128 6 років тому +7

    Mazinge anatumiwa na ibilisi kuwapinga waislamu wenzie ili nuru ya Kristo isiwafikie na watafia gizani,
    Shetani ni mjanja sana anawadanganya kuwa Yesu ni nabii na hapohapo waislamu wanampinga Yesu kuwa sio mwana wa Mungu maana yake wanajitekenya na kucheka wenyewe sababu Yesu anajiita mwana wa Mungu..
    Waislamu wamepotea na neema ya Mungu inawapita,wanaabudu sanamu iko kule macca ndio allah au al illah zamani wanaelekeza nyuso zao kule,

    • @bwegelanyakhaido3088
      @bwegelanyakhaido3088 6 років тому

      EE RR acha uongo wapi andiko mungu wenu kamuuingilia mama yake yesu akazaliwa yesu Adi mmwite mwanae...pia Kat ya cc na nyinyi Nani anaabudu sanamu

    • @lotikibiriti7014
      @lotikibiriti7014 6 років тому

      EE RR

    • @aronissaya6523
      @aronissaya6523 6 років тому

      Ww munguess hakusamehe ujuhi uongealo

    • @pi4385
      @pi4385 5 років тому

      @@bwegelanyakhaido3088 kweli mawazo yako ni sawa na jina lako yaan bwege!! jifunze kusikiliza point na huoni kama ameuliza swali pumba>>

    • @letssee204tuone2
      @letssee204tuone2 5 років тому +1

      Bwegelanya khaido Mie ni mwana wa Mungu...What's your point???... Secondly Mary conceived through the power of the Holy Spirit...

  • @mira-gq3qg
    @mira-gq3qg 6 років тому +1

    Uislamu ndio dini ya kweli. am proud to be a Muslim

  • @obeyshadrack6341
    @obeyshadrack6341 4 роки тому +5

    Wakristo Yesu daima

  • @djgmp8140
    @djgmp8140 5 років тому +1

    jaman Aya mambo tuyaache maana sio kila asemae alaaaah alaaaah atauona ufalme wa mungu na mungu ajasema mkosoe imani za watu enda ikawa wanakosea awakosei anajua yeye ole wenu mnajifanya kunijua sana mungu na kutumia mlichopewa vibaya ole wao wanao sema wasio yajua na kunifanya wanajua sana

  • @mariamali1887
    @mariamali1887 6 років тому +16

    Mazinge! Mashaallah mashaallah love u kwa sababu ya Allah 😘😘😘😘

  • @muhayamwinyimvua9645
    @muhayamwinyimvua9645 3 роки тому

    Mazinge mungu akulipe kwa kuweka wazi dini ya kikristo

  • @faustinmallange8442
    @faustinmallange8442 6 років тому +4

    Kuliko umwabudu mwarabu bora umwabudu ata mnyama proud to be a Christian

    • @AP-uk3mq
      @AP-uk3mq 5 років тому +1

      Kwani Huyo mnaemwita Jesus ni muAfrika?????? Akili finyu kama huna cha kusema bora nyamaza kama mimi

    • @henryemmanuel4444
      @henryemmanuel4444 4 роки тому

      Faustin akili huna hata kidogo

    • @assadatykhalledy4056
      @assadatykhalledy4056 4 роки тому

      Subhunallah

  • @magretipius8881
    @magretipius8881 5 років тому

    Barikiwa mtumishi Mazinge ni jini na shetani nyooo chefuuuu

    • @fatumakiboto6157
      @fatumakiboto6157 5 місяців тому

      jaman maksfli nyieee oo et yexu ni mungu peleken ujinga nadkia kutspika oooo maxhehe Allah awajalie

  • @ayanaamri3584
    @ayanaamri3584 5 років тому +5

    Walahi mazinge kweli ni profesor

  • @faustinemavere1450
    @faustinemavere1450 4 роки тому +1

    Mungu awasamehe hamjui mlitendalo poleni sana

    • @suzieomega6356
      @suzieomega6356 4 роки тому

      Sa sa kama wakrito niwaongo waislam tatizo Lao Nini, atuache si si hatuna Shida nawaislam, kwetu si si yesu ndie mfalme, mti wenye matunda hupigwa mawe. Niwaulize Mariam bikra alimzaa na ni ? Hiko kitabu cha mungu nichakwenu nyinyi , hatausemeje hatuwezi kubarika yesu uhai

  • @wgsaempiretv864
    @wgsaempiretv864 6 років тому +20

    we mchungaji uko vizuri,hawa waislam ni upepo hamna kitu kichwani,hawaelewi na hawataelewa mpaka Yesu analudi.

