TAZAMA NGURUWE CHOTARA| Bei zake, usafirishaji na ubora| +255659770886| mbegu zipo📞PIGA|

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 вер 2024
  • Kutokana na wateja wengi kuwa na maswali kuhusiana na mbegu,bei na namna ya kuzipata

КОМЕНТАРІ • 24

  • @tianarest
    @tianarest 6 місяців тому +1

    Hongera sana na ahsante nimefanikiwa na mm kupata mbegu kutoka mulap na iman na mm nitakuwa mzalishaji wa mbegu bora , Mungu akufanye ukawe baraka kwa wafugaji wengine

    • @jacklinenkane821
      @jacklinenkane821 5 місяців тому

      Wanauzwa bei gani mpendwa?

    • @tianarest
      @tianarest 5 місяців тому

      @@jacklinenkane821 inategemea na umri kipenzi

  • @TumainiPeter-dg3yn
    @TumainiPeter-dg3yn 3 місяці тому

    Dume shilingi ngapi

  • @elizabetmasini3829
    @elizabetmasini3829 Місяць тому

    Namba. Ya. Cm

  • @PauloChenda
    @PauloChenda 3 місяці тому

    Kwan mpo wapi...

  • @user-oz9qi4ux6b
    @user-oz9qi4ux6b 3 місяці тому +1

    Habari nikiihitaji napataje mbegu mzuri maana nilitaka nianze ufagaji mm nipo kilimanjaro mnasafirisha mpak uku MTU akihitaji?

  • @didasseveline9013
    @didasseveline9013 7 місяців тому +1

    Safi sana🎉! Mna mbegu ya pitreyn

    • @mulapfarm9664
      @mulapfarm9664  7 місяців тому

      Mbegu zipo kwa oda mkuu, tupigie

  • @TumainiPeter-dg3yn
    @TumainiPeter-dg3yn 3 місяці тому

    Kamahawa wa mz 3 shilingi ngapi nakwa kahama beigani

  • @JosephHaule-yg1cf
    @JosephHaule-yg1cf 5 місяців тому

    Naweza kupta dume anayeweza kupanda

  • @MwingiraKassian
    @MwingiraKassian 7 місяців тому +1

    Weken namba ya cm

  • @StanleySwaiOsta
    @StanleySwaiOsta 6 місяців тому

    Kama hawa wa miezi minne shingapi

    • @mulapfarm9664
      @mulapfarm9664  6 місяців тому

      Tupigie simu kwa kufanya biashara

  • @edgarenock4907
    @edgarenock4907 6 місяців тому

    Dume bei gan

  • @emmanuelamani983
    @emmanuelamani983 7 місяців тому

    hawa wana Meizi 3?