Michanganyo ya chakula cha Nguruwe|Fomula zake..

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 сер 2024
  • Kutokana na maswali mengi kuhusiana na jinsi ya kuchanganya chakula cha nguruwe kupata faida

КОМЕНТАРІ • 15

  • @ElifadhiliPhissoo
    @ElifadhiliPhissoo Місяць тому +1

    Nice work 🎉

  • @CreshaRevelian-wb6ky
    @CreshaRevelian-wb6ky 5 місяців тому +1

    Wewe ni mentor Wang u.

  • @user-px2iu4mc5y
    @user-px2iu4mc5y 2 місяці тому +1

    Niulize ukichanganya pumba yamuchele napumba ya mihindi na bunga yangazi hauwezi pata chakula bora???nipeni jibu plz

  • @ibba8082
    @ibba8082 7 місяців тому +2

    Mnapatikana Wapi !,

    • @mulapfarm9664
      @mulapfarm9664  7 місяців тому

      Kibaha

    • @ibba8082
      @ibba8082 7 місяців тому +1

      @@mulapfarm9664 Vema mngetia Hata namba za simu au Hanuani kamili !

  • @RichardSianga
    @RichardSianga 3 місяці тому

    Wapi jamani na wakuchinja unauza

  • @IvanKamatete
    @IvanKamatete 25 днів тому +1

    Naitaji Namba yako please

  • @gonsalvamswaga6471
    @gonsalvamswaga6471 6 місяців тому +1

    mm kaka unamix maelezo sana creep hawatumii kwa miezi 3

    • @mulapfarm9664
      @mulapfarm9664  6 місяців тому

      Creep wanakula hadi tunapowaachisha na mama kunyonya tuu.
      Weaner/Starter kuanzia siku 35
      Grower kuanzia siku mwezi wa 3 akifikisha mpaka mwezi 5-6.
      Finisher 6-7 kwenda sokoni
      Samahani nilirekodi nikasahau kuweka sawa hiyo taarifa

    • @gonsalvamswaga6471
      @gonsalvamswaga6471 6 місяців тому

      @@mulapfarm9664 japo sijui kwanini nakubali tu ila sikubaliani yaani KOUDJUS mfano 20/15 ni ile ile zinatofautiana tu mchangano kwa kiasi ndio hapo pananishinda kujui hapa ni starter na hapa ni grower

  • @gonsalvamswaga6471
    @gonsalvamswaga6471 6 місяців тому +1

    kwenye fomula ya Koudjus hakuna mchango wa soya