Wangapi walioguswa na msuba wa ruge hadi wakaitafuta hii intaview yake baada ya kifo chake leo ndio mara kwanza kuiangalia tujuaneni hapa kwa like zenu bc natuzidi kumuombea boss wa clouds apumzike salama
Nlimjua RUGE wakati wa mgogoro wake na baadhi ya wasanii wa bongo flava kama Commando lkni kifo chake kimenihuzunisha sana alafu nlipoona ona hii interview nmeona RUGE alikua kichwa,maneno anayoyaongea yamejaa hekima na busara.Lala salama RUGE.Poleni ndugu ze2 watanzania kwa msiba huu,sisi KENYA tupo pamoja nanyi
Dah Ruge umetutoka! Lakini namna pekee ya kukuenzi mchango wako kwa Watanzania hasa kwetu sisi kama vijana ni katika kuendeleza matamanio ya kufanyia kazi fursa zinazokuwa mbele yetu kwa manufaa ya kupiga hatua ya kimaendeleo katika ngazi ya kitaifa, kwasababu hakuna mbadala wa maisha ya mtu isipokuwa yeye mtu mwenyewe ndo mbadala wa maisha yake. Mwenyezi Mungu aipumzishe Roho ya Marehemu mahali pema peponi Amina.
Chaajabu sikuwahi ifatilia haya mahojiano ya ruge na salama, ila sidhan kama kunamtu atatokea na kuja kufanya mema aliyoya fanya huyu ruge, alikuwa mstaarabu na hana kukurupuka hata mala moja maana kila swali aliloulizwa amejibu utazani amekwenda anafaham ataulizwa nini daaaaaah hili ni pengo la karne limetokea. Pumzika kwa aman kaka RUGE mola amekupenda zaindi na alihitaji ufanye uliyoyafanya kaka daaaaaaaaaaaaah nenda bro
Huyu ndio boss Ruge anayemulikwa leo hii November 2018. Kwa kweli jamaa ni stadi, mweledi na mwenye maono kwechekweche. Alichokiongoza Mungu hakipotoshwi na mwanadamu. Big up boss Ruge, Mola akutangulie kila khatua. Kweli mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe. 👏👏👏👍👍💯💯💯👊👊👊👍👍
Kweli brother nilikuwa sikujui ila baada ya umauti wako kukufikia ndio nikajua wewe ni Nani naulikuwa unafanya nini kuelimisha jamiii na kuwatoa watu kimaisha nakuwaonesha mwanga ulikuwa uko sahihi kwakila unacho kifanya nimeamini kweli mti wenye matunda haukosi kupigwa mawe kweli wewe ni mti wenye matunda pumzika kwaaamani brother mungu akulaze Mahala pema peponi Amen. Imeniumiza sana moyo wangu ila tumuachie mungu ndie muweza wa yote.
ktk uhai wake nilisikia mengi kuhusu ruge mazuri na mabaya nikawa na mitazamo tofauti juu yake km mwanadam hakua amekamilka hvo kasoro zake wanafaham walio dili nae kwa namna moja au nyingine ila nimetazama maongez yake tofauti kiwemo na hili hapa huyu mtu alikua kichwa si mchezo R.I.P ruge
You are a great leader This is how leaders should do Viongozi wengi wanarushiwa mawe kwa sababu ya kusimamia kile wanachokiamini Sijawahi kukuona hata kwa macho lakini nakutetea kwa kila hali ,in fact you were the best.
Nasikitika kwa sababu na mimi nipo ktk wale waliokuwa wakimpenda ila sikuwahi kusema hilo. Lala salama Ruge, daima utabaki shujaa wa kupigiwa mfano 😭😭🙏🏾
2024 nipo namuangalia ruge wakat yupo hai nilikua simpendiii nilikua sina akili sasa nimekua na akili ruge hayupo ila maneno yake yapo, akili gan hizi jmn
2:30 - 2:36 "...wale wanaofanya vizuri wafanikiwe, na ambao hawafanyi vizuri wasifanikiwe. Kwa sababu, that's how business is..." The Entrepreneurial Mindset.
