Pastor akiri Yesu alikua mwislam lakini muyahudi...tizama

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 вер 2024
  • Muhathara uliyofanyika..... Tana River County.

КОМЕНТАРІ • 253

  • @yassinmohamed8241
    @yassinmohamed8241 4 роки тому +5

    Hahaha haha I love u mazinge sababu ya allah

  • @shadyaadam8919
    @shadyaadam8919 3 роки тому

    Mazinge unatisha kijana, mashaallah Allah azidi kukuweka ili uupeleke uislam mbele.
    Takbiiiiir
    Allahu akbar

  • @tztanzania2262
    @tztanzania2262 4 роки тому +2

    11:29 mathayo (jitien nira yangu na mjifunze kwangu kwa kuwa mimi ni mpole na muislam wa moyo)

  • @simbaboy2448
    @simbaboy2448 5 років тому +26

    Takbiir,, alahu akbar alahu akbar alahu akbar
    Islam is real religion, I proud to be Muslim ☪

  • @immaibra1734
    @immaibra1734 5 років тому +21

    Masha Allah naomb uje tz umtafute murtadi hamza issa anatukashfu san waislam umpe alimu.

  • @saumuseif9189
    @saumuseif9189 3 роки тому +1

    Mashaallah mashekhe wetu Allah awalipekherii

  • @nuwayakubu5337
    @nuwayakubu5337 5 років тому +11

    Ukiwa na elimu raha xana aisee nmeelewa k2 apo nduguzangu tafteni elimu .hutobabaika .l proud to be muslm

  • @mohamedissack8053
    @mohamedissack8053 5 років тому +2

    Mazinge undugu yangu nakupenda sana mungu hakuhifadi Masha Allah nyi nyi wote

    • @kitkatpleasesubscribe6720
      @kitkatpleasesubscribe6720 5 років тому

      Mohamed Issack,
      My dear brother *PLEASE* you must also watch my very important videos in my *Playlists*

  • @chelseaxoxo1106
    @chelseaxoxo1106 5 років тому +12

    Allhamdulillah Sasa makafiri hawana njia

  • @samanthaali873
    @samanthaali873 5 років тому +11

    Masha Allah mungu awajaalie kila la heri masheikh wetu

  • @alwaladinswalihualwaladins4724
    @alwaladinswalihualwaladins4724 5 років тому +23

    MaashaAllah Sheikh Suleiman Mazinge Mungu akupe umri mrefu mwafanya kazi walizofanya manabii kulingania watu kuingia katika dini ya haqi kwa kutumia Qur an tukufu na ata kutumia hiyo biblia yao maana wanaonekana hawasomi kitabu chao kiufaswaha wao ni kuskiza mapastor wao tu hawana la kuuliza wakiwa kanisani ni danganya toto tu hakuna Ibada wanafanya ni kuimba tu na wanatoa sadaka kutajirisha mapastor hawajui yaani wanamasikio hawasikii na wanamacho hawaoni huu ni Mtihani wallahi kwa kila aliezaliwa ndani ya Uislaam tuseme Alhdulillah na kulingania wasiokua waislaam ni kazi kubwa sana kusimama barabarani kufikisha kalima ya Allah ni Ujira mkubwa sana Allah awape umri mrefu mashekhe zetu wazidi kulingania dini ya Allah Aaaaaaamin.

    • @protucekimario8199
      @protucekimario8199 5 років тому

      Ona sasa huyo sheikh wanachagua mtu gan wote hao hamna Wa maana hamna anaejua pande zote

    • @wemarogar3667
      @wemarogar3667 5 років тому

      Pole San ten San Na San

    • @letssee204tuone2
      @letssee204tuone2 5 років тому +1

      Yesu ndie njia na uzima^^^°°°

    • @AaAa-kr9nb
      @AaAa-kr9nb 5 років тому

      swadakta njia ya haki ni uislam

  • @halimasaid4977
    @halimasaid4977 3 роки тому

    Big up mashekhe wetu mollah awalinde na awalipe yaliyo mazuri zaid mashaallah

  • @malikiakimwera9524
    @malikiakimwera9524 5 років тому +10

    Mashaallah mashAallah shekhe mazinge

  • @siwajibufarida3428
    @siwajibufarida3428 5 років тому +14

    Mazinge kiboko

  • @omarshariff8266
    @omarshariff8266 5 років тому +14

    allah akupe umri mwema na afya

  • @mwajumamwajuma3756
    @mwajumamwajuma3756 4 роки тому +1

    Mazinge kiboko yao mashaallah wape🤣🤣🤣🙏

  • @mwanakombokalamu7009
    @mwanakombokalamu7009 2 роки тому

    Mashallah Allah awape umri mrefu mashekh wetu🙏🙏🙏

  • @princessafrash8757
    @princessafrash8757 3 роки тому

    تكبير الله أكبر٫ Masha Allah najivunia kua muislamu wallah

  • @nancysakwa2810
    @nancysakwa2810 4 роки тому

    Mwenyezi mungu ajuae kwa hakika mungu nipe maisha marefu yenye manufaa ili niweze kujua njia ya haki ya kuuona ufalme wa mbinguni

