Daah .. #interview ilikuwa mzuri kabisa.. nilitaka jinsi #Diva alijibu maswali japokuwa hayakuwa mengi nayenye ubora zahidi kama #Salama anavyo fanyaga Kazi yake.... Kilicho niboa nipale wote walipo ondoka wakamwacha #interviewee by herself.. kama ndo new #rules hahija kaa poa.. ila big up...
Diva you lied to us,hebu muangalie Diva wa kwenye nyimbo ya Pingu na Desso ile Joanita jamani she was her,Upendo kwa jina lake halisi leo hii anasema hajichubui aaaghhhh shit,watu maarufu wengi wao waongo sana
shoo ya mikasi iko poa sana ila nataman kama kungekuwa na add ons za image like kipindi unasema diva alikuwa black zaman ingekuwa poa kama picha yake ya zaman inapita labda alikuwa kijijini picha inapita tena..............ingependeza sana
30:58 dear Diva, i speak English too. but i've never heard or learned anything like 'a ol' badala ya 'at all'. Yes, umesoma Cambridge then speak proper Grammar, Ilybtw!
ts so astonishing for real...n trust me phonological fluency is something they got no knowledge about.. in other words,both inter mixing and switching is what they know
Hakiba yamaneno saiv diamond ndio bosi wake etiii hahahaha jaman 😏 2023
Diva anapendaga sana kujishaua afu boya tu!!
Kwenye mavazi bado yuko chini sana
Mi nampenda kiukweli, Namtu ukimuona hakupendi Diva ujuwe amekukubali. Achana nao.
😂😂😂 mwijaku enzi izo sio famous
i love Diva she's open
ila salaama hua anawaenjoy hao wasanii,sasa anavobisha hajichui wakat vidole vinaonesha kabisaaa daaa aibuu
Niko mutu wa Rwanda,napenda sana jabir
Wooow.! ts awesome...
hahhahaaa my friend aliniambia ingilishi imakuja na meli. jamani khaaaaa!!
Miguu za footballer
Uyo mwenye kucha amaliz tu kuzikwangua hizo kucha 🤔 manake mpk anakera
kaboa haruhusu maswali kutoka kwa wahusika wa kipindi but hongereni mkasi tv kwa kipindi kzr na pia ilove mumy diva yuko powa
Safi sana .yani upo kama mie love you Dive😘
divaa kafungukaa snaa very nicee
panua paja mkwaja wajaa😂😂😂
she is too open awesome
kweliiii
Gadner brother rest easy mbona kama kila mmoja ulimshika mkono? Aisee mungu akuondolee mazambi yote ww ni mtuu poa
lov diva xna
I love u diva
yani huyu akitoa make up...sijui anakuwaje...uwiii kama zimwiii
huyu demu boya sana sidhani kama anajielewa vizuri upeo wake mdogo sana
Love diva
love you salama
fresh sana
love diva
love u diva
Did she really say Ray C looks kinda "fart?" 😂😂😂😩
Love you diva
Salama Manunited Forever big up
Nice salama watching nikiwa hapa SaudiArabia
Mikatani haikubali
daaah nimependa alivyoongea so open nampenda sana diva
Daah .. #interview ilikuwa mzuri kabisa.. nilitaka jinsi #Diva alijibu maswali japokuwa hayakuwa mengi nayenye ubora zahidi kama #Salama anavyo fanyaga Kazi yake.... Kilicho niboa nipale wote walipo ondoka wakamwacha #interviewee by herself.. kama ndo new #rules hahija kaa poa.. ila big up...
U mean interviewee ??? Maana interviewer is salama
i lik mkax
ok hhhh haki umenishika sana okhhhhh
Hahaha, Salaama
safi sana
nice
pum.....vu kabisa...jinga nyusi alizopewa na mungu hazikumtosha kaona aongezee nyingine kama vile mdori...
Ovyoooo!
Diva you lied to us,hebu muangalie Diva wa kwenye nyimbo ya Pingu na Desso ile Joanita jamani she was her,Upendo kwa jina lake halisi leo hii anasema hajichubui aaaghhhh shit,watu maarufu wengi wao waongo sana
salama hoyeeeee
lol pretty pretty
Diva Hataree
😗🙆
diva u so 4midable!
hahahaha mubaaa ameuchomoa kuvuaa boxer salama msengee wanaume aooo
DIVA umeongea points Hadi raha 😄😘
Lve xna diva
I like her, sh'z real
yuko poa saaana diva
Me I like you diva do ya thing girl
nice show
Salama Jabir Man United damu oioioioioi
Mwijaku
Nikiwaza show ya Mohammed Dewji afu na hii naona kama nimekosea channel. au kuna show tofauti.
