MUME wa DIVA Afunguka "MIBIBI mtihani/HAJAWAHI Kuolewa/Nimemstiri TU"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 287

  • @سعيدالشكري-ت8م
    @سعيدالشكري-ت8م 9 місяців тому +2

    Ukwel diva anapenda mambo ya ndan kuweka mitandaon jamani ona maisha ya mwijaku na mkewe sijawah sikia mke wa mwijaku kumsema au kuweka maisha yao mitandaon kuna mtu anakela kama mwijaku diva hata upate mume mwingine kugombana lazima usiweke maisha yako mitandaon mamy

  • @ZuleykhaSeleman
    @ZuleykhaSeleman 9 місяців тому +7

    Abdul yuko sawa tena yuko sawa🙌na anaomgea kwa busara sana

  • @MkundeMussa-vh8rb
    @MkundeMussa-vh8rb 9 місяців тому +3

    Hawa bhana wanapendana hila 2 wivu 2 unawasumbua diva anaona kama anatumika sana❤❤

  • @Vee-w3x
    @Vee-w3x 9 місяців тому +29

    Suala la kila siku kujiona wadogo ni suala linalotufelisha vijana wengi sana. Kujiona bado wadogo kunatufanya tuwe tuna relax na maisha na kusahau kuwa muda unakwenda kasi mno.Kiuhalisia hakuna mtu mdogo zaidi duniani,hata mtoto aliyezaliwa leo bado ni mkubwa kwa mtoto atakayezaliwa kesho.

    • @sharifahairstyles602
      @sharifahairstyles602 9 місяців тому +1

      Hakikaa

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 9 місяців тому

      Diva ni mkubwa kwa huyu kaka msipinge wenye uzoefu wa kumuangalia mtu tunamjua 😊😊

    • @Vee-w3x
      @Vee-w3x 9 місяців тому +2

      @@annasolomon9855Diva kaingiaje hapo?Haujaelewa point. Soma vizuri uelewe sio unakurupuka kujibu

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 9 місяців тому

      @@Vee-w3x sawa professor Markle

  • @anitapendo6201
    @anitapendo6201 9 місяців тому

    Ila tuseme ukweli uyu jama ni bonge la handsome MashaAllah 😍 alafu napenda anavyoita "saraphina"

  • @farhannahkulishwaburekunam5360
    @farhannahkulishwaburekunam5360 9 місяців тому +38

    Huna lolote ushazoweya kuoa na kuchezeya watoto wa watu ikiwa mabibi huwawezi utawawez mijitoto huna lolote ushazoweya kumchuma diva unataka kupewa tu wanake wsngapi ushawacha

    • @samehewaliokukoseya2605
      @samehewaliokukoseya2605 9 місяців тому +1

      😂😂😂

    • @emmymwakisu8783
      @emmymwakisu8783 9 місяців тому +1

      Mbona makasiriko

    • @catherinekiwipa9271
      @catherinekiwipa9271 9 місяців тому

      ​@@emmymwakisu8783wanaokasirika Ni mabibi

    • @firdaussheikh4817
      @firdaussheikh4817 9 місяців тому +5

      Very true , lakini pia ss wanawake tujiombeeni wanaume wazuri, sio kusema I want milioni, diva omba mungu. This man anaujanja mwingi sanaaaaa hana heshima na wanawake😢😢

    • @rasependopendo8096
      @rasependopendo8096 9 місяців тому

      Wewe unawatoto loooh

  • @ElinaPoul
    @ElinaPoul 9 місяців тому +11

    Wewe ni tapeli wa mapenzi . Kwani kuolewa ni nini mbona wewe ndoa zinakushinda, huna sifa za mme una sifa za uhuni hutambui wajibu wako kama mme unataka ww uheshimiwe wkt ww hujiheshimu umekua mungu wewe unyenyekewe,unawastili wewe hawakustiri au wewe unaweza kuishi bila mwanamke

  • @hanifa9153
    @hanifa9153 9 місяців тому +2

    Kwanza jamaa ana stress balaa mungu amsaidie ajitambue mmh ni hatar wallah😴

  • @Maryc2G
    @Maryc2G 9 місяців тому +7

    Abdulzaki umeongea point, nakubaliana na wewe kuhusu maadiri wanawake wasio na siri za nyumbani kwake hawafai kabisa. Mwanamke unatakiwa kuficha siti za mumewe tafuta watu sahii wa kuwashirikisha kukitokea tatizo.