    • @rahmahassan9868
      @rahmahassan9868 6 років тому +2

      Hahhahahahaahaaaaaa pole saan

    • @masoudmelimeli1380
      @masoudmelimeli1380 6 років тому

      Uwe una akili ww

    • @salmaothman153
      @salmaothman153 6 років тому +1

      Mungu akusamehe yesu kesho hstokujua maana hujafuta matendo yake

    • @salomedavid2417
      @salomedavid2417 6 років тому +1

      Yaani hawa ukibishana nao utakesha ila yesu ajapo atahukumu kwa haki

    • @zalbak2738
      @zalbak2738 6 років тому

      Etiiii mtt wa Mungu ss unaonaje ukamuabudu Mungu ukaacha uyooo mtt wk

  • @mshamumpoya9870
    @mshamumpoya9870 5 років тому +2

    Mazinge mungu akujalie mwisho mwema

  • @alexngowo2757
    @alexngowo2757 6 років тому +6

    Am very proud to be Christian.
    Also, am NOT hating muslims, but I hate those who use to bring religious debate instead of having enough time to working.
    Hakuna tajiri hata m1 anayeacha kujiingizia kipato then akaenda kupiga kelele za dini. Na hakuna sehemu yoyote ile kwenye maandiko inayochukia matajiri.

    • @waheed-ou4ek
      @waheed-ou4ek 5 років тому

      Sijaelewa point yako Mr. Alex

    • @frankjohn8570
      @frankjohn8570 5 років тому

      Alex Ngowo big up YESU YU HAI hayumo kaburini

  • @leonardnewa715
    @leonardnewa715 6 років тому +1

    Mpo vizuri kwa kutafuta kiki ndicho mungu alichowaambieni muwaambie wakristo hvyo

    • @frankjohn8570
      @frankjohn8570 5 років тому

      Leonard Newa wametiwa Giza mioyoni mwao kama wasivyoijua njia waiendeayo vivyohivyo huongea kwa ujasiri sana mambo wasioyaelewa, na kitabu cha Mungu kukijua ni rahisi sana ,fuatilia kinacho tajwa na kusomwa Mara nyingi ndicho kitabu cha Mungu alie hai

  • @nishawangai1178
    @nishawangai1178 6 років тому +3

    Masha allah mazinge Allah bless you

  • @bockaselemani563
    @bockaselemani563 5 років тому +1

    Mkono kwa mkono mpaka peponi insha Allah uislam uko juu

  • @mwaswa1899
    @mwaswa1899 5 років тому +5

    Nitampenda yesu milele nakumwamini yeye ni bwana wa amani kwa dunia nzima

    • @kbdk3065
      @kbdk3065 5 років тому

      M Waswa Bwana ni wa amani lkn hao Alshababu Fujo ubishi,Motoni wanaenda maana Biblia inasema na wote wametenda dhambi.

    • @omiyboyrama1198
      @omiyboyrama1198 5 років тому

      Bwana wko mtoto w mungu

    • @aminayahaya7414
      @aminayahaya7414 5 років тому

      M Waswa yesu tunamuamini sisi waislam ila nyinyi wakristo hamumuamin mnawaamini wachungaji wenu ndo shida hapo tu

    • @bakariasantemkuki1299
      @bakariasantemkuki1299 5 років тому

      Bikey charse bibilia ni kitabu cha nani maana torati daudi zaburi mussa injili nabii issa furkani nabii muhamadi swm je? Bibilia ni kitabu cha nani naomba jibu

    • @jenifajulius7814
      @jenifajulius7814 5 років тому

      M Waswa amen ameni nahatuta mwacha ubarkiwe

  • @mukeragabilodiana9391
    @mukeragabilodiana9391 3 роки тому

    Munajisumbuwa bure mungu atahangaria matendo yamtu madini nikitu cha kawaida heshimu Amri kumi tu vingine mumwachiye mungu ndie atajuwa chakufanya kwa kiramtu kwa matendo yake

  • @jumakhamis226
    @jumakhamis226 6 років тому +72

    shekh mazinge allah akujaalie umri mrefu nikipata namba yako ntakutumia hata sadaka

  • @samsonminamina1901
    @samsonminamina1901 2 роки тому

    Salaam aliku...sifa na tumpe....mwezi Mungu....afadhali ningekua apo nkupe dawa

  • @wizkrach7632
    @wizkrach7632 5 років тому +5

    Bangi mbaya SNA polen sana maan hamjui mlitendalo##

    • @salamamohammed5446
      @salamamohammed5446 4 роки тому

      Wewe kafil au ni mkisto au mpgan km ujaerew naomb kaa kimy ach ku coment vitu visivyo kuepo