SUMMARY: BULLSHIT
+Frank Kinubi kabisa man inabidi ziwepo aina za show za mkasi. Iwepo mkasi important na Mkasi bullshit or upuuzi.
mm simuelewiiii mjuee ynii bdo namshamgaa
Mmmh waswahili bwana
salama ni chiz ati muba vua tuone khaaaaa!!!
salama jabir tuletee soudy brown gossip coup makorokocho tutafurai zaidi
baibui😂😂😂😂😂😂😂
Hahahaha da salama ww nko jordan but najiona hom penda ww sana
nimeipenda sana interviwe ya diva
Salama ni mshenzy and akili balaah maswali yake duh big up
uko poa saaana diva
John anajua kuhug wanawake. That's how you hug a lady!
😂😂😂😂😂 salama eti unajua we bado mdogo ila diva ni mpumbavu
mi nimependa kweli yaani usiishi watakavyo watu na ustar wa mtu ni wake na family yake heshima mbele
iko kicketi mweeee ndo mambo yakisasa ayo yakuka uchi jaman badilikeni siungekaaa uchi kabisa tuone namatako kiuna vilivyo umbika iiiiiii lana
asiiiiiiii🙌🙌🙌🙌
haha diva messed up aliposema she wants to be like him (kim k).... 😂😂😂😂 duh
i just wanna be like him 😂😂😂 nimekufaa
+iddy mbugi i think salama haku notice... angeisikia angemchana hadharan..English inaweza mshushia mtu heshima wallah 😂😂😂
good interview
mistake ndogo ndogo ni za kawaida coiz wote ni binadamu
mpuuzi wimbo wa taifa wa kizee
😂😁😁😁😁😁😁😁😁
Dah uyu dem mshamba ndo kuvaa gani uko
🙊🙊
duh diva hupendi wimbo wenu wataifa lol yaonesha hujielewi
Diva wewe mbovu kaa nini. Unauthii .
Jamani unachoma picha ya Kitanzia na East Africa nzima.
i love u diva my baby she is name Giselle 2
napenda salama anachokifanya
Unauthi Na tena wachoma picha ya East Africa yote.
Wanabees
Kitendo cha kusema ananukia tayari anatakiwa aende akaoge janaba.
Hawa ndio wale watanzani wenye roho mbaya na nchi yao
unatuhuzi na kingera wa mtanzania bana
reuben ndege nchakali ur right
Zitto??
ila hapa mlikosa maswali kabisa yaan
Just wanted to know mulijuae Kama most boxers hunuka Ina maana wamekutana nazo nyingi ...
Ujingaaaa tu Huyu demu mshamba sanaaa!!!
Baibui or buibui
Tafutwa tafutwa tuu utafikiri ni wewe tu hutafutwa ata sisi hutafutwa.miaka inaenda tu mwishowe utajitafuta.thought of a day
Yaani kabla hujasema huo msemo nikianza kusema mimj
mzushi huyu! Eti hajichui wakati mikono ina rangi ya chui sijui maeneo mengine itakuaje
sj i respect u n i love mkasi show but please people like diva its better to quit if u dont have guests from the industry.
shoo ya mikasi iko poa sana ila nataman kama kungekuwa na add ons za image like kipindi unasema diva alikuwa black zaman ingekuwa poa kama picha yake ya zaman inapita labda alikuwa kijijini picha inapita tena..............ingependeza sana
30:58 dear Diva, i speak English too. but i've never heard or learned anything like 'a ol' badala ya 'at all'. Yes, umesoma Cambridge then speak proper Grammar, Ilybtw!
+Angelis Peterson hahahahah not a all
ts so astonishing for real...n trust me phonological fluency is something they got no knowledge about.. in other words,both inter mixing and switching is what they know
Angelis Peterson hahahahaha
jaman hakuna kipind kama mkasi
Akili ndogo ni Mzigo Lol!! Ati Maua na Dinner...Hajui wimbo wa taifa?
diva ni box kamuanika mwinjako
si shikani na watu wa kawaida ni wapi hao sote wamoja dada game ni hapo peponi
dah kati show bullshit za mkasi ni hii,,, though its funny for some people
Una aibu na uko uchi