    • @catherinekiwipa9271
      @catherinekiwipa9271 9 місяців тому +1

      Kabisa Diva sio mke wakuoa anajikuta Kim kadarshian kumbe ovyo Abdul Yuko sahh diva asubir tu kuchezewa

  • @thomaskiponda6079
    @thomaskiponda6079 9 місяців тому

    SAFI SANA HUWEZI KAA MWEZI BILA KUFANYA MAPENZI WEWE NI MKWELI SANA NIMEIPENDA HIYO😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤

  • @jestinaluvanda-jm4tc
    @jestinaluvanda-jm4tc 9 місяців тому +2

    Jaman, mmmh mungu nifundishe kunyamaza huyu mwanaume hana Siri

  • @bas2823
    @bas2823 9 місяців тому +3

    UBSOLUTLY U R WRIGHT! MOTHER IS A MOTHER WHAT EVER SHE IS! NEED TO RESPECT HER N RESPECTS ALL THE MOTHERS IN THE WORLD👍RASUL SAW SAYS: THUMMA UMM 3 TIMES N HE SAYS: THUMMA ABB 1 TIME! WE HAVE TO RESPECTS THE 2 PARENTS👌 BUT MORE RESPECTS TO THE MOTHERS👍 AL JANNAH TAH'AT KUDDAM UMMAHATEEKUM👍❤👌 LOVE YR MOTHER AS MUCH U CAN N RESPECT HER AFTER THE GOD! RESPECTS FIRST RESPECTS GOD💙💜💚 N OBEY TO YR GOD!👍N THEN RESPECT YR MOTHER MORETHEN ANY BODY ELSE👌! ALSO RESPECT YR FATHER ALSO👌

  • @marydimoso6303
    @marydimoso6303 9 місяців тому +6

    😂😂😂 duuh hv kuna wanawake mnakuwaga na wanaume wa hv??khaà siwezi

  • @KhamisOmar-kt4kz
    @KhamisOmar-kt4kz 9 місяців тому +6

    Uzinifu hujakatzwa ramadhani tu broo kila siku zinaa mungu kakataza

  • @sarahmcharo1548
    @sarahmcharo1548 9 місяців тому +3

    mhhh shekheee watch ur words aseee!!!

  • @jacklinesaidy1199
    @jacklinesaidy1199 9 місяців тому +28

    Tabia ya umalaya inachoshaaa unamuabisha mke wakoo uku ukiaminisha watu binti WA watu ni mbaya why umeoa kwa nn ww ni muongo dini imekufunika huna tabia nzuri Wala nn ww ni abuser 😊

    • @lusiaMushi-rf6jt
      @lusiaMushi-rf6jt 9 місяців тому

      Wanajificha kwenye mwavuli wadini ila umalaya tu

  • @FatmaAlamry01
    @FatmaAlamry01 9 місяців тому +3

    Harusi hioooooo twataka haluwa abdul🇰🇪🥳🥳🥳🥳

  • @mamilathegreat3267
    @mamilathegreat3267 9 місяців тому +4

    We Abdul let it go to honestly tulijua hakuna ndoa kaa utulie na ujibadilishe na ww Ni mtu wa sifa na wanawake hatupendi Alie Jaa na sifa

  • @MasikaKhalfan
    @MasikaKhalfan 9 місяців тому +5

    Kiukweli diva Si type Yako hanielewi anafkiri kingereza ndo maisha kiukweli oa mtoto mdogo yule mgongo mkubwa achana nae umemstiri kweli hamuendani

  • @ashakijaji5869
    @ashakijaji5869 9 місяців тому +7

    Yaani ww ni handsome Sasa inakuwaje mahusiano yanakushinda,utakuwa nashida.

  • @ShakiraIssa-g5b
    @ShakiraIssa-g5b 9 місяців тому +13

    Analamba lips diamond mwenyewe aingii Ndani 😊

  • @rukiapessa7112
    @rukiapessa7112 9 місяців тому +18

    Mimi nilijua tuuu ule msamaha aliouomba wasafi ulikuwa na lengo hili coz diva alimdhalilisha sana
    Weee mtu hadi unasema Sitaki ndugu zako kwangu mtu anakubali kirahisi vile weee hushtuki!?