  • @jamilshisia5929
    @jamilshisia5929 4 роки тому +1

    Mashallah mafundisho mazuri sana, jazakallah ustadhi mazinge

  • @mohammadalfani8004
    @mohammadalfani8004 3 роки тому

    Jazakah Allah sheikh mazinge Mungu kupe umri

  • @kingungengombari9159
    @kingungengombari9159 5 років тому +19

    Mashaallah hongeren sana masheikh zetu! !!Allah awape umri mrefu mzid kusambaza ujumbe wa Allah

  • @ashaboke8849
    @ashaboke8849 5 років тому +4

    Maasha Allah sheikh

  • @karryh5338
    @karryh5338 5 років тому +3

    Sheikh maneno yako mazuri yenye manufaa lakini mnafeli tu pale mnapo jumuika na wanawake mola wetu mlezi ametukataza baraka Allahu fiykum akhwani

  • @rkenea4262
    @rkenea4262 5 років тому +8

    Masha Allah ya shekhe mazinge

  • @salimmohamed694
    @salimmohamed694 5 років тому +8

    Subhannallah wakristo wanapotea yarab waokoe watu wako hawa😢😢😢😢

    • @thenextmvp8568
      @thenextmvp8568 5 років тому

      Salim Mohamed yaani aesilamu mnatabu sana nyie

    • @salimmohamed694
      @salimmohamed694 5 років тому

      @@thenextmvp8568 bro usijali ww muombe Mungu sana akuonyeshe njia ya haki... mimi sikukatazi kuwa mkiristo lakini hii ishu ya kusema yesu ni bwana ni katika makosa makubwa sana mnayoyafanya.

    • @ezabiashefatia1274
      @ezabiashefatia1274 5 років тому

      wanakudanganyeni uislamu umeanza miaka zaidi ya 475 baada ya Yesu

    • @salimmohamed694
      @salimmohamed694 5 років тому

      @@ezabiashefatia1274 kaombewe basi utolewe majini utoe na sadaqa akale mchungaji afu usubili miujiza kwa jina la yesu. Sijui yesu gani

  • @behewameja5058
    @behewameja5058 5 років тому +2

    Asante Yarabby Mola wangu kuniumba mimi muisilam jamani mana hawa watu ni vichwa ngumu sana jamani kwanini wanawadanganya hao mapasta wao wanapiga zao pesa nyie mnatoka bure juweni ukweli nyie dunia imefika mwisho nyie mashekh wetu wanajitahidi kuwaokoweni hamsikii jamani dah

    • @wemarogar3667
      @wemarogar3667 5 років тому

      Na mm najivunia kuwa mkristo ... Namwamin Yesu nampnda yesu maan amenifundish kunyenyekea Na sio kupigan vita ... Vita vyte anapigan yey Na sio vya damu Na nyama bali n ktk ulimwengu wa roho... I love u Jesus forever

  • @HABIBULLAH-nd9ft
    @HABIBULLAH-nd9ft 5 років тому

    Hakika mungu akupe umri mrefu shekh Suleiman mazinge kutoka Kenya, hakika kazi mzuri na ujira wake kwa mola mtukufu pekee kwa ajili ya kaz hii mungu kajaalia majembe mawili Shekh Suleiman mazinge from Kenya na shekh Habib Othman mazinge in tz allah awajaze kheri nyingi saana kwa kazi mzuri.

