I'm from Kenya Bro Kitale uko sw Kabisa kwa kujibu unavyoulizwa na Movie zako zote mzuri zenye mafunzo.thnxx very Much Kaka siku nikijaaliwa kuja Dar ntakutafuta atlist nikuone Bro.God bless u
Drugs fuck ma life up back in days n if I ll come bongo I ll spent time with drug user to explain them how bad on healthy n society.big up kitale big up mkasi
Salam upo vizur kwa swali tatizo tz yetu inakandamiza kwan watu wanaogop jela maan utowe komed km maguful kwa yeye saw hana shida ila wapambe noma watalikuza kuwa kubwanaa sanaa mpka kuonekananik mbaya ndio maan wanarud nyuma
Well potrayed kitale u r well talented big up sana babaz watakukubali Mia Mia same story from AyoTv with millard Ayo waja kusema kawaida yao piga kazi kaka
Kitale nakukubali sana hata mim msiba wa sharo uliniuma sana the day alikufa ulikuwa my birthday nov 26... Nilikuwa naumwa pia kama wewe😊😊Sharo nilikutana Naye kwenye boat KwendA Zanzibar
yani bwana Kitale aka Mkude dear ubishi ka ulivyosema 44:28-44:41 siyo uasili wa waluguru bali watanzania wengi wanapenda kujifanya na kubisha wanajua sana ktk kila swala siyo wote ila wengi wao wa t.z.
Rafudhi ni kitu muhimu sana Kitale kwa msanii, ukizingatia Kiswahili ndiyo nyie mnaokitangaza zaidi....unaweka sana L kwenye R.....sijamaind sana kwakuwa ni desturi za matombo ; )
Mashaallah kitale mungu akuongoze katika kazi. Na pia endelea kukumbuka wasia alio kuachia marehemu babako mungu amrehemu inshaallah
who is here in 2019 ! Mkude is the real man.
Mohamedi
Jf Jongo fire vijana wezangu tumuombe mngu sana katika maisha yetu na kupamba tusishoke
I'm from Kenya Bro Kitale uko sw Kabisa kwa kujibu unavyoulizwa na Movie zako zote mzuri zenye mafunzo.thnxx very Much Kaka siku nikijaaliwa kuja Dar ntakutafuta atlist nikuone Bro.God bless u
Niko Kenya but kwangu kitale uko juu Sana mungu akuongoze Kwa kazi lako
Kaka mussa kitale nakubali kazi ndg yng ila jitaahid na ibada kaka mungu akuzudishie maisha mazuri duniani na akhera
Once Again..Big up Salama, Muba & John....you are marvellous..you give me a lot of joy!
Mkude is good...keep it up Bro
Umetisha mwanangu big-up
Umenimaliza kitale Leo pia mm ndiyo nimejua ww ndio mkudee😂😂😂😂 Mungu akuweke futaa dini love u brother
Bless broo
Kitale nakukubali kaka mungu akuzidishie broo
brother kitale.. anajua sana yn. kila sehemu alizotouch anabamba vzr. gonga like kw mkude simba hii ni 2019.
Hahahahaaa...Talented Man...Mkude Simba
hongera sana kitale kwa jins unavyoweza kujibu maswar kwa umakini, ila Muba na John hiyo kaz haiwafai hamjui kuuliza maswali, hongera sana Salama.
Unajua kujieleza kitale big up bro
Nice kitale nakukubali kwa mambo yako we chapa kazi bwana tuko nyuma yako
Every one have a beautiful mind...Ila jinsi ya kutumia tyu...pig up to u kitale
Buda una heshima zako bana from Kenya
Wallah nimekupenda bure umenichekesha kitali
Kitale nimekuelewa.kazi nzuri Kaka, baraka za Mungu na Baba yako pia zikujalie Mafanikio zaidi.
lv it amejib maswal vizur .....amenifuraishaaa
I love you Salama unaakili kinomaa
I love his work.where can I get updates and full episodes
namkubari saana kitare kazaa mzee baba
kitale mkude mke wamtu nisum.hahaha uko poa zidi kupada kaka ishallah
Drugs fuck ma life up back in days n if I ll come bongo I ll spent time with drug user to explain them how bad on healthy n society.big up kitale big up mkasi
Mashaallah bro mm ninakukubali bro allah akuzidishie
Kati ya wasanii wanaojieleza na kujibu maswali vizuri ni huyu jamaa....I like him very much.
waukae mjukuu wa abdallah shehe kitale
jerumaya mwasomola minin
Aaaa vizuri sana heshima kwako kaka kitale yanii unatishaa sana
Hap n kwel bro
@@aliali189 .
Nakukubali mkude simba😂😂
Da nimemkubali kitale ana show respect na anajitambua big up broo
Salam upo vizur kwa swali tatizo tz yetu inakandamiza kwan watu wanaogop jela maan utowe komed km maguful kwa yeye saw hana shida ila wapambe noma watalikuza kuwa kubwanaa sanaa mpka kuonekananik mbaya ndio maan wanarud nyuma
Kitale mbavu Sina nihurumie bluc was kibongo
Kitale gifted comedian in bongo
👊👊👊 Big Up Ka Mkubwa
yes kitale nmkweli katika maisha yake n sanaa zke
Well potrayed kitale u r well talented big up sana babaz watakukubali Mia Mia same story from AyoTv with millard Ayo waja kusema kawaida yao piga kazi kaka
Kitale upo vizuri bro
nyc interview, unajua kujielezea kaka. Mungu akucmamie ktk kazi yako na maisha kiujumla. tchaooo!