  • @haydarhassan6923
    @haydarhassan6923 5 років тому +2

    Masha Allah uislamu hauna doa

  • @mtzhalisi2232
    @mtzhalisi2232 5 років тому +10

    Mungu ni wa wote wamwaminie na kutenda mambo mema

  • @violachelangat2935
    @violachelangat2935 2 роки тому

    Iam a christian and iam alive because of Jesus

  • @nohatredbutlove5786
    @nohatredbutlove5786 6 років тому +9

    11:55 Hahaha! Kweli wakristo hawana akili😂😂😂. Yaani usikute wana master hapo wengine😂😂😂. Qur-an inasema miongoni mwa watu ambao ni haramu kwetu kuwaoa ni ".....Walio katika ulinzi wenu, waliozaliwa na wake zenu mliowaingilia. Lakini kama nyinyi hamjawaingilia basi sio vibaya kwenu kuwaoa" Hichi kiswahili chepeesi kuwa tumeharamishiwa kuwaoa watoto wa wake zetu tuliowaingilia, lakini ikiwa hatujawaingilia wake zetu hao basi si vibaya kuwaoa watoto wao. Kwa mfano nimemuoa mwanamke mjane na yuko na mtoto wake na ikatokea usiku hule nimemuoa akafariki na sikuwahi kumuingilia basi sio dhambi kumuoa binti yake bali nikiwa nimemuingilia ni haramu kumuoa binti yake. Hivi kweli kuna cha kujitoa fahamu hapa? 😂😂😂

    • @petrokomba3508
      @petrokomba3508 5 років тому

      we ndio huna akili,mpumbavu ww na Shekhe wako huyo

    • @nohatredbutlove5786
      @nohatredbutlove5786 5 років тому +2

      @@petrokomba3508 bishana kwa hoja sio kupanic. Hao ndio viongozi wenu mliowaleta waje wautetee ukristo lakini wanatia aibu kwa kweli. Yaani wanatoa vihoja ambavyo mimi nimepita chuoni kidoogo tu na navijibu vihoja vyao itakuwa mazinge😂😂😂

    • @gosbertwilla713
      @gosbertwilla713 5 років тому +1

      Mnaousema ukristo zingatieni kwanza kwamba ukristo siyo dini . Uislamu kuwa dini haihalalishi ukristo kuwa dini. Ukristo ni kumwamini Kristo, ni kumsikiliza yeye sawa na maagizo ya Mungu mwenyewe toka Mathayo 17:5. Hatujaamriwa wanadamu tumsikilize. Wanaomsikiliza mwingine kawaulize wenyewe.

    • @nohatredbutlove5786
      @nohatredbutlove5786 5 років тому +2

      @@gosbertwilla713 hivyo unasema wewe but wao wanaomuamini huyo unaemwita Kristo ndio wenyewe wanajiita wakristo, so mimi nafatiza wanavyojiita wenyewe tu. Btw kwa mujibu ya tafsiri ya Bibilia Kristo sio mtu flani maalumu, bali maana ya Kristo ni mpakwa mafuta wa Bwana.
      But tuyaache hayo, Me kilichofanya niwatoe akili ni hiyi hoja yao ya ucheza hapo.

    • @browntweve4495
      @browntweve4495 5 років тому

      Muwaoe mama zenu

  • @mwavumbiswalehe4683
    @mwavumbiswalehe4683 5 років тому +1

    Swadakta,nakuombea mungu AKUZIDISHIE nguvu z kutuelimisha, nakuona kwa utube

  • @pekomisegese7724
    @pekomisegese7724 6 років тому +9

    Mazinge Ana Akili Nyingi Sana. Kawachimbia Shimo Wakristo Nao Wamedumbukia.

    • @goldmansun5859
      @goldmansun5859 6 років тому

      ua-cam.com/video/YqoLL77vOPY/v-deo.html

    • @Kprs-12
      @Kprs-12 6 років тому +1

      PEKO MISEGESE Alha akujalie pepo mazinge

    • @annamapunda431
      @annamapunda431 6 років тому +1

      Ndiyo maana mkeo nyuma kila siku kuchambua dini za wenzenu mnashindwa kujenga misikiti mmekalia ujinga