  • @ishaq9925
    @ishaq9925 5 років тому +5

    daa jina halikupotea mazinge kweli allah akupe umri mrefu afya njema

  • @waridiwaridi7147
    @waridiwaridi7147 5 років тому +4

    Masha allah mashekhe wetu

  • @mpondamedia2416
    @mpondamedia2416 5 років тому +8

    Baaraka llahu fiikum

  • @user-hd4gf3ct4k
    @user-hd4gf3ct4k 5 років тому +3

    ما شاء الله تبارك الله شيخ سليمان

  • @harmxooz0701
    @harmxooz0701 4 роки тому +1

    Masha Allah, Endelea kueneza Dini Sheykh Allah Atakunusuru

  • @zakariamohaz6965
    @zakariamohaz6965 3 роки тому +2

    Takbirrrrr

  • @rehemaahamadiahmadi566
    @rehemaahamadiahmadi566 5 років тому +7

    Twashukuru waislamu wote dunia kwa neema hii ya kua waislamu na twawaombea wasio waislamu waijue haki

    • @letssee204tuone2
      @letssee204tuone2 5 років тому +1

      Rehema Ahamadi Ahmadi Jesus is way the truth and life

    • @wemarogar3667
      @wemarogar3667 5 років тому

      Sio kosa lenu ... Ni kukosa maarifa

  • @majaliwahamad4053
    @majaliwahamad4053 5 років тому +6

    Sauti inavuma sana inasumbua kdgo asanteni muko vizri

  • @myoutubecom-gg7sb
    @myoutubecom-gg7sb 5 років тому +14

    mashaAllah

  • @biramsakh9212
    @biramsakh9212 5 років тому

    Ndio mana Nabii issa atashuka kwa ivi anavotajwa sana duniani. Mara makafir wamwite Mungu wengine mwana wa Mungu, Allah Akbar mashekh Allah awape nguvu kuelimisha amin

  • @tztanzania2262
    @tztanzania2262 4 роки тому +1

    Nyakat2(7;3) wakatazama watu waesrael woote....wakasujudu kifulifuli

  • @nooraallahuakibarumwenyeez3079
    @nooraallahuakibarumwenyeez3079 5 років тому

    Takbiri Allahu Akibaru nawaoneya sana huruma wakristo yani ht bibiliya yao wanayo iyamini hamna kitu dini ya kweli bwana ni uwiislamu ndiyo Ambao ukifanya Amali njema ndiyo unaenda kuingiya peponi dini nyingine tupa ktk moto MKALI wa jahannama ila wa kwetu ss usiya waislam kwamba dini ya haki ni kiislam ukienda kuunguwa kesho kwa Alla huna dini utailaumu nafsi yako lakini ukweli umeambiwa ila tegemeya unacho lima na ndiyo unacho vuna

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 4 роки тому +1

    Allah Akbar,Maa Shaa Allah,

  • @eastafrica6858
    @eastafrica6858 3 роки тому

    Mashallah mazinge

  • @legrandmsangi9789
    @legrandmsangi9789 5 років тому +7

    Taqbiiiiirr.. kwa hakika uislamu ni dini iliyokamilika na kitabu chake ni kitukufu na hakina mashaka. tazama biblia ilivyo na mashaka ktk maandiko yke, mzungu kabadili maandiko lkn bdo kashndwa kuisafsha bible. wakristo kakaeni chin msome bible vzr

  • @siwajibufarida3428
    @siwajibufarida3428 5 років тому +5

    Ma shaa Allah

  • @halimasaid4977
    @halimasaid4977 3 роки тому

    Ilove you shekhe wewe dar mollah akulipe khery

  • @ayshaali3577
    @ayshaali3577 5 років тому +9

    laa lla hailla ullwah muhammadan rasuru ullwah

  • @henryosoro7696
    @henryosoro7696 3 роки тому

    Waislamu Yesu anakupenda wacha upizani..Yesu yuko

  • @godisgreat1845
    @godisgreat1845 4 роки тому +1

    Afadhali hao wanajitahidi kuja kujibu na kuuliza lakini wachungaji na maaskofu hawathubutu kusogea wakapoteza ajira maana watashindwa kujibu aibu itakuwa kubwa wao na washabiki wao

  • @ramaguzo7209
    @ramaguzo7209 4 роки тому +1

    Takbiriiih

  • @user-rc7oi2hp8l
    @user-rc7oi2hp8l 6 місяців тому

    Ma sha Allah tabaraka llah

  • @ukhtysakinaa7664
    @ukhtysakinaa7664 5 років тому +8

    Hahaha kiboko mazinge Allah akuongoze

    • @edwardmamuya8066
      @edwardmamuya8066 5 років тому

      Uchanga wa kujua maandiko unasumbua. Maana ya Damu ya Yesu siyo hiyo.