Nashukuru Mungu kanipa nafasi ya kutoa heshima ya mwisho kwa mwili wako kwani uliutendesha kazi kwa umakini na ushujaa mkubwa,nilipokuoana umelala sikuamini sana ila sasa inabidi nikubali japo maumivu yatadumu....Pumzika kwa amani mentor wangu wa fursa #Ruge rest in paradise boss🙏
Yaani baada ya kuiskiliza hii intervew, inaeezekana kabisa huyu kaka kifo chake kuna mkono wa MTU au mikono ya WATU . Hiyo kidney failure inawezekana kabisa SUMU imehusika . Rest in peace RUGE
Nimedhani hivyo pia, huenda kuna mtu au watu wamemwendea pabaya. Wenye nyimbo yao hazikupigwa, kati ya hao watu, amemuua Ruge. Am a Kenyan , watanzania poleni.
The first guest in Mkasi that talks sense ,he really is very intelligent . Salama I don't think the other 2fit in the interview,I wish it could be just you coz there's no point of keeping people who don't even know what they are asking the guest ,secondly they don't look intelligent enough to be holding the talk show
I thnk salama want those guys to learn how to.. but the good point to crash is for them not to grow up kujua kuswalika hayo maswali.. kuishi maisha ya aina moja miaka yote ni uzembe wa akili. Nazam wamekuwa saiv
The more I listen and see how people are about his death the more I understand then when I see his interview God always take good things 😢😢 you did well sir Ruge
Ulizaliwa mwezi Wa 5 Tarehe 1(Moja)Mwaka1970 Umefariki Tarehe 26 February 2019 Siku ya Juma5 Jumatano #PumzikaKwaAmani Nilipata Tarifa Za Kifo Chako Nikiwa Dodoma Tanzania.Mishale Ya Saa3Usku🙏🙏🙏
Aisee sjawahi kuona ruge u had something special I wish in ur lifetime ningeonana na wewe keep rip ila I will learn u through ur documentaries and interview u had in ur time keep rip again brother ruge
I have learnt something from Him, Hongera brother na pia conglats to MKASI crew quality ya picha imekuwa nzuri zaidi kupita maelezo, lights mpo vizuri pia. Keep Up
Language tone ya Ruge ndiyo maana wengi hawakuwahi kumuelewa, kumchukulia kwa ubaya na wengine kuona amewakwamisha kimaisha, lkn ukweli ili umjuwe ni mtu wa aina gn lzm kwanza umuelewe ni mtu wa aina gn tz ni wachache sana watu km hawa
Wangapi walioguswa na msuba wa ruge hadi wakaitafuta hii intaview yake baada ya kifo chake leo ndio mara kwanza kuiangalia tujuaneni hapa kwa like zenu bc natuzidi kumuombea boss wa clouds apumzike salama
Nipo hapa
Am here
Believe me, nimeiangalia hii baada ya kifo cha huyu Legend.
Mi hapa nikiwa +966
Mimi ndio nagalia Leo pumzika kwa Amani nimilia siku zote na sikujui from Kenya but kifo yako imeniuzinisha
Watanzania poleni sana kweli mumpoteza mtu wa hekma Sana love from Kenya
Dah
chibu dangote asante sana 🙏
Ahsanthe saana
Thanks bro
🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Duh! Kumbe ndio maana Clouds imesimama imara kwa muda mrefu. Huyu jamaa alikuwa genius.
Nlimjua RUGE wakati wa mgogoro wake na baadhi ya wasanii wa bongo flava kama Commando lkni kifo chake kimenihuzunisha sana alafu nlipoona ona hii interview nmeona RUGE alikua kichwa,maneno anayoyaongea yamejaa hekima na busara.Lala salama RUGE.Poleni ndugu ze2 watanzania kwa msiba huu,sisi KENYA tupo pamoja nanyi
Kama umeangalia maojino haya Ya Ruge na Salama baada ya Manara kuibukia Yanga gonga like Twende! So Sad 😭 Pumzika kwa Amani Brother Ruge.