    • @goldmansun5859
      @goldmansun5859 6 років тому +1

      @@annamapunda431 MAZINGE ALINIUA SIKU MOJA ALIKUWA KIGOMA, AKASOMA UFUNUO WA YOHANA AKADAI MUHAMMAD NI MFALME WA WAFALME, SASA KWA KICHWA KIBOVU HICHO UNATEGEMEA NINI, HALAFU WAISLAM ALMOST WOTE UKIWASIKILIZA, UTAGUNDUA ENEO LA KIROHO HAWAPO KABSA, WAPO KIITIKADI NA USHABIKI TU BAS,NAFIKIR WAKRISTO WAANGALIE WATU WA KUDEBATE NAO, NA KAMA UTADEBATE MUISLAM JUA UNADEBAT NA KICHAA WA KIROHO, BIBLIA INASEMA MJIBU MPUMBAVU SAWASAWA NA UPUMBAVU WAKE, WAISLAM UPANDE HUU NI WAPUMBAVU, HATA MASWAL YAO NI UPUMBAVU TU BASI, KISHA MIKELELE MINGI HATA KA WAKIONGEA UPUMBAVU

    • @shairanadam1443
      @shairanadam1443 6 років тому

      PEKO MISEGESE 😂😂😂

  • @twaahmhembele9317
    @twaahmhembele9317 6 років тому +2

    namshukuru ALLAH kwakuniumba hali yakua nimuislam

  • @kusagaonlinetv3983
    @kusagaonlinetv3983 5 років тому +4

    We mazinge ni noma umewatega wapuuzi wkaingia kwenye mtego

  • @hazaaahmadhazaa2770
    @hazaaahmadhazaa2770 4 роки тому

    ASSALAAM ALEYKUM mimi ni Muislamu
    Uwezo wa pastor ni mdogo WALAWI 18 kuanzia mstari wa 6 umekataza kuoa watu fulani na mama pia akiwemo.

  • @salmajuma4015
    @salmajuma4015 6 років тому +6

    Alinhamdulillah namshukur kuwa muisilam maana ninge kuwa mkirsito ningepoteaaa

  • @petermatonya6890
    @petermatonya6890 4 роки тому +2

    Yesu Kristo ndiye njia, kweli, na uzima, huwezi kuingia mbinguni bila yeye

  • @munakassim3521
    @munakassim3521 5 років тому +6

    Allha endelea kunisimamia mie nife nikiwa muislam

  • @francinensavyimana5601
    @francinensavyimana5601 4 роки тому

    Mazinge kiumbe kikali ca Allah cakucambua kitabo Allah akupe kheiri nyingi sana watiye shuli kiboko camakafiri

  • @allyhdad5248
    @allyhdad5248 6 років тому +22

    Nashukul mungu kuzaliw mwslamu

  • @salmaothman153
    @salmaothman153 6 років тому +1

    Mungu awape maisha marefu mashehe wetu waambie ukweli hao takbiriiiiiiiiiiiiiii

  • @PL-sq9tr
    @PL-sq9tr 6 років тому +21

    Najivunia kuwa mukristo YESU NI MFALUME WA WAFALUME

  • @petromachanga29
    @petromachanga29 5 років тому +1

    Elia mugini nashukulu kumjua yehova . Allah subhana wataala ni mungu wa uongo

    • @MtuSafi
      @MtuSafi 5 років тому

      Yehova ndo nn

    • @salamamohammed5446
      @salamamohammed5446 4 роки тому

      😪😪😪😪😪😪😪😪😪😪😪😪😪

  • @mohdabdi4157
    @mohdabdi4157 6 років тому +15

    laila haila Allah Muhammad raasulu Allah 👆

  • @ZezeZeze-ib3pu
    @ZezeZeze-ib3pu 6 років тому

    Mungu akuweke miaka mingi. Profesa Mazinge kwa kuwaelewesha wasio na uwelewa

  • @robertakello1666
    @robertakello1666 6 років тому +25

    I will b a Christian forever

  • @adammillanzi6087
    @adammillanzi6087 4 роки тому

    Abudu unachokiamini., Lakin sikwastaily hiyo. Dini Imani dinisiugomvi Wala kukashifiana, na tusigombane kwasabu ya dini.