  • @vumiliakilosa4548
    @vumiliakilosa4548 9 місяців тому +3

    Anaonekana ana stress bado hayupo sawa naona kama anapaniki

  • @ferouzkeis6994
    @ferouzkeis6994 9 місяців тому

    Mamae huyu jamaa ni noma. Anamchanganya sana diva. 😂😂😂

  • @asiamerey9081
    @asiamerey9081 9 місяців тому +21

    Abdull anaonekana kashaanza kuchoka ila mabibi tena Mh!!

  • @halimabashar
    @halimabashar 9 місяців тому +11

    Ufe nikuzike au nife unizike jaman yamefika huku?

  • @noenana3352
    @noenana3352 9 місяців тому +6

    Yani huyu na diva wote wanacoach kuhusu mahusiano ila wao wapi yamewashinda kabisa😂😂😂😂

  • @Mb0g0z
    @Mb0g0z 9 місяців тому +1

    Daaaah Diva mume wangu mimi tuuuuuuuuuuu ndo mke wake ndo huyu huyu mume au

  • @janifajani8875
    @janifajani8875 9 місяців тому +10

    Mwanamke anaee mtamani huyu atakuwa hana akuli janaume lina kera

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c 9 місяців тому +1

    kamalaya akoo😊,,toka apa

  • @christabelkajirwa1706
    @christabelkajirwa1706 9 місяців тому +18

    I don’t care for or love diva but this guy is a narcissist he’s not good for anyone

    • @eddyempire9797
      @eddyempire9797 9 місяців тому

      Ila kwa Diva anagonga mwamba asee!

    • @btylove1870
      @btylove1870 9 місяців тому +1

      Narcissist 💯

    • @nassercurtis9579
      @nassercurtis9579 9 місяців тому

      Exactly

    • @nassercurtis9579
      @nassercurtis9579 9 місяців тому

      Huyu jamaa du, Diva masikini alibadili mpaka dini kwa ajili yake sas alitaka heshima gani na upendo toka kwa Diva, Mungu atamlipa anachostahili.

    • @nassercurtis9579
      @nassercurtis9579 9 місяців тому

      Huyu mwehu kweli eti msitoke laleni watu waina hii ndio wanakufa, wanawapa mitihani wanawake kulea watoto, mtu alizuiwa kutoka hajui cha kufanya anagwa na maisha anaishia kujiuza ili watoto waishi mwisho wake watoto wanakua wanarithi kazi ya mama nakama wa kiume wapo wanaishia kuvuta unga, unataka kufuga mwanamke na sio kutunza mwanamke bro kumbuka anaefugwa ni mnyama, mtoto wa mwenzio umpangie kila unavyotaka wewe huo ni utumwa na sio ndoa msitumie mafundisho ya dini vibaya, mkatafsiri mnavyotaka, hata mwanamke ana haki ya kukukatilia kitu. Ni wajibu wako kumbembeleza kumuomba na yeye akukubalie. Unataka uishi na mwanamke ili akidhi haja zako za kimwili bro just relux usijibu maswali kama umelewa, yaani mzazi anaekubali mtoto wake aolewe na wewe ni mwehu na mtoto anaekubali kuolewa na yeye kama atakuwa hana akili basi ni tamaa ya kutaka kujulikana vitandaoni kwa ajili ya maslahi yake binafsi.

  • @Marjeby
    @Marjeby 9 місяців тому +5

    Wallah we jamaa mtihani sana aiseeee mpumbafu mkubwa mtu mwenye akili timamu na mwenye vision hata kidogo hawezi kumsikiliza huyu jamaa hata dk 1 en acha kabisa kuutumia uislam kama ngao kwenye ushenzi wako!na meno yako hayo kama umeuma mavi

  • @daphnemasogange7353
    @daphnemasogange7353 9 місяців тому +5

    I agree with you sir, The family must be respected.