Dah Ruge umetutoka! Lakini namna pekee ya kukuenzi mchango wako kwa Watanzania hasa kwetu sisi kama vijana ni katika kuendeleza matamanio ya kufanyia kazi fursa zinazokuwa mbele yetu kwa manufaa ya kupiga hatua ya kimaendeleo katika ngazi ya kitaifa, kwasababu hakuna mbadala wa maisha ya mtu isipokuwa yeye mtu mwenyewe ndo mbadala wa maisha yake. Mwenyezi Mungu aipumzishe Roho ya Marehemu mahali pema peponi Amina.
Tatizo la wasanii wa Tanzania hawataki kuambia ukweli ila Ruge alikuwa mkweli sio mnafiki
Innalillah wainalillah rajiun Ruge
Mkasi ni show kubwa...Trust me itaishi milele, Asante Owners, producers, Directors, wahojiwa wote...
Mwanadamu kukubalika ni kazi sana hasa akiwa bado hai ila akifa utasikia sifa zake.ukweri luge ni greet thinker
safi Sana unaconvert negative Kuwa positive ..R. I. P ruge Leo ndio nimekusoma
Kama umejuwa leo hii ruge hatupo nae
Dah na kwel ametangulia
Hakuna alojua miaka minne kasoro iliyokuja mbele huyu mwamba tutampteza..
R.i.p Ruge😢😢
Chaajabu sikuwahi ifatilia haya mahojiano ya ruge na salama, ila sidhan kama kunamtu atatokea na kuja kufanya mema aliyoya fanya huyu ruge, alikuwa mstaarabu na hana kukurupuka hata mala moja maana kila swali aliloulizwa amejibu utazani amekwenda anafaham ataulizwa nini daaaaaah hili ni pengo la karne limetokea. Pumzika kwa aman kaka RUGE mola amekupenda zaindi na alihitaji ufanye uliyoyafanya kaka daaaaaaaaaaaaah nenda bro
Duuuuuuh genious ruge umemuweza salama mpk anaishiwa maswali
Huyu ndio boss Ruge anayemulikwa leo hii November 2018. Kwa kweli jamaa ni stadi, mweledi na mwenye maono kwechekweche. Alichokiongoza Mungu hakipotoshwi na mwanadamu. Big up boss Ruge, Mola akutangulie kila khatua. Kweli mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe. 👏👏👏👍👍💯💯💯👊👊👊👍👍
Wewe ni mjinga sana
Mungu wetu akuweke mahali pema pepono kaka Rg. Ulikuwa mistaharabu, mwenye busara naekima. Akusamehe makosa yako. Pumuzika kwahamani. Amem
Sichoki kuitazama, Ruge ulikua the best...we're the dust and to the dust we shall return..R.I.P legend😭😭😭
Kweli brother nilikuwa sikujui ila baada ya umauti wako kukufikia ndio nikajua wewe ni Nani naulikuwa unafanya nini kuelimisha jamiii na kuwatoa watu kimaisha nakuwaonesha mwanga ulikuwa uko sahihi kwakila unacho kifanya nimeamini kweli mti wenye matunda haukosi kupigwa mawe kweli wewe ni mti wenye matunda pumzika kwaaamani brother mungu akulaze Mahala pema peponi Amen. Imeniumiza sana moyo wangu ila tumuachie mungu ndie muweza wa yote.
ktk uhai wake nilisikia mengi kuhusu ruge mazuri na mabaya nikawa na mitazamo tofauti juu yake km mwanadam hakua amekamilka hvo kasoro zake wanafaham walio dili nae kwa namna moja au nyingine ila nimetazama maongez yake tofauti kiwemo na hili hapa huyu mtu alikua kichwa si mchezo R.I.P ruge
Ruge ni mstaraab sana na ana hekima kweli....namkubali sana huyu jamaa .....good job mkasi
ua-cam.com/video/QFxqqJOO9lA/v-deo.html
abdul mshana rip ruge mutahaba mbele yetu nyuma yako pumzika Kwa amani
Kweli kabisa , apunzike kwa aman
I am impressed hukusubiri mtu afe ndo umsifie,you are one in a millions brothers
Pumzika kwa amani Boss Ruge... Tanzania tumepoteza kiungo!