  • @franklenard3186
    @franklenard3186 6 років тому +5

    Acheni mchezo, kwani kumchukua MTU yeyote na kujifanya Mchungaji, wakati ni Wa upande wao!!!!? Muchukueni GWAJIMA MUMULETE HAPO UONE

    • @ramadhanijohoiddi2899
      @ramadhanijohoiddi2899 5 років тому +1

      Gwajima anawaongopea wakristo wenzake kua anafufua watu na wanakubari mko sawa ninyi

    • @opebabel2053
      @opebabel2053 5 років тому

      Kwani yey nani.aje na yey tumpe makavu.anafufua watu? Nyoooo xuuuu anatumia mizimu ya Nageria eti anafufua watu.amfufuw Babako ao mamako ili uwez kumuamini zaidi

    • @pi4385
      @pi4385 5 років тому

      ​@@ramadhanijohoiddi2899 tuko sawa,. imeandikwa ``ponyeni wagonjwa, fufueni wafu, takaseni weny ukoma, toeni pepo mmepewa bure toeni bure.'mathayo 10:8. pia kuhusu kufufua yesu alimfufua binti yake yairo na razalo, imeandikwa katika malko 5:21-43, na ukitoa yesu , mifupa ya elisha ilimfufua mtu. 2wafalme 13:14-21. na mwisho imeandikwa usiwaguse wala kuwaongea vibaya watumishi wa mungu, zaburi 105:15

    • @zuwenazuwena9498
      @zuwenazuwena9498 5 років тому +3

      @@pi4385 sasa mmeambiwa mfufue wafu mbona nyie mnawazika sasa, jamani!!

  • @luciensayumwe3373
    @luciensayumwe3373 6 років тому

    Jamani tusindanganyike Mwenyezi Mungu hawezi kuleta vitabu viwili tofauti duniani kati ya hivyo kimoja ni cha Mwenyezi Mungu na kingine ni chaule mwovu shetani na mizimu yake na majini yake

    • @frankjohn8570
      @frankjohn8570 5 років тому

      Lucien Sayumwe nae anaabudiwa kwa lugha moja tu, huyo si mungu ni mzimu wa kabila fulani

  • @bilalissack7573
    @bilalissack7573 4 роки тому +3

    Mazinga mwalimu na nusu

  • @allykeita704
    @allykeita704 3 роки тому

    Mazinge uishi miaka mingi hahaha

  • @dajimmuabdul7661
    @dajimmuabdul7661 5 років тому +8

    m/mungu anijaalie nife nikiwa muislamu 6k shida mm

  • @ramadhanshida8697
    @ramadhanshida8697 5 років тому

    Hahaaaa utatiza watu waliochanganyikiwa kiakili lakini sio watu timamu

  • @ibrahimisack1765
    @ibrahimisack1765 6 років тому +62

    Najivunia kua muislam

    • @mikemotikas8145
      @mikemotikas8145 6 років тому +1

      Hamjielewi fundisheni waislam uislamu si vinginevyo ukristo hamuujui

    • @mikemotikas8145
      @mikemotikas8145 6 років тому

      Anaongea ujinga mtupu

    • @goldmansun5859
      @goldmansun5859 6 років тому

      ua-cam.com/video/YqoLL77vOPY/v-deo.html

    • @goodluckmollel8416
      @goodluckmollel8416 6 років тому +3

      Lakini kuwa muislam kusimfanye asiye amini sawa na wew akose amani
      You have to wake up guys

    • @evocationdirect812
      @evocationdirect812 6 років тому

      ibrahim isack makalio yako

  • @ghibbahally9627
    @ghibbahally9627 4 роки тому +1

    Allah awalipe kheir masheikh wetu

  • @uncledavitv6481
    @uncledavitv6481 6 років тому +4

    niambie habari za Kwenda mbinguni... ucnilete habari za Uislam Ndio dini sahihi.. coz Uislam hautanifikisha mbinguni...

  • @martinnassary587
    @martinnassary587 6 років тому +1

    Amina mchungaji mungu akubariki unaenda kimaandiko barikiwa

  • @maepomaepohassan2551
    @maepomaepohassan2551 6 років тому +7

    kweli nime amin wakristo ni watu ambao elim yao ni ndogo ndo maana Wana va chup alfu Wana tembea nazo mpaka kanisan

    • @omiyboyrama1198
      @omiyboyrama1198 5 років тому +1

      Wakristo wanautumia ukristo kujitajirisha

    • @michaelhyungim8174
      @michaelhyungim8174 5 років тому

      Mnaongeya upumbavu mtupu

    • @rahamahabdul630
      @rahamahabdul630 5 років тому

      @@michaelhyungim8174 lakini ni ukweli....face it

    • @zerobudget4386
      @zerobudget4386 5 років тому +1

      we mpumbavu sana ,sasa ulitaka tutembee uchi kama nyie,,quran iliandikwa na walevi wanne,,pia waislamu ndio watu pekee duniani wanaoongoza kuwa elimu ndogo ya darasani,,mnabishana tu hamna hoja nyie

    • @faustinemavere1450
      @faustinemavere1450 4 роки тому

      Maepo hujitambui vazi haliwezi kukupeleka mbinguni hamjielewagi nyinyi mnafunika macho lakini ukahaba ndo umejaa wangapi tunakutana nao magesti na manguo yao eti wamejisitiri ni bora mvaa chupi au kahaba aliyevaa gubigubi?