  • @MaiKasimu-xf4fz
    @MaiKasimu-xf4fz 9 місяців тому +17

    Sema twende mbele turud nyuma......mm nimemuelewa huyu kaka😂😂😂😂 kasemwa sana

  • @cdeleo9336
    @cdeleo9336 9 місяців тому +15

    Diva ukome tulikwambia hakuna mume hapa ila unaforce. Na bado atakutesa emotionally mpka ujute

    • @matridamwalyoyo1735
      @matridamwalyoyo1735 9 місяців тому +1

      Hajawahi elewa

    • @cdeleo9336
      @cdeleo9336 9 місяців тому +3

      @@matridamwalyoyo1735hata akiforce kila siku atakuwa analia na kuteseka. Huyu kaka ni tapeli na hampendi diva

    • @mwanaishaabubakar5013
      @mwanaishaabubakar5013 9 місяців тому

      Unaposema ramadhani tumekatazwa kufanya uzinifu kwa maana Siku nyengine tumeruhusiwa? Umepotoka

  • @catherinekiwipa9271
    @catherinekiwipa9271 9 місяців тому +7

    😂😂😂😂 hongera abduli kwakumbia lile furushi, yani ushamba mwingi yule dada ajifunze kwa zamarad ana kipatao kuliko mume wake lkn heshima ilo mume wake kasemwa mara ngapi kuhusu kutelekeza watt lkn ukweli wanaujua wao kampa heshima mume wake Salama ya mwanamke ni Mume ,na mume anahitaji heshima ❤❤❤❤ Abdul uko vizur sana mwanamke anafos apewe zawadi, apewe mi dola mara apelekwe Dubai😂😂😂 yy anaish kwa dola anavaaa mawigi makavu kama katani

    • @Mobrymestz
      @Mobrymestz 9 місяців тому +2

      Nauongana na wew akuna mwanaume anaewez kumvumilia mwanamke kama diba

    • @matridamwalyoyo1735
      @matridamwalyoyo1735 9 місяців тому +1

      I want go Dubai 😂

    • @salmanassor8732
      @salmanassor8732 9 місяців тому

      Mawigi makavu kama katani😂😂😂😂

    • @WinWilly4162
      @WinWilly4162 9 місяців тому

      Salute!!😂

    • @matanohassan9667
      @matanohassan9667 9 місяців тому

      DIDA pakacha la maembe full screen shot kudade Maza big yaani ATAKUJA kukupasua Moyo au chango Kaka tafuta kitoto kizuri mwili Saiz kama wewe ama vipi

  • @allyzumo5832
    @allyzumo5832 9 місяців тому +3

    Ndoa kuvunjwa ndani ya dakka 5 Duh

  • @AishaHaji-jn7sg
    @AishaHaji-jn7sg 9 місяців тому +9

    😂😂😂😂😂😂😂Ila diva kamsotesha mara madeni mara sijui kutukanwa mitandaoni 😂😂yeye wakati anaolewa hakujua kama anaolewa na ustadhi kwahio mi ndoa itakuwa kiyaaa kiyaaaaaaa
    Diva hachelewi kusema kesho anaolewa na mtoto wa mfalme wa Qatar 🤣…siku zote kwenye ndoa mkijifanya wote mnajua lazima shuhuli ibaluzweee tu

    • @minaeli5989
      @minaeli5989 9 місяців тому +3

      Nacheka kama mazuri 😂😂😂Abdul mdogo wangu Allah atakupa hitaji la moyo wako

    • @ZUWENADELLOW
      @ZUWENADELLOW 9 місяців тому +1

      Dah😂😂😂

  • @agriparose3942
    @agriparose3942 9 місяців тому +10

    Mi naelewa sana abachosema huyu kaka hivi kwa mitabia ya lile bibi kila siku ropo ropo kujiskia wakati umri umeenda

  • @khadijahali6856
    @khadijahali6856 9 місяців тому

    Huyu si mume kupata wala kukosa wallah mm hata nashangaa kwa nn wanawake wanakubali kuolewa na yeye licha wanaona wengine wakiolewa na kuachwa

  • @peacemollel5344
    @peacemollel5344 9 місяців тому +1

    Duuuuh......heheheeeee.....khaaaa....Toba roho yangu

  • @bobwhite9252
    @bobwhite9252 9 місяців тому +1

    Kaenda pewa ngwengwe anadhan anamkomoa diva..mwenzie kaungua kitambo😂😂..au labda nayeye aliungua pia..