R.I.p Ruge unaonyesha kias gan akili yko imekomaa nenda baba
You are a great leader
This is how leaders should do
Viongozi wengi wanarushiwa mawe kwa sababu ya kusimamia kile wanachokiamini
Sijawahi kukuona hata kwa macho lakini nakutetea kwa kila hali ,in fact you were the best.
Nasikitika kwa sababu na mimi nipo ktk wale waliokuwa wakimpenda ila sikuwahi kusema hilo. Lala salama Ruge, daima utabaki shujaa wa kupigiwa mfano 😭😭🙏🏾
Ruge kila la kheri Mungu akupumzishe baada ya shida na tabu za hapa Duniani...we'll always remember you..
Mstaarabu sana, mungu ailaze roho yake pema peponi
Ukipanda Muhogo Utavuna Muhogo Ila Ukizika Mtu Harudi Tena 😭😭😭😭Udogo Ulokula Wewe Baba 😭Pumzika Salam #Ruge Mbele Yako nyuma yetu #Baba 🙏🙏🙏🙏
Zayn Salma hujambo wewe zayna
Nitakuenzi daima ruge your my hero Mungu akulaze mahala pema peponi sitaogopa chochote Mungu akusamehe makosa yako yote utaishi milele
Eti leo haongei hya tena jmn loh!!inauma aisee
Mungu tusaidie na tupe maono mazuri pia
Dah hii show Kali sana Rais atakae kuja kama hata tambua mchango wa wasanii atakua ameingia chaka.
This guy is a genius. RIP Ambwene na Salama Rudi kwenye mkasi please. We need it . Is very good contents
Duh r.I.p bro
R.i.p wat a humble guy polen tz love fro Kenya
Ruge umelala .lala baba tutaonana Mbinguni.kazi uloifanya duniani inaonekana
Pumzika kwa Amani Ruge kumbe ulikuwa mwenye hekima Sana..kesho tunasherekea kama ulivyo Sema siku ukitoweka tusherekee.. Rip
2024 nipo namuangalia ruge wakat yupo hai nilikua simpendiii nilikua sina akili sasa nimekua na akili ruge hayupo ila maneno yake yapo, akili gan hizi jmn
We upo kama mm
Mungu akupe maisha mema huko ulikuko enda kaka njia ya wengi
Ruge is talking facts ! mungu amlaze pahali pema peponi.
This Guy Ruge is very good in answering questions in a better and composed manner....RIP Bro.
Nimeamini mtu msomi akiamua kufanya jambo linakua kubwa! Tatizo wasomi wa sasa uoga mwingi kwahiyo wanakufa na mawazo yao kichwani rip ruge
Dah jamn anavo sikiliza swar kwanza alaf anatzama juu alaf anajib ddah hakika kila mtu ana asiri yake yu were genious bro r.i.p
Deep explanation or documentation is needed on ugonjwa wa ruge mpk kupelekea kifo,,pumzeka kwa amani genius,ur legacy will continue !
R.i.p. Ruge mutahaba
Ukweli unaishi 2021 gonga like
Yule mtu kati ya watu mia ndo alikuwa huyu,mwenye HEKIMA ,asokurupuka mtulivu na mwenye heshima ,, dah we will miss u bro,RIP Ruge
Magu hebu njoo uangalie hii video upate shule ya uchumi.This man was more than geneous
2:30 - 2:36 "...wale wanaofanya vizuri wafanikiwe, na ambao hawafanyi vizuri wasifanikiwe. Kwa sababu, that's how business is..."
The Entrepreneurial Mindset.