  • @binurusm8886
    @binurusm8886 5 років тому

    Jamani hivi kweli hata kwa kufikiri tu Mungu anaweza kua na mtoto?, tumuombe Mungu atupe ufahamu zaidi.

    • @zuwenazuwena9498
      @zuwenazuwena9498 5 років тому

      Eti jamani hata kwa mtazamo wa kawaida tuu mbali na maandiko tuko wengi hivi katika dunia naviumbe wengine wooote lakini mungu awe na mtoto mmoja tu? Hivi niakali hizi, basi agalau hata mngesema baba yetu ADAMU maana yeye ndo hana baba wala mama

    • @frankjohn8570
      @frankjohn8570 5 років тому

      Binuru Sm kupata ufahamu wa mambo ya Mungu wa kweli alieumba vyote mpaka uwe miongoni mwa waaminio hapo utajua kuwa ,sio kwa lugha ya wengine Bali kwa KILA mtu na lugha yake Mungu anasikia

  • @janembodze9933
    @janembodze9933 6 років тому +3

    jaman nyinyi uwa mwashangaza c mukiongea muongee tu kuhusu uzuri wa dini yenu ili mwenye atakubal kubadilika abadilike, ata Siku moja cwez badil dini yangu Christian forever

    • @frankjohn8570
      @frankjohn8570 5 років тому

      jane mbodze heri kukaa kwa YESU alie hai, kuliko kupenda aliekufa alafu unakaa mjini kwa nini usiende makaburini?

  • @alloycemillinga1673
    @alloycemillinga1673 5 років тому +2

    Daah Nafikiri angekuwepo father Likado Maria wa morogoro Mkurugenzi wa Alfagems wangeona motoo mqqna yupo dip hatarii

  • @jossykary6440
    @jossykary6440 6 років тому +27

    Proudly chrstian😚😚😚😚😚😚

    • @omarkhalfan2985
      @omarkhalfan2985 6 років тому

      Kwa lip kubwa la kujivunia mwehu mkubwa ww

    • @jossykary6440
      @jossykary6440 6 років тому +1

      @@omarkhalfan2985 sasa uislamu ni huo wa kutusiana ovyo ovyo kauikia mbali na uislamu wako puga mfirwa mkundu shetani mkubwa proud to be a christian ikikuuma b proud of of your religion too tutoshane shoga

    • @salmaothman153
      @salmaothman153 6 років тому +2

      @@jossykary6440 mungu akusamehe makosa yako maana hulijui ulitndelo

    • @jossykary6440
      @jossykary6440 6 років тому

      Salma Othman Amiin

    • @omarkhalfan2985
      @omarkhalfan2985 6 років тому

      Mambo niciyoyajua au usioyajua ww ndo Inbox mikufundishe dini

  • @hamza89945
    @hamza89945 5 років тому +1

    Wakiristo waongo sana wanajifanya wajanja ujanja wa chura kuruka hapa na hapa

    • @ramadhanshida8697
      @ramadhanshida8697 5 років тому

      Ujanja unatoka na wapi, wewe hujielewi na umebebwa tu kihisia alafu unaona eti uko sawa Lakini ukikaa chini na kutafakari vyema utajua hujui, ole wenu maana adhabu yenu kwa Mungu itayari

  • @viiryabuu3577
    @viiryabuu3577 6 років тому +7

    Mhadhiri mazinge na team yenu tunawapata vyema kutoka kenya

  • @shedoroba4807
    @shedoroba4807 4 роки тому

    He didnt read An-Nisaa correctly,he ran over it to look for the word 'lakini'....hata mtoto mdogo hawezi kubaliana naye.
    Alhamdulillah

  • @pekomisegese7724
    @pekomisegese7724 6 років тому +6

    Muislamu Peke Yake Ndio Anayejua Katoka Wapi, Yupo Wapi, Na Anakwenda Wapi. Anaebisha Anyooshe Kidole Au Ajifanye Anajikuna.

  • @jacksaid
    @jacksaid 5 років тому +1

    Mimi muislam leo mama ngu atakuwa mke wangu. Sio mimi ni korohani ndo...... wrong way isn't?