  • @elizakovaga12
    @elizakovaga12 9 місяців тому

    HUYU MTANGAZAJI ANAJUA SANA....... HONGERA SANA PHINA❤

  • @Neema92
    @Neema92 9 місяців тому +3

    Mibibi 😂😂😂 Ila mahusiano haya Mungu atusaidie.

    • @hanifa9153
      @hanifa9153 9 місяців тому +1

      🤣🤣🤣🤣🤣

  • @fatimamsangi2626
    @fatimamsangi2626 9 місяців тому +2

    Napenda sheikh anavyoita “Saraphina”

    • @sheyla9004
      @sheyla9004 9 місяців тому +1

      Imagine akiita fateema😅

    • @fatimamsangi2626
      @fatimamsangi2626 9 місяців тому

      @@sheyla9004 Aaaah sheila weeeee😅🙌🏾

    • @ndekumtallo6642
      @ndekumtallo6642 9 місяців тому +1

      😂😂😂😂😂😂

  • @Onlyforfun1992tube
    @Onlyforfun1992tube 9 місяців тому +7

    Shekhe unapenda utelezi bana huna pesa unataka kulelewa

  • @perismwanyika9093
    @perismwanyika9093 9 місяців тому +1

    Yaani sijui ni mm lkn huyu kaka jamani hapana anaonekana ni tapumta wa hatari😊

  • @walterkisaro-9168
    @walterkisaro-9168 9 місяців тому +5

    Uyu bwana mi simjui wala simtetei ila mwanamke wake ktk kipindi alipigiwa cm hakukubali kuongea na mme wake ilo ni kosa pili kodi anataka usd 2000 mshikaji alikataa hawezi Lipa mara anataka maua daily mi sielewi ni ya nini ten anaweka wazi asafiri nnje mshikaji uwezo uo Hana

    • @bazzgarkimea5469
      @bazzgarkimea5469 9 місяців тому +2

      Binafc me pia nipo upande wake

    • @nahyialetomia9284
      @nahyialetomia9284 9 місяців тому +1

      Diva ana kasoro kubwa kichwani, alijua shekhe sio billionaire halafu anamlazimishia maisha ya Masaki

    • @catherinekiwipa9271
      @catherinekiwipa9271 9 місяців тому

      ​@@thamani5842diva sio uzungu diva Ni ushamba nakujiami tu huyu kaka yupo sahh coz ni MTU wa dini,Ni mtu anafundisha mahusiano alitaka dunia ijue kuwa anaweza kumbadilisha mtu lakn diva kingunge Yani shindikanaaaa yule dada

    • @catherinekiwipa9271
      @catherinekiwipa9271 9 місяців тому

      ​@@bazzgarkimea5469Mimi pia

    • @catherinekiwipa9271
      @catherinekiwipa9271 9 місяців тому

      ​@@nahyialetomia9284kabisa

  • @MwajumaRiami
    @MwajumaRiami 9 місяців тому

    Ata haelwekiiii huyu mwanaume kwa kweli Diva hakupaswa kuwa nae n hay mapenz tu hayadhuilikiii ila hajitambui kabisaaa haa

  • @tiffanyakramJr814
    @tiffanyakramJr814 9 місяців тому +3

    Haki Amungu mibibi mtihani🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 umepigaje apo 😂😂😂😂

  • @wahidamrisho644
    @wahidamrisho644 9 місяців тому +2

    Mh!siye tunapita😂😂😂

  • @yakfizahran4536
    @yakfizahran4536 9 місяців тому +10

    Mungu anakulaan mbwa ulimuacha mtoto wa watu na mtoto mchanga ukamuoa diva

    • @catherinekiwipa9271
      @catherinekiwipa9271 9 місяців тому

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @raniahAbdul
      @raniahAbdul 9 місяців тому

      Mtoto hakuwa wake . Alimuoa bint aliyekuwa kaachika akiwa na ujauzito wake. Abdul watoto wake wote anawalea

    • @happynescostat7420
      @happynescostat7420 9 місяців тому

      ​@@raniahAbdulkwani kumlea mtot wa mpenzi wako no kosa?