Canada félicitations mon frère
Good work broo
Jmn kitale wew mzuri😘😘😘😘
Najivunia sana kuwa mruguru wa matombo "lusani"
Mi nige
jivunie kuwa muislam sawa?
Kiukwel bro kitale nakukubali sana
Nice one...aki imenliza....
This man 👨 is so smart tho
Interview ilikuwa poa sana kitale big up brother endelea kukaza, Big up kwa mkasi
safi sana kitale,upo makini sana
Hahaha nimecheka sana eti style ya Bruce Lee kulamba dam akitoka hapo kimbia
Nakubal kitale
dah nimeipenda interview
hii interview iko powa sana, nimefurahi nimecheka na kajielezea vizur sana.
Saumu salimu Hassan mambo
Ahaa kumbee, mkude ni kitale
Hi
Kitale nakukubali sana hata mim msiba wa sharo uliniuma sana the day alikufa ulikuwa my birthday nov 26... Nilikuwa naumwa pia kama wewe😊😊Sharo nilikutana Naye kwenye boat KwendA Zanzibar
Balozi Balozi pole
Mkude mimi huwa unanichekesha sana
😂😂😂😂😂😂😂nimefurh sana jamn
Nampenda sana huyo bwana kaka
sometimes back a friend of mine send me a clip of this guy on whatSApp aki nicheka sana. kip up bro I LOVE your interview
Hehehee lei ndio nimejua kitale ndio mkude duuuuuh kkkkk.
Nakukubar sana kitale
joyce john mambo
Yo
Makin san kitale sema umepooza sana
duh nakukubali kitale
kitale kajibu kwa utulivu sana maswali yake very good
Fetty Slim mambo fetty
Musa kitale ......Nice interview joh
nice kitale nakukubali sanaaa
kusema ule ukweli muba na john mnapooza sana salama anawabeba mnoooo hamjiamini
Je t'adore salam tu mérite d'être une journaliste celebre
Akina Sekuluuuuu wosi makono mchanyaaaaaaaaaaaaa kinole mkuyuni matombo kiloka nk.
yani bwana Kitale aka Mkude dear ubishi ka ulivyosema 44:28-44:41 siyo uasili wa waluguru bali watanzania wengi wanapenda kujifanya na kubisha wanajua sana ktk kila swala
siyo wote ila wengi wao wa t.z.
silly so-saharan on
I like this guy
i like thz guy z so funny and talented
Agness Navua mambo
tatizo muba na john mnaingilia sana mpk mnamfanya asahau anachotaka kuandika
👍
Kitale upo vizuri kweli u brand
Good show kitale unajieleza vizuri sanaa.
mungu ailaze mahala pema roho ya sharo
Mkudeee... Mkude dudee
dah " kitale kubwa la majadui, nakufagilia ki shenzzzyy aki ✔
nakubali sana
Kheshima kwako🙏🙏🙏🙏💪
kitale nakukubali sana
❤❤❤
nimeipenda mechekaje mkude
big up Broo mkude
kumbe in handsome vile!!
Alivoambiwa aandike ubaoni nlianza kupanik nikadhani ajui kuandika!
Namkubali sana uyo Jamaa Kitaale
Kaka.hongera sanaa
Anasema usimsahau Mungu
Teee teeeh good interview katulia anajibu vizuri
+Irene James Sana jamani
+Balq'ees Mackysah aaa
Irene James mambo irene
salama naomba urudie interview na kitale...naona kama hamnamuuliza maswali yote...jamaa yuko smart sana na very precise kwenye majibu
Upo vizuri kitale
Waah salama sijakuona ukivaa skirt
Dah big up sanaa
Brother endelea hivyo, hivyo, usikate tamaa.Iko siku MAFANIKIO MEMA.MKUDE.
HAHAAAA nimecheka sanaaa
6:50 Sauti ya mbosso khan
wooow duuh wye nomaa
Big up sana bro..nimependa sana utulivu wako,huna haraka ya kujibu ..hongera kwa kipaji pia
dah kitale ww nn noma mungu akubariki
😂😂😂 ktk sk nilizocheka ni leo kitale kipaji maalumu wallahi.
kheri na mafanikio ktk harakati zako broo
hhhhhh hogging ujhghjklknbccfgvbm
Mwanahamisi Hella mambo mwana
Mwanahamisi Hella
tumche mola
Kitare kaka yangu unaongea mpaka najiisi kutoka macozi kweri
Usitoke machozi
Nice one kitale..unaongea cwezi acha kukuskiliza
Rahma Jamal mambo
upo juu waukweli ktl
Rafudhi ni kitu muhimu sana Kitale kwa msanii, ukizingatia Kiswahili ndiyo nyie mnaokitangaza zaidi....unaweka sana L kwenye R.....sijamaind sana kwakuwa ni desturi za matombo ; )