  • @marcbanyankirubusa135
    @marcbanyankirubusa135 4 роки тому +1

    Waislam munadanganya watu apa muko munaceka mko n'a fulaha , kwa ju munaleta mutu asiye babawa asiye juwa ukweli , lakini mumuite pastori ndacha ABA elimishe. Waislam unashikamana na majini sijiya kwenda kwa mungu ni fini yashetani inakuja kupoteza watu, inapeleka motoni.

    • @eastafrica6858
      @eastafrica6858 3 роки тому

      Ww ndio unafata mafreemason mana kama yesu ni muislam je ww umefata nani paulo

  • @asadabdul5112
    @asadabdul5112 4 роки тому +1

    Uyu mazinge au

  • @allyhamisi4709
    @allyhamisi4709 4 роки тому +1

    Allah akulind suleman mazinge

  • @kautharcadey3562
    @kautharcadey3562 2 роки тому

    Mash ALLAH bless you

  • @alimakame9224
    @alimakame9224 4 роки тому +1

    tuk pa1 shekh

  • @sakinayusuf5072
    @sakinayusuf5072 5 років тому +2

    Hahahahhhaha shekhe umeuwa twawaombea

  • @fatmazullu4933
    @fatmazullu4933 4 роки тому +1

    Mechekaa miee hahaaa

  • @allyabdallah4357
    @allyabdallah4357 3 роки тому

    Kweli kuna watu wana tishahata maandiko yao wana yapinga yesu alikuwa aki ingia msikitini kama ilivyo kuwa destuli yake lakini hawataki wana bisha duu kweli kazi ipo

  • @suhaybabeid3115
    @suhaybabeid3115 3 роки тому +1

    Am proud to be Muslim boy mashallah

  • @faizasaid8262
    @faizasaid8262 5 років тому +4

    Mashallah

  • @samwelmanasse5724
    @samwelmanasse5724 5 років тому +1

    Nduguzangu, msifanye mambo ya Mungu kuwa mzaha. Sio mambo za kuchekesha watu bali ni ukweli wa Mungu.
    Ukiwazuia wale wanaotafuta ukweli kwa kutumia uwongo ama vichekesho, hukumu utakungojea wewe. Mda unayoyoma na mwisho wa dunia unakaribia. Mungu anawafuasi wake kila mahali na wanasikia sauti yake anapoita.
    Wako uisilamuni, kwa wakristo, kwa wayaudi, waindi (na kadhalika..) na Roho wake Mtakatifu anafanya kazi ya kufunua ukweli. Mwito ukija kutoka kwa Mwenyezi Mungu, hawa wafuasi wake wataitikia kutota kila kabila. Lakini waongo watafuata bwana wao ambaye ni ibilisi , yule shetani ambaye ni mwongo kutokea kitambo.

    • @nicksonimsuya5044
      @nicksonimsuya5044 5 років тому

      samwel manasse hayo majibizano yenu niya mwilini wala siyarohoni mwayachunguza maandiko mkifikiri mnauzima ndani yake

    • @nicksonimsuya5044
      @nicksonimsuya5044 5 років тому

      We we mazinge nipepo mchafu unawapotosha watu unayachunguza maandiko ukidhani unauzima ndani yake

    • @samwelmanasse5724
      @samwelmanasse5724 5 років тому

      @@nicksonimsuya5044, Ahsante ndugu Msuya, ni wakati wa kuhubiri ukweli. Mwenyenzi Mungu hapendi yeyote kungamika bali uchaguzi ni wetu binadamu: Kumwamini ama kumkataa.
      Siku za mwisho kutakuwa na waubiri wa uongo na wakweli. Maombi yetu ni watu wote wabarikiwe na wale wanaodanganya wajue ukweli .

  • @rahmatumam357
    @rahmatumam357 5 років тому +7

    Maskini mzee yuafa kafiri hajui chochote

  • @loisekalame8893
    @loisekalame8893 5 років тому +4

    Yesu ndie njia ya kweli wamwamie yataokoka

  • @ishaq9925
    @ishaq9925 5 років тому +5

    mazinge ww umerithi ukorofi wa mazinge mwenzio ubalikiwe sana Jina halikupotea

  • @wariorashid61
    @wariorashid61 5 років тому +1

    Nakirii kuwa mwislamu damu

  • @emanuel1269
    @emanuel1269 2 роки тому

    Yesu ndio njia kweli na uzima ayo mengine yapo ndani ya YESU yaniii wewe shehe uokoke kwamaana ukimwamini YESU umeokoka niwokovu uache kudanganya watu wasimfate YESU kwamaa yeye ndio alama ya kiama na siku iyo yamwisho niyeye atakuja tena mjue wanaomwamini YESU wapo rohoni nasio mwilini nao waaminio wanamwabudu Mungu katika roho nakweli kupitia YESU kristo.