  • @happymfiomy4673
    @happymfiomy4673 9 місяців тому +2

    Wakwanza leo jmn nipeni like zangu😂😂😂

  • @albertinendume5016
    @albertinendume5016 9 місяців тому +2

    Uyu ni rofa sanaa

  • @RahmaMfaume-x4x
    @RahmaMfaume-x4x 9 місяців тому

    Pole kijana Wang u safari Hi kuwa makini usioe mke
    wamtandaoni

  • @FatmaAlamry01
    @FatmaAlamry01 9 місяців тому +9

    Huyo diva mtu mzima kwa abdulrazak kila mwaka yy ana 35 hahaha sura inaonesha ya 45 😅

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 9 місяців тому +2

      Diva ni mkubwa kwa huyu kaka .. hio ipo wazi et yeye ni mdogo khaa Ali kiba alishmwitaga Kigagula😅😅

    • @RamlaMburi
      @RamlaMburi 9 місяців тому

      ​@@annasolomon9855😂😂

  • @rukiasalum2248
    @rukiasalum2248 9 місяців тому

    Nyinyi wanaume hamjui hata nini mnataka.mara dogo mara wakubwa

  • @HanifaBruno-lv1qf
    @HanifaBruno-lv1qf 9 місяців тому

    Yaani wew ni kiboko au kwasababu mweupe

  • @kadino_jc
    @kadino_jc 9 місяців тому +2

    Fala ww Mario

  • @BerthaModest
    @BerthaModest 9 місяців тому +1

    😢pole divva hii inaumiza sana uyu ana hekima wala huruma ajielewi

    • @bahatiwilliams
      @bahatiwilliams 9 місяців тому +2

      Ana hekima au hana hekima umenichanganya hapo

    • @gracemtonga3263
      @gracemtonga3263 9 місяців тому

      ​@@bahatiwilliamsamemaanisha Hana hekima! Ni kiswahili chetu!

  • @verenabusanda4044
    @verenabusanda4044 9 місяців тому +1

    Ila jamani ujie kila siku tunasikia bidada analalamika...tulikua hatusikii upande wa pili na ndo tumeusikia,huyu kaka hata kama ana shida zake lakini ja yeye ni binadam...

  • @farhannahkulishwaburekunam5360
    @farhannahkulishwaburekunam5360 9 місяців тому +3

    We subiri tu na hao wengine mtalalishwa na njaa subirini mwezenu aliachwa hospital akamkimbia hakumlipia hata hospital akakimbia na chupa ya chai

  • @jareengeorge5478
    @jareengeorge5478 9 місяців тому

    Jamaa anastress Hana lolote.alizoea kulabure,kulalabure,kunyabure,kutom bure.sasa hivi anastress sika

  • @rosehaule6765
    @rosehaule6765 9 місяців тому +10

    Nacheka kwa sababu wapo wanawake wataolewa hapo hata kesho😂😂😂yupo tayar mbadala😂😂au tayari keshaoa aweee chezeyaa wanawake ss😂😂😂 abdullll😂😂😂

    • @joycemallem7427
      @joycemallem7427 9 місяців тому +1

      Limeshaoa yaan sisi wanawake sijui tukoje

  • @Babygirl758
    @Babygirl758 8 місяців тому

    Nimecheka sana 😂 eti hii mibibi mtihani 🤣

  • @agriparose3942
    @agriparose3942 9 місяців тому +1

    Nakufollow kuanzia leo lile bibi lilizidi wallah

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 9 місяців тому

      Alikuwa mkubwa pia kwa huyu kaka , lakini alistiriwa pamoja na hivo hsmata kama hawakuwa sahihi wote lakini Diva alizidi kutoa mambo ya ndani in public 😊😊

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 9 місяців тому +5

    Msalie mtume sheikh haifai kukashifiana aibu ya mwenzio usiitoe hadharani na sikwambii tuko kwenye mwezi mtukufu