  • @eliamugini8494
    @eliamugini8494 5 років тому +17

    Kila roho isiyokiri ya kuwa YESU ni MWANA WA MUNGU haitokani na MUNGU

  • @latifayahaya8964
    @latifayahaya8964 5 років тому

    Yesu sio mwana wamungu yesu nimwana Wa Maliamu mungu hajazaa bhana msituvuluge

  • @princehancesam9892
    @princehancesam9892 6 років тому +15

    waislam maboya tu mnashindwa kuleta maendeleo ndyo maana maisha yenu magum kuliko wakristo yan anapokaa msilam na mkristo ni tofaut

    • @moyojunior4885
      @moyojunior4885 6 років тому

      we kichaa saana

    • @zuwenapauro5860
      @zuwenapauro5860 6 років тому +1

      Prince hance Sam hongera uzikwe navyo

    • @amevuai8724
      @amevuai8724 6 років тому +3

      Unajiita prince wakati kilaza kama ww hakuna. Kwani hawa; Bakhresa, Mohammed Dewji, Rostam Aziz na Yussuf Mani ni dini gani hata useme waislamu maisha yetu magumu?? Kumbe ww ni boya mara 1,000,000 zaid.

    • @princehancesam9892
      @princehancesam9892 6 років тому +5

      katika 100 ni 20 tu waliofanikiwa na ambao wamefanikiwa c watu kama hawa amabao wameshindwa kujal din yao ukisikia uchochez wa kidini na kuleta vita vya kidini

    • @shabanalphonice5281
      @shabanalphonice5281 6 років тому

      We kavu sanr braza...ww una kipi na uzikwe navyo

  • @lucystella9612
    @lucystella9612 4 роки тому

    Yani kufa katika ukristo ni bola kufata njia iliyo nyooka YESU ndie njia kweli na uzima

  • @fredymbinga8765
    @fredymbinga8765 6 років тому +5

    nyie waislam mnanyege nawakristo mnaacha kufanya yenu mnajaji ujinga inaonysha amjavalishwa nepi utotoni ndomaana amna akili

    • @charleskazimoto6968
      @charleskazimoto6968 5 років тому

      Kuoana kuna shida gani?. Babu zetu hawakuwa na Dini walikuwa wakioana bila shida. Acheni uchonganishi. Hata mimi nina mpango wa kumuoa mtoto wa Kiislamu. Wasafiu sana na wanajua kuoga.

  • @francisjoseph1074
    @francisjoseph1074 3 роки тому

    Kweli mazinge ni kichwa panzi haahaaa sasa ndo swali gani

  • @mokwelucas840
    @mokwelucas840 5 років тому +4

    Bwana YESU asifiweeee

  • @ayanaamri3584
    @ayanaamri3584 5 років тому

    Takbirii Allahu Akbar, allah awape umri zaidi wahadhiri wetu inshallah

  • @elizabethgiven8363
    @elizabethgiven8363 6 років тому +7

    waisilamu wengi mnaona dini ynu hiko kosahihi sana mkienda kenye miskititi yenu mnaongea unafiki kulko kufata dini ndio mana ata utoaji wa sadaka mnakua wazito kuliko kupeleka ela kwa waganga

    • @ayubulindu2609
      @ayubulindu2609 6 років тому

      kosa vyote upate hekima ya Mungu

    • @salumhamad2424
      @salumhamad2424 6 років тому

      Ss ww unafiki we2 unakuuma nn na ww si muislam

    • @omiyboyrama1198
      @omiyboyrama1198 5 років тому +2

      Anayetaja mganga anajihusisha naye

    • @mbalahdejr4277
      @mbalahdejr4277 5 років тому

      Anaelekea huyu alihangaika sana

    • @hassaniddi8189
      @hassaniddi8189 5 років тому +1

      Elizabeth given nyny mnatoa sadaka kanisan za kuendesha maisha ya padri hhhhahaahh mapadri wnfnkw kmaish kW nguv zenu ..fumba macho yesu anapitaa hhhhahhhh aloo ma askof na mapadri matapeli mnhh biashara asa

  • @banathdaniel6550
    @banathdaniel6550 6 років тому +1

    Ee Mungu uliyeumba mbingu na nchi na ulimtoa mwanae Yesu kristo kwa ajili ya watu wotee ili rehema zako ziwafikie ,lakini tazama wanaleta mabishano baadala ya kuokoa nafsii za watu waliopotea na kuhubiri injili ya kweli kwa habari ya wokovu !! wasamehe Baba maana bado hawajaelewa ni nini kifanyike!!!