Dah clouds imepoteza jambo, ooh hapana Tz tumepoteza mtu jamaniii no no no Dunia imepoteza kichwa yah yah that's right Dunia imepoteza kichwa.
poleni
Malehem hana makosa
Bwana ametoa na ametwaa jina lake lihimidiwe amen pumzika Kwa amani Ruge mutahaba
Daaahh kwel nikitazama interview za ruge sichoki kulia r.i.p ruge😢😢😢😢😢
Na uku upo shoga kma mimi walai huyu baba ametuliza kweli
@@asiazuberi9722 acha ty yan acha apumzike kwa aman
queen gee maskitiko makubw
Nashukuru Mungu kanipa nafasi ya kutoa heshima ya mwisho kwa mwili wako kwani uliutendesha kazi kwa umakini na ushujaa mkubwa,nilipokuoana umelala sikuamini sana ila sasa inabidi nikubali japo maumivu yatadumu....Pumzika kwa amani mentor wangu wa fursa #Ruge rest in paradise boss🙏
Kma umesikia mpanga rizk n mwenyez MUNGU pia siwez kumshusha wala kumpandisha mtu #27:7. R.i.p master mind
yani huyu jamaa sichokagi kumsikilza anajua sana kujibu maswali
Rip brother, Mungu akulaze pema peponi Amen and Amen
Huyu jamaa levo nyingine tumjue tumtambue tumuenz
Ulikua kichwa sana unaona mbali kweli tumepoteza MTU muhimu
Na halafu mti wenye matunda ndio hupigwa mawe redio yako inafanya vizur
Yani marehemu angekuwa Raisi nchi ingekuwa hakuna wazururaji Rip Ruge tunaangalia intevew zako tunakupenda kaka
Daaaah!, M'mungu akujaalie kauli thabiti.🙏
Hivi huyu jamaa aliumwa nini hicho kisichotibika?! Oooh Lord😭😭😭😭
Hahaaa wew nae unakufulu mungu tena mwenyewe kesha sema hakuna k2 cha bahat mbaya...
Eti Kama nifigo ua inawekwa nyingine na Kama niukimwi unadozi aktaka kufa anakatka lkn huyu kaugua miezi 8 duu wabaya watu
Rose Laurence hujui kwamba mwanadam umeumbwa kwa udongo na mavumbini utarudi basi wakati wake umefika
Ruge mungu kulaze maali unapostahili kwa matendo yako
akili imeondoka jamani zimebaki pumba tu
I wish mkasi irudi
Ni haki barnaba alie kumbe alikuwa kipenzi chako
Pumzika kwa amani Baba forever in our heart....
Mungu akusameh makosa yako yaan hy mkka kapole sanaa na ana hekma sanaa
Ruge alikuwa mpole sana Rip ruge poleni sana watanzania am from kenya
Yaani baada ya kuiskiliza hii intervew, inaeezekana kabisa huyu kaka kifo chake kuna mkono wa MTU au mikono ya WATU . Hiyo kidney failure inawezekana kabisa SUMU imehusika . Rest in peace RUGE
Nimedhani hivyo pia, huenda kuna mtu au watu wamemwendea pabaya. Wenye nyimbo yao hazikupigwa, kati ya hao watu, amemuua Ruge. Am a Kenyan , watanzania poleni.
nikwel ata mie naisi ivy ivy wala s wewe t ila inasikitisha ila akun njia ten
Kwa kweli haikosi kaekewa sumu inauma jamani
Kumbe nawewe umeona ndugu yangu kakika utafutaji kazi sana
wanaokupenda hawasemi na wanaokuchukia hawakujui
I can listen to him 1000 times.cool,calm and collected RIP Ruge
Yaani sichoki kuangalia hii video RIP RUGE.
Alikuwa na maono ya mbali ni sahihi kbisa usipende kuweka mambo yako kila hatua zako big up sana👍
namkubali huyu kaka hana roho mbaya ila watu wanamtafsir vibaya
yaah tusijaji sana watu bila kuwafahamu au vtu bila kuvijua yes maelezo mazuri Ruge.