    • @salomewandya7257
      @salomewandya7257 9 місяців тому +1

      Yaaan jmn ni huzuni

    • @minaeli5989
      @minaeli5989 9 місяців тому

      Na yeyevanavyomkashifu mpaka familia yake mnadhani yeye ana roho ya jiwe

  • @shamsasoud2989
    @shamsasoud2989 9 місяців тому

    Huyo diva angekua kafundwa asingekua anaweka maisha yake yote mtandaon,,, kama angechoka yeye angetoka kimya kimya tu

  • @lilianestephanie7881
    @lilianestephanie7881 9 місяців тому +4

    Eti Ndoa zangu nyooo

  • @sadikabdallah8061
    @sadikabdallah8061 9 місяців тому +3

    Hawa watu wamanino mingi ndio ndoa hawaziwezi

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 9 місяців тому

    Nawewe.Libabu au.

  • @zamalisaide3209
    @zamalisaide3209 9 місяців тому

    ABDUL yupu sawa acheni kumtukana

  • @aisharamadhani1948
    @aisharamadhani1948 9 місяців тому

    Hahahhahahhaj nacheka kama mazuri katika vitu ambavyo sitokosea ni kuolewa na mwanaume nikiyemzidi miaka wallah sitokosea ht kidogo pole diva uliyakanyaga😊

  • @نصرىاليعربي
    @نصرىاليعربي 6 місяців тому

    Ok

  • @Lulucut
    @Lulucut 9 місяців тому

    Wanawake wa media ya WCB hawatulii kwenye ndo na hawadumu

  • @GloryMshanga-gq2fg
    @GloryMshanga-gq2fg 9 місяців тому

    Mbona hukusema kuanzia mwanzo?

  • @nasrakambimton9522
    @nasrakambimton9522 9 місяців тому

    Maneno ya mkosaji maneno mengiiii kwan unandoa ngapi babu weeee usituvuluge😂😂😂hay wwle wanao taka ndao jimb lipo wazi nend na ww kajalibu uwenda mwenzio kunambo akuyajua nenda na mwalim ukafundishe😅😅😅

  • @aminaramadhan3815
    @aminaramadhan3815 4 місяці тому

    Nawale uliowaacha mbona ulikuwa unawanyanyasa ww mnafiki

  • @chilukigembe1956
    @chilukigembe1956 9 місяців тому

    Shekhe bora nenda kamuoe Wema Sepetu kuliko huyo Diva mtihani

  • @ashakijaji5869
    @ashakijaji5869 9 місяців тому +1

    Hivi kwa nn mnapendaga kusema mnawaelekeza wanawake mm sipendagi ,tayar ulimkuta anaishi Sasa unamfundisha nn

    • @aboudijaaboudija
      @aboudijaaboudija 9 місяців тому

      Mwanaume anaekupenda lazima atakubadilisha na mwanamke anaekuheshim lazima atakusikiliza na atafata kile ambacho anapenda mwanaume so ndo hivyo

    • @malkiarosemuhando3310
      @malkiarosemuhando3310 9 місяців тому +2

      Khaa!? Sio kweli mi Ninachojua ni Kila mtu ni mwalimu Kwa mwenzie sio Kila kitu mwanaume ndo wa kufundisha Mwanamke ,kwani nyie mnajua vyote, Basi tufundisheni hata kwenda leba Muwe na adabu na wake zenu

  • @MagrethKessy-fj1ul
    @MagrethKessy-fj1ul 9 місяців тому +8

    Mibibi tena😊tumekumosea nn????

    • @Mnyamisiselumamala
      @Mnyamisiselumamala 9 місяців тому

      😂😂😂

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 9 місяців тому

      Ukweli Diva ni mkubwa kwa huyu kaka ,ila Hilo sio tatizo ni heshima ndo msingi 😊

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 9 місяців тому +6

    Chagua mke sahihi usioe haraka kwa kumkomoa diva!