  • @aishabakari1031
    @aishabakari1031 6 років тому +8

    I will be Christianity forever

  • @edwardlemayian427
    @edwardlemayian427 5 років тому +2

    MIMI MKRISTO DAIMA NA NAJIVUNIA

  • @chimeyantandajunji9812
    @chimeyantandajunji9812 6 років тому +5

    Najivunia kuwa mkristo. Hata mseme nini?

    • @karigoshafuri
      @karigoshafuri 5 років тому

      Allah akupe muongozo ndugu yangu

  • @aminilendi5560
    @aminilendi5560 6 років тому

    SUBIRI KAMA YESU ATARUDI KATIKA MAJITU MBUMBU WE WE HAKUNA SAID I WAISLAM

  • @ahgsfwyhahgsgag3526
    @ahgsfwyhahgsgag3526 6 років тому +13

    Wakristo mtaenda kuchonwa myinyiiii

    • @bhachusanga3102
      @bhachusanga3102 6 років тому

      Ahgsfwy Hahgsgag Hahahahaha hizi imani bana

    • @omaryzubery1809
      @omaryzubery1809 6 років тому +1

      Jiheshimu ndugu YANGU,,

    • @leodgandunguru1695
      @leodgandunguru1695 6 років тому +1

      Achomwe kwa dhambi gani?

    • @matatamika4649
      @matatamika4649 6 років тому

      Kama mwema anachomwa basi WAKRISTO watachomwa but kama kinyume mna kazi Islamic

    • @noelbryson7840
      @noelbryson7840 6 років тому

      Ahgsfwy Hahgsgag Acha kelele nyie magaidi!! Kwanza mbona hamjakamatwa mpaka leo magaidi wakubwa nyie....

  • @pekomisegese7724
    @pekomisegese7724 6 років тому +2

    Muislamu Kajaaliwa Akili Na Mungu MWENYEWE. Unapomuona Muislamu Sema Mwenye Akili Yuleeee.

  • @yaqoubsalim99
    @yaqoubsalim99 6 років тому +7

    Uislamu ndio dini ya haki

    • @kaiblai3823
      @kaiblai3823 6 років тому

      Nan hamekwambi hizo dini tumegawana cc wenyewe dunian nahamin kwamungu hakuna din 10wala 1 wote nikitu kimoj

  • @joshuaeliya8559
    @joshuaeliya8559 6 років тому

    allah ni shetani siyo muumba wa mbingu na ardhi. Ata wakristo uarabuni hawamwiti Mungu allah

    • @vicentamon2162
      @vicentamon2162 6 років тому

      Ujue utajibu cku ya kifo chako icho ulichoxema Allah n shetan duuh rahana izo

    • @waheed-ou4ek
      @waheed-ou4ek 5 років тому

      Je Yesu ni Mungu?

    • @aligaaward500
      @aligaaward500 5 років тому

      Ww mjinga sana utachomwa snaa

  • @millicentmadamyaya1608
    @millicentmadamyaya1608 6 років тому +3

    Proud Christian 🙏🙏

  • @pekomisegese7724
    @pekomisegese7724 6 років тому +2

    Yaani Nikiangalia Debate Hii Nacheka Mpaka Nagalagala. Yaani Unaona Kabisa Yakuwa Mazinge Anawatega Lakini Wakristo Hawakumuelewa Mazinge Kama Anawatega!!!!!!!!!!!!! Hawa Watu Wananisikitisha Saaaaaaana.

  • @shamimumuhajiri5002
    @shamimumuhajiri5002 5 років тому +3

    wakristo acha ujinga uislamu ndo dini pekee ukristo ni siasa

    • @africandreamchaser8676
      @africandreamchaser8676 5 років тому

      Shamimu Muhajiri ok jitahidi lakini kuzimu na jehanam hupaepuki

    • @djgmp8140
      @djgmp8140 5 років тому

      Shamimu Muhajiri ndugu yangu mungu ajawatuma mukrash din za watu Bali ni kumtukuza na kumuomba yeye

    • @frankjohn8570
      @frankjohn8570 5 років тому

      Shamimu Muhajiri biblia inasema mwapotea kwa kutojua maandiko na uweza wa Mungu, Mungu wa wa kristo ndiye muweza wa yote na ndiye kaumba vyote anajua lugha zote hakuna haja kujifunza lugha ya TAIFA tofauti na wewe ili umwabudu,Bali yeye kwa lugha yoyote anaelewa,kwa uwezo wake na kwa NENO lake unakua mtoto wake yeye si mtu ati mpaka afanye harusi yeye asema NENO linakuwa

  • @longinusmilinga3742
    @longinusmilinga3742 5 років тому

    good uislamu mbele