  • @hamadsuleiman5177
    @hamadsuleiman5177 5 років тому

    Mashallah na ahsante sana kwani ulimwengu wa sahv hiyi unayofanya ndo jihadi inayotakiwa kwani hoja unazojenga kupitia vitabu ndo vinawasilisha baadhi ya hao wasiojielewa mpaka sasa...Mungu akupe nguvu na maisha ww pamona na wahadhir wengine ili kusudi muweze kupambana kwa upande huu wa uhadhir na kuweza kuwasalimisha ndugu zetu hawa wasiokua waislamu na moto wa jahannam.."Mutapoinusuru dini ya Allah naye atakunusuruni na itathibitisha mambo yenu" na ndo maana anaendelea kuwasapot juu ya hili na wala msirudi nyuma...sisi tunaplay sehem nyngn za usilamu kama vile kusomesha

  • @lulihassan5952
    @lulihassan5952 4 роки тому +1

    Nilikuwa hapo siku hiyo

  • @alhamdulillah5796
    @alhamdulillah5796 5 років тому +4

    Jamani damu hyo tena imekua mfano wa bahari kwa uwingi

  • @alisalim5158
    @alisalim5158 4 роки тому +1

    Mazinge wewe ni kuboko

  • @jaffarmohamed6859
    @jaffarmohamed6859 3 роки тому

    Masha Allah

  • @welezilibero7650
    @welezilibero7650 5 років тому +5

    SUBHANAALLAH

  • @augustinojohn4764
    @augustinojohn4764 5 років тому +2

    Mmewapata ambao hawajuhi BIBLIA vizuri

    • @godisgreat1845
      @godisgreat1845 4 роки тому

      Nani anajua Biblia katika wakristo maana mnadhani kuwa kuna aya zaidi ya hizo wakristo wote hamna utaratibu wa kusoma maana mnaishi kwa maneno ya utashi wa wachungaji tu

    • @shannyjumah4211
      @shannyjumah4211 4 роки тому +2

      Ungeenda wewe mwenye kujua kutetea na sio kulalama u tube

  • @shukurkimat2940
    @shukurkimat2940 5 років тому +2

    Wewe kasome ufunuwo uone yesu akiwaandikia makanisa

  • @rajabmahmoud4032
    @rajabmahmoud4032 5 років тому +1

    Sheikh wangu mm nina bible ya kiswahili shida yangu kujua majina ya vitabu kwa kiingereza .naomba msaada

  • @tztanzania2262
    @tztanzania2262 4 роки тому +1

    26:39(mathayo)

  • @tztanzania2262
    @tztanzania2262 4 роки тому +1

    4:10(mathayo)

  • @happyarooun6037
    @happyarooun6037 5 років тому +3

    mashaalah wakristo hawana hoja

  • @mohhamedmasai3911
    @mohhamedmasai3911 5 років тому +1

    MashAllah

  • @jumalove2631
    @jumalove2631 5 років тому +1

    Mbn unaweka nusu shkh

  • @khadarbarkadle6798
    @khadarbarkadle6798 5 років тому +2

    Mashaalh my muslims brothers🇸🇴🇸🇴🇸🇴

  • @semajororubabaza3399
    @semajororubabaza3399 5 років тому

    Hakuna tofauti Kati ya wakristo wa jumapili na waislam, kwani wote hawazishiki amri za Mungu!

  • @haleemasulthan4894
    @haleemasulthan4894 4 роки тому +1

    😂😂😂😂kuwaobea

  • @abdallayunus356
    @abdallayunus356 5 років тому +2

    Hawa wakristo wanapotea kweli emu waulizeni hao mpadri wakwambieni huo ukweli kama ukristo ni dini ya biashara wakishafanikiwa bc hao wako na maslahi zaidi nyinyi hmjui tu

  • @fatmamudathir3038
    @fatmamudathir3038 5 років тому +2

    Mashaa Allah, Al hamdulilah ala neematil Islam, vipi naweza toa mchango wangu kwa kusaidia hii daawa , kama muko na M pesa tafadhalini naomba namba, nawapenda kwa ajili y Allah

    • @kenyadawahtv90
      @kenyadawahtv90  5 років тому

      Waalykum Salam ukhty wasiliana nasi kupitia hii no +254720900181

    • @lugabakanyawela3105
      @lugabakanyawela3105 5 років тому

      Fatma Mudathir Danganya Wapagani waislam wote sisi tulio na Mwanaume Yesu tunakula raha ndani yake

  • @athmanswaleh3860
    @athmanswaleh3860 5 років тому +1

    Takbir

  • @ikhavi
    @ikhavi 3 роки тому

    Vipi mazinge unasema bibilia neno la Mungu halipaswi kupingwa mbona basi mnapinga uungu wa kristo na kifo chake???