''mti wenye matunda hupigwa mawe''
ruge
He seems he was a very humble guy,may he rest in peace
Mary Ngotho he was more than that
Joho hongera Sana umekaaa vizuri na mtani wetu Ruge mtahaba wahaya watani zetu sisi wajita wakwaya waluli wajaluo na wakulya
Huyu alikuwa MTU mwenye hekima sana na hana haraka wala temper.
Yaaani mungu achagui,kila roho itaonja mauti inauma
You know what bro u was a hero R I P legend
pole sana rungu.mungu haiweke roho yako peponi kaka.mbele yako nyuma yetu
Dah i don beleive kwamba kuna kitu cha bahat mbaya in life...RIP
Oh Ruge tutakukumbuka sana lala salama Gunious amen
The first guest in Mkasi that talks sense ,he really is very intelligent .
Salama I don't think the other 2fit in the interview,I wish it could be just you coz there's no point of keeping people who don't even know what they are asking the guest ,secondly they don't look intelligent enough to be holding the talk show
I thnk salama want those guys to learn how to.. but the good point to crash is for them not to grow up kujua kuswalika hayo maswali.. kuishi maisha ya aina moja miaka yote ni uzembe wa akili. Nazam wamekuwa saiv
Duuuuu kifo hichi bwana Mungu tusaidie sana...R.I.P RUGE
daaah jamaa alikuwa mpole sana arafu anasauti ya upole sana mashallah allha akuweke maali pema
The more I listen and see how people are about his death the more I understand then when I see his interview God always take good things 😢😢 you did well sir Ruge
Eti leo baba umelala usingizi wa milele bosi ww haya bwana tumepoteza jembe aisee inauma sana
Wahaya wanaakili Sana wajita pia wanaakili Sana wanakula Sana sato
Ulizaliwa mwezi Wa 5 Tarehe 1(Moja)Mwaka1970 Umefariki Tarehe 26 February 2019 Siku ya Juma5 Jumatano #PumzikaKwaAmani Nilipata Tarifa Za Kifo Chako Nikiwa Dodoma Tanzania.Mishale Ya Saa3Usku🙏🙏🙏
hakuna kitu chochote cha bahati mbaya. "Ruge "
kama una Bahati mbaya jua huna Bahati kabisa "Hamis mwinjuma "
big points.
We missing you Ruge world 🌎...never happen again RIP_ruge
Sasa minyimbo mibaya itaanza kusikika na kupoteza ushindani wa muziki Tanzania
Watching again today 15th Nov 2018,learning a lot from this Mastermind.
Aisee sjawahi kuona ruge u had something special I wish in ur lifetime ningeonana na wewe keep rip ila I will learn u through ur documentaries and interview u had in ur time keep rip again brother ruge
Africa tulipoteza shujaaa Rip Ruge
I have learnt something from Him, Hongera brother na pia conglats to MKASI crew quality ya picha imekuwa nzuri zaidi kupita maelezo, lights mpo vizuri pia. Keep Up
Noma xanaa kk rip
I didn't know this guy before R.I.P but he was a man of vision, actually we as a country have lost an asset.
Punzika kwa amani
Tutakukumbuka daima milele
Guys you were so negative bt the Boss was for real positive...RIP Ruge
Mungu awarahani walio muua daima utakumbukwa pumzika kwa amani
Ulikuwa mkweli boss Ruge
daaaah kwel ruge ni shujaa.....
daaaaaa jamaa kama yupo hai ndio anaongea live kumbe daaaaaaa
Msiba umenirudisha hapa RIP RUGE
Ruge ana akili na busara, mti wenye matunda hupigwa mawe siku zote
+Kapulo Chansa hahah kumbe naye kaandika hiyo hiyo mti wenye matunda kama niliota hahaha
Kapulo Chansa ..
Salama anaitaji kurudisha mkasi iswear
darlin kiwanga you can say that again
@@gloriousnp I'm telling you cz hii ni show nzuri n nw we hv memory ya kanumba n this one haki
Daaaaa kama alijua baada ya miaka mitatu minne ataondoka khaaa R.I.P bosi
Jamani mpaka mtu afe ndio tumsifie ahiisee noma sana