  • @aminajuma1156
    @aminajuma1156 9 місяців тому +2

    Huyu anapapatika😂😂😂

  • @esthermramba9395
    @esthermramba9395 9 місяців тому

    Uyu mganga hajielewi,,kumuoa Diva nivyenye alimroga lkn hawaenda na Diva kabisa

  • @nathalieswedy3653
    @nathalieswedy3653 9 місяців тому

    Malaya mchafu we kaka leo unakashfu mtu eti bibi MUNGU akusamehe tu umemdangia we ulikua unatafuta jina umepata yanakutoka kile kibint ulikiacha mbn ulikiacha hujielew we mbwa

  • @MedYahya-jm5pu
    @MedYahya-jm5pu 9 місяців тому +2

    Watatokea wakumstiri wengine pia

  • @BobMollel
    @BobMollel 9 місяців тому

    HATA SIELEWI KWANINI UNAONGEA MAMBO HAYA KUNYAMAZA NIBUSARA SANA WENGI WANAPITIA MAKUBWA KUKUZIDI ILA KIMYA NIJAMBO BUSARA

  • @didah6553
    @didah6553 9 місяців тому

    Wakati ukila pesa zake ukimwita kimwali sasa hakutaki unamwita Bibi .waache wanaume wezio wamtazame diva lakini Wewe Sheikhe unapenda kuchezea watoto wa watu kwani watu wataona ajabu kama diva mke WA kwanza unajitetea tu umezoweya kuchezea watoto wa watu mungu atakulipia Ramadhan hii. Huna uwoga hata kidogo

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 9 місяців тому

      Ukweli ni mkubwa kwa huyu kaka , Diva ni mkubwa 😊😊

  • @beatrice4780
    @beatrice4780 9 місяців тому

    Huyu sio mume jamani Kha!

  • @CuteDon-ek9rb
    @CuteDon-ek9rb 9 місяців тому

    Mi nimegundua kwamba huyu ana tatizo la afya ya akili yupo over confidence alafu anajiona yeye ni mfalme vile

  • @Mobrymestz
    @Mobrymestz 9 місяців тому +2

    Uyu kaka ukimsikiliza kwa makini utamuelewa mim nlikuwa team diva lakini kwa hapa apana nipo na shekhe abdulazk akuna mwanaume anawez kumvumilia mwanamke kama diva😊

  • @Zeecute78
    @Zeecute78 9 місяців тому

    Kina Zahara tena??we baba ishia hukohuko kwa kina Gisela😂😂😂

  • @chariedecute8200
    @chariedecute8200 9 місяців тому

    Bana eeeh Abdul anajua kujitetea muongo kila siku na wanawake zake wote wawe wanamsingizia Bora diva apate amani ya Moyo kashampa jina na kajulikana imetosha mbona ajawai sema diva anatabia mbaya kamcheat Ila yeye kila siku na ni ukwel mchungu akuna chenye mwanzo kisicho na mwisho wa anaume Hawa na unakuta wanaomtetea n hao wanawake ndio mtajua adui ya mwanamke n mwanamke uyu kaka muongo mpka media kila siku Abdul Kaoa Abdul kafumaniwa Abdul kalala na wateja Abdul ivi vile why yeye na anajua kujieka kidini coz anajua Sana kujielezea bas

  • @samehewaliokukoseya2605
    @samehewaliokukoseya2605 9 місяців тому +3

    Dakika 5 👋?😂😂😂

  • @esterkiyongo2316
    @esterkiyongo2316 9 місяців тому

    Mimi bibi tenaaaa😂😂

  • @nolimittvonline6822
    @nolimittvonline6822 9 місяців тому

    Nimekulewa makofi kwako Abdul cheupe

  • @Mohamed-uz8id
    @Mohamed-uz8id 9 місяців тому

    ila Abdull wataalamu tushaona bado unampenda sana Diva

  • @mariamhassan9918
    @mariamhassan9918 5 місяців тому

    Msherati mkubwa ww..wataka mfungwa ww hutaki bb

  • @MasikaKhalfan
    @MasikaKhalfan 9 місяців тому +1

    Abduli ana busara ,mzuri sana..

  • @Mina.15
    @Mina.15 9 місяців тому +4

    Mdomo anavoufany 😂😂😂😂

    • @jocelyneliaminarukundo3633
      @jocelyneliaminarukundo3633 9 місяців тому

      😂😂😂😂

    • @Mina.15
      @Mina.15 9 місяців тому

      @@jocelyneliaminarukundo3633 uku USA 🇺🇸 wale wavuta ungaa nakuwaga kama yeye 😂😂

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 9 місяців тому

      ​@@Mina.15niletee mchongo nije USA 😂😂😂😂🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️