  • @uwesusaid9764
    @uwesusaid9764 4 роки тому +1

    Naaaaaam

  • @modjayd5424
    @modjayd5424 5 років тому +1

    wajuze hao

  • @aivanimaedard6314
    @aivanimaedard6314 5 років тому +2

    Mnawakamata wasio jua maandiko mnawajaza maneno yasiyo na kitu

    • @kuchimillionaire6683
      @kuchimillionaire6683 5 років тому

      Aivani Maedard mashetani hao

    • @sayunkhamis9563
      @sayunkhamis9563 5 років тому

      Ludini kwa Allah

    • @sayunkhamis9563
      @sayunkhamis9563 5 років тому

      Mashetani ninyie msio jielewa

    • @lukmanbakari2318
      @lukmanbakari2318 4 роки тому +3

      Kama yey hajui kwa nin wasingetoka wanaojua ili watetee hoja... Msipende kubisha kwa kuwa mmezoea hivyo kutoka kwa wazazi wenu na mafunzo kutoka kanisani. Hizo crush zote Sheikh anazitoa kwenye biblle na sio kwenye qur'aan. Someni mujue na ulizeni mpate kujua ukweli, msikubali kupelekwapelekwa tu.

  • @eliamugini8494
    @eliamugini8494 5 років тому +1

    Hahahahahahaha huyu jamaa tatizo hana roho mtakatifu

  • @ahmadseif7241
    @ahmadseif7241 5 років тому +3

    Hiyo sio damu tena Bali na kimsima cha mafuta

    • @hanifajuma342
      @hanifajuma342 5 років тому

      Ahmad Seif divai ni red wine ambayo ni pombe.

  • @emanuel1269
    @emanuel1269 2 роки тому

    Aya mafundisho ya shekhe ya uongo maigizo tu apoo ni mwalimu kipofu wa vipofu ila kwa wanaoujua ukweli awababaiki kwasabu maandiko wanayasoma mwanzo mwisho

  • @rkenea4262
    @rkenea4262 5 років тому +3

    Mpe full doss ya ust

  • @emanueljosephat1605
    @emanueljosephat1605 5 років тому +1

    KIUKWELI HAPO MAZINGE NAKUPONGEZA MAANA VITABU UNAVYO KICHWANI
    USHAURI WANGU WANDUGU KILA AGANO LIMETOKA SEHEMU SAHIHIII HSASAAA (1)BIBLIA
    (2)Q.AN.
    KAZI KWETU SISI KUZISHIKA AMRI ZA MUNGU NA KUZIIISHI HUKU TUKIFAHAMU VITABU VYOTE VIWILI VIMETOKA KWAKE MAAANA HAKUNA HATA KIMOJA AMBACHO HAKIUTUKUZI UKUUU
    BALI TU KWA WALE WAPINGA IMANI WALIOOONGEZA MISTARI YAO ILI HALI WAKIFAHAMU FIKA WANAWABATILISHA WANA WA MUNGU KIAKILI NA KUWACHANGANYA .
    DINI ZOTE NI ZA HAKI.😙😘😗😍

    • @jumamohamed9648
      @jumamohamed9648 5 років тому

      HAPANA SIO DINI ZOTE ZA HAKI ,KUNA DINI WANAZIANZISHA WATU KWA MAPENZI YAO LAKINI MAAGIZO HAYO HAYATOKI KWA ALIYEWAUMBA .

    • @shadyaadam8919
      @shadyaadam8919 3 роки тому

      Dini ya haqi ni uislam tu

  • @kevinosaso1782
    @kevinosaso1782 4 роки тому

    Mnyenyekevu ni mtu mpole... Vinginevyo hakuna

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 3 роки тому

    Allah Akbar

  • @bintiiomary9500
    @bintiiomary9500 5 років тому +1

    🕋

  • @karryh5338
    @karryh5338 5 років тому +1

    Hyu jamaa mwenye jezz ya mpira taira kweli heti petro ni mtume wa yesu .anaetoa utume ni Allah ama kiumbe this guy he's verystupid sana